Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Ndoto huwa zinaonyesha yale yanakuhusu, yaliyopo au yajayo, kushinda au kushindwa. 😊
Akuna kitu kinachouma km kutumikia kifungo kisicho naatia😢pole sanaa esau ngoja tuone baada yakuhamia uko mtaa wa 7 nini kimeendelea🧘
Mbona kwachababu, niuchalama wako pia, mdogo Chana, anachema 😂😂davero vp Tena jmn 😂😂
Mimi huwa naota ndoto, lakini nikiamka sikumbuki hata ndoto moja niloota
Da vero mbon km unakithembe leo😂😂 kimekukoleaaa
😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
Sjui inakwama au ni kithembe 😄😄😍
Namimi nimekisikia nikadhania ni masikio yangu
Sasa akiwa nacho kinakuhusu nn
Evil alters..kimbia kanisani..mtafute yesu
Nyie kwel uchaw upo
Kabisaaa
Mwanafunzi Pepo sana huyo anafata had darasan
Yule mtoto amethikwa😅
Unasauti nzuri ya kusimulia
Daaah🙌
Huyo mwanafunzi sio mtu wa kawaida
Daah kumbe mandoto saa ingine zinamaanisha😢
Hahahahaha we umejuaje🤗
Ndiyo mara nyingi ndoto zina maana
Kabisaamimi ndoto tatu nilishaota nizikawa ivyosemaga watu ndoto uwa tunazipuuziya sanaa ila zinamahan
Ndio ina maana kwamba Mungu anakula tahadhali sasa si Kila ndoto ina maana hapo sasa
Da vero du sijui uchawi unaomfatilia esau nao umekushika wewe kinywa maana unaongea kama unajifuza lugha mpya😂😂😂.
😂
Essau namba 4
Mbona haisikiki vizur hii
Nasubiri ya 4
Mbeya haisikiki kabisa
Mbona Vero ukiongea neno SASA sielew ulimiwako VP Aya tupopamoja
Ethau anathemaa
Uchawi upo jmn
Jamani no 2 mbn siioni mimi ?nimetafuta mnoooo
Ningekaambia kanikome hako ka mwanafunzi.
❤❤❤❤
Moshi inapatikana masafa gani jamn
99.3
Efm inapatikana kwenye masafa gani Huku Morogoro wapendwa😊😊
95.5
Mwanza je?
@@monicadamiani8493 91.3
Leo unaongeaje
Huwa naongozwa na ndoto sana, nimepewa kipawa hicho, sema napotezeaga sana mpaka yanikute.
Kama mm lakini napoyezeaga lakini baadae unakuta napata majibu hivo
Upo kama mimi napoyezeaga yakinikuta ndo naanza kulialia
😭
28:16
Asante da veroooo❤❤❤❤
Naomba nielezee imekuaje amefungwa no 2 sijaiona
4nilini
Huyo binti no jini
Huyo ratfa nae atakuwa Ni mchawi Sasa kah🙄🙄🙄
Mbona kama unatunga, kitete cha nini wakati story iko scripted tayari.
Acha makasiriko hadithiaa wewe bas
Hadithia za kwako kama ni rahisi
Ndoto huwa zinaonyesha yale yanakuhusu, yaliyopo au yajayo, kushinda au kushindwa. 😊
Akuna kitu kinachouma km kutumikia kifungo kisicho naatia😢
pole sanaa esau ngoja tuone baada yakuhamia uko mtaa wa 7 nini kimeendelea🧘
Mbona kwachababu, niuchalama wako pia, mdogo Chana, anachema 😂😂davero vp Tena jmn 😂😂
Mimi huwa naota ndoto, lakini nikiamka sikumbuki hata ndoto moja niloota
Da vero mbon km unakithembe leo😂😂 kimekukoleaaa
😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
Sjui inakwama au ni kithembe 😄😄😍
Namimi nimekisikia nikadhania ni masikio yangu
Sasa akiwa nacho kinakuhusu nn
Evil alters..kimbia kanisani..mtafute yesu
Nyie kwel uchaw upo
Kabisaaa
Mwanafunzi Pepo sana huyo anafata had darasan
Yule mtoto amethikwa😅
Unasauti nzuri ya kusimulia
Daaah🙌
Huyo mwanafunzi sio mtu wa kawaida
Daah kumbe mandoto saa ingine zinamaanisha😢
Hahahahaha we umejuaje🤗
Ndiyo mara nyingi ndoto zina maana
Kabisaa
mimi ndoto tatu nilishaota nizikawa ivyo
semaga watu ndoto uwa tunazipuuziya sanaa ila zinamahan