MFAHAMU BILIONEA WA ZAO LA KAHAWA KUTOKA MKOANI SONGWE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 жов 2024
  • Mafanikio kupitia Kilimo cha Kahawa kwa Mazungumzo yaliyofanywa baina yetu na ADAM KALONGE Mmiliki wa KALONGE FARM ambaye yeye ana mashamba makubwa pamoja na mashine za kuchakata zao la Kahawa kabla halijapelekwa kuuzwa nje ya nchi.
    Tazama kwa kirefu kufahamu zaidi juu ya Kilimo cha KAHAWA.
    Karibu katika Mitandao yetu ya Kijamii kufahamu zaidi:
    Twitter : / shambahubtz
    Instagram : / shambahub_tz
    #kilimobiashara #kahawa #coffeeplantation #coffee #Mbeya #songwe #Tanzania #technology

КОМЕНТАРІ • 3