PART 4: Jinsi ya Kutumia Pressure Cooker kwa Usahihi / Kuchemsha Maharage Kwenye Pressure Cooker..

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 14

  • @esthergermanus5249
    @esthergermanus5249 4 дні тому

    kipimo cha maji unakijuaje?.

    • @EzekielTv49
      @EzekielTv49  4 дні тому

      Support yako kusubscribe 🙏
      Inategemea na unachopika bora tu usizidi kipimo maana hiyo sufuria ya pressure cooker ina kipimo ambacho hakitakiwi kuzidi wala kupungua pia

  • @ChristinaMariki-p6n
    @ChristinaMariki-p6n 26 днів тому

    Yasipoiva vizuri nafanyeje ili yarainike?

    • @EzekielTv49
      @EzekielTv49  26 днів тому +1

      Support yako kusubscribe 🙏
      Nilitamani sana kuona comment kama hii...
      Sasa ni hivi yasipoiva vizuri rudia dakika zingine kwa pressure cooker,,yaani kama ni 35 af hayajaiva unavyotaka rudia dakika zingine.... mfano ukirudia mara mbili ni dakika 70 bado unakuwa umesave muda mwingi kama ungatumia mkaa,,,(au gas maana kwenye utamaliza gas)

    • @Neemakotei
      @Neemakotei 9 днів тому

      Ni bei hiyo presser cooker

    • @EzekielTv49
      @EzekielTv49  9 днів тому +1

      @@Neemakotei Support yako kusubscribe 🙏.....
      Mkoa nilipo mimi nilinunua 130,000,,,,,niliuliza bei Dar tofauti ilikuwa ni shilingi 5,000 tu kwa maana Dar ilikuwa ni 125,000

    • @Neemakotei
      @Neemakotei 9 днів тому

      @@EzekielTv49 ulipigwa ni LA kilo ngapi

    • @EzekielTv49
      @EzekielTv49  9 днів тому

      @Neemakotei ni lita 6 hiyo machine