Kiukwelii...CHRISTIAN ungekuwa mzawa Tanzania,,,unastaili kuwa zaidi ya Diamond..... #WatoaTuzoMbadilike... Hata kama si Mtanzania Anastahili kama mnavyowapa kina Diamond
Sina uhakika na ubaguzi! Mimi ni mtanzania lakini napenda sana genre ya Bella kuliko ya diamond. Muziki ni lugha inayojitegemea hata kama we na roho ya kibaguzi vipi muziki utazungumza na wewe kwa vile moyo wako unataka. Napenda sana kazi nyingi za Bella.
KONGORE CHRIS BELLA, UNAWEZAA! SIYO SIRI KILA UKITOA MPYA NI MZURI ZAIDI KWA KWELI MIMI NI MEMBER WAKOWA UKWELI KWANI NYIMBO INA UJUMBE MAHUSUSI, BIG UP MWANANGU
kama vp wakuachie nyimbo za mapnz uimbe ww2 mana unajua kubembeleza pia unasaut ya hisia uyo mpnz wako asipokusamee bac njoo uku oman upate mrembo wa kiharabu
Hizi ndyo nyimbo za kusikiliza na kuangalia sio ujinga unaofanywa sasa hivi, upumbavu mtupu. Well done King kiba na Bella. Nice collaboration. 29 sep 24 hapa chuga. Kwa wadudu.
miye miye dadie mamie love for all kazi nzuri nice i love it hongereni yani mnanikosha kinoma big up sana wadau wote mliofanikisha wimbo huu kutufikia angalau kidogo najisikia nipo duniani
Tunaosikiliza Leo 2024 gonga like
Tupo wengi 😅😅
Tupo
Tupo wengi sana❤
Jamani tulio shindwa ku move on gonga like apa tutatoka tu Kwa jina la yesu😏
00bb9kbjkkk😅lkkkn😊j😊de 0😅yi😊y😊9j😊kkuyoyklijko😊6😅ljl😊for n😅😅
Mimi si toki hata kidogo
😂😂😂😂😂😂😂
Aisee kweliii nimeshindwaaa ku move on
😂😂😂😂
Tunaoendelea nayo 2024 tusomàne kwa like Hapa
Maisha ya ndoa shenzi sana 2024 naisikiliza tenaaaa😢😢
Relax Kila sehem Kuna nyesha
😂😂😂OK tuko wote
September 2024 let's go guys
Oya wee nipo na wewe leo haina kupoa🎉🎉🎉
2024 I'm nashindwa
2024 batoto ba two thousand tupo hapa😊
We're here😂😂😂
Hii ngoma kali 2020 weken like hapa
Nani anasema hii kitu haichuji km nnavyoona mimi stiil October 2019
💯💯❤️❤️😍
30.12021am here
C. bella 2024 🇹🇿🇺🇲
Bella 2024 🇳🇬🇹🇿🔥🔥
Bella aache tu jamani jamani unakwama wapi andaa mafestival yako
Kiukwelii...CHRISTIAN ungekuwa mzawa Tanzania,,,unastaili kuwa zaidi ya Diamond.....
#WatoaTuzoMbadilike...
Hata kama si Mtanzania Anastahili kama mnavyowapa kina Diamond
Uyu jamaa anajuwa
Tatizo ni ubaguzi
Eliazere mwasi boy hawa wa tz sio watu wazuri ni wabaguzi sana tu
Eliazere mwasi boy wenyewe tz wanajua kama wa congo 🇨🇩 ni fimbo ki mziki
Sina uhakika na ubaguzi! Mimi ni mtanzania lakini napenda sana genre ya Bella kuliko ya diamond. Muziki ni lugha inayojitegemea hata kama we na roho ya kibaguzi vipi muziki utazungumza na wewe kwa vile moyo wako unataka. Napenda sana kazi nyingi za Bella.
2022 ngoma Bado inagonga moyo wangu❤️ huku nachekecha kiuno taratibu!! Ni balaa
Xaxa nije nishike icho kiuno
Bella wewe ni mwamba
Angejua kabisa ninavompenda sijawahi kupenda
Bonge LA ngoma dadeki like mafans wangu wanguvu
Mliopo mbeya city pub usk huu 7/8/2024 gonga like 👍
My favorite song, who's still listening 2021❤️❤️
Best of the best
And now its 2022 still cqnt replace it from my fav list❤❤❤
Still listening my favorite song 2022🥰♥️♥️♥️
Hii nyimb jmn 😘😘
KONGORE CHRIS BELLA, UNAWEZAA! SIYO SIRI KILA UKITOA MPYA NI MZURI ZAIDI KWA KWELI MIMI NI MEMBER WAKOWA UKWELI KWANI NYIMBO INA UJUMBE MAHUSUSI, BIG UP MWANANGU
kaka Bella tupo kasumbalesa god bless you forever
I lv this guy jmn hakuna wimbo hata mmoja wa kwake nsio penda
hata na mimi pia
dah! christian bella we mkali sana babaa nakukubali sana nashindwa kujizuia kukupenda
huyo dancer au model ?? nimemuelewa sana ..
Naipenda xna hii nyimbo ❤
2021 tujuane wafatilia hii ngoma bado gonga like
Bela uko juu
who is here in 2023 and still enjoying good music
Kill music awards waachie mzee baba ila mfalme wa hii' kitu ni wewe asikudanganye mtu
Bela umepotelea wapi tushakumbuka ngoma zako
Bado naangalia mpaka leo
Yani haina ubishi ww ndo nr 1 Tanzania Wallah Bella unatisha km mvua y mawe
Bella ni habari ingine nchini hapa everibade know
waachetu kukupa tunzo ila kazizako zurisana
mwenye kufahamu jina la huyu binti mnenguaji mweusi mrefu anitajie...
adeladius makwega 😀😀😀😀😀😀
Wapo wawili hapo
@@masoudngunde6378 huyu 0.18
@@angelchibalonza8416 mbona wanicheka naomba jina la mnenguaji huyu 0.18
One of the best vocalist Ive heard in my lifetime. You make singing sound so so easy........
A
@@husseinmansoor8005 apppp mom
0:23
Ivi mwamba yuko wapi jamani
Aiseeee tunzo wapewe ila uking wa melody wakuachie we ni nouma
Othuman Massanja nice
Nice songs boy 😍😍😍😍😍
Koffiolumide
Anafunga virago hataki kusema....Daaahh 2023 still km imetoka jana keep it up!!!
Bella please kaa chini na KIBA muandae moto mwingine.... Sauti zenu ni mo fayaa
watu wengine hawana Akili nyimbo za maana kwao ndo hatari pole sana najua tatizo
Mbona kama unanionea kwanini kila siku unanionea
kama vp wakuachie nyimbo za mapnz uimbe ww2 mana unajua kubembeleza pia unasaut ya hisia uyo mpnz wako asipokusamee bac njoo uku oman upate mrembo wa kiharabu
unapenda
Charles John ndio
Huu mziki ulifunika pamoja na ule wa mama
Un jour Nako linga bo beta na Mareshal DJ un congolais aussi qui bouge la Côte d’Ivoire 🇨🇮
Back then had my stud doc girlfriend 😅😅😅 kalikuwa kanataka kenyewe ndo kabembelezwe tu. 2016 au 2016
umetishaaa mbaya nataman unitumie audio tu ili ni enjoy zaid
Bora ukosee maisha kuliko ndoa
Wazungu wana nini kizuri ambacho waafrica hawana?
Love this guy 2019 September
Adam Juma huna jipya .
Wewe ni wangu Mimi ni wako punguza malingo kweli ww kiboko ya wote Mimi nimemalizika
Don't cheat in a relationship,, If u're not happy then just leave.
Ikiwa unashindwa basi rudi kwa yehovah bado anakusubiri umurudilie. Kabisa kweli.
Bella usipotoa nyimbo week moja tu nahis homa
While namkubali Diamond. Ila kama wangesema TZ abaki msanii mmoja, King Masauti Bella ndo angetakiwa kubaki.
zaid ya kujua christian NAKUKUBAL BRO MZIKI WAKO mzur
Tunasepa nayo 2022 good job♥️♥️♥️♥️♥️♥️
2024
Kutoka sasa nashindwaaa!
Hatar
Bella Unatisha kama EBORA
Hukoseagiii ♥♥♥
We baba utantoa roho jamani unavoimba! Napokua namawazo napnda Sana nisikilize nyimbi zako.
Christian Bella ninoma kwa mwimbo wake wa niambie.
unashindwa nini tena
VIDEO IMESIMAMA BALAAA
Christian Bella yupo vizuri na nyimbo zake ananikosha nafsi
Bella u're still the best 😍😍😍 happy New Year to everyone🤗🤗🤗 01 January 2020🔥🔥🔥🔥
It’s 2021 dude
Unajuwa. Kwa nini hutunzwi TZ?
Asante Bella umenikosha moyo
Nime zama kutoka sasa nashindwa.angeju vile ninavyo mpenda wala asinge ni zuzu.bonge la ngoma
Christian Bella nisame ina sisimua tena mashabiki uku🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Tuko pamoj ndugu yngu baraka
wewe namba 1kuceza napenda unavyo ceza congo muko ju kabisa
Ghafla tu anafunga virago namuuliza hataki kusemaaa..😢
Nakubali sana Christian bella Niko Canada Toronto nakupata miya kwa miya
nashindwaaaaaa duh bonge la muvie bonge la song.
This is a really good music, however this video didn't do this master piece justice. One love from Nigeria
dah bela ni mkali tisha xanaaa kaka unajua kucheza na radha tofauti za mziki wa dansi. saluti.
Sio tu sauti hata mashairi...ni moto
Christian bella you’re my favorite 🎶 come back in game plz plz plz usiache pengu my bro 🇧🇮🇺🇸🇷🇼🇨🇩🇿🇼🇺🇬
Uko juu brother,kwa nyimbo zako unampidhani kwenye mihondoko hii
bella we mkali kaka
Siwezi hata siku moja kumuacha Esther Wangu ❤️
Bella Wa mkali sana hakuna kama wewe TZ yote umetisha nishidaaaaa hapana mjini
videos ipo poa sana na nyimbo pia ...hongera kwako christian bella
Nani anasikia beat la kingkiba la "mwana"
Hatuwezi😢😢😢😢
Hizi ndyo nyimbo za kusikiliza na kuangalia sio ujinga unaofanywa sasa hivi, upumbavu mtupu. Well done King kiba na Bella. Nice collaboration. 29 sep 24 hapa chuga. Kwa wadudu.
Bella we ni nyoooko,na huyu aslei quine wako mwenye top na tite nyeusi ni noumaaa
the tall lady dancer pliz...holla
mm napenda sana nyimbo za injili
huyu jamaa hashikiki.. bella ni noma, jamaa ni fundi
Bella ni shdaaaa
miye miye dadie mamie love for all kazi nzuri nice i love it hongereni yani mnanikosha kinoma big up sana wadau wote mliofanikisha wimbo huu kutufikia angalau kidogo najisikia nipo duniani
Bella unatisha nyimbo zk nzuri sn nazipenda sn.
Jamaa yupo juu xana yani unaguxa hi a za with aisee nashindwa keel hats kuelezea
Where is Christian Bella? Since 2015 umekimya sana
mungu akubariki baba kwanyimbo was mama
NO ONE LIKE CHRISTIAN BELLA....................
Bella ameleta uhai sana kwenye dansi
2020 bado ngoma kali tu
Sijui unakwama wapi,labda groups,uko vizuri sana
Bella wee tatizo Sana nyimbo zako ziko shega tumeleta mazishi