Asili ya Mji wa Mombasa - Faiz Musa Abdallah

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 27

  • @kazungumasha573
    @kazungumasha573 4 роки тому +4

    Hongera Kaka kwa kutuelimisha

  • @Stanbul.Y
    @Stanbul.Y 2 роки тому +2

    MashaAllah Shukran

  • @saeedaosman3510
    @saeedaosman3510 2 роки тому

    Yes Indians were the first people to land across the East African coastline,my community were sea farers coming in dhows from bhuj gujrat to trade,we don't have a written data,but we have been here since some 700 years ago.

  • @kuschprince3216
    @kuschprince3216 2 місяці тому +1

    " Hapo ndo Mji wetu wa Mombasa ulikua na sifa za kipekee! Saa hii ni wakora, machokora na watu kutoka bara walioleta mila zao na kuharibu kila kitu!! Ukoloni ndio ulileta huu mchanganyiko sababu kila mtu alikua na kwao!

  • @hassanalhussein3982
    @hassanalhussein3982 2 роки тому +4

    Pwani si Kenya! Wacheni kusema Mombasa Kenya. Hakuna Kenya Wala hatutaki Kenya. Mombasa ulikuweko kabla ya Kenya.

    • @masoudmasoud8138
      @masoudmasoud8138 Рік тому

      Yessssss ❤

    • @otaibonny8835
      @otaibonny8835 Рік тому

      Lakini sio ya wayemeni, na waomani. Walihama huku pia…

    • @hassanalhussein3982
      @hassanalhussein3982 Рік тому

      @@otaibonny8835 Na Wala si ya babako Wala mamako punda wa bara wewe.

    • @otaibonny8835
      @otaibonny8835 Рік тому

      @@hassanalhussein3982 mwarabu nyamaza rudi yemeni ama Omani…pwani Hapo ni ya Bajuni, mjikenda na waswahili. Muarabu sio mswahili… you are foreign..mwende msaidie ndugu zenu wapalestine.

    • @hassanalhussein3982
      @hassanalhussein3982 Рік тому

      @@otaibonny8835 Kwetu Ni Lamu wewe punda funga Domo lako. Sio kila MTU Ni muarabu. Pia waarabu walikua hapo kabla ya wewe ngombe kuja hapa pwani shenzi type

  • @zaidasalumualute6437
    @zaidasalumualute6437 9 місяців тому

    ❤❤❤❤

  • @alilalila5035
    @alilalila5035 Рік тому +1

    Ikiwa wataka kujuwa asili ya waswahili agaliya vedio za STAMBULI WA Abdi Llahi nasiri

  • @yusufabubakaryusuf5113
    @yusufabubakaryusuf5113 3 роки тому +2

    Safii

    • @jamalsaid7475
      @jamalsaid7475 Рік тому

      Maa Shaa Allaah TabarakaAllaah
      Shukran sana
      Swadaqta kabisa

  • @ahmedmohammed937
    @ahmedmohammed937 Місяць тому

    Kibrit kiarabu huwo anaetoa history muone stambuli akufundishe

  • @anwarsaid9579
    @anwarsaid9579 2 роки тому +1

    Likoni imetokana na neno riko maana ya riko kivuko

  • @AbouDahya
    @AbouDahya Рік тому

    Aah wapi hata hiri songe renyewe mmetumia la tanga tz
    arafu mwajivunia !

  • @husseinnassir3372
    @husseinnassir3372 Рік тому

    mwana mkisi ni queen of Sheeba,na hakuna kabila la mkuze, na wamiji yamaanisha wenye mji

    • @salimali-rf9er
      @salimali-rf9er 6 місяців тому +1

      Mwanamkisi ni malkia balkis, alkuwa malkia wa sheba,alietawala,nchi ya yaman, pamoja na ithopia,somalia,kenya,Tanzani,malawi na sehem nyingi za africa mashariki na kati

  • @printmedia1422
    @printmedia1422 Рік тому +3

    Kueleza mombasa si.mchezo
    Hi ni kuguza lakini mengi yakosekana
    Wasomi hakuna hapo
    Iko kazi ikiwa kiswahili kita kua lugha ya africa

  • @ngurukitv4584
    @ngurukitv4584 2 місяці тому

    Looking good follow back done God bless you 🇱🇷 💪 🙏 ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤