Rayvanny feat Diamond Platnumz & Khalil Harrison - NESA NESA (Official Music Audio) (Track No.2)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 1,7 тис.

  • @JKRules9
    @JKRules9 Місяць тому +254

    Mkenya wa kwanza hapa buana🇰🇪💯❤️🔥

  • @SGmamigos-v1j
    @SGmamigos-v1j Місяць тому +325

    Kam unasikiliza hii Ngoma Alf mzm ebu mshukuru mungu sana 🙏🏻

    • @mtzditone9147
      @mtzditone9147 Місяць тому +4

      Amiina🙏🏽

    • @JackisoniNnko
      @JackisoniNnko Місяць тому +3

      ume uwa

    • @RajuStal-gn4yq
      @RajuStal-gn4yq Місяць тому +1

      Nashukulumgu kwa afya ibaliki famili yangu pia iwe salama

    • @janemayala1138
      @janemayala1138 26 днів тому

      Amina yaani unaniingia kumoyo nimerudia mara ya 30 nani?ananesa nesa hatar❤

    • @tariqtravis4603
      @tariqtravis4603 25 днів тому

      Sa we utasikilizaje umekufa 😂😂

  • @pence_fx
    @pence_fx Місяць тому +97

    Ray amempata Simba kwenye nyingine, ni hit 🔥 upendo mwingi kutoka kwa ndugu zako wa Cameroon 🇨🇲 🇹🇿 ❤🔥🔥🔥🔥

  • @rivingstondaniel-rz5qn
    @rivingstondaniel-rz5qn Місяць тому +231

    Anae soma hii comenty mungu amubaliki amalize mwaka salama na familia yake

  • @MosesModoga
    @MosesModoga Місяць тому +169

    Rayvanny akipatana na Diamond huwa hawaangushi🎉moto kama pasi❤

  • @FurthermanSaliver
    @FurthermanSaliver Місяць тому +87

    Ahsante Mungu Kwa Kuwa Salm Mpka Sas Wabaribik Wote Watakao weka Like Kweny Comment Yang Na wengineo Goma Kalk Sana man

    • @KellyEddy-l7w
      @KellyEddy-l7w 26 днів тому +1

      God bless our year together happy new year 2025

    • @BONGE-f2x
      @BONGE-f2x 22 дні тому

      Kali ya mwaka

  • @sabrinakassimu
    @sabrinakassimu Місяць тому +622

    ewe mwenyezi mungu naomba utujalie tuvuke huu mwaka salama tuiyone Tena tare 1 mwaka 2025 sema inshallah 🙏 mungu atu tangu lie

  • @philipotieno9996
    @philipotieno9996 Місяць тому +42

    😂😂 Chuuui huwa akipotea tu ni Diamond tu anakimbiliiia tu Nesa Nesaaa ngoomaa nzurii lakiiinii.❤❤

    • @georgemapesa5729
      @georgemapesa5729 Місяць тому +3

      umekisoma huwa ni kioga ndio maaan huwa akinyi shit kwa mond tuombe mungu na konde abadilike

  • @JKRules9
    @JKRules9 Місяць тому +106

    Kidogo mmeniangusha hapa.

    • @o.ballek.e4265
      @o.ballek.e4265 Місяць тому +1

      Rayvanny kaiangusha

    • @DremoDreezy-pk4ud
      @DremoDreezy-pk4ud Місяць тому

      ​@@o.ballek.e4265Mkundu wako

    • @Peterchila-un2lx
      @Peterchila-un2lx Місяць тому +8

      Wamekuangusha hujaumia au haujavunjika hata mkono mbwa wewe

    • @elvira9325
      @elvira9325 Місяць тому +6

      Mm hata sielewi anachoimba nasikia tu kilikikiii

    • @NoName-pp4lo
      @NoName-pp4lo Місяць тому

      ​@@elvira9325 Kama huna D mbili huezi kuelewa..

  • @Mayeyetz
    @Mayeyetz Місяць тому +118

    Wanangu wa diamond platnumz mzee lamasimba dangote❤❤ like 👍 👌 ♥️ nesa nesa

  • @KelvinMutua-f1g
    @KelvinMutua-f1g Місяць тому +64

    Mm any song ikona Simba👑🦁uwa naipenda.... Diamond the G.O.A.T ..nangoja collabo ya Simba na Marioo🔥 Amapiano

  • @DremoDreezy-pk4ud
    @DremoDreezy-pk4ud Місяць тому +36

    How many Kenyan's are here to support RAYVANNY DIAMOND PLATNUMZ & KHALIL HARRISON ❤🇰🇪

  • @princemusa7167
    @princemusa7167 Місяць тому +37

    Yani ukiwa na diamond platnumz kwenye wimbo wako jua uko na hit hata akikohoa hio inahit twende i say ne nene 🔥🔥🦁🐆🌍🌎

  • @todo_tz
    @todo_tz Місяць тому +51

    wa kwanza kufika jamani❤❤

  • @bkptatastashtamz-nl7jw
    @bkptatastashtamz-nl7jw Місяць тому +13

    Mmeiskiliza corasi ya Khalil Harrison dogo anajuwa sana 💯💯NESA NESA

  • @magibutv9567
    @magibutv9567 Місяць тому +56

    Gonga like kwa diamond platnumz ❤

  • @leykekasereka
    @leykekasereka Місяць тому +26

    Ki ! Ki ! Ki ! Ki ! 🔥🔥🔥 Haujuiii❤❤❤

  • @chidi_don
    @chidi_don Місяць тому +17

    Bro kali sana hi ngoma yani ni unyama tu humu ndani yani sio poa SIMBA 🙌🙌🙌🙌🙌🙌

    • @ahmadabdoul
      @ahmadabdoul Місяць тому +2

      Acha unafki ngoma mbovu ya hatari blaza

  • @Davidmue254
    @Davidmue254 Місяць тому +14

    Nesa nesa wakamba tumefikiwa🤪✅

  • @lavie7781
    @lavie7781 Місяць тому +33

    Wa kwanza jmn naomben like hata. 10

  • @SpencerJebril-i7d
    @SpencerJebril-i7d Місяць тому +1

    East Africa 🔥🔥 Gonga like tukisonga

  • @KihomboHimself-dj5hi
    @KihomboHimself-dj5hi Місяць тому +24

    Wa kwanza Leo na Mimi like zangu

  • @OtasKitera
    @OtasKitera Місяць тому +10

    Hi ngoma imeombewa kwaiyo usiogope kusikiliza ata ukweni...😊😊😊

  • @AndrewFundi
    @AndrewFundi Місяць тому +36

    Wakwanza leo jamani show love kwakulaki from 🇨🇩 n🎉🎉🎉🎉

  • @roshmybeiby3703
    @roshmybeiby3703 Місяць тому +3

    @rayvanny ❤❤❤❤Sema RAYVANNY unaakili KINYAMA umenishinda tabia mungu akubaliki sana na ambaliki Kazi zako nakuombea

  • @albinhohasla7531
    @albinhohasla7531 Місяць тому +36

    Number one on this sound chui 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @grizu10
    @grizu10 Місяць тому +15

    Simba & Chui… Expect nothing but HIT from these two 🔥 Let’s walk to 2025 like Ee Nesa Nesa! 😂🫶🙌

  • @Barnizeboy
    @Barnizeboy Місяць тому +23

    Leo nime kuwa wa KWANZA kutoka dr Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 naomba like zangu ❤❤

  • @adikavincent974
    @adikavincent974 Місяць тому +7

    hakuna kitu wameimba hapa kelele tuh ibraah na konde wamefunga mwaka🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @HuwezoRajabu
    @HuwezoRajabu Місяць тому +27

    Chui SIMBA 🦁 🔥

  • @Paschal-t8p
    @Paschal-t8p Місяць тому +2

    Nikiwa kama msemaji na mtendaji mkuu sector ya burudani, natumia kifungu namba 17 kipengele kidogo cha magoma ya kwenda naomba hii ngoma tufungie mwaka wajameni🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @risperochola342
    @risperochola342 Місяць тому +16

    ❤ much love from kenya 🇰🇪

  • @Bigger.99
    @Bigger.99 Місяць тому +5

    Video ishuke haraka tunataka tujae juu kwenye trending 🎉🎉🎉❤😊😊

  • @Doska2008
    @Doska2008 Місяць тому +24

    How many international fans are here to support Rayvany & Diamond Platnumz?❤

  • @Akilimbilicomedy77
    @Akilimbilicomedy77 Місяць тому +31

    Nijue wote walio ikubali hii Ngoma naomba mlike hapo chini❤❤❤🎉🎉🎉

  • @djfacebook8814
    @djfacebook8814 Місяць тому +17

    Yoooo number 1 ieende mjini

  • @Jojajuu
    @Jojajuu Місяць тому +155

    Kama nyimbo mbaya na hamujaielewa waambieni

    • @Madogodigital
      @Madogodigital Місяць тому +1

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @mdasaboi
      @mdasaboi Місяць тому +2

      ...live babuu ni kuwachana tu mamelody yale yalee 😂😂😂😂

    • @Mazombi-g9j
      @Mazombi-g9j Місяць тому +3

      Ngoma mbaya kweli mm cjipata kabisa

    • @allycruzz3991
      @allycruzz3991 Місяць тому

      I don’t understand anything here 😂😂😂😂 stop kidding people bad vibes. I swear this song is wack

    • @MR.DIESEL-i7z
      @MR.DIESEL-i7z Місяць тому +1

      Aaa wee goma kaliii🎉🎉🎉🎉

  • @theKongowea_mswahili
    @theKongowea_mswahili Місяць тому +11

    Aikekeke🎉Nazani Chui na Dangote wakipatana fosi lao zito.Ngoma yao na nane pamoja sio.❤

  • @kibisionlinetv
    @kibisionlinetv Місяць тому +11

    Leo nimekua wa kwanza

  • @D.SavageClassic
    @D.SavageClassic Місяць тому +16

    Na Simba lama 🔥🔥🦁🦁

  • @EmmanuelDaniel-bt8fv
    @EmmanuelDaniel-bt8fv Місяць тому +15

    Mashabiki wa SIMBA tujuane 🦁🦁

  • @mukashemaaisha-r8p
    @mukashemaaisha-r8p Місяць тому +5

    Simba🦁+chuiii🐯

  • @yussufdisi2411
    @yussufdisi2411 Місяць тому +19

    Jaman naomba likes Leo siku yangu ya birthday 🎈

  • @JoaquinAdolphe
    @JoaquinAdolphe Місяць тому +2

    Nawakubali sana nipeni like 🇺🇸

  • @willytonetz
    @willytonetz Місяць тому +19

    Wakwanzaaaa willytone tz

  • @diclopar4687
    @diclopar4687 Місяць тому +6

    Ray vanny ndio kaimba mziki tuna ujua vyema Sana Ray vanny 🎉🎉🎉 unafanya sana

  • @hamisiviga2750
    @hamisiviga2750 Місяць тому +8

    Wa kwanza naombeni like kama mnamkubali simba

  • @franklukazula
    @franklukazula Місяць тому +11

    Abarumdi Tumenyane❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮God bless Burundi 🇧🇮♥️♥️♥️

  • @alliyhassani3703
    @alliyhassani3703 Місяць тому +16

    Wa kwanzaaa 😂😂🙌🏽

  • @kjb_user0077
    @kjb_user0077 Місяць тому +9

    Hamuna kitu huu wimbo
    Naomba mondi kamubania dogo hajaimba kwenye ubora wake tunao ujua

  • @AdelinaJames-s5h
    @AdelinaJames-s5h Місяць тому +21

    Ngoma Kali sanaaa🎉🎉🎉

  • @ommykissm2mbaya470
    @ommykissm2mbaya470 Місяць тому +15

    ni hatari🔥🔥🔥

  • @mukashemaaisha-r8p
    @mukashemaaisha-r8p Місяць тому +1

    Chuiii 🐯🦅🦅🦅

  • @linkasaika
    @linkasaika Місяць тому +8

    Wa kwanza nipewe likes kenya.❤❤

  • @benjaking9153
    @benjaking9153 Місяць тому +12

    Nesa nesa kama wakamba😊

  • @mr_yassinofficial
    @mr_yassinofficial Місяць тому +12

    Hapa msanii wangu ni Rayvanny tu 🔥

  • @ByiringiroAime-g2z
    @ByiringiroAime-g2z Місяць тому +11

    Love from Rwanda🇷🇼🤘🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼

  • @mbavutatumedia5534
    @mbavutatumedia5534 Місяць тому +13

    Nataka niwaone mashabiki wa Simba lama damu damu❤

  • @OGYOUNG260
    @OGYOUNG260 Місяць тому +15

    Zombie ft Rayvan than back again for Amapiano naombeni like zanguu❤❤

  • @Jaydanny_Chawaboy
    @Jaydanny_Chawaboy Місяць тому +11

    Nimekuwa kwanza jamani nipeni likes zangu basi hata tano tuh ❤❤❤❤❤😢😢😢😢😂😂❤❤😂😂

  • @MwombeKevin
    @MwombeKevin Місяць тому +33

    This guys never disappoint us gonga like ya Diamond tukisonga😢😢

  • @kendricgeorge603
    @kendricgeorge603 Місяць тому +10

    Yaani hata nikifa leo nikazaliwa upya bado ntamchagua rayvany. Likes jameni 😂😂😂

  • @hakiba1207
    @hakiba1207 Місяць тому +11

    Ukiona simba analeta nyama ujue kashiba sasa huu ndio mwaka wa vita kaliiiii
    Mondi na kiba
    Ibrah na vanilla wa king's

  • @JustinKjs-z5x
    @JustinKjs-z5x Місяць тому +6

    Wa kwanza from #DRC🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 Naomba mauwa yangu Jameni🥰🥰🥰

  • @MohamediJaziry
    @MohamediJaziry Місяць тому +43

    Dah kiukweli tumechoshwa na aya mapiano sijui tupeleke vilio vyetu wap ili tusikike tumechoshwa na magoma magoma ebu tuludisheni kwenye hasili yetu bongo fleva tunamisi sana 😭😭😭

    • @tridun.65
      @tridun.65 Місяць тому +2

      Bongo hamtaki kusupport spotify ....bongo zimetoka mingu

    • @eugenekimutai8786
      @eugenekimutai8786 Місяць тому +1

      Imjne watu wameua bongo n hzi nyimbo za kipuzi ndo watu wanasupport tu

    • @RichardJustine-r2m
      @RichardJustine-r2m Місяць тому +1

      Mbn wakitoa unaskiliza na kudownload kama hauyapend nn kimekuletac😂

    • @MohamediJaziry
      @MohamediJaziry Місяць тому +2

      @RichardJustine-r2m dah binadam bhana kweli kilamtu na kichwa chake na uwelewa wake sasa bila kuplay na kusikiliza utajuaje kuwa hiki nini au wewe unaweza kukijaji kitabu bila kukifungua ndani na kukisoma

    • @EdigarGodfrey
      @EdigarGodfrey Місяць тому

      Mbona zuchu ametoa walewale bongofreva kabisa lakini husikilizi

  • @SalvadorFilipeCastigo-wo1wb
    @SalvadorFilipeCastigo-wo1wb Місяць тому +13

    BIG SONG 🎤🎧🎼🇲🇿💪🏽

  • @JacklinPatrick
    @JacklinPatrick Місяць тому +2

    Rayvann unajiuwa kimziki wewe mwenyewe mbona hii ngoma kalii lakn hauipi plomooo unafeliii wapii

  • @Sunset23-n4i
    @Sunset23-n4i Місяць тому +18

    Tunafunga mwaka kwa kunesa nesa 🎉🎉🎉

  • @FreddyJackson-d3m
    @FreddyJackson-d3m Місяць тому +5

    Nan amerudia huu wimbo 100 iko sawa 💪💪

  • @KewaAsukulu
    @KewaAsukulu Місяць тому +10

    Chui And Simba 🙌💯💞

  • @LedoBoy-topic
    @LedoBoy-topic Місяць тому +12

    Ravynnay diamond platnumz ewe mwenyezi mungu naombaomba utujalie tuveke huu mwaka salama tuiyone tena tarelmw aka 2025 seme insh 🙏allah mungu atu taungu lie

  • @FIRE_REAL_TZ
    @FIRE_REAL_TZ Місяць тому +11

    ALL SUPPORTERS OF CHUI🐯 let's gathering here 🙌🙌🙌🙌💯

  • @lovsply
    @lovsply Місяць тому +3

    GOMA LICHEZWE RADIO STATIONS ZOTE KENYA 🇰🇪 . CLUB ZOTE, PARTY ZOTE KENYA 🇰🇪 MERRY XMAS AND HAPPY NEW YEAR KENYA 🇰🇪-FROM TANZANIA 🇹🇿

  • @AndrewFundi
    @AndrewFundi Місяць тому +16

    Wanao mkubali simba ebutukutane apa ❤❤

  • @djfabricecigunda9593
    @djfabricecigunda9593 Місяць тому +5

    Rayvanny una haribu nyimbo nzima
    Na mistari yako ya kitoto😢

  • @legendaction202
    @legendaction202 Місяць тому +1

    Alhamdhulillah tuko wazima tunaomba allah atujaalie mwaka mwingine wa baraka

  • @njwangaboe24
    @njwangaboe24 Місяць тому +10

    Jmn wakwanza kutoka Zanzibar naombeni like zangu🎉

  • @danielaloyce8418
    @danielaloyce8418 Місяць тому +7

    moto juu ya moto wasouth yote tuko hapaa😁🤑

  • @badestoper1929
    @badestoper1929 Місяць тому +21

    Hapa Marioo Ndo mmemuua kabisa kmamake😮😢

    • @samuelmwatsuma4462
      @samuelmwatsuma4462 Місяць тому

      Kila mtu ashinde mechi zake

    • @FrankMgaya-s3i
      @FrankMgaya-s3i Місяць тому +1

      Nyimbo yenyewe mbovuhii in doom funike totobadi hawamuwezi hatawaje wcb wote Toto badi ninomawewe #wangu #soba#marioo tz

    • @peteremmanuelymatwimatwiem3258
      @peteremmanuelymatwimatwiem3258 Місяць тому

      ​@@FrankMgaya-s3i😅😅😅😅jifariji mamae😅😅😅

    • @Faridah23
      @Faridah23 Місяць тому

      ​@@FrankMgaya-s3ibaba amara wa moto😂😂

    • @Faridah23
      @Faridah23 Місяць тому

      Kwa kipi. Kama ni kwa hii nyimbo amka usijikojolee 😅😅

  • @EssauSimchimba
    @EssauSimchimba Місяць тому +4

    Home boy chuiiii😮

  • @Playboie012
    @Playboie012 Місяць тому +18

    We zombi ❤❤❤❤wapi like za Diamond Platnumz with another collabo with rayvanny

  • @dieudonnebigirimana8083
    @dieudonnebigirimana8083 Місяць тому +6

    Chuiiii 🐯🦅🌍🇧🇮❤

  • @Melau001
    @Melau001 Місяць тому +7

    Mamaake hii ndio enyewe ❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥

  • @mukashemaaisha-r8p
    @mukashemaaisha-r8p Місяць тому +2

    Chuiii 🔥🔥🔥❤❤❤🇧🇮

  • @JohnKashindi-g2y
    @JohnKashindi-g2y Місяць тому +10

    Chui nation 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @shedadiabdul654
    @shedadiabdul654 Місяць тому +1

    Mmetuchokoza sasa Mtaamua Wenyewe Kunessa Nessa Au Mmeze Panadol 💊

  • @MrZart
    @MrZart Місяць тому +7

    *Piano, piano! 🎹🎶*
    *All hail the might and power of the logdrum!🥁*

  • @NestymmwampambaNestymmwampamba
    @NestymmwampambaNestymmwampamba Місяць тому +10

    Unae Soma komenty mungu akubaliki

  • @vickiekimaniii9003
    @vickiekimaniii9003 Місяць тому +11

    Nesa Nesa kwani nyinyi ni wakamba

  • @countymusic-ur9tf
    @countymusic-ur9tf Місяць тому +8

    Waue Mzee baba CHUIII Pluto kitchen haijawahi toa kazi mbovu

  • @ElamineAmadNadhurou
    @ElamineAmadNadhurou Місяць тому +7

    Mkomoro 🇰🇲wakwanz hapa jmni

  • @ChrisHgnss
    @ChrisHgnss Місяць тому +2

    Uo mbeats si utafanya wanakanyagan❤❤❤ Simba kauwa

  • @eliasmboya2501
    @eliasmboya2501 Місяць тому +22

    Kama unamkubali rayvanni na unakubali hilo goma like hii comment

  • @KingcashMoney-m1r
    @KingcashMoney-m1r Місяць тому +2

    Chuiii brother

  • @rivingstondaniel-rz5qn
    @rivingstondaniel-rz5qn Місяць тому +10

    😮Nemekua wa tisa

  • @irakozegetry7460
    @irakozegetry7460 Місяць тому +3

    Wakuaza apa 🇧🇮. Ni peni likes .tunakupenda chuiiiii na wezombi.Fanya una NESA NESA🗣🗣 piano piano........🎉🎉🎉🎉

  • @RAZAKIMMALINDA
    @RAZAKIMMALINDA Місяць тому +8

    Chui nation 🎉

  • @jtdphenom
    @jtdphenom Місяць тому +5

    Ngoma hamna ubunifu. Mbaya. Hamna kipya na ni ujinga tu.

    • @mwes_03
      @mwes_03 Місяць тому

      Anazingua

    • @jtdphenom
      @jtdphenom Місяць тому +1

      Mziki wa Tanzania utachukuaje Grammy Kama tunaimba. I wanti to party 😂, hata huyo msouth hamuoni alivonyoosha verse zake. Hawa chui na simba wanapita Kama panya na nyau, kelele tu hawaeleweki.
      Na Mimi wakifanya vizuri nawasifiaga, Ila kwa huu upuzi ni heri nisikilize underground!

    • @Gilanmusic
      @Gilanmusic Місяць тому

      Sana 😂😂 welcome broo nafanya music​@@jtdphenom

    • @MkandamaChance
      @MkandamaChance Місяць тому

      Ndio nikweli kabisa shii 😏😏 akuna song 🎵 hapa

  • @NjamahoroFiston-q5f
    @NjamahoroFiston-q5f Місяць тому +7

    Nyimbo ninzuri sana na komasava 🔥🔥🔥

  • @ibrahimubless3831
    @ibrahimubless3831 Місяць тому

    From Zambia 🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🔥🔥