Huyu mtoto ana kipaji kukubwa sana japo Tanzania watoto wenye vipaji ni wengi ila hawaonekani sababu Media kuwaonyesha kama hivi ni mtihani mwingine natoa Hongera sana kwa Ayo Tv sababu mmekuwa mkionyesha vitu vya msingi sana na kusababisha hata wazazi wengine kuona ili kuwaonyesha watoto wao
@@heyumi2340 sana kaka nimekaa Tabora hawawezi kazi wanafanya ukabaji wa kipumbavu hata hicho kitoto chenye kipaji sio wa tabora ni wazazi wake wamehamia kikazi tu ila wanyamwezi mbadilike sio kutoa nafsi za watu kwa tamaa za kijinga muache uvivu
Mtoto wa mwenziyo ni wako ki msemo2 ila cyo kiuwalisia maana tunaona mama wa kambo wanavyo ishi na watoto wa wanawake wenziye kiukweli ni rahisi mwanaume kuishi na mtoto wa mwanamke wa baba mwingine kuliko mwanamke kuishi na mtoto wa mwanaume wa mwanamke mwingine atajuta kuzaliwa huyo mtoto
Unajua TZ wangeanzisha Gifted Kids School huyu ni Gifted Sasa anapotezewa muda km akiperekwa Form one wanaweza shangaa performance yake itakuwa ya juu. Akamaliza Chuo kikuu akiwa na 20yrs. US kuna Professor ana miaka 22 ni gifted km huyu Mtoto.
♥️♥️🙏🙏Acheni mungu aitwe mungu...🙏🙏🙏 Much talletend Sana huyu mtoto akipata support ya kwenda njee kusomea kipaji chake atatisha Kama Barka anaefanya mazoezi ajax....mungu amjalieee jamn🙏🙏🙏
Millard Ayo hebu mjiongeze. Huyu mtoto ni millionaire tayari hebu m-mconnect na vyombo vya habari kama BBC Super Sport nk msiishie hapo take the young boy further hapo kazi yenu itakuwa imekamilika kwa 100% lakini kwa sasa mna 30% bado 70%
@@HAFinance ni kweli akisoma atapata kazi na atapata mshahara maisha yatasonga mbele kwa mentality yetu watanzania/waafrika. Huyo mtoto ni millionaire ila mindset lazima iwe sawa
Nafasi ya darasani sio Sawa na kipaji unaweza ukawa WA mwisho darasani lakin kipaji kikabaki kama kipaji Binafsi siangalii uwezo WA darasani kwa mtoto Kama kipaji....
sasa zile tabia za wazazi kulazimisha watoto kusomea udaktari wakati wao wanapenda kingine mjifunze toka kwa huyu mama. unalazimisha mtoto asomee udaktari wakati akiona damu ya kuku anakimbilia uvunguni!!
Kipaji cha ajabu hiki.Lakini tutakuja kusikia kapigwa marufuku kutangaza kwa kiingereza.Kama wale wazee wa Iringa waliozalisha umeme kwa ubunifu wao na meneja wa Tanesco kuwadhihaki.Yuko wapi aliyeunda helikopta na kupigwa marufuku kuirusha hewani?
Anawazidi kwa mbali sana hata watangazaji wakubwa tu wa tanzania ambao hawawezi kabisa kutangaza kwa usahihi majina ya wachezaji,mfano gundugan huyu mtoto anamtamka gunduwan exactly linavyotakiwa ambapo hawa watangazaji wa tanzania wanamtamka gundugani
Kwenye kusoma ad masters apo ndo penyewe lkn tahadhar kubwa xan inatakiwa ichukuliwe kwako maan masters weng wanakuaga watumwa wa fikra za watu wengine
Ungetangaza kiswahili ili uje upate kz hpa tz ssa iyo English yko nani atakuajili uko nch za wenzetu fanya vtu kwa faida ya baadae ila upo vzr sna kaza dgo
Ama kweli akuna apendae mbuzi ya mwenzake izae mapacha ivi kumpingania nadua kwa wingi apate kuienua tz mwaanza mabo ya kiswaili hivyo ndivyo vipaji vya kukuza inchi basi ikiwa mwaona atawatia aibu kwa sababu ya icho kingereza tupeni sisi wakenya
Ongera sana mwanafunzi wangu, Mathias sio mpira tu.. kijana Huwa Yuko serious sana katika masomo yote.
Thats great , tumekosa chombo cha kufanya kazi hii pekee, tungepata chombo tungeweza wafikisha watoto mbali sana
Huyu mtoto ana kipaji kukubwa sana japo Tanzania watoto wenye vipaji ni wengi ila hawaonekani sababu Media kuwaonyesha kama hivi ni mtihani mwingine natoa Hongera sana kwa Ayo Tv sababu mmekuwa mkionyesha vitu vya msingi sana na kusababisha hata wazazi wengine kuona ili kuwaonyesha watoto wao
Wana Tabora tujuane hapa gonga like tujuane
Tulihoi..
Cheyo b💥
Kwenye mauaji siwasikiagi mkisema tujuane
@@msafirisalum8436 umeonaee
@@heyumi2340 sana kaka nimekaa Tabora hawawezi kazi wanafanya ukabaji wa kipumbavu hata hicho kitoto chenye kipaji sio wa tabora ni wazazi wake wamehamia kikazi tu ila wanyamwezi mbadilike sio kutoa nafsi za watu kwa tamaa za kijinga muache uvivu
Nimelia kwa furaha jaman hongera mwanangu... Mtt WA mwenzio ni wako pia
😀
Umelia kwa y'ako tu ....
@@awadhhamza9296 😀😂😂😂😂😂
@@abuusufian6506 😀😂😂😂😂
Mtoto wa mwenziyo ni wako ki msemo2 ila cyo kiuwalisia maana tunaona mama wa kambo wanavyo ishi na watoto wa wanawake wenziye kiukweli ni rahisi mwanaume kuishi na mtoto wa mwanamke wa baba mwingine kuliko mwanamke kuishi na mtoto wa mwanaume wa mwanamke mwingine atajuta kuzaliwa huyo mtoto
safi sana dogo mwenyezimungu azidi kukuza zaidi allah akupe wepesi uzidi kuimarika💚💚💚
Tabora home
The pride of Tabora 💪🔥
Big up mdg wangu
Tabora home pia
Very talented boy. We have another KASHASHA on board.
Chalii amenifurahisha kuwa na kipaji kama changu
Kama umechekeshwa na hii comment tafadhali like nikujue
Masha'allah tabaraka Rahman 💗 Allah amlinde na hasadi za waja wake ..na kumfisha kwenye ndoto yake
Dogo akili mingi,kwanza kuaminiwa kuwa kaka mkuu shuleni ni mada nyingne kbsaa,honger sana kwake
Your dream will come true Matias muombe mungu.
Mtangazaji mbona haujasema shule anayosoma?
Unajua TZ wangeanzisha Gifted Kids School huyu ni Gifted Sasa anapotezewa muda km akiperekwa Form one wanaweza shangaa performance yake itakuwa ya juu. Akamaliza Chuo kikuu akiwa na 20yrs. US kuna Professor ana miaka 22 ni gifted km huyu Mtoto.
Saa ww US ukafananishe na apa TZ sie tupo juu kw husda na uchawi tu
@@hamidmweusiii35 ahaaa one day dream will come true
@@hamidmweusiii35 😆😆😆
Congrats Mathias
♥️♥️🙏🙏Acheni mungu aitwe mungu...🙏🙏🙏 Much talletend Sana huyu mtoto akipata support ya kwenda njee kusomea kipaji chake atatisha Kama Barka anaefanya mazoezi ajax....mungu amjalieee jamn🙏🙏🙏
Dogo anajua,, nimeipenda hiyo""Ila akiendelea kusoma hapo bongo asitegemee kutoka watafute sponsor kutoka nchi za ulaya huyo mtoto apelekwe huko
Bongo bwana imeisha hio hakuna chochote kitakacho endelea.
OK
Utamlipia wewe 😀😀😀😀😀
Hongera sana mtoto, ongeza bidii utaifikia ndoto yako.
Millard Ayo hebu mjiongeze. Huyu mtoto ni millionaire tayari hebu m-mconnect na vyombo vya habari kama BBC Super Sport nk msiishie hapo take the young boy further hapo kazi yenu itakuwa imekamilika kwa 100% lakini kwa sasa mna 30% bado 70%
Nimeupenda ushauri wako
Ushauri wako unamashiko na unahitajika kufanyiwa kazi
😮🎉🎉
Sio kwer 😁😁😁ye asome kwa bidii ushauri wangu
@@HAFinance ni kweli akisoma atapata kazi na atapata mshahara maisha yatasonga mbele kwa mentality yetu watanzania/waafrika. Huyo mtoto ni millionaire ila mindset lazima iwe sawa
Safi sana uncle , big up sanaaa
That Is Lit🔥 My Uncle Hongera Sana.
Oyiii 😂 God 🙏 blessing Mungu akusaidie
That's so cool keep it up don't give up your dreams God bless 🙏 from Australia 2021🙌
Dogo nomaa kwa bongo hii tumpe suport zaid %
Haya sasa kipaji hiki hapa kazi kwa azam tv
Kuna madogo wako talented big up
Hongera mwanangu utafika mbali
Ongera Sana Kaka kwa kazi mzury ta taifa letu la Tanzania
Very nice my children nice nice 👏👏👏👏👏
Nyerere alisema likizungumzwa jambo la kipumbavu kwa kingereza linaoneka lenye busara sana. Ukoloni hautoisha kwa mwafrika
Unajiona umeongea point kumbe upumbavu kwani ukimsifia mtoto wa mwenzio unapungukiwa nini
@@bukuruphilibert8658 jamaa ana wivu atare
Hivi hujaona more than utangazaji?
ndo umeongea nn asa akisema nyerere ndo nn nyerere si mtu kama ww
sasa mtu kaonyesha uwezo bado unaona wivu duh
Eewaah hongera mtt mzuri Mungu akutunze sn
Nafasi ya darasani sio Sawa na kipaji unaweza ukawa WA mwisho darasani lakin kipaji kikabaki kama kipaji Binafsi siangalii uwezo WA darasani kwa mtoto Kama kipaji....
Hakika maswali ya darasani anashika namba ngapi yalikua hayana msingi ktk suala la kipaji chake
Appreciate young ...salute xan
Safi sana kipaji
Mungu amuendeleze, Amina
Allah akuinuwe mdg wangu inshaallah kipaji unacho
Yuko vizuri, Wazazi endelea kumpa moyo.
Wow!! So good my boy...keep it up 😅😃😄😂🙌👏🏽
Daaah nimekosa chakuongea ila daah Mungu amzidishie daaah
Mungu amkuzie kipaji chake one day awe mtangzj bora BBC
Nimechok nimechoka nipitie tu kila la kher Kaka😂
Hongera sana mtoto mzuri
Mashaallh thabrk allh mungu akulinde mwanangu
Nakubari sana mdogo wangu uko vizur
Nimempenda
Hongera Sana wa kukaya❤❤
Mbna anaongea kikubwa mno ana confidence kubwa Sana
Lugha ya vijiweni wanasema "anaupiga mwingi"
Maajabu ya Mungu hayo
Huyo ni mdogo kwa umri na mwili ila akili kubwa hiyo
@@abduljembe6608 Kweli kabisa mwamba
@@Ram_1893 Naam
😂😂😂😂haka katoto kanacheza Game sana PlayStation hongera sanaaa
Ongera kwake ..mtoto saf sana
safi sana. Mungu akutangulie
sasa zile tabia za wazazi kulazimisha watoto kusomea udaktari wakati wao wanapenda kingine mjifunze toka kwa huyu mama. unalazimisha mtoto asomee udaktari wakati akiona damu ya kuku anakimbilia uvunguni!!
🤣🤣
🤣🤣🤣
Nafurahi sana kweli
Hongera sana Mtoto mzuri
Wow nice
Anaongea vzr
Mungu akutunze mwanangu kila la kheri kwenye kipaji chako
So nice..
Mpenja jiangalie Sana hapo mtoto wa mboka manyema.
Yupo vizuri
icho kiingereza kajifunzia wapi kwenye shule izi izi za msingi?!
English medium school
Peleka mtoto medium achana na elimu bure.
Huyo anasoma zile shule zakuwabeba watoto kwa magari ya Njano Haaaa haaaa haaaaaa
Congratulation Sana Mathew hongera dada yangu
Mungu ndio mueza wa kila jambo , mungu amuongoze ndoto yake itimie🙏🙏🙏
Allahumma amiin yarabby
Niice🔥
Nice🔥🔥
This is good
Safi sana dogo sijamuona kama ww
Kipaji cha ajabu hiki.Lakini tutakuja kusikia kapigwa marufuku kutangaza kwa kiingereza.Kama wale wazee wa Iringa waliozalisha umeme kwa ubunifu wao na meneja wa Tanesco kuwadhihaki.Yuko wapi aliyeunda helikopta na kupigwa marufuku kuirusha hewani?
🤣🤣🤣
You are intelligence
This child must give him big support because he is very talented
Keep it up
Anawazidi kwa mbali sana hata watangazaji wakubwa tu wa tanzania ambao hawawezi kabisa kutangaza kwa usahihi majina ya wachezaji,mfano gundugan huyu mtoto anamtamka gunduwan exactly linavyotakiwa ambapo hawa watangazaji wa tanzania wanamtamka gundugani
Ni Gundogan.siyo Gundugan😆😆
Yaani umenichekesha mpaka makamasi yametoka puani unataja GUNDUGANI
@karsan mtoto asaidiwe kuendelezwa, najua unaweza
Furaha imenizid, sijui nimelia nini😢
Bright mtoto
Congratulation, GOD BLESS YOU MORE.
👏👏👏👏 MUNGU awe nae ndoto yake iweze kutimia
Gifted boy
Wakwanza nipeni like zangu nyingi tu
Kipaji Ni kile kile ila yye katumia kingereza Basi....ila kwa umri wake ndio tumpe hongera
Itabidi uende ulaya,sisi ni waswahili uzalendo ni pamoja na lugha.
Ni wivu tuu🤣🤣🤣unakusumbua
😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣
Kwenye kusoma ad masters apo ndo penyewe lkn tahadhar kubwa xan inatakiwa ichukuliwe kwako maan masters weng wanakuaga watumwa wa fikra za watu wengine
Kwakwel akina mwafulani uko BBC
Huyu mtoto atakuja kua mtangazaji mzuri sana
Huyo mtoto noma wazazbtunza kipaji chake na baadae msimulazimishe kusomea kitu ambacho hakitaki
Bongo mtoto kama huyu wanampoteza chap. Bora apelekwe mbele. Anatoka
Dogo kacheza ps sana.
Huyo mtoto kipaji anacho kinachotakiwa ni kutengenezewa msingi mzuri wa huyo kuiishi kipaji chake
Wajina wenye majina haya huwa tuna vitu serikali mtutafute tutawafikisha mbali tz
Dogo yupo vizuri
MASHALLAH MUNGU AMUONGOZE
DOGO KANISHINDA TABIA 😂 YAANI ANAJIBU MASWALI KIUFASAHA MPAKA NAANZA KUJIONA SINA LOLOTE MIE.
😂😂😂😂😂unajihisi umekuja kuzurula dunian et eeh
Hahahha du!! Pole
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣
Hata mimi ameniudhi sana ila nimekausha tu
😂😂😂
Mtangazaji wa umrii huu
Ungetangaza kiswahili ili uje upate kz hpa tz ssa iyo English yko nani atakuajili uko nch za wenzetu fanya vtu kwa faida ya baadae ila upo vzr sna kaza dgo
Ama kweli akuna apendae mbuzi ya mwenzake izae mapacha ivi kumpingania nadua kwa wingi apate kuienua tz mwaanza mabo ya kiswaili hivyo ndivyo vipaji vya kukuza inchi basi ikiwa mwaona atawatia aibu kwa sababu ya icho kingereza tupeni sisi wakenya
Jamani watanzania kazanisheni ulimi
Safi sana
Mtoto yupo vizuri
Hatari
Kwa rugha ya kiingereza au ni kwa lugha ya kiingereza
Big up sana
Congratulations
Vipi, mbona mtt hakutaja bb au hayupo nn? Au ndo baadae njemba zianze kujishebedua kua ni mtt wangu kisa kaona dogo yuko drim zaidi?? Kazana dogo
Hiyo Dogo ni noooooma!!!!
Kichwa kikubwa kasoro umri MDOGO..
Hii ulaya haijawaikutokea