Here after harmo na kajala 🌹 I really love them and I understand unajua Kuna muda watu wanafanya makosa hata ya kucheat lakin ni kuteleza tuu unakuta Bado mioyo yao inapendana sana . Kikubwa makosa tumeumbiwa binadamu na msamaha pia tumeumbiwa sie
@@ashtonwade2815 he is basically telling the lady he loves that; mistake are inevitable. As human we do mess up at times. He further goes on to say "You will hear a lot being said but please don't take it in the heart", Then in the chorus he says that "blessed are we that we love each other let's be thankful for everything cause they are people who are craving for this little bit of peace we have sometimes money isn't the problem its just there is no love amongst them
Ombi langu kwa wanamuziki wa Bongo fleva mrudi kwenye uimbaji wa namna Hii na sio matusi mnayoimba sikuhizi , “ Mavi pekee ndo Yanavutia nzi “ WAKUBWA MMEELEWA
am here after harm n kajala engagement 🔐🔐🔐
😂😂😂tupo pamoja
Tupo pamoja
😄😄😄me too
And me
Same
May 2024 niko live na goma classic miaka nenda rudi
Hata mm pia kajala na hamnze nd wamfny nije hpa jmn 🥰❤ love is a beautiful
Nimekuja hap kanileta hamo na Kajala 😍😍
tuko wengi
@@tantinebettynduwimana380 🤣🤣🤣🤣🔥🔥🔥
huu wimbo nikiskiliza kama umetoka jana tu kama unaamini Ivo gonga like one love lameck ditto
Wow i love this song. Thanks to harmonize n kajala engagement ❤️❤️
Am here but I wish harmonize afanye remix ya hii Ngoma au cover
Here too again coz of harmo's engagement
Nimekuja kusikia Ii njimbo harmonize alipo akiwa anamvisha Pete thanks so tembo mziki wajama mzuri
huu wimbo kwangu mm kilasiku mpya wangap mpaka leo wanaukuba gonga like hapa 2019😍😍
Ni kitu Cha hatali
Uyu iritakiwaaweanaimba nyimbo za dini
Yan uchoki sikiza
Konde na Kajala wamenifanya nirudi kuisikiliza😘💞💞💞💞
I Like this songs
Mengi utasikia yakisemwa usiweke moyoni❤.Kuteleza inatokea mambo ya ndani usiyaweke hadharani🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Here after harmonize and kajala engagement....😍😍😍
2020 like hapa
Ditto heshima yako upewe kabis kwa huo wandishi wako yaan kabs unaniweza cos mara nyingi nakufatilia ww nooma
Nyimbo yawapo, bado naipenda toka nipo kitoto kidogo
Kama umekuja kuicheck kwa mara nyingne tena baada ya kusikia harmonize anamwimbia kajala like twende sawa
Haaaaaaaaa nakumbuka mbali
2022 still listening 🎧
Here after harmo na kajala 🌹 I really love them and I understand unajua Kuna muda watu wanafanya makosa hata ya kucheat lakin ni kuteleza tuu unakuta Bado mioyo yao inapendana sana . Kikubwa makosa tumeumbiwa binadamu na msamaha pia tumeumbiwa sie
me too
Here too🤗💕
Me too 🇰🇪🇰🇪
Kiko wapi 😅
Nmeipenda kazi hii sana,wimbo mtamu sana...kwa kweli unaguza
Yes after H& K
Zaman watu walikuwa kweli wanaimbaa nowadays matusiiiii tupuuuuuuu!
Here after Konde boy's performance on his engagement party. I love it
Another one repeating 2023
2021 my fav❤️
Harmonize & Kajala brought me here
We had a great opportunity to enjoy this amaziiiing music at Mswaki's wedding.... Nice work Dito. 👏👏👏
Umeweza mnooo
Nice song♥️
songi nooouma Sanaa👊👊
Mapenzi yanaumiza sana
Nikweli
❤️❤️🙏
I like this song
2020 mkwapi
22 September ,2024 nasikiliza
Nimeutafuta huu wimbo jamani
lool i lov this song
Kama ndege njoo tuluke angani wote wimbo mtamu sana
Dah Ditto uko vizuri kwa ujumbe
Fanya remix ya hii nyimbo hakuna wa kuishushsha
Hamo kajala
very nice song
you sing very well
2022🙏🙏🙏🙏🙏 tushukuru kwa yote
Naipenda hii wimbo jmn
Same here
Napenda sana huu mwimbo
Namm
April 2024
Woo I'm here after engagement harmo and kajala
Here we Go 2022
Duuuh nimerudishwa hapa ilipopigwa na harmonize kwenye sherehe yake na kajala such a masterpiece
Mashibota salute kwako
2022🔥🔥
Tushukur kwa yotee
I saw harmonize singing this song nikaamua kuitafuta
2021 viva
👋✅🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤️
2022 nice song
1
😘😘😘😘😘😘😘😘😘
This one is for you hubby @sdm
Am here after kajala engagement
Daah NC sn bro ngm imetoa chz sn
202111111
Hamokajala brought me here 2022😊😊
2022 kwa harmojala tujuane 🔥🔥🔥
Here in 2022 this song is lit 🔥🔥🔥🔥 dedication to my love
Kumbe zaman watu ndo walikuaga wanaimba xaiv ni polojo tupu
Nyimbo irudiwe hii jmn…..Ditto🔥🔥
2024 ngonga like ❤❤❤
Nataka niwajue waliokuja hapa kwa sabb ya harmoniza
Hahahahaha
Mimi hapa,one of them.
😂😂😂😂👆👆
Vina muda basi😅😅
Weny tulikuj badae ya kuusikiy kwa harmoniz
Tupooo
Tupoo
Harmojala brought me here
Niko hapa cz of hamonize n kajala...such a beautiful song
Here after harmonize engagement
Ngoma kali sana mpaka leo broo😘
Can anyone help which kind of song is this !!!xoxo Love this song Lmfao
Love song
@@latifah459 Thanks
Can you please help me with meaning as well
@@ashtonwade2815 he is basically telling the lady he loves that; mistake are inevitable. As human we do mess up at times. He further goes on to say "You will hear a lot being said but please don't take it in the heart", Then in the chorus he says that "blessed are we that we love each other let's be thankful for everything cause they are people who are craving for this little bit of peace we have sometimes money isn't the problem its just there is no love amongst them
@@latifah459 Thank you so much sweetie for this
Really means alot comin from ya
Rais WA first year 😊😊😊 the hype 🔥🔥🔥
Kajala 💍Harmonize ❤️🤝
msanii wangu bora cku zote
here after HARMONIZE'S engagement
Nyimbo za zamani zina ladha yake na ujumbe mzuri, sio za sikuhiz jmn matusi mengi
Waliorudi hapa baada ya konde kumvisha kajala pete tujuane💞💞❤️
2020 mpooooooo
kamenileta ka Raisi ka first year Leo nashkur kwa yote barikiwa
Dec 22 2019 tujuane
2024 Bado nausikiliza🔥🔥🔥
This song is so lit 🔥 😩 🙌
Ditto mzigo umekanjema usibweteke mwana gonga kalizaidi ya Moyo.All the best.
Here 2020💥💥💥
Thanks to Harm and kajala....such a beauty!
Kipaji unacho kaka,kuandika unajua kuimba unajua pia.bonge la nyimbo.hivi jaman hii ngoma itachuja kweli mazee?
my best song go Ditto waweza fanya zaidi ya hapa
Ombi langu kwa wanamuziki wa Bongo fleva mrudi kwenye uimbaji wa namna Hii na sio matusi mnayoimba sikuhizi , “ Mavi pekee ndo Yanavutia nzi “ WAKUBWA MMEELEWA
Frida&Rajabu day🌹💝
21septemba,,2024 nasikikiza tena
am in love with this song ever
Hii ngoma kali sanaaaa Yan haichuji 2020 naisikiliza Kila saaaa
Harmonize brought me here... This jam is dope 🙌🙌🙌
Still on 🔥🔥2019
Listening ditto my greatest artist of all the time
Harmojala wameniletea huku😂😂😂😂😂😂