MWALIMU NA OFISA MTENDAJI WAKATWA MAPANGA MKOANI MARA NA WASIOJULIKANA WAKIDAI MILIONI 6

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 32

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 3 місяці тому +2

    jmn pole dada Mungu nimwema wtt mapacha wamekuokoa maaana wangekuuwa! Sikukuu moja nilitoa ela banki milioni kama 4 sasa nasubir fundi wamalizie boma nikanunue bati na mbao,....Nimekaa nazo kama siku 3 asubuhi yake kuna mdada mpangaji nyumba tofauti ila vipo karibu karibu ananiambia madam usikuu nilitoka nikakuta mtu kasimama mlangoni kwako.. Nikamuita mume wng ndani njooo kuja mtu kasimama mlangon kwa madam, aliposikia kaondoka nyie niliogopa hata chai sikunywa ile ela sikuku iyoiyo nilienda kulipia bati na mbao😭😭😭😭😭😭 Tz ukiwa na hela hukai kwa amani nyie naukiwa huna ela hukai kwa amani tena

  • @SalmanMughal-lq5lt
    @SalmanMughal-lq5lt 3 місяці тому +1

    SubhanaAllah

  • @hyy4114
    @hyy4114 3 місяці тому +1

    😭😭😭Subhanna Allah

  • @JosephAgustino-f9z
    @JosephAgustino-f9z 3 місяці тому

    Daaaaaah mungu awapiganie mpone mengine tumwachie mungu pia serekali ifanye kazi yake

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 3 місяці тому +1

    Mweeeee!!Poleni sana.

  • @maryamabdullah9169
    @maryamabdullah9169 3 місяці тому +1

    Pole sana dada Kwa kweli njaa ni shida

  • @gudimbwana8088
    @gudimbwana8088 3 місяці тому +2

    Kilichobaki waziri atoe MAELEKEZO tu ya kuwa WALIMU na watendendaji wapatiwe bastola kwa AJILI ya kujihami sio kwa uonevu huu

  • @BalbinaJohn-c6l
    @BalbinaJohn-c6l 2 місяці тому

    Poleni sana dada

  • @DORADO748
    @DORADO748 3 місяці тому

    Duh ...pole sana ... Kurya tena eno ne etabu

  • @kasangagregory5747
    @kasangagregory5747 3 місяці тому +1

    Pole Sana mtendaji

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 3 місяці тому

    Poleni sana M/MUNNGU Atawaponya nawao malipoyao watayapata

  • @RevinaNtabaza
    @RevinaNtabaza 3 місяці тому

    😢mpk nimelipa,pole mama wawili mwenzangu Mungu onekana ktk hili wote walioshiriki wauwawe tena ikibidi hadharani kbs

  • @winifridakigingachacha3412
    @winifridakigingachacha3412 3 місяці тому

    Daah...!!pole sana😢😢

  • @VenasiaEmmanuel
    @VenasiaEmmanuel 3 місяці тому +1

    Pole sana

  • @mwankunjatyson
    @mwankunjatyson 3 місяці тому +1

    Poleni sana

  • @felixminde5777
    @felixminde5777 3 місяці тому +1

    😢pole sana Dad

  • @zainab8251
    @zainab8251 3 місяці тому

    Pole sana dada

  • @VeronicaRugoyi
    @VeronicaRugoyi 3 місяці тому

    Pole sana mama wakurya wabaya

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 3 місяці тому

    Milioni 6.uxiweke ndaniza nininsasa na hao wauwaji hawanaakili waache wakauwane wenyewe kwa.wenyewe washenzi hao Munguatawaumbua hao majangili

  • @neemabright3635
    @neemabright3635 3 місяці тому

    Matukio kama haya ni kituonyesha Kuna shida kwenye swala la usalama watu wasiojulikana ndo nn hili neno Huwa silielewe hata ,🤔🤔🤔 it's weird

  • @michaelsamson9663
    @michaelsamson9663 3 місяці тому +3

    Poleni sana msipende kuongea nawatu kusu mipango yenu ya pesa

  • @EdnaMbowe
    @EdnaMbowe 3 місяці тому

    Aiseee Watu wana roho ngumu kwa nn lakin kwa niniiiii😭

  • @trifoniambilo2400
    @trifoniambilo2400 3 місяці тому

    Uwiiii

  • @latifamubba100
    @latifamubba100 3 місяці тому

    Poleni San

  • @LydiaLeonidas
    @LydiaLeonidas 3 місяці тому

    Pole San dad 😭😭

  • @AshaMwamba
    @AshaMwamba 3 місяці тому

    Dada unamungu umeachwa kwakuwa unawatoto mapachaa daa pole

  • @elizabethismile6827
    @elizabethismile6827 3 місяці тому

    Uyo Ni MTU anawajua kawachorea dili khaaaa Yani watu wamekaa kudai tunatqka m6 ka waliwapa wawatuzie vile aaah watu jmniii so mfanye kazii mpate pesa zenu halali

  • @kasangagregory5747
    @kasangagregory5747 3 місяці тому +2

    Majitu mengine bhana
    Haya ndio yanafanya baadhi ya mikoa watu wasiende kufanya kazi

  • @FatimaAli-of4gh
    @FatimaAli-of4gh 3 місяці тому +1

    Mtihani au kuna mtu ulimuhadisia kuna dili ya kukamata hiyo pesa ndio kakutumia hao wauwaji jamani mungu awalaani wao mbona wameshindwa kumiliki hizo mln 6 walaaniwe wao na vizazi vyao mbwa hao

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 3 місяці тому

    Si wachukue pesa waende zao kukatwa kwanini 😮🤔 ?

  • @FatmaHamad-g6s
    @FatmaHamad-g6s 3 місяці тому

    Huu mkoa siwezi ishi mmhh

  • @TatoTato-t7s
    @TatoTato-t7s 3 місяці тому

    ivi nyie mnaowavamia watu nakuwapiga kwanini msiwavamie baba zenu namma zenu mkawapiga mapanga washenz nyie