JINSI YA KUPIKA WALI MWEUPE KWENYE PRESSURE COOKER

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 17

  • @emmygozbert8317
    @emmygozbert8317 3 місяці тому

    Asante mimi leo nimeweza ndo nimeitumia kwa mara ya kwanza na nimeweza kwa kufata maelekezo yako

  • @HappynessSeleman-q3f
    @HappynessSeleman-q3f 3 місяці тому

    Kwenye kilo1 yamchele unatumia maji kiasi gani ili chakula kiive vizuri?

  • @raymondamandus8208
    @raymondamandus8208 3 місяці тому

    Mbona kama sijaona ukiweka mafuta😂😂😂 au hawaweki mafuta😂😂😂

    • @dades2024
      @dades2024  3 місяці тому

      ameweka laba ujafatilia vizuri mwanzo mwisho

  • @rams-w1j
    @rams-w1j 2 місяці тому

    Mchele umelowanisha ama

  • @halimaibrahim1915
    @halimaibrahim1915 5 місяців тому

    Wakati wa kutoa ili ugeuze unazima kabisa switch au na kama haujaiva unaweka namba ile ile ya mwanzo wakati unapika au unapunguza

    • @dades2024
      @dades2024  5 місяців тому

      ndio unazima, na hakuna kupunguza unaweka namba ile ile ya mwanzo

  • @SophiaMbwambo
    @SophiaMbwambo 4 місяці тому

    Maji unayotumia kupikia ni ya barid au moto?

    • @dades2024
      @dades2024  4 місяці тому

      Ni mahamuzi yako ukitaka unaweza kutumia ya moto au ya baridi

  • @LucilaMassawe
    @LucilaMassawe 4 місяці тому

    Mimi bado linanisumbua kupikia ety

  • @faustafaustin486
    @faustafaustin486 5 місяців тому

    Samahani hivi naweza kupata hizo sufuria zake pekeake

    • @dades2024
      @dades2024  5 місяців тому

      ni ngumu kidogo laba upate kwa mtu

    • @gracemafie9320
      @gracemafie9320 2 місяці тому

      Ndio zinapatikana kwa biashara za ramsek

  • @aronKelvin-t4f
    @aronKelvin-t4f 3 місяці тому

    Kupasha chakula unafanyeje

    • @dades2024
      @dades2024  3 місяці тому

      weka chakula chako kisha gusa kitufe kilicho andikwa WORM au KEEP WORM