Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Miongoni mwa interview alizo fanya chado hii ndo interview ambayo muhandishi kamuhoji vizuri sana.
Interview safi Sana chado yani unajibu maswali kwa usahihi bila konakona
nilikua nasubili sana huyu mwamba chado nisikie anasema Nini ila mpe maua yke kwenye mission impossib🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Na mim npnd chado kuigiz nifnybniwe msanii wk jmn🥰🥰
Chado nakupenda sana kakaangu mungu abariki kazizako kaka angu
Mungu awe nanyi kaka angu chado na dada angu najma
Chado much love from Kenya 🇰🇪 ❤
Mungu akubariki chado
Ila chado mi nakupenda kweli kweli❤❤❤
Sema uyu dada anajua sana kumuhoji mtu
Sanaaa yuko too smart
Good 👍 job from 🇰🇪 Kenya
Akha hapo sawa pambana ...kumbe haujapakataa nyumban.... Kila rakhel jiran....❤
Nakubali chado
Mission impossible ndo nimemjua kwa mkojani sikumjua msimpe kk mkojani
Nakukubali sana Brother
❤❤❤chado kucha zako mm hoi
Mungu aibarik kazi ya mikono yako mwanangu
Kitengo upo vizur unayapangilia majibu nimependa utulivu wako wa majibu
Vizuri kaka chado master
HOST NAWAKUBALI SANAA \❤❤❤❤❤
Nakupenda sana kitengo???alafu nko single 😊😂
Vizuri kaka chado master😊😊😊😊
Aaah kuubaabaakee kumbe chado bado hujaowa aaah hunambii kitu najiweka hapo
Sio kweli tumekujua kwa mkojani ila watanzania sio watu wakuwasaidia
Mr chado mastar tunakufatilia tukiwa DRC bro wemkali sana mission impossible tunaikubali bro
Chado huwez ongea bila kumgusa huyo dada
Nahitaji kufanya nae kaz tupat mawasiliano yak by z one from mbarali
Chado kumbe wa nyumban
😂😂😂😂😂yan chado iyo wallah unavyoitaj😂😂😂
Kumbe umeona naww😅
Nioe mimi sasa kila kitu iko ready bt natoka kenya 😂😂😂😂😂 😊
Weka namba Yako ya WhatsApp kwa ajili ya ma asiliano
@@Mcsadjomovies wewe ndio chado
@@AgnesJohn-f1rila watu😂😂😂😂
Kwaiy we mopogolo
Wapi likes za chado mastaaaaa❤❤❤❤❤❤❤❤
Cheusi noma
Kiukweli kipaji unacho kitengo
Kitengo uko vizur na kuaminia
Kitengo nakukubali
❤❤❤❤❤❤
Afadhal kumbe hujaowa😅MM NIPO😅
😂😂😂😂😂chado jaman at wallahi😂😂
twendeni youtube chanell ya nardwalkernchimbi tukamsapoti kijana wetuuu
"Kitengo"
Tunataka tukuite ww shemj mbless kitengo
Yani huyo anayekuhoji ndo karibu inte veu maana anakuhoji alafu yeye yupo bize na simu yake kuna mwandishi wa habari wa ivyo
Ukiona hivyo maswali kayaorodhesha hapo
Chado for life
Chado uko vizur🎉
Maandishi mchonganishi tu
Mkojani hana uFather umri mdogo tuu
kitengo
Subili upone mafua
Interview nzima inazingzia kazi za mkojani anae hojiwa kazi zake hazijazungumziwa sasa nini maana ya kumfata mtu kwenda kumuhoji ikiwa ana kazi zake
Sio Kweli
Miongoni mwa interview alizo fanya chado hii ndo interview ambayo muhandishi kamuhoji vizuri sana.
Interview safi Sana chado yani unajibu maswali kwa usahihi bila konakona
nilikua nasubili sana huyu mwamba chado nisikie anasema Nini ila mpe maua yke kwenye mission impossib🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Na mim npnd chado kuigiz nifnybniwe msanii wk jmn🥰🥰
Chado nakupenda sana kakaangu mungu abariki kazizako kaka angu
Mungu awe nanyi kaka angu chado na dada angu najma
Chado much love from Kenya 🇰🇪 ❤
Mungu akubariki chado
Ila chado mi nakupenda kweli kweli❤❤❤
Sema uyu dada anajua sana kumuhoji mtu
Sanaaa yuko too smart
Good 👍 job from 🇰🇪 Kenya
Akha hapo sawa pambana ...kumbe haujapakataa nyumban....
Kila rakhel jiran....❤
Nakubali chado
Mission impossible ndo nimemjua kwa mkojani sikumjua msimpe kk mkojani
Nakukubali sana Brother
❤❤❤chado kucha zako mm hoi
Mungu aibarik kazi ya mikono yako mwanangu
Kitengo upo vizur unayapangilia majibu nimependa utulivu wako wa majibu
Vizuri kaka chado master
HOST NAWAKUBALI SANAA \
❤❤❤❤❤