ULIPOFIKIA UJENZI WA UWANJA WA MICHUANO YA AFCON ARUSHA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 9

  • @AbdilahiMriri
    @AbdilahiMriri 7 годин тому +1

    Hongereni sana Mhe Daktari Rais Samia Suluhu Hasani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa ku extend uwanja wa Afcon wa Arusha kuweza kubeba watazamaji zaidi ya 50000 hongera sana Mhe Rais Samia Suluhu Hasani.

  • @tanzanite9944
    @tanzanite9944 Годину тому

    Tatizo uwanja ni mdogo sana uwezo 30,000 hiyo ilishapitwa na wakati. Viwanja vingi duniani siku huzi vinajengwa na capacity kati ya 60,000 -100,000 na sio chini ya hapo.

  • @URBANLOVER254
    @URBANLOVER254 2 години тому

    Jengeni uwanja harakà Wacheni ujinga majirani mumeona Talanta Iko 3rd floor inaelekea 5th floor

  • @muyongahassan2188
    @muyongahassan2188 2 години тому +1

    Jitahidini uwebor zaidi naona nondozak sikubwa san sisijekuanguka wakati wa fans wamondani

  • @jamesmwita2995
    @jamesmwita2995 7 годин тому

    Mnajenga uwanja wa kisasa mnatumia pesa nyingi lakni mdogo sana

  • @AmarinoBahha-p7y
    @AmarinoBahha-p7y 3 години тому

    Mtengeneze na barabara inayoenda huko ikianzia arusha mjini, kupitia shamsi, kona ya mbauda, morombo hadi huko uwanjani, barabara hiyo ni nyembamba na mbovu kupita maelezo.

  • @cleveronlinemedia820
    @cleveronlinemedia820 7 годин тому

    Shida sio 30000 shida mnaweza kulipia kutazama

  • @MsatiOne
    @MsatiOne 3 години тому

    Hiyo Hela wanatupiga angalau ingekua unaingiza watu 60000 sawa lkn watu 30000 mmmh

  • @andrewIzdory-sk4cu
    @andrewIzdory-sk4cu 8 годин тому

    Watazamaji 30,000 wachache sana, at least tungefanya watazamaji 40,000.