ASKOFU ACHAMBUA HOTUBA YA KATIBU MKUU WA CCM DKT. NCHMBI! AKIPINGA KAULI YA CHAMEDA "SAMIA MUST GO"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 15

  • @andrewkitema9838
    @andrewkitema9838 Місяць тому

    Asante sana Baba Askofu kwa uchambuzi uliotukuka na ushauri uliojaa busara.

  • @RamadhanMohamedi-j3d
    @RamadhanMohamedi-j3d Місяць тому

    Huyo sio mchungaji sababu anashirikiana na watekaji

  • @JacksonMtese-gn4so
    @JacksonMtese-gn4so Місяць тому

    4Rs please

  • @emmanuelkipchumba-m7j
    @emmanuelkipchumba-m7j Місяць тому

    Habari ndoiyo waandee na mandamano paka wapate watu wao walio hai linguine wambaeni jeshi la lapolisi wakae mbali mandamano ya shadema

  • @AsteriaMasika-st5pk
    @AsteriaMasika-st5pk Місяць тому

    Kweli mchimbi naona ni mwelewa,

  • @AthanaseKiyoja
    @AthanaseKiyoja Місяць тому

    Mtu uitwe Azizi ni maadrasa wala hujui Hata maaana ya siasa.uchojua ni mlango wa msikiti

  • @StephenMpallange
    @StephenMpallange Місяць тому

    Kaili ya Dr.Nchimbi tayari imetoa majibu ya Uchunguzi,kwa kuwajibia Olice Uchunguzi wao kwamba CCM haihusiki na Dola,kwa maana ya Serikali kuwa haihusiki.Logically haya ni tayari matokeo ya Uchunguzi kitu ambacho ni wrong.Nchimbi angetamka tu kwamba haijulikani mhusika ni nani ngoja uchunguzi ufanyike tupate kujua.

  • @AzizihFarijala
    @AzizihFarijala Місяць тому

    Viongozi wa dino waendelee na dino zao wasijifanye kama wanaakili kuliko wengine mbona huko ulaya viongozi dini hawahusishwi na mambo ya serikali nyie hapa mnajiona kama miuungu

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward Місяць тому

      Sio kweli, huwezi kutenga haki ya Mtu.mweusi huko marekani na kanisa. Hapo DRC , huoni Kanisani wakiingilia Kati kila leo ?

  • @hamisambari-r1q
    @hamisambari-r1q Місяць тому

    14:14 14:14 14:14