Rayvanny feat Mwamposa - Ni Mungu (Official Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 311

  • @lovarbicard4378
    @lovarbicard4378 37 хвилин тому +3

    Miye ndoyule ni lovar bicard liké zenu ziko wapi🎉🎉🎉❤

  • @RensonKahindi-n9h
    @RensonKahindi-n9h Годину тому +3

    Naamini level zetu zitapanda kwa IMANI na nguvu za MUNGU pekee. Asante kaka Rayvanny zidi kubarikiwa. AMINA!.

  • @IsharaJeremie-IJ
    @IsharaJeremie-IJ 7 годин тому +59

    Kama mungu alisha wayi kutendeya maajabu liké mungu ni mungu
    Aleluyah ..
    MUNGU abariki uyu ambaye anasoma uyu ujumbe
    Na ambaye anayo sikiliza wimbo huu❤❤🙏🙏🙏🙏🙏

  • @frederickferooz
    @frederickferooz Годину тому +10

    Naitwa rayvanny wa Congo 🇨🇩🇨🇩 nahitaji hata like inne tu

  • @SmartVicenzo
    @SmartVicenzo 3 години тому +5

    Shabiki kindaki ndaki toka Ngoma ya kwetu till now

  • @AmaseAdoka
    @AmaseAdoka 7 годин тому +31

    Heri mwisho wa jambo kuliko mwanzo wake kama unaamini mungu habagui piga likes ❤❤❤❤❤ much love to Ray from 254 tupe like ❤❤❤❤

  • @IssaMkali-k6y
    @IssaMkali-k6y Годину тому +5

    Umetisha sana v van boy🎉congratulations 🎊 🎉🎉🎉mungu ni mkubwa sana kama unaamin mungu anakusaidia mpaka sasa gonga like apa twende sawa 🙏

  • @emmanuelnaiyiomaofficial939
    @emmanuelnaiyiomaofficial939 Годину тому +4

    wakenya mpoooooo🇰🇪

  • @MozeNation
    @MozeNation 3 години тому +10

    LEO NIMECHELEWA KUWA WA 1 ILA NIPENI ❤

  • @joshuaKazungu-mj2co
    @joshuaKazungu-mj2co 43 хвилини тому +2

    Hili goma umeuwa vanny boy

  • @bobbybrayanskiprotich.5575
    @bobbybrayanskiprotich.5575 3 години тому +4

    Hatujasahau mwijaku alisema Willy Pozee hatafika 2025 alaaniwe..Meanwhile Rayvanny our Boy

  • @RosikamTech
    @RosikamTech 7 годин тому +26

    Kama una mukubali the Big vanny usipite bila kuacha like apa

  • @badboyjephanie-uh3mz
    @badboyjephanie-uh3mz 7 годин тому +65

    Tunao mkubali vannyboy tujuane kwaku like hii comment

  • @frankomondinyambuoro377
    @frankomondinyambuoro377 7 годин тому +17

    Bonge La Wimbo....Naupenda Sana ❤❤ Thanks For The Song Vanny🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @AndrewFundi
    @AndrewFundi 7 годин тому +18

    Oyo tunae amini mungu nimuweza yote tukutane apa kwakulaki 🎉🎉

  • @amboshsantoz6392
    @amboshsantoz6392 6 годин тому +12

    Wakenya oyee ebu tuonyeshe bendera ya taifa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 kenya rayvanny kijana wetu huyu watanzani wote tuwe na umoja karibuni kenya🎉🎉🎉

  • @Aricbelingham
    @Aricbelingham 2 години тому +6

    Wakenya tunakubali Rayvany

  • @draxelr-vc9wr
    @draxelr-vc9wr 6 годин тому +8

    Daaaah maisha ni safari usikate tamaa unaesoma hii coment🙏🙏

  • @Maty-q7k
    @Maty-q7k 6 годин тому +12

    Kweli ni mungu atufikishe mwaka mpy Salam wote na abadilishe maisha yetu isiwe kama ya 2024❤❤

  • @mugocomedy
    @mugocomedy 7 годин тому +15

    KIDOGO NIWE WA KWANZA ILA VANY UNA WATU SANA KAKA 😮

  • @atJoto
    @atJoto 6 годин тому +12

    Wakenyaa najuaa tuko hukuuu🎉🎉Wapii likes RayVanny

  • @PCBOYchibuOfficial
    @PCBOYchibuOfficial Годину тому +3

    Chui🙏

  • @IsayaWambura-q1z
    @IsayaWambura-q1z 2 години тому +2

    Amen ujumbe tosha kutok kwa vannyboy🔥🔥🔥🔥

  • @alterboyafrica
    @alterboyafrica 3 години тому +5

    Album nzima ya rayvanny ni hits tupu, huyu jamaa ni mkali, team vanny boy mpo💪

  • @chidi_don
    @chidi_don 2 години тому +2

    Kali sana hi video chui huna baya bro 🔥✊🏾💯🚀🚀🚀🚀

  • @innocentkaduma5821
    @innocentkaduma5821 7 годин тому +12

    Inapendeza sana kuona vijana wanamtegemea Mungu

  • @TheEntertainmentShow225
    @TheEntertainmentShow225 4 години тому +2

    BLESS BY HIS NAME🙏

  • @FreddyJackson-d3m
    @FreddyJackson-d3m Годину тому +2

    Kama unamkubali rayvanyn. Mwamposa gonga like hapa

  • @Bronzei_Flavour
    @Bronzei_Flavour 6 годин тому +25

    Wanakenya SImnipe likes za vannyboy 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @Rozleen-i9c
      @Rozleen-i9c 2 години тому

      Tuko hapa 🇰🇪😂

  • @officialbazari254
    @officialbazari254 3 години тому +4

    Wapi likes kutoka 253🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪ASANTE MUNGU FOR THIS FAR😭😭

  • @INNOSENSIALIWEWA
    @INNOSENSIALIWEWA 6 годин тому +7

    Ilikuwa siku ya baraka sana mkesha kwa mwamposa nilipomuona rayvanny live 🙏🙏 Mungu akubariki na wewe unayesoma ujumbe huu 🙏🙏

  • @EricSonlay-fz1mh
    @EricSonlay-fz1mh 4 години тому +2

    Nimngu akuna mwingine brother ❤❤❤❤ nakupenda sna mngu akusaidie kwayote

  • @verosir1416
    @verosir1416 5 годин тому +2

    Nawambiaga kila siku Kaka Rayvanny ni Bora kuliko mnapinga bisheni na hapa chui1

  • @GodeeMusicOG
    @GodeeMusicOG Годину тому +2

    Kama unamkubali home boy salut❤❤

  • @VdjGBOY
    @VdjGBOY Годину тому +2

    Kutoka Burundi unanikumbusha Mungu aliponitoa
    Walisema eti mi ni muvuta bangi,muizi na maneno mengi lakini hivi Mungu alinibariki

  • @efelimwambije708
    @efelimwambije708 7 годин тому +6

    Mungu mwema sana bigapu sana sana tu mungu hamtupi mja wake aminaaaaa

  • @IddyJorginho
    @IddyJorginho 7 годин тому +5

    From BURUNDI, BUYENZI❤❤❤❤

  • @thomasichidoo4767
    @thomasichidoo4767 7 годин тому +11

    Wanaomkubali mwamposa gonga like hapa

  • @CoachesNduda
    @CoachesNduda 5 годин тому +2

    Anajua huyu jamaa

  • @RobertLuisofficial
    @RobertLuisofficial 7 годин тому +5

    Vanny boy kipenzi cha Mungu 🙌🙌🙌🙌naku kubali toka Goma 🇨🇩

  • @davidmwamelo6525
    @davidmwamelo6525 2 години тому +4

    Kaka hii nyimbo Ina nibariki sana 🙏🙏🙏 hii nyimbo itaishi Kwa watu wote

  • @254nicelovecomedy3
    @254nicelovecomedy3 5 годин тому +1

    🎉❤iko support from Kenya 🇰🇪

  • @JustinBonaneharerimana-zg1td
    @JustinBonaneharerimana-zg1td Годину тому

    Asante kwa wimbo ambao unatugusa moyoni tunakufwata tano ju ya tano toka Congo 🇨🇩🇨🇩 Goma !tumwamini mungu yote anaweza

  • @AsiaRamadhan-dr2uu
    @AsiaRamadhan-dr2uu Годину тому +2

    Kama unamufatiliya mutumishi wa mungu mwaposa ngoga like hapo

  • @RoseAmlima-t9g
    @RoseAmlima-t9g 5 годин тому +1

    Amen ninebarikiwa sana na hii nyimbo..

  • @a.p.monlinetv3561
    @a.p.monlinetv3561 2 хвилини тому

    Pongezi kwakwo kaka nyimbo inaujumbe mzuri kweli 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉💯

  • @robertservas1953
    @robertservas1953 Годину тому

    The only pure talent Alive... Vee. VANNY BOY HATA KASWIDA TWENDE

  • @hakizimanamoosa1157
    @hakizimanamoosa1157 6 годин тому +1

    Huu wimbo mzuri sana

  • @bashiruhamisi3929
    @bashiruhamisi3929 6 годин тому +3

    Naona saiv wasani wamejirudi chui 🎉🎉🎉🎉🎉🙌🙌 mungu atufungulie milango ya riziki na afihya jema 🙏🙏🙏

  • @damaclineelazia7780
    @damaclineelazia7780 5 годин тому +1

    Enywe Mungu n Mkuu much love vanny boy

  • @watulizepower
    @watulizepower 7 годин тому +5

    From Drc 🇨🇩 naomba support yako

  • @EbbaKayandabila
    @EbbaKayandabila 4 години тому +1

    Hili goma linaishi kwakila binadam aliejaliwa uzima na akili timamu maan kilabinadam ananafasi yake katika maisha haya pia kunakitu lazima MUNGU awe alikutendea na ukajisemea hakika uyu ni MUNGU 🙏🏻

  • @dabosla254
    @dabosla254 4 години тому +1

    Wakenya Mko Wapi. Frag🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪,,,,Chuiii

  • @mcbrayungvj905
    @mcbrayungvj905 5 годин тому +1

    Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪

  • @MWAMPAMBA
    @MWAMPAMBA 6 годин тому +3

    Kijana rayvanny achana na Mziki Wa kidunia hukuna kesho nzuri Kwa Mwenye dhambi hata utamukiwe baraka na Nabii Bado hisaidii chochote lazima jehanam itakutafuna tuuu

  • @josephmkindi8254
    @josephmkindi8254 7 годин тому +19

    Kama na ww ulianza kwa kushtuka ulipoona kichwa cha habari na icon ya wimbo kama mm weka like apa,,, maana baada ya kuona reyvanny na mwamposa nimeshituka😂😂😂😂

  • @skiddoclassictz439
    @skiddoclassictz439 7 годин тому +3

    Mungu ni wetu sote brother chui nakuaminia kazi juya kazi ❤❤

  • @AlexJumanne-ls5gm
    @AlexJumanne-ls5gm 5 годин тому +1

    Me ndo yule walio sema sitofika popote ila Mungu akinifikisha walipokua wanasemaje stofika ❤❤

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 6 годин тому +1

    This boy is blessed! Wakenya hapa hamuoni ndani mpende msipende! Jueni kuandika nyimbo za KISWAHILI 😂😂! HATA KIKIKUYU BASI! Sikilizeni sauti hiyo! Well done van Boy!May God God keep blessing ya ma man!🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @jacksonmulinga325
    @jacksonmulinga325 7 годин тому +4

    Rayvanny you’re the biggest STAR this provider from USA we waiting you in Kentucky 😂😂😂

  • @Princedavida
    @Princedavida 2 години тому

    ❤❤❤❤

  • @mbonigabasamueli1860
    @mbonigabasamueli1860 5 годин тому +1

    Mche mola❤

  • @DKMUINDE
    @DKMUINDE 4 години тому +1

    Am from kenya and we all say this song is a hit ‼️‼️
    Blessings 🙏🏽🙏🏽🙏🏽

  • @ashamahadi5281
    @ashamahadi5281 4 години тому +1

    Hongera sana mwanangu mwimbo umeutendea haki🎉🎉🎉🎉❤❤❤Mungu kwanza kwa kila jambo

  • @alexelieza8802
    @alexelieza8802 2 години тому +3

    Kanyimbo kanachoma Sana moyo, rayvan ni mkali aisee

  • @URCristiano254
    @URCristiano254 6 годин тому +2

    Great Rayvanny keep it up without God everything is nothing 🇰🇪

  • @One_5_l
    @One_5_l 6 годин тому +2

    Asanteh vany kwa kumkumbuka mungu na kuwakumbusha wengine mungu akubariki na kazi zako

  • @giftysweetbert8755
    @giftysweetbert8755 3 години тому +1

    Asante Mungu kwa Kumuumba Huyu mwamba, N sababu kubwa kwetu kutuletea Mziki Mzuri🎉

  • @diclopar4687
    @diclopar4687 5 годин тому +1

    🎉🎉🎉niwimbo mkali

  • @AllyBilali_offical
    @AllyBilali_offical 6 годин тому +2

    From buja afro bet🇧🇮🇧🇮🇧🇮 apex maua 🥀 anagonga sana

  • @MBEYA24MEDIA
    @MBEYA24MEDIA 6 годин тому +2

    YESU KRISTO MWANA WA MUNGU
    NDIYE AGANO LA MUNGU WA MUSA NDIYE MZALIWA WA KWANZA WA VIUMBE VYOTEEEE ATUKOMBOAYE NA DHAMBI YA ADAMU NA KAINI NA ZOTE DHAMBI ZIMEANGIKWA MSALABANI🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @sadydaprince001
    @sadydaprince001 6 годин тому +1

    Mungu ndo Kila kitu kwetu sisi

  • @MunezeroParfait-hx4ch
    @MunezeroParfait-hx4ch 3 хвилини тому

    Balikiwa sana rayvan watu wanasema kila siku 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @owuorherine5248
    @owuorherine5248 6 годин тому +1

    From Kenya.Wewe ni wa Mungu..Keep soaring.

  • @maximillianochampeke9380
    @maximillianochampeke9380 4 години тому +4

    Kama unaamini Rayvanny ni msanii anayejua Sanaa ya muziki vyema basi gonga like hapa ❤💯🔥

  • @Kahogoasili2024
    @Kahogoasili2024 7 годин тому +12

    Wa kwanza naombeni like zang

  • @JamesOjodo
    @JamesOjodo 7 годин тому +5

    Ni God manze🎉😊

  • @kis-way7332
    @kis-way7332 5 годин тому +1

    Eba bwana vany Boy
    Unanisemea vitu vyangu kabisa,
    Nina ndoto yakuonana nawe
    Ni mungu tu vitawezekana
    Love from Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @AndreKasadiofficiel7792
    @AndreKasadiofficiel7792 2 години тому +2

    🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 WE ❤️❤️❤️ you Vanny Ukiona emoji zangu uta elewa nini na maanisha ❤

  • @WabasheleBushiriabedi
    @WabasheleBushiriabedi 7 годин тому +3

    Toujour wabashele ❤

  • @jizzosamuel8050
    @jizzosamuel8050 7 годин тому +3

    Mungu Ananipenda sana
    Nimekuwa wakwanza Kutoka Burundi🎉🎉Munipe Like 🙏🏿 org 🎉

  • @samsonkandula970
    @samsonkandula970 6 годин тому +1

    Kama ni Mungu kweli na iwe hivyo otherwise itakuwa kufuru kubwa

  • @Tilakidd
    @Tilakidd 6 годин тому +1

    African bobmarlye blessed mucian God bless 🙏

  • @arabgandaempire
    @arabgandaempire 2 години тому +1

    *Let us all express ourselves through the power of Love peace and Music.*

  • @hamisimoke1764
    @hamisimoke1764 7 годин тому +1

    Thanks Vanny lastly I got song of the year 2024 ❤very beautiful 😍

  • @Malvaboy.
    @Malvaboy. Годину тому

    Nipeni like 5 jmn 😢 rayvanny wewe ni 🔥🔥🔥

  • @jacksonrutore
    @jacksonrutore 7 годин тому +1

    Ni Mungu . Kabisa.

  • @verosir1416
    @verosir1416 5 годин тому +1

    Rayvanny uliaga kula maisha❤🎉kaka

  • @Drsumu
    @Drsumu 4 години тому +1

    Willy Paul ni wetu but hamuezi chui hata kidogo!!🇹🇿

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c 6 годин тому +1

    RAYVANY HAACHAGI UPEPO

  • @nataliethequeen09
    @nataliethequeen09 45 хвилин тому

    Keep making God proud✨. You're highly favored🙏❤️

  • @SimpliceNibigira
    @SimpliceNibigira 5 годин тому +1

    Thank my best singer to remember that all you have are from God.

  • @africanmusic7368
    @africanmusic7368 5 годин тому +9

    Jah bless 🙏🙏Nipeni likes ya 254🇰🇪🇰🇪❤️

  • @mcnyoka
    @mcnyoka 7 годин тому +2

    Walioshituka wakijua Mwamposa ameshilikishwa tujuane

  • @JosueHjl
    @JosueHjl 7 годин тому +1

    Yes ni Mungu avec Mungu toute est possible

  • @faithangel_h1v
    @faithangel_h1v 7 годин тому +2

    God bless you ❤❤❤🇰🇪

  • @blessingsonesiyo1929
    @blessingsonesiyo1929 7 годин тому +3

    Ubalikiwe sana kaka

  • @DansonKipampi-q1t
    @DansonKipampi-q1t 3 години тому

    THANK YOU GOD FOR THE GIFT OF LIFE, #BABABLESSINGS,🤲🙏

  • @Junior_pro_100
    @Junior_pro_100 7 годин тому +2

    May God bless u Vanny Boy
    at least you Don't Care what other people Say about you
    That's why I love you

  • @JuniorDavid-t6r
    @JuniorDavid-t6r 7 годин тому +1

    Wow...love from zambia