Bro waburundi hatuezi kufanya huo ujinga mwanangu sisi tu mila zetu hio tuaachie wa bongo vitu zao utachukua mtu hujui ni kahaba ama mwizi kisha kihelehele chako uchukue wende ueke ndani bro atapokenyea kila kitu wasichana wengiwao wezi 😂
ss wasukuma wambaya jaman hahahahahahahahahahaha jaman hhhhhhhhhhhhm duh nimefulahi sana kusikia hivyo ss wasukuma noma sana hata mm sicheleweshang akizingua anapita hivi asa huyo anayetaka watu wa mishahara fala tu
Kaka yangu huyu wasukuma hooooyee❤❤❤🎉🎉🎉yupo vizuri saana
Niimeipenda hii Kali kuliko duh mchumba hapo hapo npo Kenya I love Tanzania
ukabila hata mwalim nyerere alikua akipinga sana Watanzania tubadilike
Watching from Arabia Saudi
Love 💕💞💞 greetings to all
Siend hta kwa bunduk hpo
Thanks sana love from burundi 🇧🇮 tunawasubili
Bro waburundi hatuezi kufanya huo ujinga mwanangu sisi tu mila zetu hio tuaachie wa bongo vitu zao utachukua mtu hujui ni kahaba ama mwizi kisha kihelehele chako uchukue wende ueke ndani bro atapokenyea kila kitu wasichana wengiwao wezi 😂
@@vincentirakoze1047 mimi soon nafungua yangu burundi wewe kwako unaona ujinga
@@vincentirakoze1047 kweli kbx
nilikuwa najiuliza huyu jamaa waambalulu nilimuona wapi kumbe huku mr right 😂😂 inamaana walishindwana
Watching from saudi 🇸🇦 all the best
Hello
Ahaaaa igoma moja home boy
This is it right or ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❣️👏👏👏👏
Bola saizi mnaweka ndefu kidogo mana mwanzo tulikuwa tunafika kwenye utamu ndo kanaishia asanteni sana
hello joy
Kweli atangoja sana
I love it am watching from Kenya
Plz naomba kujua niwp mnapatikana
Jamani chotara wa kisukuma na chagga. Kaka wa watu mpole hana mambo mengi.
Pia mm natamani nipat chance
Gara B ndo nini hivyo kunifanya nicheke hivyo🤣🤣🤣🤣 nikiwa na ripot kutoka huko juuu🤣🤣🤣
Mambo mengne nikujichosha2 izo ps mbili mbovu hicho kijema kifup na huyo mwenye sura mbovu ndio wanachagua wa kuwa oa hapo nicheke kwanza😂😂😂
I love ❤ from Arusha Tanzania hellow
Huyo dada mshamba tu wasukuma kaka zangu hawana tatizo
🤣🤣wasukumaaa..
Watching from Germany, I'm very impressed
Hy my sister how are you
Me Too Ka Faustine
Hy
Where Germany
Mpumbavu ww eti sabab msuk, wasukuma wanapenda saana
Halafu hajui wasukuma plas wanyantuzu hiz combination mbili ni fire sema walishatupa title ya wasukuma washamba
Jmn hiki kipindi naenjoy balaa🤗
Niko congolaise 🇨🇩 but kwenye naishi 🇧🇮
Nomaaaa
Hiki kipindi kizuri sana
One love ❤️😘❤️ form Kenya....I wish one day nije nipate na mm akii
Safi
Hatari
Mshikajiiiiiii noma sanaaaaa
Ngoshaaaaa
Et ka singilendi kanawakawaka
Mnaongea sana wekeni na matukio ya tukio husika vide nyingi mnaweka nyie tu mnapiga stori fanyeni kama wafanyavyo Mr Right Kenya mwanzo mwisho
Wow
Kaka mzur Hana tatizo
It’s Gara b for me 🥰😅😅
Jamani sisi wasukuma tuna nn 🥺🥺🥺🥺🥺
🥺🥺🥺🥺
Tunaupendo
Mm sio msukuma lakin wasukuma mna 💕 sana
Wasukuma Wanasukuma
Hhhhhhhhhh je na wahaya tusemeje sasa
🤣🤣🤣🤣🤣eti ngosha
Huyo dada hajitambui
hii kdg nzur, ni ndefu
jamaa code zake za tupa kule😀😀😀
Yani ningekuwa ni Mimi,,,huyo FATMA ata kama asingezima taa ningeng'ang'ana nae huyo huyo,,, namkubali sana huyo sister
Maryam kasikia kazi
Denice aiseee ngoja m ninyamaze bhana 🤐 ila utasubiri sana classmate 😂😂😂
Mujitahidi kuweka ndefu bwana
Pia nataka mvurana mupoo from 🇧🇮🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤭
Whoow
Mmmmm wekeni kipande kizima bas
Duh!
Airport ya nyoko n ufupi wake huo he mbona ye hafanyii airport atasubir saana
Pia Mimi ningependa mrembo mmoja..nitampataje?
Tafuta number ya Mr right
Mgetuletea na mrejesho kama wanafunga ndoa
uyo Denice bado hajatoka
Wa Tanzania mnapeana chances mob sana mtu akisha Zima taa hafai kuwasha
Denice Mawala nakuona bhana 😂😂😂
Na mpenda Neema kama hajaolewa nipo tayari inshaallah
Haha haayaaaa kumekucha kwa mr right nami ninafunga safari nikasake wangu wa maisha haiwezekani bhana nipitwe
Name ov the song pleas
Ina maana gani mnijuze jaman
Ivi nikweli au maigizo
Maisha aya jamani 😀😀😀
Ee pesa wee
We nae acha kuwadadua wanaume wenzio
Mi prob is swahili otherwise I wld have joined the show...thankz
I will teaching you I'm Tanzanian
Mm na Mtam’s Dinasi
Wasukuma wazee wakukimbia familiya hao
Nzuri Sana from kenya
😂😂😂😂😂😂wenye mishahara
Watching from kenya
jamn ivi nikwel hay mambo?
Inalilah wainalilah rajiun
Ndo maana kalifupi nyooo
Hafadhali mda mmeongeza
Hako kadadq kanajishauwq eti "nataka mwenye mshahara, serikalini "mfyu sura huna😢
Mbona amina apati mchumba
Hahahaah umefanya nianze kumtafuta alipo
Noooomah sanaa
Love from 🇴🇲 🇧🇮 💖 💖 but wekeni ndefu tafadhali je vous aimes beaucoup 💋 💋 na mimi Nipo Oman 🇴🇲 niko single Nataka Mme wa maisha Ishallah naitwa Mariam
❤
Jamanii na Mimi nataka kuwa mistsraiti wa mwanza
Yaan binti unasababi za kininga kweli et sababu msukuma dah 😭
Naomba nafasi na mm kama kunauwezekano pls
Unazani wenye mishahala ndio wanapesa poleeee
Hao ni malaya tu hakuna mapenzi hpo
Amini
ss wasukuma wambaya jaman hahahahahahahahahahaha jaman hhhhhhhhhhhhm duh nimefulahi sana kusikia hivyo ss wasukuma noma sana hata mm sicheleweshang akizingua anapita hivi asa huyo anayetaka watu wa mishahara fala tu
Burundi bona hmna lakini 😆
Kipindi kinanibamba kiukweli 6:48 6:48
😂makubwa mishahara😊
Walichomfanyia wasukuma dkk 60 show show
Jmni hii na mimi nataman nije kumchagua mchumba hapo
Njooo me nipo
Mm apa
Hahaha kumbe wahanga mpo wengi
Hapa sihalal kabisa
Mwanamke ngumi zinamuusu
Du huk nkuzalilisha wasukuma
Dinice wewe unakazi looo mtabaki kwenu milele kwakutaka kitonga
Nawapenda 💛💚 sana mr right
Frida haeleweki
Denice yeye ana kipato gani?Maana asiwe anaweka demand kumbe yeye mwenyewe ni mzigo mzito,ambao una tafuta mbebaji.
Me Jay criss money Namimi natafuta Mpenzi Nipo Moshi
Ajui wasukuma ndo Wenyewe kwenye mapenz
Maryam mwombe Mungu maanaa😢
Ooh my god wasukuma wanapenda nyie achen nimeona kwa dada angu wana mapenz ya kweli
Hahahahahaahah!Wanaekti tyuu siikwer wasanii ata mim baba watoto wangu Msukuma
Jaman Mr right gb mbona hunijibu kaka dada Yako nimekuuliza je na weza mpata mchumba ama la
Naujue sio utani nikweli nahitaji mchumba
Ivii mkichaguana ndo mnaona kweli?
Na mm nataka kujua
Ujue mwenyew Nawaz hii issue ni seriously kweli
ha ha ha ha