ALIKIBA AMJIBU MBOSSO KWENDA WCB, WANATUMWA KUNITUKANA, SIJAZEEKA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 230

  • @ProducerJoy
    @ProducerJoy 2 години тому +8

    Sema Kiba kweny msawala ya kujibu ki sayansi yupo vzr🔥🔥🙌

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 11 хвилин тому +1

    🎉🎉only one 🤴

  • @RashidDiyuka
    @RashidDiyuka 5 годин тому +16

    RESPECT FOR KINGKIBA GREATEST OF ALL TIME🎉

  • @kingsmusicfans1416
    @kingsmusicfans1416 9 годин тому +29

    Only one KING 👑 🔥🔥👏🏾

  • @ismailsalim8395
    @ismailsalim8395 27 хвилин тому +1

    Fire 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @zuweinaalhabsya8773
    @zuweinaalhabsya8773 6 годин тому +13

    Heshima yako king kiba. Utabaki kuwa juu Kila leo ❤

  • @LatifaMkwewa
    @LatifaMkwewa 4 години тому +5

    Safiiii King 👑
    Kiba nimelipenda jibu lako ❤❤❤❤
    Kwahyo yeye mbosso anajifananisha na king 👑🤣🤣
    Diamond aje crown
    Na kiba ataenda wasafi khalaas 😂😂😂
    Htakama wanakuita mzeee unazeeka na kipaji chako kwaninkuna shido🤪🤪🤪

  • @NamuinjidyaNhamueziBoytuga
    @NamuinjidyaNhamueziBoytuga 4 години тому +8

    Saluth kwako King kiba ❤❤ from 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @mdbosco1640
    @mdbosco1640 7 годин тому +10

    Nakubali KING👌💥

  • @official_kingnabiryOg
    @official_kingnabiryOg 4 години тому +6

    The only one King 👑❤👑

  • @IZAACManyonyi
    @IZAACManyonyi 6 хвилин тому

    Mwamba alikiba ❤❤❤❤❤❤

  • @user-to6up4hg2w
    @user-to6up4hg2w 4 години тому +3

    The king himself ❤

  • @aishakambenga6191
    @aishakambenga6191 6 годин тому +6

    My king 🤴 ❤

  • @Germano_Lopes
    @Germano_Lopes 2 години тому +3

    🇲🇿 Naamini kwamba uyo alie sema kwamba kazeeka ndo shabiki wakwanza Kwa kumfatilia King 😆😆😆 My King endelea kuwatilia sumu maana wewe ndo mwenye Mbuga za hao wanyama.

  • @ShedrackLawrence-u3p
    @ShedrackLawrence-u3p 3 години тому +4

    Mi nimeondoka na wanaelewa wana understand na wana enjoy😅

  • @patsonnzogoro-sh7yb
    @patsonnzogoro-sh7yb 2 години тому +2

    🤴 the one

  • @Denickibaden
    @Denickibaden 8 годин тому +15

    Sema alikiba kweli ni king 👑 anajua kuongea kiutu Zaid 🎉

  • @Educatedmind-k9r
    @Educatedmind-k9r 9 годин тому +3

    Well spoken King

  • @MathieuLwebula
    @MathieuLwebula 3 години тому +2

    Only one King 🎉🎉🎉

  • @masoudmohammed4258
    @masoudmohammed4258 7 годин тому +7

    King kiba❤❤

  • @subiraibrahim8100
    @subiraibrahim8100 4 години тому +7

    Nyie hamjamuelewa mbosso mnachukulia negative tu uzee ni busara

    • @IshimweKelebuka
      @IshimweKelebuka 11 хвилин тому

      WE VIP WW HIVI UNAJUA UNACHOKIONGEA AU??? SKILIZA VZR ALI ANAVYOSEMA

  • @husenahusena2660
    @husenahusena2660 40 хвилин тому +1

    Kazeeka huyu amekwisha😢😂😂

  • @zuweinaalhabsya8773
    @zuweinaalhabsya8773 6 годин тому +7

    Yaan huyu jamaa Ana utu na utulivu. King ni mmoja tu

  • @MarkMassawe-n9i
    @MarkMassawe-n9i Годину тому +1

    You god ❤

  • @kdady7589
    @kdady7589 5 годин тому +31

    Mimi ni mkenya lakini nawaambia wa Tanzania,,hakuna msanii anaweza kumshinda ali kiba katika mziki hapo tz hata sekunde Moja Ali kiba is the best artist kuliko hata diamond 🎙️

    • @SeifJuma-l8t
      @SeifJuma-l8t 4 години тому +1

      We mkenya umefta nin umu😂😂😂

    • @timothmwakakusyu4563
      @timothmwakakusyu4563 4 години тому +1

      Ubora wa Diamond hauwezi kupatikana kwasababu ya comment za watu, au chuki za watu. Ubora wa Diamond unajitosheleza wenyewe hata tusipoongea. Yap kiba ni msanii mkali sana hilo tunalijua pia kiujumla wasanii wa Tanzania karibia wote ni wakali sana

    • @DivinebabyDee
      @DivinebabyDee 4 години тому

      Niyakweli lkn hayakuhusu,changanya kwato zako huko

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 4 години тому

      ​@@SeifJuma-l8t😂😂😂

    • @johnmshuta5133
      @johnmshuta5133 3 години тому

      😂😂😂😂😂😂😂

  • @Ezekielbishoo
    @Ezekielbishoo 3 години тому +7

    jamaa yupo na fulaa Kila siku nakubali sana song lake na baraka daa prenss ni samehe duu mli uwa sana

  • @SelemaniMsuya-q8n
    @SelemaniMsuya-q8n 8 годин тому +20

    Ali kiba kuimba Anajua sana
    Lakn ktk biashara ya muziki na kutazama soko linataka nn amezidiwa na Nassibu , kuna wakati aliridhika nakujisahau

    • @Meddy360
      @Meddy360 8 годин тому +4

      Jifunze jambo ndugu,,,,,,alikiba kazi zake zinajiuza zenyewe na zinapenya zenyewe sokoni hatumii nguvu

    • @yussufritzy7684
      @yussufritzy7684 7 годин тому +2

      ​@@Meddy360 zinapenya kivipi??😂

    • @Garikamedia
      @Garikamedia 7 годин тому +1

      @@yussufritzy7684 sasa wewe ulimjw j kiba kam sio ngma zak kwnd sokon

    • @Peterchila-un2lx
      @Peterchila-un2lx 6 годин тому +2

      Si​@@Garikamediahiv kumbe kiba ni msaniii mbona simfahamu

    • @Peterchila-un2lx
      @Peterchila-un2lx 6 годин тому +2

      ​@@Meddy360kumbe alikiba ni msaniii mbona simfahamu

  • @ChenchiKing
    @ChenchiKing 9 годин тому +3

    Only One King✊❤️👑

  • @AbdulrahamanBakari-s6k
    @AbdulrahamanBakari-s6k 5 годин тому +2

    All the Best

  • @kaJEMBEvip
    @kaJEMBEvip 7 годин тому +9

    Watangazaji wanafiki sana wachonganishi..

  • @IsayaJoseph-v3s
    @IsayaJoseph-v3s 5 годин тому +13

    Mtu aliezaliwa 1986 na mtu aliezaliwa 1989 hao wote wanazeeka pamoja kama kiba mzee basi na mond mzee. Kupishana miaka 3 hakuwezi kumfanya mmoja awe kijana. fuatilia wazee wote mtaani hawalingani umli ila niwazee. Uzee sio hoja niutani tu mboso kamtania kwamtazamo wangu mm.

    • @K25795
      @K25795 3 години тому

      Aja mjibu mbosso na Wala aja mind ila ukipitia kwenye comment comment nyingi umesha zeeka, kiba kazeeka

    • @ZawadiMoris
      @ZawadiMoris 2 години тому +1

      Mbona Ibra anamuita diamond Babu na Wala hatujamsikia Simba akilalama?mambo mengine nikuyakuza tu lakini Mimi sioni hata tatizo lamtu kuitwa mzee bhana.

    • @isayachriston3336
      @isayachriston3336 Годину тому

      Mm siwezi shangaa mtu kuzeeka mana ni lazima hata ww unaesoma utazeeka tu mda ukifika ongea kingine

  • @Ramerkomango
    @Ramerkomango 7 годин тому +2

    Respect king

  • @SuleimanSalim-q9j
    @SuleimanSalim-q9j 2 години тому

    King 👑 always respect man

  • @ALLY_K61
    @ALLY_K61 3 години тому

    Alozeeka Niyeye Sio King 👑👑

  • @martinemayunga2357
    @martinemayunga2357 6 годин тому +3

    Endelea hivy tu king uzuri hjawah kuwalilia njaa

  • @DadeCajanja
    @DadeCajanja 8 годин тому +1

    Umejibu vizuri❤❤

  • @ISSACKRICHARD
    @ISSACKRICHARD 8 годин тому +6

    Unazeeka mzeeee kafanye kolabo😂😂😂😂 mboso muuni sanaaaa😂😂😂

  • @EunicePaulo-l2t
    @EunicePaulo-l2t 5 годин тому +2

    😮uzee uzee unawahusu

  • @KelvinPetro-v6y
    @KelvinPetro-v6y 5 годин тому +9

    King Noma sanaaa

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 5 годин тому +1

    King yupo vizuri mno Hana kashifa anajitambua kwe ww king iunavaa vizuri mm naogopa wanaovaa micheni ,mipete mhuuu

  • @MariamKamote-i4i
    @MariamKamote-i4i 5 годин тому +2

    King 🤴 kaongea mnatakiwa mnyamaze mfalme akiongea

  • @ZecaZecado
    @ZecaZecado 6 годин тому +1

    KING MUSIC aiwenzi kuwenda wasafi mimi sitaki ancha biff iende

  • @yasrikomba7874
    @yasrikomba7874 21 хвилина тому

    Mbosso nani atutaki mazoea nao ss

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 4 години тому +1

    Kazeeka kweli

  • @YUSUPHOMARY-r7l
    @YUSUPHOMARY-r7l 5 годин тому +2

  • @-thegreat-zawadimmasa307
    @-thegreat-zawadimmasa307 46 хвилин тому

    Mboso yuko sahii
    Sa hv kaenda sana

  • @TeacherMwinyi
    @TeacherMwinyi 6 годин тому +2

    akuna kama wew utu akili na unakijuwa unacho kifanya family bg up

  • @DragonFilm-Official
    @DragonFilm-Official 2 години тому

    Wenye wanasema kazeeka wengine wako 35 32 30 34 ati wao Sasa ndio vijana hakuna ata kijana wa 22 hapo ama 28 wote mdomo wazi k2ga ndio wakwanza kusema Ali kazeeka wewe kijana Sasa eti pole sana mbosso mond Tommy ibra lakini mungu wa alikiba waja tu

  • @annndunda3953
    @annndunda3953 3 години тому +1

    King kiba the best

  • @DamianLucas-k2d
    @DamianLucas-k2d 46 хвилин тому

    Uzee niheshima

  • @ianbaraka6005
    @ianbaraka6005 8 годин тому +5

    ni utani tu bro

  • @razakilipwelele5518
    @razakilipwelele5518 8 годин тому +61

    Niliwahi kusema mimi, ALi wamemshindwa kwenye kuimba na sasahivi wamepata msemo ya kazeeka😂😂😂.atawaumiza mpaka siku wenyewe waseme aLi ni jini 😂😂😂

    • @africanQueeny-u7o
      @africanQueeny-u7o 8 годин тому +10

      Wazee ni Jz na Kanye west ila wakikupa collab niko pale😅 kija mdog bado umri mdog et kazeeka wanao sema awajitambui

    • @razakilipwelele5518
      @razakilipwelele5518 7 годин тому +9

      ​@@africanQueeny-u7ohuyu jamaa wamemshindwa kabisaaaa. Mzee ni koffie olomide😅😅😅

    • @BarbaraPatience-qt9cc
      @BarbaraPatience-qt9cc 7 годин тому +4

      Ni mzee

    • @festovenas502
      @festovenas502 6 годин тому +4

      Lakin kumbuka huyo huyo mbosso kamzid watazamaj kwenye kila mtandao sjajua nini kina zingatiwa kusema ivyo 😅😅😅

    • @georgejohny6422
      @georgejohny6422 6 годин тому +1

      😂😂😂😂😂alinyooko

  • @RajabuDaffah
    @RajabuDaffah 7 годин тому +4

    KING 👑👑👑👑 atyabaki kuwa juu cku zotye

  • @RashidDiyuka
    @RashidDiyuka 5 годин тому +2

    Kingkiba

  • @FarYawaka
    @FarYawaka 9 годин тому +2

    ❤❤❤❤

  • @limunyu0012
    @limunyu0012 41 хвилина тому

    Sasa mbosso ndio boss wa wawasafi au ni diamond mwambie mbosso asijitekenye

  • @mckobatz5861
    @mckobatz5861 5 годин тому +1

    Wabongo tunaishi sana jana hawa vijana wameshachoka hizi mambo zenu na nyie ni Wana habari ni sehemu ya kurekebisha hilo kwenye jamii acheni wafanye kazi zao kulingana na feeling inavyowataka kama Ali kwenda kule au Naseeb kwenda kule itatokea with time

  • @A2Z_tv1
    @A2Z_tv1 4 години тому

    Only one King👑

  • @veryboyplatnumz3506
    @veryboyplatnumz3506 2 години тому

    Ukweli ni kwamba mfalme wenu anaona akifanya Ngoma na mond Ile kushindanishwa nae na ndio kinachofanya awe anaonekana mkubwa mpaka sasa ukitoa icho kiba yupo kama belle nine tuu

  • @kotei-s3l
    @kotei-s3l 3 години тому

    Yani King 👑 kapangua majibu yote angekua yule anaejiita simba angeeza kujisifia 😅😅😂😂😂

  • @TabuSebastian
    @TabuSebastian 4 години тому

    Sina la kusema nampenda Alikiba 😂❤❤

  • @mussamalogo5640
    @mussamalogo5640 4 години тому +1

    Wandishi wa habari mnauliza maswali ya uchonganishi sana kwa wasanii

  • @yunushafidh4557
    @yunushafidh4557 Годину тому

    Kithethe time😂😂😂

  • @Kellyskim
    @Kellyskim 2 години тому

    Goat🔥

  • @saidkiplasta8853
    @saidkiplasta8853 2 години тому

    Ila media kumamazenu kwakukuza mambo mbosso hakumaanisha uwo uzee munaosema nyinyi bali yeye maana yake nyengingine ila uyo mbosso alisema kua media munakuza mambo

  • @RehemaAkida-x5t
    @RehemaAkida-x5t Годину тому

    Mwamba sana

  • @ConsciousBNB
    @ConsciousBNB 7 годин тому +2

    Ubinafsi ni kitu kibaya sana 📌

    • @shwaibukhatibu2838
      @shwaibukhatibu2838 7 годин тому

      Acha ukuma huyo mboso ni kama katumwa kwani kings yuko kiba peke yake ?kwann amtaje kkba that is disrespect

    • @ConsciousBNB
      @ConsciousBNB 6 годин тому

      @shwaibukhatibu2838 chuki tu kuoga aaaaah!

    • @NurathChaupole
      @NurathChaupole 2 години тому

      Wenzenu wanataniana we umekazana kukaza misuli kutukana watu 😂😂😂​@@shwaibukhatibu2838

  • @Kinoo_Elisha
    @Kinoo_Elisha 2 години тому

    Huyu Mtangazaji ni mchonganishi Na ndo Maana mbosso Alisema nyinyi ndo mnachochea chuki

  • @s.a.8402
    @s.a.8402 3 години тому

    Reporter ame chemsha. Mbosso ame sema wa collaborate pamoja

  • @HassanHassan-ix7cj
    @HassanHassan-ix7cj 3 години тому

    Nimependa Hilo jibu 😂😂

  • @NemesMasawe
    @NemesMasawe 6 годин тому +1

    Amnaaa hatakae bakii kijanaa mileleee

  • @AlphaMawila
    @AlphaMawila 4 години тому +1

    Yooo sauti zahabu maneno almasi

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m 5 годин тому +2

    King kiba

  • @piusdp7328
    @piusdp7328 3 години тому

    Nan kama king ila Ali kwa mond usikanyage ukijichanganya tyuu crown 👑 media 😢 beybey

  • @JAMBOBoy-v3k
    @JAMBOBoy-v3k 7 годин тому +3

    Umezeeeka umri umeenda

  • @LutenganoCharles-d7t
    @LutenganoCharles-d7t Годину тому

    Vijana tunaitana wazeee achen uzwazwa

  • @rashidingole1588
    @rashidingole1588 5 годин тому

    Mbosso hajamtukana Alikiba, alizungumza kwa utani tu!

  • @BenadFrank
    @BenadFrank 5 годин тому

    🎉🎉

  • @IreneShadrack-p6c
    @IreneShadrack-p6c 4 години тому +1

    Kwahyo diamond ndo hawez kumfata alikiba atake kolabo wanamsukuizia king wetu ili waseme anahangaika na mastar

  • @raymondmhozya8894
    @raymondmhozya8894 5 годин тому

    Ndugu umehoji vizuriii

  • @AishaNgoyi-vi2ku
    @AishaNgoyi-vi2ku 5 годин тому

    🎉🎉🎉🎉

  • @Yuleyule-u6c
    @Yuleyule-u6c 5 годин тому

    KING UKO VIZURI ILA WW UKIAMBIWA ISHU YA KWENDA WASAFI HUWA UTAKI KUONGEA POSITIVE KABISA KWANI MONDI ALIKUFANYIA NINI KISICHOSEMEKA SI USEME TU. MR.KING

  • @lizahadongo1801
    @lizahadongo1801 4 години тому

    Ali kiba ni mzuri jameni waah

  • @MasterMindtech_305
    @MasterMindtech_305 7 годин тому

    Hapo kwenye happy holiday wenye D2 tumeelewa 🎉

  • @NurathChaupole
    @NurathChaupole 2 години тому

    Watu wakiambiwa wanazeeka wanapanik sana,sasa kwani uzee si kawaida tu mbona wazazi wetu walikuwa mabinti na sasa wamezeeka?

  • @martinemayunga2357
    @martinemayunga2357 6 годин тому +1

    Hamna msanii wa hivi duniani ambae kaanza trending 2004 hadi leo shows anapiga nyimbo zinaend hayupo ni kiba tu

    • @franklyfaustine3880
      @franklyfaustine3880 5 годин тому

      Ukwel huyu mwamba sijui aliwezaje mpka leo wenzie washapotea na waliokuja kwa kasi bado wamepotea wakiwa wachanga❤

    • @AishaNgoyi-vi2ku
      @AishaNgoyi-vi2ku 5 годин тому

      Huyu ndo mwanaume na nusu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤

  • @billgussy6099
    @billgussy6099 3 години тому

    Kupoteza pesa za umma

  • @NemesMasawe
    @NemesMasawe 6 годин тому +1

    Kilaaa mtuuu atazeekaaaa

  • @Kisendikabese-l7z
    @Kisendikabese-l7z Годину тому

    King kiba na baba yake mboso Nani mzee

  • @KristophKihakwi
    @KristophKihakwi 4 години тому +2

    Alikiba kwa nyimbo gan alio kuwa nayo mond amuofie uyo paka wenu acheni kumfananisha mond na ujinga uwo wenu

    • @BlessSabo-v2t
      @BlessSabo-v2t 3 години тому

      Kwanza nmbinafsi sana me huwa namchukia sana

  • @isayachriston3336
    @isayachriston3336 Годину тому

    Sasa mtu unakaa na kusema kazeeka hivi kuna mtu asiyezeeka dunia hii hata ww unaeongea hivovunazeeka jiangalie ulipotoka na sasa so sio jambo la kushangaa

  • @lemontheneutral768
    @lemontheneutral768 4 години тому

    Tilaah mchonganishi

  • @TumainLuhwago-xl2py
    @TumainLuhwago-xl2py 2 години тому +1

    Wanazeeka wao na bangi zao, kwan washawah kuona mtu ambae hatumii pombe wala bangi anazeeka?

  • @KhalfanSalim-v1x
    @KhalfanSalim-v1x 5 годин тому

    kazeka kwani mwambino mwenyewe kijana au niule mwili wake auwonyeshi kama nayeye ni mze aya uyo mboso anaujana gani nayeye sindo wale wale kwenye uze nayeye yupo mie nakua mbona anaimba na ao group zao sasa miaka iyo mpaka leo mboso ana miaka mingap😂😂😂😂

  • @KudraEliasa
    @KudraEliasa 6 годин тому

    Uko poa

  • @IsackNestory-b7o
    @IsackNestory-b7o 3 години тому

    Fara huyu

  • @EMMANUELGENERAL-n1r
    @EMMANUELGENERAL-n1r 4 години тому

    👑👑👑🔥🔥🔥🔥🔥👑👑👑👑🔥🔥🔥

  • @shanatatrigger6537
    @shanatatrigger6537 41 хвилина тому

    Mwamba fundi

  • @002RYE
    @002RYE 7 годин тому

    Mwanahabari mchonganishi😂😂😂

  • @ellsonmkonyi1319
    @ellsonmkonyi1319 4 години тому

    Hhaahaaa politicians are so trick