Waliompindua Assad Syria walalamikia mashambulizi ya Israel, waomba mataifa yaingilie kati

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 197

  • @zainajirani5296
    @zainajirani5296 16 годин тому +44

    Waarabu wanamalizwa kwa unafki Wao... Wanasalitiana sana.

    • @DINASSOUR
      @DINASSOUR 13 годин тому

      Nyny ndo serikali mpya .....chukueni hatua mwenzenu alishindwa

    • @raymrash
      @raymrash 13 годин тому

      ​@@DINASSOUR😂😂😂

    • @raymrash
      @raymrash 13 годин тому

      Sio Waarabu sema Waislamu

    • @DandiGadafi
      @DandiGadafi 11 годин тому

      ​@@raymrashsio kila mwarabu ni muislam.

    • @kakore_jr
      @kakore_jr 11 годин тому

      SIO WAARABU DINI NDIO INAWAFANYA WAWE WANAFIKI

  • @ibnujumanne4054
    @ibnujumanne4054 12 годин тому +12

    Dj Smaa akiezeaga uhalisia WA majambo yanavyokwenda munamuita shabiki twendeni tuone time will tel

  • @daprince7545
    @daprince7545 15 годин тому +33

    Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Congo na etc tusikubali kutiwa chuki na mataifa mengine. Vita tufanye kuviskia kwa mitandao.

    • @nassoroshakiru7094
      @nassoroshakiru7094 14 годин тому +3

      Kaaabisa kabis yan

    • @annafredinandmatandiko8438
      @annafredinandmatandiko8438 13 годин тому

      Weee nini?

    • @StanleyMatasa-f5j
      @StanleyMatasa-f5j 13 годин тому +2

      Chuki ishatengenezwa kati ya tanzania na kenya

    • @MikelSitoe
      @MikelSitoe 13 годин тому

      Huyu jamaa atajuta kafukuza paka kwao huku akisapoti panya eti kwa tamaa ya kuweka ulinzi kwa karanga yake😂😂😂😂😂😂

    • @hamzafishten9560
      @hamzafishten9560 12 годин тому

      Kabisa inshallah tuwe namapenzi ilo nifunzo tosha kwa inci zenye kujielewa

  • @salimmoha7962
    @salimmoha7962 16 годин тому +23

    Ndio maana Mungu hatoi nusra kwa warabu maana hawana umoja

    • @gilbertshirima2684
      @gilbertshirima2684 15 годин тому

      Unataka vita?

    • @AhmedAhmed-z6m7t
      @AhmedAhmed-z6m7t 13 годин тому

      Waarabu walijua kuwa HTS wakichukua Nchi Israel ataicontrol Syria na atafanya atakacho

  • @hassanivano8530
    @hassanivano8530 9 годин тому +5

    Dj SMAAA. SHIKAMOOOOOO. fact and logic. Time will tell. Wacha inyeshe tuone panapovuja.

  • @husseinc
    @husseinc 10 годин тому +3

    Uvamizi wa syria umefanywa kwa ushirikiano na jolan israel marekani uturuki ndio wausika wa kundi hilo, jolan amekataa kulaani mashambulizi ya israel nchini syria kupigana na majeshi ya israel yaliyovuka mpaka na kuingia syria, baada ya kazi nzuri anayoifanya jolan aliyopewa na mataifa hayo yaliyo mtuma hivi sasa marekani uingereza zimeanzisha mchakato wa kulitoa hts kwenye orodha zao za makundi ya kigaidi

  • @worldhappiness1181
    @worldhappiness1181 15 годин тому +12

    Walsubiria mpindue, waje wachukue kiulaini, hamjajifunza Libya tu.

  • @hasanimkamba8377
    @hasanimkamba8377 15 годин тому +13

    warabu niwajinga sana

  • @mohdhilaly7900
    @mohdhilaly7900 14 годин тому +6

    Sawa tu mwana kulitaka mwana kulipata tulieni dawa iwaingie nchi ilitulia ila chocolate chocolate zenu ndio zimeifikisha hapo

  • @burukinyebo6294
    @burukinyebo6294 15 годин тому +12

    Mwenyezi Mungu aliamua kuwashushia waarab mitume ili waijue haki,..lakini kwb7 wao wanaipenda Dunia,.wacha yawakute ,..tutaendelea kuwaombea wapalestina na Insha Allah Mwenyezi Mungu atawapa ushindi wa kuikomboa Nchi yao,..Israel wapo ktk Mpango wa kuiba ardhi ya Palestine, Lebanon, na Syria ili kuitanua Israel kua Taifa kubwa ,..lakini siku zote dhuluma haidumu

    • @raymrash
      @raymrash 12 годин тому

      Waarabu hawana mtume zaidi ya Muhammad....acha uongo

    • @HAMZADADI-y9p
      @HAMZADADI-y9p 12 годин тому

      Soma kwanza​@@raymrash

    • @Chw_Kdmn83
      @Chw_Kdmn83 12 годин тому

      ​@@raymrashkwn ismail, ayoub walikua wamarekani?

    • @TeophilBuilding
      @TeophilBuilding 11 годин тому

      ​@@raymrashKuma kwel unatombwa akili usikurupushe matako kwa vitu usivovijua

    • @YohanaMsekefu
      @YohanaMsekefu 5 годин тому

      Muhamadi mwenyewe sio mtume wa MUNGUmitumeunao wazungumzia ni wepi?

  • @uwimana6533
    @uwimana6533 15 годин тому +7

    Yale nilitabiri hawatu wameingizwa mkenge 😂😂😂 na marekani

  • @wadantz123
    @wadantz123 4 години тому +1

    😂😂😂nyie c vidume pambaneni sasa na wanaume wenzenu 😂😂

  • @muzafarsharif9465
    @muzafarsharif9465 16 годин тому +5

    Ilikuwa ni game israil na american wamtoe assad baadae wavamie syria kwa urahisi😢

  • @Badvoice707
    @Badvoice707 15 годин тому +5

    Awa jamaa wanafki si ndo wenyewe walisaidiwa na israel waarabu awajielewi wacha wauawe

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 7 годин тому +1

    Mliwadhalilisha watetezi wenu Urusiii😢 yaoneni

  • @badruhote4607
    @badruhote4607 16 годин тому +7

    Hawa watakua na hali mbaya zaidi ya ribia niko pale

  • @Ibunmaulanashirazy-sn5ui
    @Ibunmaulanashirazy-sn5ui 13 годин тому +2

    Yani marekani awasaidieni Bure tu mtajuta sasa mlidhani mtaachwa

  • @Adje244
    @Adje244 16 годин тому +11

    Why Israel wanataka kupigana na kila mtu🙄 this is too much

    • @charlesboniphace2249
      @charlesboniphace2249 15 годин тому +3

      Ramani ya Israel inabidi ikamilike kama ilivo kwenye torati

    • @msafirimaulidi5054
      @msafirimaulidi5054 15 годин тому +4

      Kwaiy we unaamin tolat ni kweli😂 mzee ayo yaliandikw kimkakati acheni ufala , wazungu ni wajanj lsn na wamefanikiw kututawala Yani Kuna kiumbe anaamin et islael ni taifa teule😂

    • @emmadora7848
      @emmadora7848 15 годин тому

      Wewe kitabu chako kilichoandikwa kiarabu ni Cha kweli?​@@msafirimaulidi5054

    • @johnjplusfood2135
      @johnjplusfood2135 15 годин тому

      Taifa teule ni lipi...​@@msafirimaulidi5054

    • @barakashaban1082
      @barakashaban1082 14 годин тому

      ​@@charlesboniphace2249ujinga unakusumbua makafiri Kwa kutetea uovu ndio zenu Kwa kuwa wanaofanya uovu huo ndio ma bwana zenu

  • @yassinhamza1969
    @yassinhamza1969 6 годин тому +1

    Wendawazimu hao

  • @kibokutiwanatanyika1540
    @kibokutiwanatanyika1540 13 годин тому +5

    Makafiri siku zote huwa hawaaminiki kwa sisi waislamu..

    • @jumakassim8718
      @jumakassim8718 12 годин тому +1

      Swadakta tena wanafiki wakubwa

    • @abuusufian6506
      @abuusufian6506 11 годин тому +1

      Hakuna kafiri yoyote atakupenda kwa dhati

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 8 годин тому +1

      Na bado mnawasikiliza na kuwafuata 😂! Mkiuana mnakimbilia kwao, wakiwagombanisha mnakubali, wanawazidi akili lol 😂

  • @MIGEZO4542
    @MIGEZO4542 5 годин тому +1

    😂😂😂😂😂😂 kinawaramba

  • @Bobobobo-jr9zr
    @Bobobobo-jr9zr 16 годин тому +5

    na bado watalia sana

  • @AFRICA_D669
    @AFRICA_D669 9 годин тому

    We jamaa unajua kutangaza acha kabisa 😂😂😂hapo mwishoni umetisha sana kaka 👊👊

  • @RamadanPaul
    @RamadanPaul 12 годин тому +1

    Haya maneno alisema DJ SMA kabla, leo imethibitishwa.
    Huyu jamaa Al joran atakuja kuwa most wanted uzalendo ukimshinda.

  • @mustamimmushajara8992
    @mustamimmushajara8992 14 годин тому +2

    Tulien mlipie si mliona raha wkt mnasaidiwa na Israeli 😂😂😂

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m 9 годин тому +1

    Ngoja tusubiri muendelezo

  • @Faraja-j2z
    @Faraja-j2z 13 годин тому +1

    Hesbola wako wapi?

  • @MudyBoss
    @MudyBoss 15 годин тому +3

    Mishenii imekalika bado nyie wahasi kuuwawa mbwa nyie mshatumika tayali

  • @AFRICA_D669
    @AFRICA_D669 9 годин тому +1

    Syria ilikua ni GIZA sasa syria imekua GIZA TOTORO 😭

  • @lailafakhihaji
    @lailafakhihaji 12 годин тому +1

    HII NDIO FAIDA YA UNAAFIQ

  • @mtulivu-ir1nq
    @mtulivu-ir1nq 15 годин тому +3

    😂😂😂 wamewakaribisha wakakubali msaada wao saivi wamegeukwa wanaanza kutapa tapa na hapo bado walimuona mrusi ni mjinga kukaa hapo mrusi hana tamaa kama nchi nyengine nchi yake Ina Kila kitu ila hao Israel na marekani kwao wanatapa ni wezi na magaidi tu🙌🙌

    • @uwimana6533
      @uwimana6533 15 годин тому

      Ndomarekani ukikosa kujitambua anakutupa kwenye shimo 😂😂😂

    • @hajiramadhanihaji355
      @hajiramadhanihaji355 15 годин тому

      Waarabu Ni watu wapumbavu tu ,Wacha wafenywe kitu mbaya.

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 14 годин тому

      Acheni kelele nyie,
      Syria itakua shwari na tulivu
      Urus na Iran ni watesaji wakubwa, wananchi wa Syria wako wanasherehekea

    • @YohanaMasebo
      @YohanaMasebo 13 годин тому

      Akili yako ndogo sana​@@zebedayokatamaduni9676

  • @TheReporter-A47
    @TheReporter-A47 14 годин тому +1

    😂😂😂😂 hukujifunza Libya

  • @PiliMahyoro-l1v
    @PiliMahyoro-l1v 11 годин тому

    Mataifa gani, washenzi. Afazali ya Libya, wao wangoje tu wataisoma namba

  • @emmanuelShayo-dk6vf
    @emmanuelShayo-dk6vf 15 годин тому +1

    Israel bhana 👐👐🤝🤝🇮🇱🇮🇱 sasa anataka nn tena hapo Syria..yani kazi ya Netanyau sasa hivi nikupigana tu kweli muyahudi.nilivyo kuwa Mdogo nilisikia Israel mtoa roho sikuelewa maana yake sasa ndo naelewa

  • @ayshasaid1547
    @ayshasaid1547 14 годин тому +1

    Bado watajua awajui

  • @ramadhanhassan5285
    @ramadhanhassan5285 12 годин тому +1

    Si hayana akili ndiomana yanafanywa kama mataira alafu yenyewe yanakubali tuu kutumiwa hayo ndio matokeo yake sasa ila maarabu sijui yalirongwa na nani kwanza manafiki maoga na nimasaliti 😂😂😂

  • @lusajomwaipopo5042
    @lusajomwaipopo5042 8 годин тому

    Kumbuken raman alioonyesha netanyah kule ktk mkutano UN

  • @HudheifaAthman
    @HudheifaAthman 13 годин тому +1

    Alijifanya ana akili nyingi

  • @hemedmwipopo780
    @hemedmwipopo780 13 годин тому

    Subira na hofu ya Mungu lazima itamalaki Katika mioyo yetu.

  • @JomoKilawe
    @JomoKilawe 7 годин тому

    Si Mlijua Yameisha Tulien Dawa Iwaingie..😂😂

  • @salumabdallah2990
    @salumabdallah2990 15 годин тому +1

    Baaado hawajasemaaa😂

  • @frankbutati8343
    @frankbutati8343 5 годин тому

    Israel hana shida na Syria, anchofanya nikusafisha vitisho vyote dhidi yake, kuna wairan wengi wana bez zao Syria kwaiyo lazima awamalize

  • @rommyshabby3959
    @rommyshabby3959 13 годин тому +1

    Zuga toto ili ionekane walikosa support end of the day day Israel anachukua nchi ajenda inakuwa imeisha

  • @adiaygo8546
    @adiaygo8546 15 годин тому +1

    Wacha awaue wanafiki😅

  • @JamalKanani
    @JamalKanani 11 годин тому

    Amjui hao ni wadhulumaji wa damu za watu na ardhi alafu Wasema wateulee nyoko zao wezi hao

  • @hamzafishten9560
    @hamzafishten9560 12 годин тому

    Na bado marekani yana nafika

  • @binseify4615
    @binseify4615 8 годин тому

    Huyo ni mgonjwa hao umoja wa mataifa ni mabwana zao Izrail hawawezi kumfanya chochote

  • @binseify4615
    @binseify4615 8 годин тому

    Jumuia za kimataifa ni Marekani wakati Izrail ni mtoto wake

  • @JafariNyallu
    @JafariNyallu 7 годин тому

    eeee apambane Sasa na israel, si kautaka mwenyewe

  • @inocentlema5574
    @inocentlema5574 10 годин тому

    Washajichanganya tayari. Assad alivyotimka tu walitakiwa wawahi hazina na kwenye bohari za silaha

  • @philiplugalia3724
    @philiplugalia3724 8 годин тому

    Shida ya waarabu hawajui yakwamba wayahudi sio waaminifu

  • @johngerald4677
    @johngerald4677 7 годин тому

    Tageti anatafutwa irani kutokea siria ni rahic kumpiga

  • @rehemajonathan7213
    @rehemajonathan7213 14 годин тому +1

    😅😅😅😅 acha kiwarambe walishindwa kujiongeza kwamba wanatumika wakashindwa kujiongeza wamesahau ya gaddafi eee

  • @saidharbinie-dl4dd
    @saidharbinie-dl4dd 6 годин тому

    Uhuru wa kutoa maoni hakuna kwanini? Dini inawafanya waafrika kuwa wapuuzi sna... ushabiki wa hovyo tu mpka mnamwabudu Israel mtoa roho😢

  • @OnesmoEphrata
    @OnesmoEphrata 14 годин тому

    Hiyo ime enda

  • @peterchula1990
    @peterchula1990 12 годин тому

    Hapo marekani ataingia na kusema anaenda kulinda amani Syria wakija kushituka teyari wameshapigwa na kitu kizito Urusi ameshawasanua ila watapuuza 😂😂😂

  • @abdulrazack9577
    @abdulrazack9577 15 годин тому

    Hapo bado

  • @kdloon2030
    @kdloon2030 12 годин тому

    Waliyataka wenyewe,huyo kwa sasa ni Al Juha wala sio Al julan tena.Amejiona shujaa kwa kusaidiwa na magharibi,kumpindua ndugu yake,na kuwa karibisha Israel na USA.Yako wapi sasa?

  • @JacobMakwilo-u6e
    @JacobMakwilo-u6e 15 годин тому

    Wayahudi wanaitaka Syria

  • @Faraja-j2z
    @Faraja-j2z 13 годин тому

    Ben Netanyah

  • @OmarHamza-j5v
    @OmarHamza-j5v 4 години тому

    HAWA WAONGO LAO MOJA WANA BABAISHA WATU WWATOE WATU KWENYE MSTARI. LAO MOJA NA MAREKANI

  • @stephanosospeter1709
    @stephanosospeter1709 13 годин тому

    Israel ataki kupigana na kila nchi, tatizo ramani yao aijatimia kama walivyo aidiwa na Mungu, ndio maana wanapigania maeneo yao

  • @yusafbayu7016
    @yusafbayu7016 16 годин тому +2

    Hahahaha wa pumbafu wame danganywa Sasa wana Anza kulia acha Sasa waanze ku Lia tume wambia Israeli Ata kuja

    • @Awatee
      @Awatee 16 годин тому

      Ajabu Muislam kumpiga vita mwislam mwenziwe waliona wamepata kumbe kupatwa Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi ao watu walio kua hawajiwezi Ikiwa wamepindua serekali iweje washindwe kupigana na mazayuni

  • @ADAMALI-t7i
    @ADAMALI-t7i 14 годин тому +1

    Warabu wamebarikiwa mali nyingi ktk nchi zao kinacho waponz ni ubinafs na ukabila

  • @RamadhaniMohamedi-de2vc
    @RamadhaniMohamedi-de2vc 14 годин тому

    Bado hapo watakoma sana

  • @hemedmwipopo780
    @hemedmwipopo780 13 годин тому

    Kwa hiki kinacho endelea mashariki ya kati tutegemee matukio makubwa ya kidunia yatatokea hivi karibuni ambayo Kila atakayo yashuhudia yatamtia hofu Katika moyo wake.

  • @ramamabinda5063
    @ramamabinda5063 13 годин тому

    Pumbav sana hawa kuku

  • @bigmwinyi9357
    @bigmwinyi9357 16 годин тому +1

    Visca ASSAD VISCA PUTIN VISCA KHOMENEI VISCA KIDUKU😊😊

  • @binseify4615
    @binseify4615 8 годин тому

    Muache nae akatwe kichwa basi

  • @CharafimalisalimoAli-qw3hk
    @CharafimalisalimoAli-qw3hk 6 годин тому

    NILISEMA SURIA SASA NI KAMA UCREIN LIBIYA IRAQI NA KADHAAKIKA. SASA PUMBAVUZAO WATAONA UMUHIM WA URUSI DUNIAHII WASHENZI FAIDA YA TAMAA NA UNAFIQI. BADO HAWAJASEMA NA WATASEMA.

  • @aminaali792
    @aminaali792 13 годин тому

    Wameshatumika now wakae kwa kutulia wachezee kichapo cha mshenzi wa Dunia🙄😡😡😡

  • @abdullmo8736
    @abdullmo8736 12 годин тому

    Wajua km wamgaribi wabaya

  • @peterchula1990
    @peterchula1990 12 годин тому

    Si walimuina hafai wacha dawa iwaingie

  • @samwelmwangi9185
    @samwelmwangi9185 15 годин тому

    Syria itakula matunda ya kumpindua Assad. Walishindwa kufanya mazungumzo ya kumtoa kwa amani Assad, sasa acha nchi yao isambaratishwe.

  • @IshipalemyPasko
    @IshipalemyPasko 14 годин тому

    acheni kulalamika nyie si mnanguvu pambaneni nae sasa huyo israel

  • @Brunoh90Tv
    @Brunoh90Tv 15 годин тому

    Kumeanza kuchangamka😂😂

  • @jeremiahcharles6027
    @jeremiahcharles6027 15 годин тому

    😂😂😂😂 na nyie yamewakuta kumbe,,,,

  • @ahmadmasunda9892
    @ahmadmasunda9892 12 годин тому

    ACHENI MALALAMIKO UKIUA KWA UPANGA NA WEWE UTAKUFA KWA UPANGA

  • @MzeeKigogo_
    @MzeeKigogo_ 16 годин тому +1

    Israeli ni kutoa kipigo tu

  • @reubenkissinga5802
    @reubenkissinga5802 16 годин тому

    Wawapindue Na Israel Sasa

  • @salimalmughairi1634
    @salimalmughairi1634 14 годин тому

    apambane mwenyewe

  • @miaduana
    @miaduana 10 годин тому

    Vita ni vita mbura 😂

  • @ernestkunja3472
    @ernestkunja3472 5 годин тому

    Acheni kulia pambaneni ninyi mumeshajiunga na mashoga sasa mmekwisha nani atamchukulia hatua Muisraeli

  • @OnesmoEphrata
    @OnesmoEphrata 14 годин тому

    Karata joker hiyo hapo wakileta chokochoko wanapiwa Syria yooote mikononi mwa IDF

  • @bogoheidaso2628
    @bogoheidaso2628 12 годин тому

    Ngoja hao wanamgambo wakome kabisa

  • @SokratesStallin
    @SokratesStallin 8 годин тому

    ?? JE VIKWAZO WALIVO WEKEWA VITAONDOLEWA? VIKWAZO ALIWEKEWA BASHAR SSA HAYUPO?

  • @NicholausVedasto
    @NicholausVedasto 9 годин тому

    Mlipopindua Assad mlidhani wanawapendeni,tulieni ivoivo data iwaingie,na bado mpaka mkome UN ya nn Tena? Nyie si vidume😅😅😅

  • @IshipalemyPasko
    @IshipalemyPasko 14 годин тому +1

    mtarudi tu kwa urusi ili awasaudie tifauti na hapo mmeisha mamae zenu waarabu wajinga nyinyi

  • @swahilibrotherhood
    @swahilibrotherhood 14 годин тому

    Warabu 😆

  • @kilimanjarotv255
    @kilimanjarotv255 16 годин тому

    habari za marekani kuvamiwa na drone hawajui ni nani muusika tulete habari hii kaka

  • @ayshasaid1547
    @ayshasaid1547 14 годин тому

    Tamaa yamponza

  • @JacksondaudiJacksondaudiJackso
    @JacksondaudiJacksondaudiJackso 7 годин тому

    ISAYA 17 :1-14 unabii huu lazima utimie yaani apo ndo tunaanza🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇹🇿

  • @bigmwinyi9357
    @bigmwinyi9357 16 годин тому

    Visca ASSAD VISCA PUTIN VISCA KHOMENEI😊

  • @ShafiiHabibu
    @ShafiiHabibu 14 годин тому +1

    Wajinga hawa wasipewa hata msaada wowote ili wakome ili nawengine wajifunze wakomae na uwanagambo wao

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 14 годин тому

      Israel Uturuki Jordan Amerika nk wako pamoja
      Syria imepata ukombozi

    • @barakashaban1082
      @barakashaban1082 14 годин тому

      ​@@zebedayokatamaduni9676ukombozi gani ilio pata Syria hao marekani wanacho Fanya hpo ni kuiba rasili Mali za wasyria na Israel kuiba ardhi hakuna Jambo lingine hp

  • @Africana255
    @Africana255 16 годин тому

    Hawa. Si walisema baada ya kumpiga Assad wanahamia kuikomboa Israel ...Au walikua wanatania.??

  • @nassoroshakiru7094
    @nassoroshakiru7094 14 годин тому

    😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 Sasa wanaanza kulalamika na sasahivi ndio wanazinduka,! Wakati wao wapo wanapambana kusema wanatafuta uhuru kumbe ndo wakato ambao Israel anaplani jambo lake

  • @zumemooha6504
    @zumemooha6504 13 годин тому

    HUYU JULANI SHOGA HUYU

  • @nkeshimanayuda1115
    @nkeshimanayuda1115 13 годин тому

    Bado hamjasema. Kilichowatuma mumpindue rais wenu ni nini

  • @kmotivation1130
    @kmotivation1130 16 годин тому

    Huyu wata mkill mda sio mrefu

    • @uwimana6533
      @uwimana6533 15 годин тому

      Kabisa 😂 marekani hana urafiki na mwarabu wala mweusi 😂

  • @JayndevuNgare
    @JayndevuNgare 16 годин тому

    😂😂😂