Mzee Mwinyikai | Nina miaka 106 | wadigo, wakikuyu na wabajuni

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 59

  • @yusufmwangichannel6692
    @yusufmwangichannel6692 4 роки тому +5

    Masha Allah, elimu nzuri Sheik Mwakidudu na Mzee wetu awazidishie elimu na maisha marefu na mema apa duniani na kesho akhera Amiin Thumma Amiin

  • @chotaramswahili2835
    @chotaramswahili2835 3 роки тому +10

    Nina shaka sana na historia ya wadigo namna anavyoeleza huyu mzee..namweshimu ila sikubaliani naye ..hususan kipengele cha Mombasa..sikweli kwamba mtu mweupe alimtangulia mdigo mombasa..nitafteni kwa majadiliano zaidi

    • @mhmd-bn-asdllah
      @mhmd-bn-asdllah 3 роки тому +2

      Assalam alaikum warahmatullahi wabarakatuh 🙏🏽

    • @chotaramswahili2835
      @chotaramswahili2835 3 роки тому +1

      @@mhmd-bn-asdllah walikumussalam

    • @mhmd-bn-asdllah
      @mhmd-bn-asdllah 3 роки тому +2

      Ningependa kujadiliana na wewe kuhusu historia ya mdigo sijui tutawasilianaje?

    • @saidomar1882
      @saidomar1882 2 роки тому +2

      Hapo bro uko sawa coz watu weupe walichakachua historia ili waonekane wao walikuja kabla mtu mweusi

    • @fikafikan8484
      @fikafikan8484 Рік тому

      Mdigo walikuja nyuma wadigo walikuja wakati walipokua na vita wao na waorma ama wagala kwa hio wadigo walikuja wakawakuta waswahili na mwarabu pia alivo kuja walikuta waswali

  • @hemedmraba6326
    @hemedmraba6326 4 роки тому +3

    MASHALLAH Father kazi nzuri DIGO NI TRIBE KUBWA NA IKO INAISTORIA KUBWA SANA..WADIGO WALIINGIA MOMBASA MWAKA WA 1573

  • @jumamraba5391
    @jumamraba5391 3 місяці тому

    Mashallah mzee, mwinyi mm mdido fuko langu mdziriphe,bt swali langu mbona wadigo nasikia walitoka tanga?na hali wasema wanatoka makkah

  • @kombogambare3574
    @kombogambare3574 3 роки тому +3

    Mimi ni mkina Ngome Natizama nikiwa Kuliko toka Wadigo (Gulf)

  • @zainabumwagiroabdallamwagi97
    @zainabumwagiroabdallamwagi97 3 роки тому +3

    Babu ametuchanganya japo kuna mengine ni sahihi lkn hili la mdigo ametoka uarabuni ,ni stori ndefu sana ,hapo kamamtu hajasoma histry nivigumu kimuelewa ,

  • @ayushachidau6758
    @ayushachidau6758 4 роки тому +4

    Assalam alaikum 😍nakupenda kwa ajili ya Allah mungu awazidishie inshaallah

  • @fikafikan8484
    @fikafikan8484 Рік тому

    Mzee hapo wakikuyu na wabajuni ni urongo mbajuni yuko kitambo tangu wareno hawajifika mzee story yako yakirongo

  • @kenyantech9728
    @kenyantech9728 6 місяців тому

    Mzee u mrongo tsona sana kaya ya adigo ni kongo. Ichikala wagomba adigo atuluka mecca hara amidzichenda anjina ni wa kulaphi? Maan lugha ya amidzichenda ni hiyo mwenga ni variation kidogo tu.

  • @hassanmatano3567
    @hassanmatano3567 3 роки тому +3

    Do hapo shaka kubwa mzee babu historia hamna mdigo alitoka makkah) Mtangazaji unaongea sana

  • @nurdinathuman478
    @nurdinathuman478 3 роки тому +1

    Mashallah shukran niukweli kabisa mzee wetu kaongea ukweli wadigo watoka Maka ndio chimbuko yuwaijua istoria kweli coz simara yakwanza kusikia huyu mzee akiongea hivo Kuna mwalimu wetu mmoja mbajun mashallah na yeye pia ni mtu wa reach aliwahi kutuambia ivyo ivyo wadigo chimbuko lao ni makkah

  • @muonlinetv1879
    @muonlinetv1879 Рік тому

    Mbona una haraka kuhoji unaohoji uambiwe ama tiyari ulikua unajua sijapenda interview yake

  • @gomakuu
    @gomakuu 3 роки тому

    Shukran sana kwa taarifa hii mashallah

  • @kvfihf6324
    @kvfihf6324 3 роки тому +2

    Imenigusa sana wadigo walikua kama watumwa

  • @iky183
    @iky183 3 роки тому +2

    Aya na Mimi baba ndo mdigo wa msambweni .niko kundi lipi?

  • @sellamwani7300
    @sellamwani7300 2 роки тому

    Hawa watu wa makah,inakuaje lugha Yao ni sawa na wgiriama,wachonyi,waswahili,waduruma!huyu jamaa msanii.nyele ngumu hizo ataka dandia!wadigo wabantu waafrika.

  • @salimmohamedsalim4448
    @salimmohamedsalim4448 4 роки тому +2

    Ndivyo sheikh

  • @moramtanga-dar7372
    @moramtanga-dar7372 2 роки тому +2

    Swali ivi wagunya ndio hao hao wabaajun

    • @fikafikan8484
      @fikafikan8484 Рік тому

      Hakuna wagunya wale ni wabajuni ila mzee kadanganya mbajuni wako zaidi ya mika elfu na makabila yote walipokuja waliwakuja wabajuni na watikuu

  • @aishasalimaishasalim1323
    @aishasalimaishasalim1323 3 роки тому +1

    Jamani nisaidieni
    Mmsijielewi kabilagan
    Ila mamayangu mganda
    Babayangu I uohukoowamzeemwansimba inamaana wadigo sasammnitakuwawap.. 😢
    Kwa anayejuwa sokwaubaya.. 😢

  • @anthonymwathi839
    @anthonymwathi839 3 роки тому +3

    Hahaha...uongo mtupu mzee..wadigo wametoka Congo..wadigo ni wabantu...wadigo ati walitoka Mecca...huo uwongo mzee...wadigo ni miji Kenda

    • @mhmd-bn-asdllah
      @mhmd-bn-asdllah 3 роки тому

      Shungwaya n kwa mbajuni

    • @anthonymwathi839
      @anthonymwathi839 3 роки тому

      @@mhmd-bn-asdllah Mbajuni ni nani...hawa asilia ya waarabu...kwa arabuni..Africa ni ya watu weusi..nywele ngumu...zako porojo

    • @mhmd-bn-asdllah
      @mhmd-bn-asdllah 3 роки тому +1

      Muarabu ni muarabu mbajuni ni mbajuni

    • @anthonymwathi839
      @anthonymwathi839 3 роки тому

      @@mhmd-bn-asdllah Haya maandishi yako si kiarabu...remnants wa kiarabu

    • @mhmd-bn-asdllah
      @mhmd-bn-asdllah 3 роки тому +1

      Kiarabu lugha tu hata wewe weza jisomesha

  • @nyembomajid1262
    @nyembomajid1262 11 місяців тому

    nasikia mzee anasema mambasa sio mombasa nyinyi mnaeita mombasa na huyo mzee anaeita mambasa nani mkweli?

  • @onemanshow1851
    @onemanshow1851 4 роки тому +4

    "Mdigo alitoka Makka ndio akaja shungwaya"Babu😂😂😂😂😂😂😂..Salaaaalah!!!!..Sio kilamzee anabusara hata wajinga huzeeka.

    • @colonelghadafi.4806
      @colonelghadafi.4806 3 роки тому

      Duuh ati wadigo wali toka makka😁😁

    • @zolongOne
      @zolongOne 3 роки тому

      😂😂😂

    • @mrjarso
      @mrjarso 3 роки тому

      😂😂😂😂 duh! Makkah? hekaya!

  • @nyembomajid1262
    @nyembomajid1262 11 місяців тому

    mwarab ni mtu wakwanza kufika Africa baadae mzungu akatuweka fikra mbovu eti mwarab mtu mbaya

  • @halimaramadhan2975
    @halimaramadhan2975 4 роки тому +2

    Shukran kwa kutuelimisha mi cjui fuko langu mpaka nimuulize mama😂😂

  • @allymadunda7931
    @allymadunda7931 3 роки тому +1

    Mkimbizi mdigo kumbe

  • @Wastara001
    @Wastara001 3 роки тому +2

    Mtangazaji unaongea sanaaaaaa

  • @colonelghadafi.4806
    @colonelghadafi.4806 3 роки тому +1

    Wacha kutu potosha mdigo n mu bantu chimbuko lake Congo

    • @michaelmwakibo
      @michaelmwakibo 3 роки тому

      Nashangaa eti mdigo alitoka Makka !

    • @habelchome1680
      @habelchome1680 Рік тому

      Na ni mijikenda hadithi za mekha ni za abunuwasi

  • @shaloboy3861
    @shaloboy3861 4 роки тому +1

    Langu ni mdziriphe

  • @muonlinetv1879
    @muonlinetv1879 Рік тому

    Unaongea sana

  • @gomakuu
    @gomakuu 3 роки тому

    Nina habari nzuri hapa ya Wasegeju;ua-cam.com/video/BUDcnuZjsR0/v-deo.html