Viongozi wa chadema msipokuwa makini shauri yenu kwa namna navyoona mambo yanavyokwenda kuna mdudu anapandikizwa ili mvurugane,mgombane wenyewe kwa wenyewe mwisho chama kivurugike wengine wapate ushindi kiulaini naomba mstukie hii issue inayoendelea ya kuwagombanisha mbowe na lissu.
Mr Mwambukusi uko sawa sana pia una uzalendo wa hali ya juu sana pia inaelekea ni mkweli, mwaminifu nakuelewa sana kwa maoni yangu Mr Lissu ndie anaefaa kwa sasa kuwa Rais wa TZ na wewe Mwambukusi ndie unaefaa kuwa Waziri Mkuu wa TZ kwa sasa na sio vinginevyo hapo ndipo Taifa la TZ lingefanya mambo ya ajabu na lingekuwa la kupigiwa mfano mzuri duniani.
Ila Mbowe nikiongozi haswa ana hekima anaupep na abahitambua ila huyu nidhamu Hana mropokaji na hata wanao mpinga wanah it tambua ila wajinga wajinga wengine wenye ellmu tu ya darasani haijalishi ni msomi wa elimu zote au mwanasheria utakuwa ovyo kama Mungu hajakujalia kujitambua na kuwa na maono
Hongeleni viongozi wa chadema tunawapenda wote mungu awape mshikamano zaidi
Mwenye kujua CV ya kigaila plz, nimeitafuta google nimeikosa
Nenda kwenye gugu😂
Achana na Kigaila,huyo hana wa kumfananisha nae kwa hapa Tanzania ana CV za hatari sana na kubwa mno
Viongozi wa chadema acheni unafiki ni wakati wa mbowe kuonyesha busara . Ni wakati wa kupumzika yeye sio mungu
Sio lazima, pia CCM iondoeni formu moja kwa mwenyekiti,muongoze kuwa na demokrasia ya kweli
Apumuzike kwani kachoka
HBR ZA MAGUFULI ACHANA NAZO ALIFANYA MENGI MAZURI MBONA MAZUR HAMYASEMI WW NAIBU KTBU CHADEMA WW NI MKAMILIFU MWACHENI APUMZiKE
Lowasa ndo aliinua chadema
Maswala ya ndani ya chadema ni mambo ya ndani ya chedema ,aisee ila wanasiasa daah
Mpeni lisu wabunge watakua 120 madiwani 3000
Nimependa mjadala huu hongereni wote mlio kwenye mjadala huu Odemba napenda sana vitu unavyo vifanya hongera sana
Sijasikia maraisi wanaoshinnda Botswana, Namibia nk. Wote walikuwa na fedha km Mbowe.
Viongozi wa chadema msipokuwa makini shauri yenu kwa namna navyoona mambo yanavyokwenda kuna mdudu anapandikizwa ili mvurugane,mgombane wenyewe kwa wenyewe mwisho chama kivurugike wengine wapate ushindi kiulaini naomba mstukie hii issue inayoendelea ya kuwagombanisha mbowe na lissu.
Mwabukusi much love ❤
Maswali ya mpango mpango
Biashara gan
Tunaitaji Tundulisu sio mbowe
Mr Mwambukusi uko sawa sana pia una uzalendo wa hali ya juu sana pia inaelekea ni mkweli, mwaminifu nakuelewa sana kwa maoni yangu Mr Lissu ndie anaefaa kwa sasa kuwa Rais wa TZ na wewe Mwambukusi ndie unaefaa kuwa Waziri Mkuu wa TZ kwa sasa na sio vinginevyo hapo ndipo Taifa la TZ lingefanya mambo ya ajabu na lingekuwa la kupigiwa mfano mzuri duniani.
Mmh
Pumzika