Dr. Ipyana - NI WEWE official video
Вставка
- Опубліковано 10 кві 2023
- #dripyana #remnantmalita #NIWEWE
Dr.Ipyana, a medical doctor by profession has been endowed with Grace to minister to the souls through heavenly & devotional songs which express reverence for God.
CONNECT
PARTNER with Dr Ipyana’s ministry +255712177580 -- IPYANA KIBONA
(Wave/Remit/TIGOPESA
+255 754 637 055 IPYANA KIBONA --- MPESA/Remit/Wave/NALA
More of Dr Ipyana
Niseme Nini_ • Dr Ipyana - Niseme Nin...
Kama si MKONO WAKO_ • Dr Ipyana - Kama Si Mk...
Sina Shaka_ • Dr Ipyana - Sina Shaka...
Wazee 24_ • Dr Ipyana - Wazee 24/ ...
Umestahili Heshima_ • D Ipyana ft Remnant Be...
Mlima Sayuni_ • Dr Ipyana- Mlima Sayun...
Sitakuacha + Hata hili litapita MEDLEY_ • Dr. Ipyana Sitakuacha ...
LANGO_ • Dr. Ipyana Lango
Umejaa Neema_ • UMEJAA NEEMA
Hakuna wakufanana na WEWE_ • Dr Ipyana - HAKUNA WAK...
Hakuna wakufanana na WEWE Audio_ • Dr Ipyana Hakuna wa Ku...
Milele na Milele Audio_ • Dr Ipyana Milele na Mi...
Mapenzi Yako_ • Dr. Ipyana MAPENZI YAK...
Nabarikiwa sana na huu wimbo ....Kama umebarikiwa pia na huu wimbo gonga like hapa
Ni wewe ulie nithaminisha maana nilikua naosha sufuria za watu otelini,Yani Yesu huyu😭😭😭
Asubuhi nimeamshwa Yahweh ni kwa nguvu zako....... powerful! Kenyans wekeni likes
Love that part too ❤️😭🙌🙌
Kila nikisikiliza nyimbo za unyu mtumishi lazima nijazwe nguvu za Roho mtakatifu.jitahidi kutunza huu upako maana shetani ajisikii vizuri kwa unacho kifanya.
Huu wimbo unaweza kuanza kuusikiliza kuanzia mbeya hadi unafika dar es salaam uwe unausikiliza wenyewe tuu🔥🔥🔥🙌 very powerfull and annointing
You're Immensely touching lives out here Sir Ipyana
🇰🇪🇰🇪Kenya loves you and your staff
Ni wewe hakika nakutuza Bwana... NI WEWE BWANA katika kila changu
Am watching the song into my bedroom. Dr ipyana The phone's is no t mine is. My father's phone i prayed God to Wake me up at 3:23 imedietly the phone fully charged so that l can watch the song into my bedroom😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅❤❤❤❤❤❤😂❤❤❤❤ni. Wewe nakutukuza.
Umekuwa nami ,umetembea nami, nimerudi kushukuru 🙏🙏Ni wewe nami nakutukuza Ahaaaa ni wewe Bwana. Groy to God for this song
Being blessed from Kenya +254
Ni wewe nami nakutukuza🎉🎉🎉🎉🎉🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Daktari never disappoint.God bless you🎉🎉
Amen 🙏 🙏 Kama kweli nyimbo za ndugu ipyana hukubariki gonga like❤❤❤❤
🎉
Nabarikiwa😂 mnoooo. Utukufu kwa Mungu
Upako uliopo kwenye nyimbo hii siwez kuuelezea mbarikiwe mnoo watumishi wa Mungu aendelee kuwainua
Mimi sijabarikiwa naona kujiuza urembo wasichana kuvaa vibaya na kelele nyingi.
Vaeni vizuri mwanzo ndio muimbe
I actually felt like worshiping and praying through this song only to find out that my daughter was in labour pain giving birth.Paise God...holy spirit was there assisting my beautiful Faith..wow its BOY
He deserves all the glory & honour indeed 😊
Hakika ipyana unanibariki sana kyala akusaje fijo nkulumba mafuta aliyokupaka baba yetu yasikauke kamwe
Ni Wewe! Kila sekunde!
Amen..Ni Wewe Mungu Baba..Thank you for always being by my side...hallelujah @Thank you Dr Ipyana watching from USA
Kama si BWANA aliekua pamoja nasi.. Israel na aseme sasa🙌
Ni wewe Bwana tunakutukuza dunia hii🙌📍😍🌟✨😭😭😭😭😭😭
What a song God bless you, Martha my formal schoolmate you make loleza girls proud love from 🇺🇸
Ni wewe Bwana jana, leo na hata milele🙌🙌🙌
Hakika ni wewe Bwana nimeamka asubuhi nami nakutukuza🙏🙏🙏
Daktari Ipyana. This is a ministry of healing 🎉🎉🎉🎉 through worship. God bless you as you always give us thanks giving anthems.
Umekua nami kila wakati. NI WEWE HAKIKA
Ni wewe Jehova....Asante Yesu Asante baba
Ubarikiwe sana kwa huduma nzuri ya uimbaji
Just remembered what Bishop John CW spoke about Dr.Ipyana
Now see.....
Thank you sir for yielding.
🇰🇪Eldoret is Always watching. The spirit is moving in our midst
Ipyana mungu akubaliki sana akuniwe juu ya mataifa . Napenda sana nyimbo zoko
In need it's only you worthy worthy is your name
Amen huu ndio uwinjiristi sasa kwa njia ya uimbaji ,
❤❤ nakupenda sana broo roho mtakatifu ndani Yako akuinuwe zaind nimebaeikiwa sana na huu wimbo
Ni wewe nami nakutukuza 🙏 🙌
Nabarikiwa na nyimbo zak kaka ipyana
Mungu asante kwa kuwa naanza mwezi wa saba damu yako inifunike❤❤
Ni wewe . Bwana ni wewe. Msaada wangu ni wewe
C one day ucam kuimba Kwa madhabau ya pastor Ezekiel Mombasa
Another one from Daktari himselfu, thumbs up from Kenya
Ni wewe nami nakutukuza
Nimebarikiwa kwa kujua nyimbo zako asante sana💯
I like this song listening for the 20th time
Asante Dr. Ipyana *Kwa Huu Wimbo Wa Upawa, Wa Baraka Na Wa Nguvu Ya Mungu Wetu Mwaminifu Sababu Yesu Wetu Ni Wa Jana, Leo Na Ata Milele Vile Imeandikwa Kwa Kitabu Cha Hebrews 13:8 Na Mungu Wetu Ni Mungu Wetu Mwaminifu* Na Mungu Akubariki Bariki Sana Dr. Ipyana Sababu Nimebarikiwa Sana.🙏🙏🙏🕊️🕊️🕊️🎷🎷🎺🕺🕺💃💃🎹🥁🪕🪕🎸🎸
Ni wewe Jehovah.. 🙏🏽🙌🏽 nakutukuza Mungu 🙏🏽
Umekuwa nami umetembea nami for 8 month na utamalizia
Dr Ipyana you're blessing to me.🇰🇪
Ni wewe Bwana kwako tunaishi na kuendelea mbele
Ni Wewe Bwana ni Wewe, ni Wewe nami nakutukuza🎼🎸💃🏽
Hapo mwishoni msingemaliza haraka mwee ...pamenibariki sana😊
Ni wewe bwana nakutukuza
Umekuwa nami umetembea nami 🔥🔥🔥
Niwewe pekee Jehovah.... Nakutukuza ❤
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu Kwa kazi nzr Mungu azidi kukutunza mtumishi wa Mungu
Najisikia faraja sana nikisikia nyimbo zako we barikiwa tu
be blessed my fellow christians GOD bless you all have seen the hands of GOD in my life since i choose his ways ...........NI WEWE NAMI NAKUTUKUZA🎶🎵
Ni kweli Bwana Ni wewe...
Asante Yesu...
I wanna call him musical doctor
DR IPYANA = MUSICAL GENIUS!!!
Another one. 🔥🔥 From Kenya. Keep soaring high . May the Lord bless you
Amen, hakika bwana ni wewe...
A very nice song, God bless you more
Umekua nami umetembea nami...nimerudi kushukuru mungu wangu❤❤❤❤
What and touching song really amaizing,God bless you Dr impyana
Aaah this man should live long to continue blessing The Lord with great music...Unatubariki
Well done brother 🤝
What a blessing ...indeed He desreves all the Glory and Honor🙏🙏🙏🙏
Ni wewe Mungu... Yesterday, Today and forever
❤❤❤❤❤bro your the best I like so much namna unavyoimba Mungu aendelee kukupandisha viwango vya juu zaidi ya hapo🙏🙏❤❤❤❤❤
All I can say is WOW!!
Jamani kwa Yesu kuzuri nyie.
Wimbo huu huusikiliza asubuhi kwenda kazini na jioni nikiwa narudi nyumbani. Mungu azidi kuwabariki sana team nzima. 😢😢machozi ya furaha ndani Yesu
Hujambo mimi ni mereikoni mareikoni 🗣 🇺🇸.
Amen!. Amen! Hakika ni Wewe Mungu uliye mkuu
Baraka MTUMISHI 🙏🙏🇰🇪🇰🇪we bless the Lord for your Grace....This is Powerful 🔥🔥🇰🇪
So much blessed!! My favourite song
Ni wewe BWANA na mi nakutukuza❤️❤️🥰🥰🇹🇿🇹🇿
what a song🔥🔥God keep elevating you anointed minister of the gospel!.
Ni wewe nakuita hata leo mahusiano yangu yakiwa mahala pagumu sana.. naomba rehema yako Mungu. 🙏🙏🙏
Umekuwa nami umetembea nami nimerudi kushukuru...am so blessed 🙏
Mungu akubariki saaaaaana mtumishi wa Mungu Dr lpyana nabarikiwa na nyimbo zako saaaaaana. Mungu akuinue viwango vya juu saaaaaana ❤🙏🙏🙏🙏🇳🇴🇳🇴🇳🇴🇳🇴 l watch from Norway
Bwana matendo yako makubwa sana hata nashindwa kueleza sifa na utukufu zimrudie Mungu Baba yetu Mubarikiwe popote pale mlipo wapendwa.
Yassssssssssssssss sisi ni wakenyan
Yes ila kikubwa ni kule kuitwa wakristo wana wa Mungu aliye hai, urithi wetu ni mbinguni, makao yetu ya milele,barikiwe ndugu yangu ❤@@alastorwithagun
HALLELUYA JINA LA BWANA LITUKUZWE MIMLELE NA MILELE🙇♂️🙇♂️🙇♂️🙇♂️🙇♂️🙇♂️🙇♂️🙇♂️
Umekua nami umetembea nami nimerudi kushukuru MUNGU wangu 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Napenda hii wimbo sana❤
He really deserves our worship in spirit and truth
Am first here😃
the next level My brother end worship songs 🇺🇸🎹🎹🎹🇮🇱🇮🇱🎸🎹🎹🇮🇱🎸🎸💯💯💯💥🙏🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Nmebarikiwa saana na huu wimbo mtumishi wa Mungu ,,ubarikiwe
Hallelujah,,this is powerful
Hakika ni wewe
NI BARAKA JUU YA BARAKA ,DAIMA MUNGU AKUBARIKI DK
Umekuwa NAMI umetembea NAMI NAKUTUKUZA YESU🙏
Barikiwa sana Dr ipyana
🎉wow a motivating son Dr ipyana be blessed
Giving it a challenge tomorrow ♥️♥️
Amen and Amen . Bwana Nakutukuza 🙏
It has been God, it is God and it will always be God, April 2023, Iam here to testify how Lord is great, thank you Jehova, it is you Jesus, I have seen you Jehova and Iam back to thank you, Niwewe Yesuuuuu,aaaaaaaa ni wewe nami ninakutukuza.🇹🇿
Gory to God! Powerful song.. Ipyana always do amaizing things..
🙏 ni yeye Bwana Yesu hakika tumtukuze❤
Umekuwa nami umetembea nami nimerudi kukushukuru Mungu wangu🙏🏾🥹Ni wewe Yesu
Ilove this song 🎵 thanks very much God
I been replaying this 10000000 time 😭❤
More grace man of God
Ameeeen.... Hakika nabarikiwa Kila wakati Kwa nyimbo zako Dr
Kipande alichoimba Dr Ipyana nimekipenda sanaaa. Asubuhi nimeamshwa Bwana ni kwa nguvu zako mfalme ❤❤❤... Mchana kwa shughuli zangu.... Waoooh
Umekua nami umetembea nami ninakuja kukushukuru