BABY ZUCHU KAZIMIA AMVURUGA BABA WA WATU / KACHANGANYIKIWA// HIVI NI KWELI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #motownsanya #wasafitv #hivinikweli

КОМЕНТАРІ • 340

  • @theophilwhiteheart1997
    @theophilwhiteheart1997 2 роки тому +15

    asee huyu mtoto kipaji chake cha hali ya juu Mungu ambariki zaid🙌🏼🙏🏽

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 2 роки тому +22

    Bongo vijana wanapenda umbea sana watu wameacha kazi zao wanafuatilia yasiyowahusu🤣🤣

  • @pierredipapa9065
    @pierredipapa9065 2 роки тому +10

    Mo townsanya ww ni no. 1 tv presenter unaweza mno 💯 idea mujarab sana

  • @barakatabdul3212
    @barakatabdul3212 2 роки тому +19

    Zuchu Amewafinika watoto wote yuko juu" mbayaa Masha-Allah 🤣🤣🤣🤣

  • @warawaratv691
    @warawaratv691 2 роки тому +26

    🤣🤣🤣hawa watoto wanaua zaidi kuliko wote waliopitaa 🤗💪🏻💪🏻💪🏻

  • @lissadee9009
    @lissadee9009 2 роки тому +10

    Munaosem uyu katisha kuliko madog wote uongo bhn Mai zumo kile hapana kwakwel ni 🔥

  • @hogo9442
    @hogo9442 2 роки тому +13

    Kazuchu.kangu kameweza🥰😍😍

  • @dianarobert3989
    @dianarobert3989 2 роки тому +8

    Wewe Motownsanya utakuja kuuwa watu na presha😂😂Zuchu ni another level🙌

  • @Captain_shiii
    @Captain_shiii 2 роки тому +14

    Zuchu anajua kuwashida walio pita mwingizaji mzuri alafu ana passion

  • @mohahassan5687
    @mohahassan5687 2 роки тому +25

    Mtoto actor mzuri sana.

    • @Kingtiger98
      @Kingtiger98 2 роки тому

      5 Er. ua-cam.com/video/XaEySPegizY/v-deo.html

  • @agnesmwikali539
    @agnesmwikali539 2 роки тому +12

    Show iko top👌🔥mtu haezi elewa kabisa ,ningumu kuchanuka unanaswa , toto is bright like grandmother,like mother

  • @sephaniaayubu1877
    @sephaniaayubu1877 2 роки тому +13

    Kwanza huyu nimtoto au kadumaa🤣🤣🤣🤣🤣🙌🔥🔥

  • @rukiauwonde7062
    @rukiauwonde7062 2 роки тому +7

    Nimecheka balaa 😃😃mzee na mshipa wake anamkimbiza baba wa zuchu😅

  • @neemamjema1067
    @neemamjema1067 2 роки тому +6

    Baby Zuu kauwa anajaza umati, katishaaa🔥 🔥🔥🔥🔥

  • @bakrybrown4171
    @bakrybrown4171 2 роки тому +15

    AISEE DOGO ZUCHU KAUWA SAAAAAANA KULIKO MADOGO WOTE WALIOPITA DAAAH SI MCHEZO 🤣🤣🤣🤣🤣 BIG TALENT

  • @karangwavema5485
    @karangwavema5485 2 роки тому +17

    Montown we need part2 na zuchu

  • @hanifamasudi9732
    @hanifamasudi9732 2 роки тому +9

    😂🤣🤣😂😂 hii noma zuchu baby nikomedi tosha wallah

  • @juliusmlungu8717
    @juliusmlungu8717 2 роки тому +6

    Sanya na zuchu leo ni moto nimecheka sanaa mtoto kaua

  • @kidunapoletano3118
    @kidunapoletano3118 2 роки тому +11

    mo town umetishaa mzee 🔥🔥

  • @allyhamisi6394
    @allyhamisi6394 2 роки тому +10

    mtoto ana kipaji kikubwa sanaaaaaa

  • @alinentahobari2930
    @alinentahobari2930 2 роки тому +8

    Hahahahaha mjomba costa muoga 😂😂😂😂

  • @boionemkenyaofficial8822
    @boionemkenyaofficial8822 2 роки тому +2

    Ila leo jamani zuchu hatari kinoma haipingwi haikataliwi 🔥💯 ameweza Sanaa ♥️❤️

  • @saidachimmy8074
    @saidachimmy8074 2 роки тому +5

    Mtto mshenzi uyu 🤣🤣 walh nimejua kucheka leo baba wawa2 kashatoa siri kwamba katoka na wengi🤣🤣🤣

  • @rechorechojumamaroda5045
    @rechorechojumamaroda5045 2 роки тому +18

    Ila kukosa sim kubwa ni janga la kitaifa yaan jamaa hawaelewi chochote

  • @dangoteally1275
    @dangoteally1275 2 роки тому +6

    Dar noma sana.

  • @lays6055
    @lays6055 2 роки тому +3

    zuchu baby 🤣🤣🤣🤣🤣🤣you nail it baby girly we 💖you in +254

  • @Kibandulo
    @Kibandulo 2 роки тому +4

    Hii ndo kali ya mwaka yaani uyu mtoto zuchu ana balaa 😄😄😄😄

  • @saudahassan6667
    @saudahassan6667 2 роки тому +5

    We mtoto umejua kuwaumbua wanaume yaan nimecheka ety kweli mm nimetembea na wanawake wengi sana inaweza ikawa kweli dah umejua kuumbua ww mtoto

  • @elimumwaipaja74
    @elimumwaipaja74 2 роки тому +7

    Levels.. Sanya akili kubwa.

  • @zou7470
    @zou7470 2 роки тому +3

    Baby zuchu mitano kwako umetisha kinoma🤣🤣🤣🤣❤

  • @allyally2908
    @allyally2908 2 роки тому +5

    Salute bby zuchu

  • @jamilaezekiel6174
    @jamilaezekiel6174 2 роки тому +7

    Nakupenda mtt mungu akukuze

  • @kinglee6777
    @kinglee6777 2 роки тому +5

    Zuchu katisha leo 😂😂😂🔥🔥🔥🔥 sanya Huna mbaya

  • @fesbwom7261
    @fesbwom7261 2 роки тому +3

    Dah.. zu baby. Talente kinoma 😂🤣

  • @aayeshakhan9962
    @aayeshakhan9962 2 роки тому +12

    zuchu ninoma sana kabisa 🌹🌹💕💕🥰🥰👍👍👏👏👌👌💯💯🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @duniawadunia4824
    @duniawadunia4824 2 роки тому +20

    Kwanini hawa wa toto Msiwakutanishe Na Mai zumu, dogo sele, Asma, na dogo zuchu? Wakafanya pamoja Bonge la funny 😆 la daika 25 tu basi huu ni ushauri na saa?

  • @manbonge3015
    @manbonge3015 2 роки тому +4

    Zuchu ame uwa sana🔥🔥🔥🔥🤣🤣🤣🤣

  • @Styner356
    @Styner356 2 роки тому +7

    Zuchu kama zuchu🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @faridaramadhan5721
    @faridaramadhan5721 2 роки тому +6

    Ila zuchu ww ni 🔥

  • @dairyhairy6269
    @dairyhairy6269 2 роки тому +9

    Huyu mtoto kiboko😂😂😂

  • @emanuelandronicus2574
    @emanuelandronicus2574 2 роки тому +3

    Huyu mtoto ni fireee🔥🔥🔥🔥🔥

  • @kessylukombe1811
    @kessylukombe1811 2 роки тому +3

    Baby zuchu kawafunika watoto wenzake wote ni noma huyu mtoto🤣🤣🤣🤣

  • @missyfao1375
    @missyfao1375 2 роки тому +4

    Zuchu kama zuchu 😂😂😂😂ameuwaaaaa

  • @jumamanywa5091
    @jumamanywa5091 2 роки тому +4

    Zuchu nomaa💥💥💥💥

  • @kudra23
    @kudra23 2 роки тому +5

    Zichu baby ninoma kweli

  • @manasadunia3458
    @manasadunia3458 2 роки тому +4

    😂😂😂😂😂 mtoto anatembea na mapigo ya moyo

  • @Max-kl8hv
    @Max-kl8hv 2 роки тому +1

    I love it 🤩🤩🤩 Zuchu baby

  • @adelinahnorbet1804
    @adelinahnorbet1804 2 роки тому +21

    Huyu mtoto kanishinda tabia 🤣🤣🤣

  • @jenipherbwanga2448
    @jenipherbwanga2448 2 роки тому +5

    Waooo so talented and amazing comedian upcoming artist

  • @erickchaula1898
    @erickchaula1898 2 роки тому +5

    Zuchu amefunika wote aisee hata jamaa wastend kuanza kusema kweli ametemebea nawengi labda kweli mama nilikuwa naye

  • @annethpaschal6381
    @annethpaschal6381 2 роки тому +2

    Baby zuchu kumbe unatembea n bomu 😄😄😄😄

  • @faridaramadhan5721
    @faridaramadhan5721 2 роки тому +4

    Zuchu ww ni 🔥

  • @omaryseleman9666
    @omaryseleman9666 2 роки тому +5

    Balaa zito zuchu kaua sana ✌✌✌

  • @zenahbayeh7371
    @zenahbayeh7371 2 роки тому +7

    Wasafi jamani mko moto Sanaa 🔥🔥🔥🔥

  • @wamoroboy8963
    @wamoroboy8963 2 роки тому +7

    Kipind safi sana hiki #MoTownSanya

  • @ramabway1059
    @ramabway1059 2 роки тому +6

    Nawasalimia Kwa jina la mjomba costa

  • @margretkuvuna1627
    @margretkuvuna1627 2 роки тому +8

    It was amazing

  • @jamilamalieha6161
    @jamilamalieha6161 2 роки тому +7

    Amazing mtoto 🥰🥰🥰🥰👌🇰🇪

  • @hansontweve3991
    @hansontweve3991 2 роки тому +2

    Mo town GENIOUS

  • @saudahassan6667
    @saudahassan6667 2 роки тому +1

    Nimeanza kucheka kabla kaz haijaanza zuuuuuchuuu nakupeendaaa

  • @ntiliyothomas5146
    @ntiliyothomas5146 2 роки тому +2

    Et ana hiki kidude et? Siyo bomu hili😄😄😄😄😄 zuchu mtoto utawaua watu kwa presha

  • @galary8688
    @galary8688 2 роки тому +8

    ZUCHU umeua mtoto 😂🤣

  • @moshiomarymnyeda8907
    @moshiomarymnyeda8907 2 роки тому +4

    Sanya juu home 🏠 🤣🤣🤣✅

  • @emmanueloinoth
    @emmanueloinoth 2 роки тому +5

    Huyu mtoto kitambo ananiambia🤣🤣

  • @violetteniyongabire3859
    @violetteniyongabire3859 Рік тому

    Uyu mutoto namupenda

  • @ralahzee4366
    @ralahzee4366 2 роки тому +17

    11:40 he is the best street uncle ever🤣🤣

  • @hamedabashir9
    @hamedabashir9 2 роки тому +5

    Zuchu Zuchu 😂🤣🤣🤣🤣🤣😂

  • @martinezsiwale4419
    @martinezsiwale4419 2 роки тому +2

    Saaaaaafiii

  • @dairyhairy6269
    @dairyhairy6269 2 роки тому +3

    Yaani kanaweza hadi kuigiza😂😂

  • @sayeedbinazan
    @sayeedbinazan 2 роки тому +1

    The girl is so tallented

  • @suleimanrashid3918
    @suleimanrashid3918 2 роки тому +16

    Mimi naona serekali ingepitisha bajet kila mtz awe anamiliki smart phone na anapewa na serekali waache kutuumiza vichwa na haya mambo ya maji na umeme hayo tutajitafutia wenyewe maana uko nikama wame shindwa yani kukosa maji na kukosa hiki kipindi kipi bora??? Apo sija vuta nikivuta sijui itakuaje 😂😂😂

  • @AshaAsha-ng1ug
    @AshaAsha-ng1ug 2 роки тому +4

    Ama kwel kukosa sim nijanga la taifa🤣🤣🤣🤣

  • @moza8355
    @moza8355 2 роки тому +5

    Wantanzania mnachekesha sana

  • @rajibabalao001
    @rajibabalao001 2 роки тому +1

    Mo unatisha sana ña hao watoto wako

  • @paulinakilalave1116
    @paulinakilalave1116 2 роки тому +5

    😂😂😂 uyu mtoto kanishinda tabia

  • @iteritekakenny565
    @iteritekakenny565 2 роки тому

    Napenda sana uyu zuchubby mai zumo na asma

  • @beachgizaarea5370
    @beachgizaarea5370 2 роки тому

    Mo town sanya nembo ya mtaa umeua balaa unyama sana

  • @whimsymaverick3057
    @whimsymaverick3057 2 роки тому +1

    Hii nzuri

  • @waheedahtanzania4912
    @waheedahtanzania4912 2 роки тому +5

    Zuchu kazimia 🤣🤣

  • @benboyburundi2429
    @benboyburundi2429 2 роки тому

    Uyo Mzee Milena yaani soo saan Kabisa

  • @zaituniportland853
    @zaituniportland853 2 роки тому +2

    Good job 💖💖

  • @dottohamisi9844
    @dottohamisi9844 2 роки тому +2

    🤣🤣🤣Eti mjomba Kosta kijana kavulungwa 😀😀namjua

  • @godfreyally7787
    @godfreyally7787 2 роки тому +3

    Dah haka ka zuchu baby 🤣🤣🤣kanapigilia msumali usimtetee ndio huyu huyu

  • @irakozetv9515
    @irakozetv9515 2 роки тому +2

    Mo town Mungu anakuonaa ila u make me happy

  • @zulfasaeed7445
    @zulfasaeed7445 Рік тому

    Zuchu ni noma 😂😂😂😂😂

  • @samiraabdallah1894
    @samiraabdallah1894 Рік тому

    Yani uyo zuchu ninoma Sana😁😁😁

  • @dottohamisi9844
    @dottohamisi9844 2 роки тому +4

    😂😂😂Nyie mnachanya watu eti sio bomu hili

  • @tausimunila5053
    @tausimunila5053 2 роки тому +2

    Hahahahaaa zuchuuuu jamaniiii

  • @ramadhanimussa2625
    @ramadhanimussa2625 2 роки тому +1

    Hii nimeikubali mchaga

  • @mtemititus6618
    @mtemititus6618 2 роки тому

    Zuchu baby katisha sanaaa

  • @azibossladykenny2455
    @azibossladykenny2455 2 роки тому +9

    😂😂😂😂😂UYU MTOTO UWIIII

  • @gadsonndato2941
    @gadsonndato2941 2 роки тому +2

    Dah huyo jamaa aliekua anamtuma zuchu maji walimalizaje jaman

  • @mungajuma362
    @mungajuma362 2 роки тому +2

    😂😂😂hyu kamalza show

  • @saidymatejoe2212
    @saidymatejoe2212 2 роки тому

    Show ilikua kali sanaa😂😂😂😁

  • @MNexNexI
    @MNexNexI Рік тому

    Good

  • @edwingwesso6818
    @edwingwesso6818 2 роки тому +2

    Et nlisha pita nawatoto wengi sana

  • @godfreyally7787
    @godfreyally7787 2 роки тому

    Mmetisha Sana BG up

  • @fulugutumadoja2360
    @fulugutumadoja2360 2 роки тому

    Zuchu motoòooooooo kaua sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

  • @meshachkigumbikigumbi2369
    @meshachkigumbikigumbi2369 Рік тому

    Mnajua kucheza na akiri za watu wakijiona kama walikuwa wanachezewa duu!!! Sijui watachekaje

  • @mohameeddoaan2296
    @mohameeddoaan2296 2 роки тому +2

    Jamani mtakuja muache watu waumizane