Tunao ungana katika izi movie za mkojani nyimbo zao ni kali weka comments na kama tunaungana izi nyimbo aweke kwenye platform 1_Siri. 2_Sele weka like❤
Babaangu mkojani nakupenda mno nakuomba uwe babaangu wa hiari sikubahatika kuona baba kwa sasa natamani uwe babaangu wa hiari kutoka moyoni nitakubari masharti yote ya kuwa mwanao nitakuwa na nidhamu juu yako utakuwa mshauri wangu nitakusikiliza naamini wewe ni mtu mzuri mimi ni mkristo niko Simiyu nakukubali sana 😢😢😢❤❤❤❤❤
Huyu Mwa4 Mfikishieni habari.. Namkubali sanaaa.. Viola mtetezi kumbe pia anateswa na Mumewe🤣😎😁
namkubali viola ila amezingua jinsi alivyo geuza kisu mara anakibadilisha amepunguza utamu😂
Mkojani Ringo chandim iyi itakua Kali tuko pamoj mwanzo mwisho
Chandii kawa Mume wa mtuu😂😂😂
Tunao ungana katika izi movie za mkojani nyimbo zao ni kali weka comments na kama tunaungana izi nyimbo aweke kwenye platform 1_Siri. 2_Sele weka like❤
Mwenye mume na mchepuko wabayaaaaaa😂😂
😅😅😅
Hii sele jaman achaa tyuu mbona naona kama chandim umeyatimba kwa mkee huyoo,, sio zinduna huyoo😅😅😅😅😂😂😂😂😂
😂😂😂
Bila tin na Samofi hapo bado wakuje haraka🏃🏃🏃🏃
Kazi nzuri sana, Sele twende nalo hadi tamati watching from mombasa nani tuko pamoja
kijan wa mbosso yupo kwa mkojani😂😂😂😂😂😂😂
Asante kaka nili misi sana Ringo naomba awepo na tin ni combination nzuri
Hapo safi sana, na Ringo 🔥🔥🔥🔥
🇲🇿
Seleeee wapo wengi ao😅😅😅
Chuma hewani mkojani hujui kuzigua I say more love❤🇰🇪
Sele wa mchongoo tumepigwa hapa😂😂😂😂😂
.nakubali sanaa ss hvi mnamleta ringo uhakika
Kwa mara ya kwanza
Wadada wana sura ngumu jamanina ma wigi ya mwaka arobaini saba
We itakuwa labda ndio unaanza kuangalia team mkojani now afu kuhusu wigi mtu anavaa uhusika na sehemu ya mazingiraa anayoigizia
@@RosemaryPius-cs5lhusiwe unajibu washamba
Sasa mdada mbaya yuko wapi wadada wazuri rangi nzuri shepu nzuri au ndo wale washamba ukiwa mweusi mbaya mfyuuu
Sele wee sele🎉🎉🎉🎉🎉wazee wa kazi
Team mkojani. Chandimu Ringo kazi iendeleeee 💯💯💯💯
Viola mtetezi amerudi mkojani gang ❤❤🎉
Selemani wacha uma nice
Bin darweshi katupa nduano mbali
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Viola na mackintosh karibuni
Tunawapenda
🫁🫁🫁😂😂😂😂😂
Wa kumi na 17 like zangu
King of soundtracks Baruti nimefurai kuiskia sauti yako tena bro 🔥🔥🔥
Hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeee💪💪💪💪💪💪 from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Nimekua wa kwanza nipeni likes zangu
Niko bampa to bampa na team mkojani
🤣🤣🤣🤣hapa tumefika na hatumbanduki
😂😂😂
Ati hivi mume wangu kwanini unapenda kunivua nguo eti
🤣🤣🤣🤣🤣
😅😅😅😅😅
Zaka modise from dzonga 🇿🇦 hapa.....team mkojani bega kwa bega
Mkojaan bin daruwesh
Hapa alihitajika Ngoma nagwa kwenye hii muvi
🎉mkojan gang🎉🎉
Niceeee mkon
Baby unajua miguno😂😂😂😂
Kufanya experiment hhhh😂 mkojan wee mbavu zangu
Babaangu mkojani nakupenda mno nakuomba uwe babaangu wa hiari sikubahatika kuona baba kwa sasa natamani uwe babaangu wa hiari kutoka moyoni nitakubari masharti yote ya kuwa mwanao nitakuwa na nidhamu juu yako utakuwa mshauri wangu nitakusikiliza naamini wewe ni mtu mzuri mimi ni mkristo niko Simiyu nakukubali sana 😢😢😢❤❤❤❤❤
Tuma namba yako
@@ZaiduGillah kwako au
We tuma namb nikuunganishe na mkojan
@@ZaiduGillahacha uzinzi kijana
Ringo ndani ya game 😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉
Uyu jamaa mkojani anavaaga vibagarashia kihuni😂😂😂
mambo yanaedelea🎉🎉🎉
Yaani iz movie nikali mno ...but waa daaji warekebishe umaliziaji uwe mtamu zaid.....❤
Ringo Unajua sana 😂😂😂😂😂 daaah
Yeah I'm chairman naomba likes zangu kama mmesikia hili neno
Nawapenda bure❤❤❤
Nzuri hii ❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Tunaomba samofi awepo jamanii
Baruti❤❤🙌🙌🙌
Mapema leo
Kwa mara ya kwanza mkojani juu ya maumivuuu😢😢 compare na Ile mahabuba alivyofiwa na mwanae 😢😢
Uwakika sana mkojani 🎉🎉😂
love From mozambique 🇲🇿❤😊🎉
Chandimu sele😂😂😂😂
Sele on 🔥🔥🔥🔥❤
Kazi nzuri
Seleewweee
Ringo yupo 🎉🎉🎉🎉🎉🥳🥳🥳🥳🥳
Hii ni kali ❤
KUMBE FUNDI RINGO YUPO BHANA BAC HILI DUDE LITAKUWA NOMA SANA❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Sigara inavutwa lakina aikwami kwenye matope😂😂
Hhhh Ringo mtu mbaad
viola mtetezi wa wanaume 🙌
Kila La Kheri Broo Na Team Nzima Ya Mkojani Gang 🙏
Doh leo nmeamin sigara inavutwa lkn haijawah kunasa kweny tope ikavutwa km gari haha haha ha ringo hatari
Sele umepigaje hapo
Mkojani umetususa wadau wako😢😢😢samofi mmetukimbia
Wakwanza leo kama unamkubali mkojani gonga like
Go get a job
pervert 545minutes 😮😮😮😢h@@criminalminds7723
Viola anajua Sana mkojani hongera kwa kumkumbuka Viola Tena maana Mkojani gang ndo sehemu sahihi kwake
SELEMANI EEEH❤❤❤
Violaa utauaaaa😂😂😂
Nategemea kumuona Tin white na Samofi huko mbele
Nyie amjawai kuniangusha kabisa
Gonga like kama unamkubali mama❤
Go get a job machawa wameanza kubadiki jinsia
@@criminalminds7723😂😂😂
Boss wangu👊
Viola in the house
Mwa4 nakupenda
Sele 1 haya tuchangamsheni
Nakubali viola uko vzr
Viola mtetezi❤❤
Mi staki likes na ni wakwnza
😂😂
Season One Tu Mkojani Analia Sijui Itakuaje😂😂
😅😅😅😅😅
RINGO FUNDI ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Oyawee me niwakwanza tupa like 👍 hapa tuendeleeee🎉
Nakubali sana piga like
First of All🎉😂
Nimeanza nayo mapema tyu
wivu wameumbiwa wanawake weupe tuuu
Namuona dada Viola mtetezi,nmkbl sn huyu dada,ww mwa4 muache mume wa dada yetu❤❤❤🤛👊👏👏👏
Wamwisho like zangu
Selemaniiii,Selemaniiii,selemani we sele sele Sele sele 😂😂😂kitakukuta kitu
Dah maisha hkn anaejua kesho yake, yani leo Chandimu yupo na kina Ringo,safi kabisa Chandimu,kac yako ni zaidi ya 7G👏👏👏👏👏
tuwekee mwendelezo
Wa kwanza nimewahi kama una mpenda lingo like hapa
Jaman mese na ruby waliend wap
Hatupoi😅
Unatisha sana mkuu
Ok p1
Good good 👍🏾
Ringo respect
Kumbe chandi ndiye SELE😂😂😂
Mwa4 amekonda sanaaa
Kayatimba kwa huyu dem chandimu ajiandae na kufua nguo
Seleee3 kama seleee33😅
Soundtrack ✌