Nimeona interview ya mzee Steven hiza mtunzi wa wimbo huu na kuuimba pia, na msechu aliutumia sana wimbo huu enzi ya rais magufuli, ila jamani mzee anaishi kwa shida sana, na wimbo wake bado unatumiwa sana, ana umri wa miaka 75,anaishi kwa sh 6,000 tuu kwa siku hadi akaimbe kwenye mabaa ndio alipwe pesa hiyo. msaidieni.
Nimezaliwa na nimesomea Tz na niliondoka miaka 43 iliopita ila miaka hio kwangu ni namba maana kama juzi tuu! Tz nilioiacha sio hii iliopo enzi zile 60's na 70's ilikuwa raha mno maisha saafi sana watu walikuwa wema sana..leo hii uroho, ufisadi ili hali kila mmoja na kivyake..maadili yameporomoka unga kila kona balaa tupu! Ila huyu mzee wa kisukuma anachapa kazi na anastahili sifa! Huwa nasikitika sana hali ilivyokuwa ngumu..Mwalimu wangu akivaa suti mwenyewe anang'aa nilipokuja 1984 sikuamini macho yangu kavaa nguo za viraka! Kweli dunia duara...
Asalaam aleikum kaka uko wapi hilo vazi uliovaa kama sio Oman basi itakuwa Yemen na mimi nimeondoka nyumbani miaka mingo nategemea kurudi mwakani mwenyezi mungu akiniwezesha . Naomba dua zako kaka
Najivunia kuwa Mtanzania. Nimekumbuka huu wimbo, ikiwa ni miaka 5 Tangu nitoke Tanzania niende China kutafuta Maisha. Mungu Ibariki Nchi yangu Tanzania, Mungu Ibariki Afrika.
Joti TV tuipende Tanzania nchi yetu Mungu katujaria kheri nyingi wapuuzwe waroho wa madaraka wanaropoka mitandaoni Mungu wasaidie viongozi wetu wawe na uvumilivu wa kusikia na kuona
Nimezaliwa na kulelewa Kenya baba yangu ni mtanzania akapewa araia Kenya mama ni mkenya Kila nikisikia huu wimbo mwili unanisisimka! Kweli blood is stronger than water💪💪
Love Tanzania,.......Its my hope that one day i will visit the grave yard of the late Dr John Joseph Pombe Magufuli in Chato Mkoa wa Geita.....God Bless Africa God bless Tanzania
Wimbo mzuri acha baba zetu warioipigania tanzania Hadi sasa inaitwa tanzania ya amani acha warare sarama nyerere mpaka na jpm nae karara juzi dah amakwer itabaki Mirima tu
My sincere condolences Tanzania, you've lost a great leader,I can't sleep,I'm mourning a great servant who recognized God all of his life on Earth 😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Am Nyawombo Mwiligwa from Tanzania..Dodoma..ilazo sincerely speaking I greatly honoured by president Nyerere..Mkapa and Magufuli the iron ..Tanzania my mother country ..love you much ..
Miongoni mwa wimbo bora wa Karne ya 20 ni Tanzania Yetu ulioimbwa na vijana machachari wa Atomic Jazz,namkumbuka sana Baba yangu Mkubwa Steven Hizza, Mungu Ibariki Tanzania
Ni wimbo uliotia fora sana na ulipendwa na watu sana ni wimbo mzuri sana.nipo uswis na nafurahia kusikia nyimbo za kwetu zilipendwa.asante power nguzo endelea kutukumbusha nyimbo za zamani.kuna, wimbo wa tabora jazz nautafuta sana unaitwa halima.hebu utafute kwenye maktaba yako.nitafurahi sana ukiupata.mariam fritsi
The song has reminded me of Mwalimu Nyerere he struggled to see no Country in Africa is under colonial rule.Nyerere could speak his mind in the U.N assembly for the sake of Africa.
Naipenda sana inchi yangu Naipenda Afrika yetu hongera woote Freedom fighter of Africa NYERERE, JOMO KENYATTA MANDELA LUMUMBA, SAMORA MICHAEL, HAILE SELASI , MUGABE and other regents of Africa Mungu awape pumziko la Amani,
Duh enzi hizo mwl. Nyerere alikuwa na nguvu zake akiiongoza Tz ifikie maendeleo, tu nawashukuruni sana wana muziki kwa kutukumbusha kuwa Tanzania ndiyo nchi ya furaha. Zilipendwa safi sana, naburudika... 19.08.18 London
Mzee hizza hoongera sana uzalendo unaoneka kuna rafikiangu ni kijana mdogo lakin akiusiliza huu wimbo machoz yanambubujika tz yetu we love much our country
Namkumbuka sana jemedari wetu amir jeshi mkuu na rais wetu magufuli.. an ilikuw tukisikia huu wimbo wote tunakimbilia kwenye tv tumuone rais wetu Leo Yuko wp na anataka kusema nn.. mwenyezi Mungu aipumzishe roho yake mahali pema peponi amiina
Duh! Enzi za mkate wa siha, Gloria, maharage ya kopo, samaki chakula barafu,vipande vya papa, saluni chini ya miembe. Dar yenye mikomamanga ndani ya uzio wa makuti. Things have changed a lot, I remember those peaceful days!!!
R.I.P Dr.John P.Magufuli.huu wimbo ukipigwa lazima nimkumbe JPM.
Hata Mimi hapa mkenya nimekubali Tanzania ndio nchi ya furaha, nchi ya kusifiwa
From Tuzo za TMA na 50M😅...nmekuja kuusikiliza sasa!
😂
Kote ulimwenguni watu ote watambua 🙏🥹
Nani yuko hapa 19/10/2024 like tuondoke
Nmekuja kuutqfuta baada ya tuzo...sikujua kama ndo yeye alie imba huu wimbo
@@ItsKlassified kitambo sana 80s huko
@@ItsKlassified kitambo sana 80s huko
Nilikuwa sijaujua huu wimbo nilipoona tuzo ndo nikaja kumtafuta Mzee Steve ambaye amefanya kama Mimi agonge like
Swali ndugu
I'm a Kenyan but love Tanzania very much. I respect you guys
Asante sana , Karibu sana Tanzania ndugu yetu .
I love my Tanzanian 💕💕💕🇹🇿
We respect you too
😍
Nimeona interview ya mzee Steven hiza mtunzi wa wimbo huu na kuuimba pia, na msechu aliutumia sana wimbo huu enzi ya rais magufuli, ila jamani mzee anaishi kwa shida sana, na wimbo wake bado unatumiwa sana, ana umri wa miaka 75,anaishi kwa sh 6,000 tuu kwa siku hadi akaimbe kwenye mabaa ndio alipwe pesa hiyo. msaidieni.
Leo kakabiziwa kitita Cha shilingi million 50, na mheshimiwa raisi mama samia suluhu
Leo mzee hiza kapokea tuzo ya wimbo huu
Hongera Dada Mariam kwa Maono yako na ushauri, hakika Mzee Hiza amepata msaada
Asifiwe Maulana, Amina..Shukrani Kwa Mheshimiwa Suluhu Hassan Mzalendo kweli@@allyiasachogogwe3753
Marehem Ben Kijiko,alishiriki kuimba wimbo huo pia.Sauti yake inasikika vizuri sana kwa wanao mkumbuka.
Watanzania Asante kuhudumisha Uzalendo inchini mwenu. Hi namna peke ya kumkumbuka marehemu Mwalimu Nyerere. Mi ni Washaki Ahamada, kutoka Uganda.
Much love from 🇰🇪,tribute to the fallen Pan Africanist.
Kutoka Kenya but wimbo huu no mtamu kweli especially when I saw rais maghufuli alicheza Ngoma na bendi moja. Cheers TZ
From Kenya, may the soul of Dr John P Magufuli rest in eternal peace 🥺🥺
JPM..👏🏾👏🏾
Naipenda sana sana nchi yangu. Hakika Tanzania ni kisiwa cha Amani, maisha ya Watz yametawaliwa na amani na Utulivu. Najivunia kuwa Mtz
Nimekumbuka wimbo huu baada ya jirani zetu watanzania kumpoteza rais wao John Pombe Joseph Magufuli. Pokeeni rambirambi zangu kutoka Kenya.
Ahsnate kwa rambi rambi.. tunawapenda sana wakenya nyie ni ndugu zetu
Imehusu nini nyimbo ya salum Abdallah kumtaja pombe
@@h.alshidhani8971 Kuna kipindi Magufuli aliimba wimbo huu na kupiga kayamba
Asante kwa kutupa pole tunawapenda majirani zetu
na mimi niko apa leo kwenye kumbukizi la miaka miwili ya kuondoka magufuli
Jamani tuungane tunaozikumbuka hizi.
Sasa tutaungana
Enzi zetu
Rest well John Pombe Joseph Magufuli ❤
Am Kenyan. Do enjoy listening this song, good bits!
Nimezaliwa na nimesomea Tz na niliondoka miaka 43 iliopita ila miaka hio kwangu ni namba maana kama juzi tuu! Tz nilioiacha sio hii iliopo enzi zile 60's na 70's ilikuwa raha mno maisha saafi sana watu walikuwa wema sana..leo hii uroho, ufisadi ili hali kila mmoja na kivyake..maadili yameporomoka unga kila kona balaa tupu!
Ila huyu mzee wa kisukuma anachapa kazi na anastahili sifa! Huwa nasikitika sana hali ilivyokuwa ngumu..Mwalimu wangu akivaa suti mwenyewe anang'aa nilipokuja 1984 sikuamini macho yangu kavaa nguo za viraka! Kweli dunia duara...
True mioyo inauma hivi.. hmn mapenzi
Asalaam aleikum kaka uko wapi hilo vazi uliovaa kama sio Oman basi itakuwa Yemen na mimi nimeondoka nyumbani miaka mingo nategemea kurudi mwakani mwenyezi mungu akiniwezesha .
Naomba dua zako kaka
Najivunia kuwa Mtanzania.
Nimekumbuka huu wimbo, ikiwa ni miaka 5 Tangu nitoke Tanzania niende China kutafuta Maisha. Mungu Ibariki Nchi yangu Tanzania, Mungu Ibariki Afrika.
Tanzania yetu ndio nchi ya furaha
Joti TV najisikia raha sana kua raia wa Tanzania
Joti TV tuipende Tanzania nchi yetu Mungu katujaria kheri nyingi wapuuzwe waroho wa madaraka wanaropoka mitandaoni Mungu wasaidie viongozi wetu wawe na uvumilivu wa kusikia na kuona
Kumbe huwa unasikiliza ZILIPENDWA bwana mdogo Joti.
Hongera.
R.I.P Magufuli,wish u'were alive...this very meaningful song could meant to our beloved Tz!
Magu mbona hakumpa chochote?
Tanzania nchi yangu, Mungu akutunze ubaki kuwa kisiwa cha amani na tumaini kuu kwa Ulimwengu🇹🇿🇹🇿💚
Anae Angalia hii 2021 Gonga like
Ndg zetu Wakenya sisi Watanzania tunawapenda sana muendelee kuwa jirani mwema.
My President Uhuru Muigai Kenyatta made a private visit to his Brother Pombe Magufuli at his Chatu home. Kweli wa Tanzania sisi ni mandugu wa thati!
Kwa unwell tunashukulu sana maana nchi za wenzetu tunasikia wanavyoteseka
Hii nyimbo ni kali sana kuliko nyimbo zote za Diamond platnumz
Sku zote mboga huwez kulinganisha na wali au ugali lakini unavila vyote
Very patriotic classique Tanzania is a truly united country...good job president magufuli following in footsteps of founding father mwalimu Nyerere
Nimezaliwa na kulelewa Kenya baba yangu ni mtanzania akapewa araia Kenya mama ni mkenya Kila nikisikia huu wimbo mwili unanisisimka!
Kweli blood is stronger than water💪💪
Magufuli brought me here...
Naipenda nchi yangu toka rohoni. Asante Mungu kwa kutupa Magufuli. Tutavuka tuu hivi karibuni...nina matumaini makubwa.
Asante mama samia kwakumpa milioni 50 mzee wetu hakika wimbo wake hautakufa daima
Wimbo huu unanikumbusha mbali sana utotoni 😢😊
Enzi za Nyerere
dah!! huu wimbo nikisikiliza uwaga nalia tu cna budi ila niseme tu Tanzania ahxante xana!!!
Nuru habari yako ndugu nimeumia Sana yawezeezrkana umepitia maramba kuwa mzarendo wa nchi yako😥😥
I love my country Tanzania with all my heart❤️
Yes yes
Love Tanzania,.......Its my hope that one day i will visit the grave yard of the late Dr John Joseph Pombe Magufuli in Chato Mkoa wa Geita.....God Bless Africa God bless Tanzania
Hakika Tanzania 🇹🇿 yetu Mungu akutunze akuongoze vema Taifa langu udumu Ameeni
Wimbo mzuri acha baba zetu warioipigania tanzania Hadi sasa inaitwa tanzania ya amani acha warare sarama nyerere mpaka na jpm nae karara juzi dah amakwer itabaki Mirima tu
My sincere condolences Tanzania, you've lost a great leader,I can't sleep,I'm mourning a great servant who recognized God all of his life on Earth 😭😭😭😭😭😭😭😭😭
True very sad
@@fhyubhhh2881 magufuli nota a great leader never
Great 4 what? I think u don't know well the TZ country.
Magufuli r i p.nakupenda sana my baba wa taifa la kizaz kipya cha dunia.daaah magufuri
Utenzi wa nyakati...toka rohoni...Tanzania yetu ndio nchi ya kusifiwa,kote ulimwenguni watu wote watambua,Tanzania yetu ndio nchi ya furaha...
david max
❤ mor love my Country Tanzania I pray for my Country to be Happy Forever ❤❤❤❤
Tunaosikiliza Mwishoni mwa mwaka 2023 tugonge like✅
I love my country Tanzania
Mimi si Mtanzania ila wimbo huu naupenda sana na naipenda Tanzania.
Hakika naipenda Sana Tanzania kweli ndiyo nchi ya furaha! Asanteni Sana Atomic jazz kutoka Tanga jamani Tanga kunani???
Rip baba yangu nakukumbuka sana baba yangu mpendwa 13/3/2021 sitoisahau hii siku mpaka mwisho wa maisha yangu
ni yangu Tanzania, naipenda sana sana.natamani vijana wawe critical thinkers and reasoners, wasisupport ujinga kwa kuwa walevi wa vyama
Hongera mama samia suluhu hasani kwa kumpa Steven Hiza million 50
This time nipo nyumbani hotel, Tanga Mzee Stephen Hizza anaimba huu wimbo live... tuwakumbuke wazee wetu hawa.
Aloyce Temba By the way who was playing the saxophone here?
Saxophone marehemu mzee john mbula mwenyeji wa kongwa mkoani dodoma
Admirabisi Kiduduye yopkk
Mimi ni MKenya lakini huu wimbo naupenda sana huwa naucheza sana utathani Niko Tanzania
Nakupenda sana mama Samia mungu akupe maisha marefu sana,
A beautiful patriotic song! God bless Africa. God bless Tanzania.
Tanzania yetu ndiyo nchi ya furaha sanaaaaa, waTanzania woteeee ninawapenda sana, Mungu atubariki.
Am Nyawombo Mwiligwa from Tanzania..Dodoma..ilazo sincerely speaking I greatly honoured by president Nyerere..Mkapa and Magufuli the iron ..Tanzania my mother country ..love you much ..
Naipenda nchi Yangu Tanzania,,,, japo kuna baadhi ya watu ni wabaya sana ila siwezi kuichukia nchi yangu
Niko hapa 28.10.2024 naipenda sana nchi yangu
gonga like zako hapa kama umesikikiza huu wimbo mwaka 2024🎉🎉🎉🎉
Serikali imtunze mzee Steven Hiza mzee mama Samia mjengee nyumba huyu mzee ni hazina kweli kweli
Hakuna nchi kama Tanzania hatuna budi kumshukuru Mungu kwa Nchi yetu yenye amani na vipaji tele
Miongoni mwa wimbo bora wa Karne ya 20 ni Tanzania Yetu ulioimbwa na vijana machachari wa Atomic Jazz,namkumbuka sana Baba yangu Mkubwa Steven Hizza, Mungu Ibariki Tanzania
Ni wimbo uliotia fora sana na ulipendwa na watu sana ni wimbo mzuri sana.nipo uswis na nafurahia kusikia nyimbo za kwetu zilipendwa.asante power nguzo endelea kutukumbusha nyimbo za zamani.kuna, wimbo wa tabora jazz nautafuta sana unaitwa halima.hebu utafute kwenye maktaba yako.nitafurahi sana ukiupata.mariam fritsi
tupo pamoja, wo sind sie in der Schweiz? ich bin in Zurich, kweli nyimbo safi sana
+nafu weber-Swedi ich wohne in Olten zeit zwei jahre.04.02.17.
miriam fritsi asante Ndugu mi kila weekend nkiwa free lazima ni sikilize huu wimbo..nko hapa Germany Dortmund.
Karb rud nyumban
Halima mdee au??
Great number...amplified by President Magufuli...hongera Tanzania nchi ya furaha
Naipenda nchi yetu Tanzania, Nakupenda Nyerere, Nakupenda Magufuri
The song has reminded me of Mwalimu Nyerere he struggled to see no Country in Africa is under colonial rule.Nyerere could speak his mind in the U.N assembly for the sake of Africa.
Niko oman napenda sana nyimbo za nchi yangu TANZANIA
Magufili sio magufuRI
nakupenda mama Tanzania mungu akubariki daima amina
Magufuli kajaje humu
Waw it's just like yesterday. Amazing sound.
Mie mzalendo Mwafrika mzalendo Mtanzania mkenya....old is gold
Tanzania yetu ndio nchi ya furaha🥰🥰🥰
I don't know how I've ended up here but I like this I fw it
powa Nguzo ingependeza zaidi ungeweka majina ya wapigaji wa wimbo huu usioniisha hamu nasikia solo ilipigwa na hayati mbaraka,nitafurahi
nakumbuka,sina hakika wasanii hawa walijua kuwa taaluma yao itakosa warithi!
ssfi sana tanzania yetu
Naipenda San Mchi yangu
President Nyerere, one of the most brilliant & best leaders & Pan Africanist Ever. RIP sir. Rest in power, great man.
Naipenda sana inchi yangu Naipenda Afrika yetu hongera woote Freedom fighter of Africa NYERERE, JOMO KENYATTA MANDELA LUMUMBA, SAMORA MICHAEL, HAILE SELASI , MUGABE and other regents of Africa Mungu awape pumziko la Amani,
Emeeni 🙏
Tanzania Yetu ndio inchi ya Furaha, hata ulimwengu unajua.
2023 and still this song inanifraisha from Kenya 🇰🇪🙌🏿
Pumzika...John Pombe
2028 bado nausikiliza
It's 2024 still hitting song. Naipenda sana nchi yangu Tanzania!
I love my country 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Now ndo naona na kuhisi umuhim wa hizi nyimbo za zamani, kipindi hicho nilikuwa nazichukulia powa
Tanzania, nakupenda kwa moyo wote. Nchi nzuri yenye jema ulitakalo...amani yetu ndio umoja wetu.
Duh enzi hizo mwl. Nyerere alikuwa na nguvu zake akiiongoza Tz ifikie maendeleo, tu nawashukuruni sana wana muziki kwa kutukumbusha kuwa Tanzania ndiyo nchi ya furaha. Zilipendwa safi sana, naburudika... 19.08.18 London
Wenye tumekuja tena kusikiliza baada ya TMA na 50M za mama🥱
Kweli kabisa Tanzania Hoyeeeeee! Hongera sana Atomic Jazz Band wimbo mzuri sana aiseee 💪
NIKISIKIA WIMBO HUU NAIPENDA INCHI YANGU MARA 100%NASIKIA FURAHA SANA
Mzee hizza hoongera sana uzalendo unaoneka kuna rafikiangu ni kijana mdogo lakin akiusiliza huu wimbo machoz yanambubujika tz yetu we love much our country
I have absolutely real love to my country.
In love with the song, i love my country Tanzania.
Iendeshwe harambee huyu mzee Stephen hizza ajengewe nyumba!tuwe na huruma watz bado tunapendana
Naipenda Tz kutoka moyoni mwangu
walio imba nyimbo hizi kama bado wapo Mungu azidi kuwaweka..
Mzee Steven Mhina yupo. Yuko Tanga. Ameendelea kuimba kwa muda mrefu Sana.
Namkumbuka sana jemedari wetu amir jeshi mkuu na rais wetu magufuli.. an ilikuw tukisikia huu wimbo wote tunakimbilia kwenye tv tumuone rais wetu Leo Yuko wp na anataka kusema nn.. mwenyezi Mungu aipumzishe roho yake mahali pema peponi amiina
big up watunzi wa nyimbo wa zamani na nyimbo za zamani
Tanzania woye
Ukiwa ndani ya kivuko Kigamboni huu ndio wimbo pekee unaokufanya usafiri kwa raha kutoka Magogoni kwenda Kigamboni
Wimbo umetulia sana daah...
Tanzania yetu, one day nitarudi home kutulizana na kufurahi
2024 huu wimbo bado unabamba
Mungu ibariki afrika
Mungu ibariki Tanzania
Wazalendo halisi wa taifa letu wapate pumziko la milele mbinguni.
Dah! Vijana wa zamani hatari sana hizo gitaa na sauti zimetulia!!!!...
Duh! Enzi za mkate wa siha, Gloria, maharage ya kopo, samaki chakula barafu,vipande vya papa, saluni chini ya miembe. Dar yenye mikomamanga ndani ya uzio wa makuti. Things have changed a lot, I remember those peaceful days!!!
huu wimbo wakati unaimbwa sina hakika kama nilikuwepo duniani lakini unanifanya nahisi mziki mzuri sana
Nimekuja hapa baada ya kuoata tuzo na milioni hamsini
Majaliwa,Mpango,Suluh,ITAMBUENI ATOMIC JAZZ.
Yani daah nyimbo yoyote inayohusu taifa langu la tanzania inanikumbusha raisi magufuli yeye ndio kumbukizi langu jemaa😭😭😭