Dada hujafa hujaumbika, hongera sana kwa kutunza utu wako na kumheshimu mmeo. Kikubwa Mng'ang'anie Mungu. Yule baba aliyekuita marehemu unayetembea naamini Mungu alishakujibia. Mabinti wengine waige moyo wako.
Huyu dada ni sawa tu na mke wangu, wanawake Kama Hawa wanaojitambua wachache Sana hongera sana Mungu atawafanikisha kwenye safari yenu ya maisha wewe mumeo na watoto wenu
Aiseeee dada anatema madini na anajitambua imagine angebahatika kupitia shule angekuwa hatari zaidi ya ivi,dada ubarikiwe Mungu akakujazie kikombe chako mpk kimwagike,bro umepata mwanamke wa shoka hongera Kwa mume
Riziki Paul nisikilize kidogo dadangu kama utapata fulsa ya kuona comment yangu Mungu mkubwa katika maisha ya binadam ujasili ulio nao. Ndo mafanikio yako endelea kupambana tu never give up
If we could look into each other’s hearts and understand the unique challenges each of us faces, I think we would treat each other more gently, with more love, patience, tolerance, and care.
Uyo jamaa ampende sana mkewe.Kaka mke umepata usije ukamliza siku laana haitoki Kwa wazazi tu.Mke anaye kutaja mara tatu tatu hiyo ni mwanamke kweli kweli.Hata cku moja moja Rudi hata na maua
@@aminah3346 ukisoma ivyo ujue unapenda maisha ya juu bila changamoto,na una chagua waume,msikilize uyo dada vzr utagundua Jambo hasa ukikutana na mwanaume mwenye maisha ya chini lkn anatamani afike mbali hasa akipata mwanamke anaemwelewa
Hakika katika Maisha kila kitu ni kumuomba Mungu Mimi niliwah kusukumwa katika Daraja na Vijana wawili waendesha Boda boda kisa wamenitongoza nimekataa majira ya Jioni natoka Shule wakisema wamesoma wangapi na wako wapi 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Hongera sana kwa uvumilivu wako mungu ni mwema endelea kumwamini utafika mbali,hongera pia kwa mumeo na wote waliokusaidia.huyo aliyekutukana sio baba na hata kama ni baba hahitajiki kuitwa baba.
Sasa ngoma dar kaka milard tunateseka sana eti ukipata abiria wa kwenda kariakoo au posta unakamata eti hamna kuingia mjini wanakutoza faini laki moja tunanyanyaswa sana hatufanyi kazi kwa raha yaani wakati hatuibi wa hatuli cha mtu na hii habari ya kutoingia mjini waziri alikataza
Basi usilie hizo ndizo changamoto za maisha binadamu walio wengi ni wapumbavu Sana na endapo utawasikiliza utakata tamaa we kaza mungu atakufungulia utafanikiwa zaidi na utaweka histolia kubwa kwenye maisha yako
Hongera my dear kwa kufika hatua kama iyo na pia ongera ww na mumeo lkn wanaume sio wazuri mpz unaangaika nae lkn mkishafanikiwa mume anakusariti mchana kweupe..mm nilikua kama ww maisha ya kumuamin mwanaume lkn sasaivi nimeshakataa tamaa kuhusu hao wanaume siwataki hata kuwaona
@@rashidyally8715 amna lolote wanaume wote vigeu vigeu tu mm wala bado ujanishawishi nataman ningekua napita kuhamasisha kuhusu swala mwanamke kuunda mali na mwanaume🤮🤮🤮
Very bright and intelligent nimempenda ni mvumilivu mcha Mungu na ana upendo na familia yake Mwenyezi Mungu azid kumpa nguvu
Dada hujafa hujaumbika, hongera sana kwa kutunza utu wako na kumheshimu mmeo. Kikubwa Mng'ang'anie Mungu. Yule baba aliyekuita marehemu unayetembea naamini Mungu alishakujibia. Mabinti wengine waige moyo wako.
Mungu akusimamieni wajameni, bright woman! Utatoboa hakika
💪💪💕💕, hutalia tena. Mwenyezi Mungu akujaaliye Kila lakheri Insha Allah 🤲
Mwanamke mwenye akili akipata mume bora maisha yanakuwa raha sana.
Kama mm vile 😜
Sanaaaaa
Waoooo! She is so bright for sure. Mwanamke mwema
Anajielewa sana Mungu hamtupi mja wake..hongera sana dada
Huyu dada ni sawa tu na mke wangu, wanawake Kama Hawa wanaojitambua wachache Sana hongera sana Mungu atawafanikisha kwenye safari yenu ya maisha wewe mumeo na watoto wenu
Dada upo njema sana.
Piga kaziii na Mungu ni mwema atakupigania utayafikia malengo yako.
🔥🔥❤
Waitwao ni wengi, watendakazi ni wachache. Daaaa Mungu akubariki hasa kwa kujitambua, big up
Niwachache Sana wenye uvumilivu wa hari ya juu sana hongera Sana dada mungu atakujaalia
Nimewah kupanda bajaji ya huyu dada kwanza anastor kama zote abiria unaenjoy😂😂😂...Keep going dada
Daaaa!!!!. Huyu Dada Nimetamani Abgekuwa Mke Wangu Maana Anamtaja Mume Wake Kila Sekunde Na Kila Dakika
hahaha
😂😂😂😂
Kabisaaaa
😂😂kwan wa kwako hakutaji jamn watajeni waume zenu
@@Sharifarajabudebe aise sikumbuki ilikuwa lini kinitaja mbele za watu😀😂😂😂
Mzuri mashalllah 💙congratulations 💪💪💪my
Super women 💪💪💪💪🙌🙌🙌🥰
Majaribu ni mtaji mshukuru yule mzee aliye kutukana amefanya uongeze nguvu za utafutaji zaidi na Mungu atakubariki sana
Dah! Pole sana Dada Mungu akutie nguvu Mungu akufanikishe Mungu aifadhiri ndoa yako.
Very inspirational! MILARD AYO TUFANYIE INTERVIEW NA MUME WA HUYO DADA....#SuperWoman💪
Aliemuoa huyu dada amepata bahat sana
Aiseeee dada anatema madini na anajitambua imagine angebahatika kupitia shule angekuwa hatari zaidi ya ivi,dada ubarikiwe Mungu akakujazie kikombe chako mpk kimwagike,bro umepata mwanamke wa shoka hongera Kwa mume
Ni kweli kabsaa nampenda dada huyu sanaaa
Huyu ndie mke sasa siyo hawa wabandika kope na mikucha
🤣🤣🤣🤣🤣
🤪🤪🤪
Swadakta
😂😂🤣🤣🤣🤣🤣
In shaa Allah Allah awazidishie rizki mtimize ndoto zenu.
Riziki Paul nisikilize kidogo dadangu kama utapata fulsa ya kuona comment yangu
Mungu mkubwa katika maisha ya binadam ujasili ulio nao. Ndo mafanikio yako endelea kupambana tu never give up
Bichwa bovu Leo umetoa ushauri mzuri inaonekana umeanza kupona🤣🤣
Mungu mkubwa hakuna kutafuta kwa rahisi lazima upitie changamoto ndio uwe mshindi hongera dada 😍
Hongera sana shemej ang kwakwel unajtma nakpata sana umeuza sana matunda kichwan
HAKUNAGA MTU WA GEITA MJINGA MJINGA. BIG UP MWANAGEITA MWENZETU UNA AKIILI TIMAMU SANA
Hongera sana, mungu muweza wa yote, endelea kupambana malengo yako yatatimia
Daa pole dada san mungu akupe maisha marefu san pamoja na mume wako unajituma san hawa ndo mawif tunaotak.
MUNGU akupe kuishi miaka mingi Dada # maana wewe Ni mke mwema
Hii ndo maana halisi ya Couple Goals Hongereni sana Mungu awatangulie mtafika mbali
Mume wako ikija kukuwacha atajuta mpaka kaburini hongela sana
Mwanaume ukifanikiwa hapa jeuri ongera mwanamke mwenzangu.
Dada unaongea vizuri sana ,,,Mungu awafanikishe
Hongera sanaa dada piga kz
Mungu bado anampango nyie wacha kulia
Woow, hadi raha! Mungu azidi kuwafanikisha🙏💪
Mm mwenyewe ndoto yangu kuja kuendesha bajaji inshallaha
If we could look into each other’s hearts and understand the unique challenges each of us faces, I think we would treat each other more gently, with more love, patience, tolerance, and care.
💯
Mama hongera uko vizuri Mungu akuongoze na kukuangazia
Hongera mwenyezi Mungu akutangulie
Uyo jamaa ampende sana mkewe.Kaka mke umepata usije ukamliza siku laana haitoki Kwa wazazi tu.Mke anaye kutaja mara tatu tatu hiyo ni mwanamke kweli kweli.Hata cku moja moja Rudi hata na maua
Mim nimesha lizw san
@@aminah3346 ukisoma ivyo ujue unapenda maisha ya juu bila changamoto,na una chagua waume,msikilize uyo dada vzr utagundua Jambo hasa ukikutana na mwanaume mwenye maisha ya chini lkn anatamani afike mbali hasa akipata mwanamke anaemwelewa
@@neemacharles5502 we nawe hujaelewa nilicho manish kaa kimy man siwez kuanik niliyo pitia hap hazarani
@@neemacharles5502 kuna wanaume wengine unaanz nae chin akisha fanikiwa tu anaanz vitimbi
@@aminah3346 kweli dada we ndiyo mm nawaogopa Sana wanaume ambao hana kitu wanabadilika vibaya san
Hongera sana Dada,Mwenyezi Mungu akutimize ndoto zako
Pole Dada mungu akupe maisha marefu ✍️
Hakika katika Maisha kila kitu ni kumuomba Mungu Mimi niliwah kusukumwa katika Daraja na Vijana wawili waendesha Boda boda kisa wamenitongoza nimekataa majira ya Jioni natoka Shule wakisema wamesoma wangapi na wako wapi 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Dada siyo wewe tu Kuna mtu alishawahi kunidharau na kunikataa lakini Leo hii hata hanifikii. MUNGU NI MUNGU TU
Mungu akisaidia sana uendelee kufanikiwa
Daaaah😭😭😭 eti we nimarehemu unaetembea ...
Inauma Sana 💔 kuitwa marehemu huku upo hai 🤔😭😭😭😭😭😭😭
Hongera sana Mungu akubariki
Uyu dada anaakili sana 🥰
dada nmefikilia kitu gani ntacommenti hap kizuri kikufikie ira sjaona nakuombea mungu akupe afia njema
Sema wanaume sometime viumbe vya ajab sana apo wanehangaika wote wakij kupat mali tu ataanza na michepuko😭😭
Akiwa na michepuko si afadhali wanawafukuza kabisa wake zao
@@aishaomarry6996 jaman 😭😭
Yani ni shiida sana
Imeisha hiyo haha
Ongera sana sana my Dada
Hongera Sana dada, hongera kwa mume wako pia.
Hongera mdg wangu wew ni malkia wa nguvu
pole sana pambana
Hongelaa sana dada👏
Pole Sana omba Mungu Sana na ufute hayo maneno alio ongea huyo baba mchawi
Big up kwa Muwe wa uyu dada👏
Hongeraaa sana dada and never give. Up
Wow amazing interview 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Maskin dah pole sana dada mungu atakufungulia zaidi.
Mungu azidi kuwabariki mtafika mbali sana
hongera sana unajitambua
Mungu aendelee kuwapigania
Dada yuko vizur sana.
Hongera dada n'a ujasiri wako
Hongera sana kwa uvumilivu wako mungu ni mwema endelea kumwamini utafika mbali,hongera pia kwa mumeo na wote waliokusaidia.huyo aliyekutukana sio baba na hata kama ni baba hahitajiki kuitwa baba.
Interview nzuri Sana inspired
Sasa ngoma dar kaka milard tunateseka sana eti ukipata abiria wa kwenda kariakoo au posta unakamata eti hamna kuingia mjini wanakutoza faini laki moja tunanyanyaswa sana hatufanyi kazi kwa raha yaani wakati hatuibi wa hatuli cha mtu na hii habari ya kutoingia mjini waziri alikataza
*u have a good speach cctercongraturation dou to this Enterviw*
Pole na hongera sana
Mungu ni mwema mamangu
Mko very smart wewe na mme wako mtafika mbali sana
Mhh ubarikiwe dada maana wengine duh
Wabarikiwe wazazi wako
Safi sana dada,maana wanawake wengi wao wanategemea kujiuza au kutumia mwii wao kupata fedhaa...yaani udangaji
Kwakweli huyu mdada ni wa mfano Sanaa hakika wanawakewote wangekuwa Kama huyu dada hii dunia na amani Sana
Hapn anabahati kapat mwanaume mwelewa wengine tumejaribu tumebak tunaumia tu
Kweli dada
Ndo maisha yalivyo
Waooooh anajieliwa sanaaa
Hongera mdada
Anajua Kujielezeaa sanaaa
Sanaaa anajua kujielezaa munoo
Heeee Dunia hii kumbe Bado wapo wanawake km hawa
Nice 👍
SoMo kubwa sn hapa🙌🙌
Mtangazaji fanya juu chini tumpate na mume wa huyu dada🤣
Marehemu tatizo. Sisi sote ni maiti .Nani anabisha yeye atakuwa mlinzi wa Dunia .Mbona Mimi Siyoni tatizo Sisi sote maiti kubali ukatae.
Interested😘
Huyu ndo Super women
Kila mtu anasafari yake katka maisha hata waliofanikiwa Kuna history kubwa behind their life Cha msingi ni kufight tu hakuna sababu yakukata tamaa
Wife material ndo huyu sasa
Kwakweli
Pambana dada heshima pesa Mungu yupo pamoja na wewe waliokudharu watakusalimia kwa heshima
Huyo mwanaume akifanikiwa cjui km atakua hvy labda wanaume wa geita uko
Milard kuna mtu anataka kumsaidia kulipia kudogo tunaomba mawasiliano
Love 💕.....
Safi sana we nimke bora
Muombeee Mungu huyo mume ll shetani asije pita hapo
Hv kameraman huwa hamna Kairi hee?!!
Hebu tazama jinsi ulivomtoa sura umeiharibu sana utadhani analia
Binti una akili sana. Wewe ni mwanamke mpambanaji,fanya kazi kwa bidii utaona matunda yake.
Naenderea pambana jaman
👏👏👏👏💪💪💪
Basi usilie hizo ndizo changamoto za maisha binadamu walio wengi ni wapumbavu Sana na endapo utawasikiliza utakata tamaa we kaza mungu atakufungulia utafanikiwa zaidi na utaweka histolia kubwa kwenye maisha yako
L
Hongera my dear kwa kufika hatua kama iyo na pia ongera ww na mumeo lkn wanaume sio wazuri mpz unaangaika nae lkn mkishafanikiwa mume anakusariti mchana kweupe..mm nilikua kama ww maisha ya kumuamin mwanaume lkn sasaivi nimeshakataa tamaa kuhusu hao wanaume siwataki hata kuwaona
@@kiehbhzh7044 hiyo wewe na huyo mtu ulie mpata Ila sio wanaume wote tuko namna hiyo
@@rashidyally8715 amna lolote wanaume wote vigeu vigeu tu mm wala bado ujanishawishi nataman ningekua napita kuhamasisha kuhusu swala mwanamke kuunda mali na mwanaume🤮🤮🤮
@@kiehbhzh7044 ushafeli wewe sema umekutana na mtu asiejielew kwenye maisha au wewe ulikua jeli jeli sana
Dadeki eti marehemu anayetembea mpuuuz sana
Mungu awe pamoja nanyie japo mkipata pesa ni sio mume wako nimumewao
Uyo mzee atakua ameshakua marehemu yeye
Nakweli tunatoka mbali san usione mtuy kafanikiw ukasem huyu firimason muache hizo