UKICHAA wa MC MBONEKE😂 | - "NIPE HELA YANGU / IMEISHA HIYO" | HIVI NI KWELI
Вставка
- Опубліковано 5 сер 2024
- UKICHAA wa MC MBONEKE😂 | - "NIPE HELA YANGU / IMEISHA HIYO" | HIVI NI KWELI
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm - Розваги
😂😂😂 mboneke mc umetisha sana mdau pamoja na timu nzima ya wasafi
mc mboneke msenge kweli yaaana kuanza tu nacheka ngoja tuone adi mwishoo🤣🤣🤣
Mo town Sanya nembo ya mtaa tuko locked up Kenya tunakukubali Sana💯💯🔥🔥
wenginee washavurugwaa na maishaaaaa
#Mboneke ana Viewers kumzd wa wiki iliyopita.
Ilike this madnes
Yaani uyu mkaka kama kweri chizi wallah 😂😂😂😂😂
Sema we msenge sura yko ngumu na upuuz unaofny inakuwa saw😂😂😂😂
Daaaaaaa ila nimecheka sanaaaa🤣🤣🤣🤣
Mboneka kipaji kipo❤️
🤣🤣🤣 kiazi hili ila masihara haya kuna siku mtu ata chezea Mambata
Mboneke umeonyesha ukubwaaaaaaa ukubwaaaaaaa respect Go Big
🤣🤣SEMA style yake atakuta watu wengine hawaelew wanastres zao , wanamshona kwanza mpaka anakuja kujua kua wanashut ashaachezea vitasa🤣🤣🤣🤣💪
Daaaah ira nmecheka ET pand to
Umetishaaa san
Jamani watu mnawapotezea mda wao angalau mnawapatia ata kitu mana niusubufu hali yenyewe ngumu
Kazi nzuri sana wazee wangu
😂😂😂😂😂😂😂😂 number one muzote
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 hii ni kali sana
🤣🤣🤣🤣🤣🤣watanzania mnakulaga nini nyie?❤️🇧🇮
Hahahaaaaaa
Tunakula Mavi na mikojo
@@ogenylaurent7961 daah nimecheka mbaka nikataka ata kujikojoleya mnakulaga nin?😂😂❤🇧🇮🇧🇮
@@ogenylaurent7961 hahahahahahahahahajah uwiiii nafa wallah
Tunakulaga ugali na mlenda boss?
Hahaha daaa wanamuita mwana mchafu
Duh!!! Pesa inatafutwa bwana we
😂😂😂😂😂😂 uyu mwehu sana
Uyu kijane aliepiga magoti kaniumiza yaani mpole natamani nimpate awe mchumba wangu yupo wapi??😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
😀😀😀umemwelewa jamaa..nice
Make hapo kwanza nchee 😂😂😂
Ingelikua ndio Mimi huyo angechezea kichapo chamaana kwenye sec 15 za mwanzo mbona Angekoma😁😁
Watayakanyaga Siku Moja, Waache Tu
Ila hiki kipindi ipo siku moja mtu ata kuja apingwe mangumi
Sio Ngumi, Panga
😂😂😂😂nimecheka kifala et mtoto wa kaka abed😂😂😂😂
😂😂😂
Noma sana
mbavu zinaumaaaa😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 unakichaa mboneke kumfanyia mzee Ivo ndo nn
Mzee kakimbia 😂😂😂
Video quality haikuwa nzuri sana
Umetisha kinoma saa🤪😅😅😅
daaahh Leo nimecheka kweli yaniii🤣🤣
Ahahahaha sio kwa mauno hayoo mboneke
Fire
Kwenye kuimba kwanza ncheke😅😅😅😅😅😅
kuwenii makin sanaa utakujaa pataa hasaalaaaa
Jamani 🤣🤣🤣🤣🤣🙌
Hii apa mmetisha sana Nembo
Nembo ya mtaa 🔥🔥
Mwenye sambusa mbiooo😁😁😁
Watu wa bongo movie wampe character ya kichaa kwenye tamthilia zao.😁😁😁
Apo mwisho ss ao makaka wanajisany kuimba ki romantic nimechekaa😉😉😉😂😂😂😂😂😂
Like kwanza pind letu la kijanja 👈👈👊👊👊
Dah uyu mngese kwel yaani 😂😂😂
Kazi ni nzur so poa
Kwenye setting za camera tyu ndio hamjatundea haki kabsa
Sisi tusiojua tunajionea sawaa tuu😂😂
🤣🤣🤣🤣 make hapo kwanza ncheke
Jamaa nikipaji😂😂😂😂
Nakubali
Hahahahahhaahah hahahahhaahahahaahahhaa hahahahahahahhaahha kweli noma
Apande Waende Wapi Sasa😂😂😂
Mboneke aisee umeivaa God bless u bro🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣😀
Mc mboneke umetisha😀😀😀😀
Ila sanya ujue ww pia unajua sana act mshikaji jaribu
😄😄😄 jamaa ana kata mitaa na sambusa zake
Ila mboneke kweli kiboko namkubali sanaa
Hahahahah 🤣😂 nyie tafuteni ugomvi tu
Mo town sanya kaz nzuri
Aseee 🤣🤣🤣
✅✅✅
😁😁😁😁😁😁
🤣🤣🤣nomasana
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 daaah
😂😂😂😂😂
Content yaudhi kweli mwanaaa so scaring yaaani mtu Ako hustle zake mwamletea vibwaga
Hahahahahaha
Dah nimepata raha sana yaani nimecheka sana yaani mo Town sanya pamoja sana
Gd san
😂😂😂Ila so pia kunyoa Baru mzee wa watu
iko siku jamani mtapigwa yaani engekuwa Arusha mngeshatolewa meno sk nyingi sana
Mo Town niaje nakubaliiii san ubunifu wakooi mzee ila hivi ni haiweziiii kukamilik kama hatujamletaaa,joti,mpoki,masanja,niva,braza K,Ray kigosi,JB,Ringo,Baga, mzee muhogo mchungu,jum nature,alikiba,fiston mayele,Enock enonga,onyango,kapombe,hussein mo,mwamunyeto,nk
Mollison pia
Hhh
😁😁😁😁😁😁😁😊🤣🤣🤣🤣🤣
Muwe mnawapa Ata vibuku😂😂😂
Kweli 👌👌
Munakuwa nakazi ngum kutengeneza atation
Sema kijana ..umeleta minyam sana motownsanya
🤣🤣🤣😭😭
😂😂😂😂😂😂😂😂
Frist Coment 😁😁😁
😂😂😂
Hatariiii 😅😅😅😅😅😅
Ila mbona kama mnamdhalilisha vile
Ila nimeumia sana yule mwamba aliyeomba msamaha 😥😥
Hahahahahaha na magot juu,hawa sjui watanzania wawap wapole
@@cderamadhan6700 asee mm ningetoa mtu ngeu
Kaka wa watu mpole😅😅😅
😊😊😊😊
Mnatakiwa mshitakiwe kama mgambo wa Jiji mnabuguzi wamachinga na biashara zao 😂😂😂😂😂😂
Naeza mshushia kipigo mtu na nsilaumiwe na hasira zangu hazina breki ohoooo angalieni vipindi kama hivi mnaeza kumpoteza huyo mboneke
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😁😁😁😁
🚔🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hahhahahahhahahahahha nimecheka uwiiiiiii..Ila mboneka
Hahahahahahahahahahaha nimecheka kwa saut babu kakimbia huyo
Mzee kaamua kusepa🤣🤣🏃🏃
wakaya
😂😂😂😂😁😁
Nimecheka mm daaah 😂😂😂😂😂😂
Ndio😅😅😅anaitwa mboneke
Yani hii kiupande wangu naiangalia kila siku na hasa nikiwa na streess yani imenichekesha sanaaaa
😀😀😀😀😀😀😀
Hahahahh 🤣🤣🤣🤣
Kipengere cha mpaka rangi na Muuza sambusa nimecheka sana
😂😂😂😂mboneke👐👐👐