PART 3: Jinsi ya Kutumia Pressure Cooker kwa Usahihi/ How to Use a Pressure Cooker in the Right Way.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 9

  • @IlhamSilim
    @IlhamSilim 2 місяці тому

    Asante sana kwa maelekezo mazuri

    • @EzekielTv49
      @EzekielTv49  2 місяці тому

      Support yako kusubscribe 🙏

  • @ennymichael4730
    @ennymichael4730 Місяць тому

    Yaani la kwangu nimechemsha nyama likalipuka saivi linafanya kazi upande sijui nn shida

    • @EzekielTv49
      @EzekielTv49  Місяць тому

      Support yako kusubscribe 🙏
      Hapo shida ni kwamba haukufunga vizuri ndo maana ikitokea huo mlipuko,,ishawahi kunitokea hiyo pia,,,so unavyofunga hakikisha hamna gape lolote,,,

    • @EzekielTv49
      @EzekielTv49  Місяць тому

      Kufunga vizuri haimaanishi tu lock ikikaa sehemu yake,,inatakiwa uangalie ule wote wa mfuniko ukiona kuna sehemu hamna balance fungua funga tena vizuri

  • @shanatatrigger6537
    @shanatatrigger6537 Місяць тому

    Ukiitumia kufanya kaz ambaz sio zake haiwezi kuharibik kwel ?

    • @EzekielTv49
      @EzekielTv49  Місяць тому

      Support yako kusubscribe 🙏
      Sio rahisi kuharibika labda iingie maji kwenye mifumo ya umeme,,,au uweke kitu cha kuungua tofauti na sufuria yake,,,,
      Af kwa issue ya ugali ndo maana nikasema ni emergency,,,tunaishiwaga gas ghafla sometimes,,na kibongo bongo si wengi wenye majiko ya umeme so ukiwa na pressure cooker unaweza tumia hivo

    • @EzekielTv49
      @EzekielTv49  Місяць тому

      Support yako kusubscribe 🙏
      Sio rahisi kuharibika labda iingie maji kwenye mifumo ya umeme,,,au uweke kitu cha kuungua tofauti na sufuria yake,,,,
      Af kwa issue ya ugali ndo maana nikasema ni emergency,,,tunaishiwaga gas ghafla sometimes,,na kibongo bongo si wengi wenye majiko ya umeme so ukiwa na pressure cooker unaweza tumia hivo

    • @shanatatrigger6537
      @shanatatrigger6537 Місяць тому

      @@EzekielTv49 nimekupata kabisa kaka tuko pamoja sana. Unajua kufundisha mno