MAGUFULI ALIVYOMFUATA ZUCHU JUKWAANI KWENYE KAMPENI ZANZIBAR NA KUCHEZA NAYE
Вставка
- Опубліковано 16 жов 2024
- Fuatilia habari na matukio mbalimbali kwa saa 24 kupitia tovuti yetu, www.tbc.go.tz au App yetu ya “TBC Live” inayopatikana
Play Store (Android): bit.ly/3kYnnsr
App Store (iOS): apple.co/31Yxjta
Tufuatilie pia kwenye kurasa zetu za mitandao ya kijamii;
Twitter: / tbconlinetz
Instagram: / tbc_online
Facebook: / tbconetanzania
Mmh nalia kila nkikumbuka matendo yako mazur kwa watu wte ...kenya yetu sijui nani atakuiga lala salama Baba Mlez wawa nyonge
Kama umeona zuchu alivyosukumwa na bodoguard gonga like
Daima tutakukumbuka Baba yetu 😭😭😭😭
Hakuna kama wewe babaangu!! Magufuli wangu mie jamani and 😭😭😭😭😭😭😭😭 umetuacha baba yetu jembe. Tunashukuru Mungu kwa yote
Ila Huyu Baba😭😭
Amma Kweli Zuhura Hodari, Mgu akulinde, Masha'Allah❤👍
😭😭😭😭😭😭😭💔🇰🇪, daima tutakuenzi
Pumzika kwa amani magufuli baba 😓😓🙏
I love Tanzania
Daaah hv ni kwel.... Maisha ni mafupi sana haswaaa kwa vipenz vya watu.... Na wale wenye manufaa sehemu... R. I. P magufuli haupo lakn vp vinavyosababisha tuendelee kuishi na ww kiroho
I am an italian man. I studied Magufuli, a politician I discovered and appreciated for his complaint against the effectiveness of tampons. He was a great and courageous president, an honest man who had reduced his salary (from $ 15,000 to $ 4,000) defended the interests of the people. I also appreciated his position on covid and against dangerous vaccines. In my opinion they killed him even though he officially died of heart problems. Magufuli will forever remain a political example of integrity for all. I agree about Magulification of Africa!
⁰
wellcome TANZANIA we lost big thing in our nation,and we dont know when we will get another leader like magufuri,R.I.P MAGUFURI.
Yan sitosahau matokeo ya uchaguzi tulicheza huu wimbo kwa furaha Leo haupo baba km ndoto😥😥
Imetisha mungu akupe nguvu
Nalia mm jmn magufuli 😭😭😭
Continue resting in peace magufuli
Japo Mh:Magufuli hayupo lkn.... Stomsahau na wala stoacha kumsifia....Sjawah kuona Shujaa wa namna hii....Simba Dume....Jiwe kwel kwel....
Moja ya sifa kubwa ya Kiongoz anaekusudia kufanya mabadiliko n kutoogopa KUFA....Magufuli alikuw haogopi Kufa.
Daah machozi hayakauki kila nikiangalia videos zake😭😭😭😭😭😭
Vigumu sana , pole haya majonzi hayaishi. RIP JPM
Udongo unameza,wazuri tu 😭😭😭😭😭
Kifo hakina huruma 😭😭😭😭
Nakumisi babayngu mungu akuhifadhiiii
Tunakukumbuka baba yetu,
I really miss you Magufuli
Mhhh Mungu wewe ni mzuri
Jamani mungu ana makusudi yake kwakwelii
As a Christian i believe in resurrection ,Lord Jesus just as you did during those days just do it again for our late and beloved President Magu we need him back
Ok.wait ur load Jesus to bring him back crazy who told u or where have u seen .in.holy books dat ur load Jesus wil.bring the dead ones again????
Acha tu ibaki story 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Apo kipindi hicho Dr bashiru sijui alikua ana jikuta Nani vile 🤔😄😄
Inshallah
Amen mama
Rest in peace😭😭Magufuli
Nguzo imara imelala 😢🙏
😭😭😭😭😭😭😭we miss him 🥺
Sio kweli kama kweli umeondoka baba
Allah amuhifadhi ndani ya jannatul firdhaus yaa rabb
Kila kitu na muda wake tumshukuru Mungu
Imebaki storry wallah hakuna km maguful rest in peace
Utakumbwukwa milele Magufuli
RIP!❤🎉
💔❤️😢😟😟
I'm TANZANIA NAUSIKILIZA HUO WIMBO MACHOZI 😭😭YANANITOKA MOYO HUO UNAUMA KUMBUKUMBU HAISAHAULIKI 🇹🇿KAZI YA MOLA HAINA MAKOSA NASI TUO NYUMA YAKO😭😭😭
Mungu alitupa ww kama zawad lakin ulizima gafla kama mshumaa😭pumzka baba
😭😭💔
Hatuto msahau maisha
Kwenye kampeni zake JPM iligeuka kuwa sikuku kubwa san RIP
RIP MWAMBA
Jamani ndyo maisha ya mwanadam yalivyo mhhh
Visionary president..rest in peace
Ila jamani Tanzania hatuwezi kusahau hili pigo
Paix son âme président magufur
😭😭😭
Mai zumo
Am so sad upumzike kwa amani baba yetu Magufuri
Hakuna kama mangu sijaona bado
Pumzma kwaamani baba😰😰
Legend JPM...😢🙌
RIP Mzee
Dhaaa
Ok
Dady nimemiss
Kaz nzul xana big ap zuchu
Tunaoangalia 2023 tujuane
😭😭😭😭😭😭🇹🇿
But why did it have to happen....dead😭😭
Who was the lady singing apart from Zuchu! Whoever she was ,she so talented and I guess she wrote the song for Zuchu
Its her mother khadija kopa
tutakukumbuka mileleeeee tunatamn ungekuepo hd leo😭😭😭
Hakika tutakukumbuka kwa mema tu
Nimempenda jamaa aliyemsukuma zuchu wakati Rais anaondoka yaani ni very professional sanaa wachache tunaojua hii tactics
Ni kama jamaa anawahi kutekeleza majukumu yake...
Kutetea kibarua chake kisiote nyasi
🙄🤣🤣🤣🤣
tutampata wp tena rais kama huyu
Alikuwa mcheshi anakaa nakila mtu da yani wakati mwingine bado siamini 😭😭😭
Ukisikia baba wa TAIFA..basi zingatia baba wa TAIFA ni nani na na ni kwa kazi zao za kizalendo KATIKATI nchi yetu.
💃💃💃💃💔💔😭💛💛💛🙏
Tumesha kumbuka jembe baba
He was a president for people, rest in peace
Ila siziani kamainawe tikookea tetaaaaa kwamweee
Ulionyesha njia iliosahihi na sisi tutafata nyayo zako
Hhhshahahaaaaaa
Udongo umemeza viongozi walioweza
R i p
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Cc
Waliobaki sasaivi ni kina lema kazi yaokuu kusema uongoz wako hawa sera
😭😭😭
Mungu amrehemu kwa mema aliyo yafanya alikuwa mchangamfu sana.
😭😭😭😭
😭😭😭