Meja Kunta - Kwani We Nani? (feat. Jay Combat)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 130

  • @amidajackson1413
    @amidajackson1413 Місяць тому +3

    Kwani wewe nani ? Hatariii 😂😂😂😂🔥🔥🔥🔥🔥

  • @Omarykiing
    @Omarykiing 2 місяці тому +3

    OYA APA NI MWENDO WA KUIINUA SINGELI YETU NA KUIPELEKA JUU WENYEWE KWA WENYEWE
    #Jay combat x #Meja kunta

  • @frankluhu5322
    @frankluhu5322 Місяць тому +2

    yaan ngoma la combat uyo meja anajiandika yake aiseee

  • @Wamoro-og
    @Wamoro-og 2 місяці тому +39

    Combat ni mmoja tu sema ngoma zko lkn mbna unapost kwa account zengine kwann usikunze account, na ilitakiwa ngoma iandikwe jay combati ft meja kunta, na meja kunta ft jay combati unazngua, we ni mmoja tu Jay combati unajua mpak unajua tena ❤

    • @OfficialbabumusicTz
      @OfficialbabumusicTz 2 місяці тому

      kabisa kk itakuwa kuna kitu wana tengeneza

    • @dismasChelele
      @dismasChelele 2 місяці тому +1

      ​@@OfficialbabumusicTzWatu sikuizi wanauza ngoma...cheki huu mwaka ya dayoo ile remix iko kwenye account ya vanny

    • @kelvinmtenga8533
      @kelvinmtenga8533 2 місяці тому +2

      Sasa uncle iyo ngoma ni ya meja kunta kamwomba combat aingize verse

    • @kelvinmtenga8533
      @kelvinmtenga8533 2 місяці тому

      ​@@OfficialbabumusicTznyimbo ni ya meja ndo maan imeandikwa menja kunta ft jay combat ingekua n ya jay combat ingeandikwa jay combat ft meja kunta na angepost kwenye account yake

    • @eliyutamoyo1034
      @eliyutamoyo1034 2 місяці тому

      Mimi mwenyewe nashangaa yani yeye anakuwa kama vile kashirikishwa na wakati nyimbo ni zake kusema ukweli watakuwa wanamzurumu tyu

  • @fundiseif1096
    @fundiseif1096 2 місяці тому +1

    Kwani we Nani by mejakunta vs Jay combat ni moto kuotelea mbali 😂😂😂fujo tu 🔥🔥🔥🙌

  • @mapyboy8286
    @mapyboy8286 Місяць тому +2

    Oyaaa huyo Dj combat🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽

  • @beatboy30
    @beatboy30 2 місяці тому +1

    Daaaah combart ushatoboa weweeeeeeeeeeeee
    Pia mejja star ⭐ mkubwa sanaaaaaaaa

  • @ankongalima1859
    @ankongalima1859 2 місяці тому

    Jay Combat ndio mfalme, hapa Meja umekalishwa.

  • @boazmvellah6286
    @boazmvellah6286 2 місяці тому +4

    Jay nyimbo zako watu wanakushilikishajee?

  • @OfficialbabumusicTz
    @OfficialbabumusicTz 2 місяці тому +1

    MEJA KUNTA BLOOO UKIFANYA SINGELI LAZIMA NGOMA HIWE KALI NA WEWE MSANII UNAESIFIKA KUTOA WASANII WADOGO KIBAO

  • @adamjr101
    @adamjr101 2 місяці тому +2

    Tunajua Goma ni la combat Jay……. KWANI WE NANI MEJA????

  • @josephmkandawile9553
    @josephmkandawile9553 2 місяці тому +1

    Uyu Jay combat duuuuh sioni level yake

  • @AntonielAlfred
    @AntonielAlfred Місяць тому +1

    Nyie imbeni ila verse ya Jay Combat iacheni tu kama ilivyooo ni ya motooo🔥🔥🔥🔥🥶

  • @gohome2k194
    @gohome2k194 Місяць тому +1

    Mmhh wanangu hii kolabo kalii mamaee 🙌🏽🙌🏽

  • @laxmajor
    @laxmajor Місяць тому +2

    Kwani wewe nani 🤣🤣🤣🤣🚀🌍

  • @neymarjrthevinch9872
    @neymarjrthevinch9872 2 місяці тому +2

    Ulitaka nikutombe na hauna usafi
    Kwan w nani😊

  • @designer97
    @designer97 2 місяці тому +4

    remix ni moja tu #WIVU hapa hakuna kitu

  • @EzekillerTz1
    @EzekillerTz1 2 місяці тому +2

    jay kam jay meja kunta ulimleta d voice mjini hongera kak

  • @gohome2k194
    @gohome2k194 Місяць тому +1

    Daaah mejaa ungeacha verse ya jay combat kwenye remix mkuu 💔😭 mngefix fix tu verse ikae jaman daaah 🙌🏽😔🥺

  • @oscalaelias3114
    @oscalaelias3114 Місяць тому +1

    kombati asipo angalia anapotea ngoma zake anazigawa sana kwa wapumbavu

  • @manyoyamusic1
    @manyoyamusic1 2 місяці тому +1

    SEMA MEJA KUNTA ANAJUA🎉🎉🎉🎉

  • @LisabethElizabeth
    @LisabethElizabeth 2 місяці тому +1

    Oyaaaaaa Jay combatttttt mamay❤❤❤

  • @AllyBabu-kr6lg
    @AllyBabu-kr6lg 2 місяці тому +2

    Mi konde gang 🌹 🌹 🌹

  • @MaronBad-n1c
    @MaronBad-n1c Місяць тому +2

    Combat utsahau kutulusha wanao wa mkolmba Dead play cham kwa heshima

  • @yuzkid7729
    @yuzkid7729 2 місяці тому

    Meja kunta umetisha sanaaa kaka tumpe mauwa yakeee

  • @ChampeziJunior
    @ChampeziJunior 2 місяці тому +1

    Kwa eshima zaid🔥🔥🔥

  • @LISTANGAKE
    @LISTANGAKE 2 місяці тому +1

    Bila kuchoka apooooook❤❤❤

  • @Bizztonetv
    @Bizztonetv 2 місяці тому

    Mimi wa kwanza kutoka marekan

  • @pulundutv990
    @pulundutv990 2 місяці тому +1

    Kwani we nani unyama sana🎉

  • @dundoonlinesingeli
    @dundoonlinesingeli 2 місяці тому +1

    hiziiiii bitii sasa mbonaaa mulemuleee ila baridiii kijanaa watuu anaendaaa mjinii

  • @YohanaMabula-d4d
    @YohanaMabula-d4d Місяць тому +1

    love from 🇳🇬

  • @SumaiyaKibidu
    @SumaiyaKibidu Місяць тому

    mnajua sana nyie wote wanang sanaaaaaaaa💯💯✌✌🤟🤟💪💪

  • @frankluhu5322
    @frankluhu5322 Місяць тому +3

    meja kaenda chukua goma la combat kalifanya lake combat anapoteza mali huyu

  • @ManyiziMusicStar
    @ManyiziMusicStar 2 місяці тому +1

    Unyamaaaaaaaaaaa sanaaaa

  • @gohome2k194
    @gohome2k194 Місяць тому +1

    Meja ungecha verse ya combat daah kkmkkeeeee aaiihh au basi mkuu... Ila hii nyimbo ninesikiliza kama mara tatu hivi

  • @sabrinakassimu
    @sabrinakassimu 2 місяці тому +7

    kwani we nani?

  • @yusufumasenga3354
    @yusufumasenga3354 2 місяці тому

    Mimi wa kwanza kutoka marekan

  • @gabrielmwambogo3891
    @gabrielmwambogo3891 2 місяці тому +1

    KWAAN WE NAN USIFUNGWE NA TABORAAAAA🤣🤣🤣🤣

  • @clausmangula8077
    @clausmangula8077 2 місяці тому +3

    Wanasafiria upepo jay😅

  • @PeterWilliam-vp2gg
    @PeterWilliam-vp2gg 2 місяці тому

    Mnamfilisi tu....
    Jamaa ailshatusua

  • @Taptappresso
    @Taptappresso Місяць тому

    Imebidi aingizwe chinga siooo

  • @Hassankunzu
    @Hassankunzu 2 місяці тому +1

    Kwaheshima 🔥🔥

  • @dismasChelele
    @dismasChelele 2 місяці тому +2

    NILISHAWAAMBIA BILA MORO HAKUNA SINGELI.

  • @Yonahcharlesmkami
    @Yonahcharlesmkami 2 місяці тому +1

    Sasa meja hapo imeimba tena mistali ya combat tu

  • @Yonahcharlesmkami
    @Yonahcharlesmkami 2 місяці тому +1

    Sasa meja hapo imeimba tena mistali ya combat tu😂😂

  • @MolkidResaime-k7r
    @MolkidResaime-k7r 2 місяці тому

    jaw kweli yanii daah

  • @SemedoAucho
    @SemedoAucho 2 місяці тому +1

    Baba🙌🙌🙌

  • @HalifaSaid-km3fd
    @HalifaSaid-km3fd 2 місяці тому +1

    Dude limeenda mjini

  • @simba_wa_lushoto190
    @simba_wa_lushoto190 2 місяці тому

    Wakwanza kabisa

  • @resmex_
    @resmex_ 2 місяці тому +7

    Jay Combat ngoma ni zako lakin inapigwa remix na ww unakuwa featured kwa ngoma zako mwenyew, kwa style hii kila mtu anapita na zile ulizoperform mtoni bar(Midundo ya uswazi) anajichagulia kaliii anakushirikisha ingawa idea ni zako...wamekupa ahadi ya kukupeleka mjini broh😂😂😂???...Sisi kama wadau wa mziki tusianze kusikia milio na mayowe hapo baadae "ngoma zimeenda ila hujanufaikaa"
    #KwaHeshimaaaaaaaaaaaaaa.......

  • @SitaniRongo
    @SitaniRongo 2 місяці тому

    🕺🕺🕺🕺🕺yeeeeee noma san🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @BikeyhSaiboy
    @BikeyhSaiboy Місяць тому +2

    big san

  • @YusuphMonya
    @YusuphMonya 2 місяці тому +1

    Ngoma ni msumar mbona kubar sana

  • @mooflavour
    @mooflavour 2 місяці тому +4

    Mtu nyimbo yako halafu unaambiwa featuring 😂😂😂😂😂😂

  • @RASTAMSHAMBAH
    @RASTAMSHAMBAH 2 місяці тому +1

    Noma sana

  • @dullahmkosha5217
    @dullahmkosha5217 2 місяці тому

    Hit 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @lukamavoice5377
    @lukamavoice5377 2 місяці тому +1

    Acheni ujinga kila comment mnakimbilia kuomba like😢

  • @managergoa6798
    @managergoa6798 2 місяці тому

    Motroooo 🔥🔥🔥🔥

  • @hinikasteve176
    @hinikasteve176 2 місяці тому +1

    kwani we nani

  • @sulexhtechnician7950
    @sulexhtechnician7950 Місяць тому +1

    Kwani we nani😂😂

  • @RichardMbwaga-i2r
    @RichardMbwaga-i2r 2 місяці тому

    Chumaaaa hiki hapaaaaa🎉🎉🎉

  • @ChamaziMusic
    @ChamaziMusic 2 місяці тому +1

    Jay combat Sikui anafeli wapi

  • @toney..
    @toney.. 2 місяці тому

    Mimi Tabora United

  • @Manid0x
    @Manid0x 2 місяці тому

    Utawaua 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @digosmart4179
    @digosmart4179 2 місяці тому

    Kwani we nani

  • @fredyhacker7322
    @fredyhacker7322 2 місяці тому

    Wa kwanza

  • @BennyStephano
    @BennyStephano 2 місяці тому

    Duh hii ya kitaa tena

  • @Gideon-fp6ps
    @Gideon-fp6ps Місяць тому +2

    Kwanini hii verse ya Combat mmeitoaa???

  • @ChimudyLove
    @ChimudyLove 2 місяці тому

    Wa kwanza mm

  • @FredyDeMir
    @FredyDeMir 2 місяці тому

    Imekuaje hiwe yako meja

    • @Hassankunzu
      @Hassankunzu 2 місяці тому

      Ya j combati

    • @Hassankunzu
      @Hassankunzu 2 місяці тому

      Amemuomba mfalume j combati afanye naye

  • @ochubrand
    @ochubrand 2 місяці тому

    WBC COMBAT🎉

  • @Itsremin
    @Itsremin 2 місяці тому

    Hasira nying kak

  • @DurahRich
    @DurahRich 2 місяці тому +1

    Title ilitakiwa iwe: JAY COMBAT X MEJA KUNTA.

  • @ELIUDPHILIMON200
    @ELIUDPHILIMON200 2 місяці тому

    ME TEAM WCB

  • @ZoneMc-fp7gi
    @ZoneMc-fp7gi 2 місяці тому

    🔥🔥

  • @STARBORNHB
    @STARBORNHB 2 місяці тому +2

    KISIJU PWANI NDO TŪNÀFÎKÂ MIDA HII HAPA

  • @SidatiSaidi
    @SidatiSaidi 2 місяці тому

    kwani wee nani

  • @imadeboy
    @imadeboy 2 місяці тому +1

    🎉🎉🎉❤

  • @mkonojr53
    @mkonojr53 2 місяці тому +4

    J mbon kama unatuboa si utengeneze account yako nawewe ukue kimzik boy

  • @PandaKakozi-n9i
    @PandaKakozi-n9i 2 місяці тому

    Bien sana

  • @AbdallahNandondejr-s3s
    @AbdallahNandondejr-s3s 2 місяці тому +1

    Niatal ngom it

  • @MaombiEsperancemaombi
    @MaombiEsperancemaombi 2 місяці тому +1

    ❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @augustinpaul4670
    @augustinpaul4670 2 місяці тому +1

    Changamka jay mjini ushqfika tengeneza account yako ukija kustuka utakuwa umechelewa stuka boy

  • @Idrisa99
    @Idrisa99 2 місяці тому +1

    ❤🎉🎉🎉

  • @MshishiTV
    @MshishiTV 2 місяці тому

    🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾

  • @ayoubkhan4304
    @ayoubkhan4304 2 місяці тому

    Wakwanza

  • @raymusicjailosi-wg7yp
    @raymusicjailosi-wg7yp 2 місяці тому +1

    nakubal comba wazee wa komba tujuane

  • @ayoubkhan4304
    @ayoubkhan4304 2 місяці тому

    🙌🙌🙌🙌

  • @bekaboy1
    @bekaboy1 2 місяці тому

    Wakwanza 🎉🎉🎉🎉give a like if you see this come t

  • @djhajiztz
    @djhajiztz 2 місяці тому

    msala ungine

  • @kingofsingeliinkenya
    @kingofsingeliinkenya 2 місяці тому +1

    MC RAZY APA

  • @JaliasJeremia
    @JaliasJeremia 2 місяці тому +1

    👋

  • @FredyDeMir
    @FredyDeMir 2 місяці тому

    Hii nyimbo c ya jay combat?

  • @NasriTahmed
    @NasriTahmed 2 місяці тому

  • @adrianorayner6551
    @adrianorayner6551 2 місяці тому +2

    Mbona umecopy?

  • @FrancisLilungulu
    @FrancisLilungulu 2 місяці тому

    Duuh

  • @dizaone9979
    @dizaone9979 2 місяці тому +3

    Oya we j mbona unaleta ushamba wanasafilia upepo wako nawewe unakubali ngoma yako lakini apa inaonexha umexhilikishwa kiazi wewe ushafika mjini apa janjaluka

    • @djchazymahookah2213
      @djchazymahookah2213 Місяць тому

      Kabisaah Maana hii ya mda imefanywa Remix hawajayaka kuandika kuwa ni Rwmix kwakuwa wengine hawaifaham Daah

    • @djchazymahookah2213
      @djchazymahookah2213 Місяць тому

      Kabisaah Maana hii ya mda imefanywa Remix hawajayaka kuandika kuwa ni Rwmix kwakuwa wengine hawaifaham Daah

  • @robytozytz
    @robytozytz 2 місяці тому

    V

  • @pakistankonambayaa
    @pakistankonambayaa 2 місяці тому

    Kwa HeshimA apo

  • @nyosoboyka7911
    @nyosoboyka7911 2 місяці тому

    wBC