Karibu, muuza majiko nipo hapa. Ika dear, thanks for the video. Was struggling kumuelekeza my customer now nimepata solution. Karibuni majiko kwa bei nafuu kwanzia 540,000
Nice stove tutorial. Love your recipes but mostly am here for your Kiswahili sanifu. I'm originally from Kenya and while Swahili is our national language, most of us never speak pure Swahili unless you are from the coastal part. I can spend hours listening to someone speaking Kiswahili without throwing English words or some other mother tongues in every other sentence. Look forward to next recipe.
Mm kuka langu kina vichoro tafauti ila hiyo moto wa juu na chini nisaidie naweza kupika keki nikaweka moto juna chini ila itawiva juu ndani mbichi namaliza kuzugusha kila semu napoteza mda utakua keki dakima 40 imelize inazidi ndani mbichi nisaidie
Dada nlikua nauliza oven yngu haina iyo button ya Moto wa chini na juu at the same tym...ya chini kando na ya juu sasa sasa ntafanyaje nikibake ndio iive chini na juu
Mm naomba unisaidie kujua upande wa majiko ,je jiko la kwanza bayani yake ni hiyo hiyo ya kwanza ,maana nikiwasha naona majiko mawili kwa pamoja yanafanya taa taa
Yaan dada kiukweli umenisaidia sana Mungu akubariki nina oven lkn nilikuwa sijui namna ya kutumia
Hey sister!! Samahan nilitak kuku uliza bei ya oven ni Tsh ngp ?
Wallah ika nakupenda sana dear, unafahamisha vizuri, mimi niki bake cake natumia moto wa chini kwanza kisha wa juu 180c cake inatokea nzuri perfect
Shukrani sana dada umenielimisha sana
Thank you for this info. My oven was not lighting up but from this tutorial ,we are good now😋
Your welcomed
Vile nasikiliza kwa makini na hata jiko sina 🤣🤣🤣🤣.
Mungu mkuu one day yes ntanunua☺️, ntakua nshajua. Na marudio ntafanya ya kuview hii video
Karibu, muuza majiko nipo hapa. Ika dear, thanks for the video. Was struggling kumuelekeza my customer now nimepata solution.
Karibuni majiko kwa bei nafuu kwanzia 540,000
@@kitchen_affairs_tzweeee upo wapi
Ahsante sana kipenzi. Ubarikiwe mnoo
Asante!!
very informative
Asante dear nlikuwa ctumi oven yangu adi roho inaniuma
Congratulations much..umeelezea vzr sana. somo limeeleweka vzr
Nimejifunza vya kutosha Asante nashukur
Informative ..thanks
thanks alot at least i now know how to use😊
Ila wew dada una akili mnooooooooo kitu nilitaka nikuombe ndo nimekikuta stay blessed nimekupenta🥰
Dada Asante sana barikiwa
Dada kwenye kuchoma natumia moto gan? Kuchoma nyama
Asante dear nishajuwa kipenzi changu 😍😍😍😍😍
Karibu dear
Uko mrembo mashallah dear... asante Kwa somo zuri👌
Ilo. Jiko Lina uzwa bei. Gan!
Bless you ❤
Wow Niko na cooker lakini sikua najua kutumia Asante
Maashallaah somo limeeweka, may God bless you more
KABISA
Thank you very much sikua najua kutumia pade ya electric sasa nimeelewa
Good teacher umenisaidia sana
For sure you are not only a nice cook but
Asante dia ❤
Hi naona novozuri sana asante kwayoye
Thank you so much nice video.unaweza kutuonyesha next time jinsi ya kutumia oven ya gas kwa ku bake cake
Nice stove tutorial. Love your recipes but mostly am here for your Kiswahili sanifu. I'm originally from Kenya and while Swahili is our national language, most of us never speak pure Swahili unless you are from the coastal part. I can spend hours listening to someone speaking Kiswahili without throwing English words or some other mother tongues in every other sentence. Look forward to next recipe.
Awww 😍 Asante na Karibu sana
Mungu akubariki imenisaidia mnoo
Asante upo vzr Ika,
Mimi wa Burundi ntakuja huko natumaini mwaka huu ntaigiya Tanzania sababu yako ahsante
Umenisaidia sana kipenzi..Niko na oven kama hiyo yako na Leo ndio nimejifunza kuitumia
Thanks aki I appreciate
Nimelipenda sanaaa hili somooo aiseeee is very good
Asante sana.
Dada nielekeze hapo jinsi ya kuwasha ya umeme mm sjajuw nkiwash yangu aiwaki
Asante kwa elimu
Thanks for the information,good work
I love you Ika😍😍😍
😍😍
Shukrani.
🙏🙏 Asante sana dada
Yaani dada umenisaidia sana nilikuwa sijui kuasha
Duuuh ubarikiwe sana umenisaidia 😘
Amen! Ubarikiwe na wewe
Aisee umeniweza nakushukuru mnooo. Maana nimenunuliwa juzi hii oven lakini nilikua najiuliza naanzaje !! 🥰🥰🙏👍
Ulinunua bei gan kipenzi
Mimi nafurahi kukuona madame ishi huna baya ujuzi ndio kila kitu
Thankx
asante mana ninajiko kama hilo nilikuwa nashindwa kutumia
dada ika hasantebkwa darasa ila oven langu mbona chini haiwi nyekundu ni kawaida ama ni bovu
Shukrani Sana ubarikiwe mno
Good demonstration...
What about light ikizimazima
Kuku mzima unaeza tumia dakika ngapi? Na umeme kiasi Gani?
Unafundisha vizuri
Asante dear 🥰
Jiko langu lina batan 6 zinanichanganya
Je oven hii inagharimu sh. Ngapi nikitaka kuinunua? Nimeipenda
Pleti mbili zipo na nishingapi?
Asantee sana dada lakini nitawashaje socket ya kutumia oven
Mim langu lipo km ivo lkn kuna grill naomba unifahamishe pia
What is the size of your cooker??
Duuuuh ahsante Sana Ila bado kidog Sana sijaelewa sijui kwa sababu Sina oven ndo nitaelew zaid
Naomba nikutumie picha ya oven yangu iyo batan ya moto inanichanganya mamy
He naweza kupika vitumbua au mikate naomba nifundishe
oven hili shi ngapi dada?
Mm kuka langu kina vichoro tafauti ila hiyo moto wa juu na chini nisaidie naweza kupika keki nikaweka moto juna chini ila itawiva juu ndani mbichi namaliza kuzugusha kila semu napoteza mda utakua keki dakima 40 imelize inazidi ndani mbichi nisaidie
Kibirti chng kimeharbik nawez tumia kibirti ya kawaid kuwashia gas
Kwani tunaweza kucahoma nyama zingine
kwa hiyo kuna grill kwa ajili ya nyama choma
Inauzwa shingap dear
Asante sana
Nimeshindwa kuwashaq jiko la gas lenye oven
Ika dear napenda siku moja utyelekeze oven ya gas namna ya kuitumia
Ni shingapi mamy na mm nijipange nikanunue
Tunashukur San dada ❤️
Karibu 🥰
Haika bestjiko kwaajili yacake nili nashida ety
Mim jiko langu Alina no linanitesa Sana alafu ukiwasha oven linazima
Dada nashukuru sana
Karibu sana
Ukiweka kuku ni dakika ngapi?
Je Hilo jiko la oven linapika chakula
Asant Ika
Karibu sana
Namna yakuoka maandazi
Naomba unifundishe kupika keki dadangu
Dada nlikua nauliza oven yngu haina iyo button ya Moto wa chini na juu at the same tym...ya chini kando na ya juu sasa sasa ntafanyaje nikibake ndio iive chini na juu
Oveni langu aina nyegine inacheza sana kwenye kukosa keki na vileja kitu kinaweza kuwiva juu ndani kibichi
Ndio nimejua,tangia nimenunua jiko sijawahi kutumia oven,acha nibake mkate nione
amina
haina shoti dada
Mimi cjaelewa namna ya kutumia umeme
Mm naomba unisaidie kujua upande wa majiko ,je jiko la kwanza bayani yake ni hiyo hiyo ya kwanza ,maana nikiwasha naona majiko mawili kwa pamoja yanafanya taa taa
Je unaweza tumia sufuria za kawaida kupikia keki
Oven yangu nkiweka timer haiwaki ndani shida yaweza kua ni nni dada
My dear samahani naomba namba yako maana mm kuna maswali nataka nikuulize mpendwa Ila ucnicheke tafadhali
Great
Jee unaweza tumia sufuria ndani ya oven
Mimi natumia jiko la BOSS ila lenyewe button ya kuset centigrade ndio hiyo hiyo inaset moto wa juu na chini,inanichanganya kweli
Tuko wote dear yaani nafanya kugesi maana hata sielewi moto wa juu na chini niset wapi
Pia naomba namba yako plz
Asante
Bora tuangalie hapo sina labda nitaikota pesa Nami nitanunua langu🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙏🙏🙏
Nataka kujua moto ya wakupika keki ni sawa na w skonsi
Jaman Kama umeweka 180c inabidi ukadilie mda gani
Nsaidie vile naweza kubake cake
Samahani kama unataka kupika keki kabla hujaweka keki unaset moto dakika ngap ili jiko lipate motokwanza,na ndipo uweke keki ndipo uweke keki
ina short ukishika na maji
Jinsi ya kutumia jiko la stima