Umuhimu wa mafunzo ya Jinsia, kisa mkasa jamii ya wakulima wa chai Bungu Korogwe

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 бер 2024
  • Wawezeshaji wa masuala ya Jinsia na maendeleo wameeleza namna Dhana za kijinsia zinavyoathiri uzalishaji kwenye mnyororon wa thamni kwenye kilimo.
    Kwa kushirikiana na Wadau wa maendeleo wa Care International, Transform Trade pamoja na Kampuni ya Kazi Yetu wamezibaini changanoto kwenye jamii ya wakulima wa zao la Chai na kuamua kuchukua hatua za kuwakusanya wakulima na kuwapatia mafunzo ili waweze kuchangia katika uzalishaji wa malighafi za chai tiba na chai ya viungo.
    Wasikilize hapa.

КОМЕНТАРІ •