BREAKING NEWS: URAINE IMELIPUA DARAJA LA URUSI LINALOUNGANISHA ENEO LA CRIMEA NA URUSI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • Check more here: bit.ly/3yrpH70
    If you find any error in material provided please take a minute to tell us about it. We will resolve it at the earliest.
    COPYRIGHT VIOLATION
    For Copyright Issues: We try our best to verify the ownership of content with the contributor. If you think your material is wrongly used, or if its a violation of copyright.

КОМЕНТАРІ • 73

  • @zebedayokatamaduni9676
    @zebedayokatamaduni9676 25 днів тому +3

    Ukrein Safi sana pambana

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 25 днів тому +11

    Safi sana.Hongereni sana wanajeshi wa Ukraine

    • @evansjohn7766
      @evansjohn7766 25 днів тому

      WACA ushabiki bwana,ukraine sio size ya Russia. Wewe huone wavyo wakamata

    • @YohanaMasebo
      @YohanaMasebo 25 днів тому +1

      Kichwa kisicho fikiri ni mzigo kwa shingo

    • @modestwenceslaus9
      @modestwenceslaus9 25 днів тому +1

      ​@@evansjohn7766Hata Rwanda ni ndogo kwa DRC lakini kila siku Congo analalamika uvamizi wa Rwanda katika ardhi ya Congo sasa na Russia analalamika uvamizi wa Ukraine ndani ya ardhi ya Russia hiyo ndiyo inaitwa vita ni vita muraaaa hakunaga kuremba😂😂😂😂😂

    • @nizarrama225
      @nizarrama225 25 днів тому

      Jinga la mwisho hauna tofauti na jiwe😂

    • @emmanuelkanyela275
      @emmanuelkanyela275 25 днів тому

      hao sio wanajeshi wa ukren Bali ni nato

  • @amanmalima940
    @amanmalima940 25 днів тому +1

    Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).

  • @mohamedkassim7816
    @mohamedkassim7816 25 днів тому +1

    😢

  • @user-yp9el7xp8g
    @user-yp9el7xp8g 25 днів тому +2

    Hizi ndio habari mzuri

  • @DifaRobelindo-cj2ij
    @DifaRobelindo-cj2ij 25 днів тому +3

    Warusi weusi bado amjasema mpaka mseme

    • @kafwimbimilambo8556
      @kafwimbimilambo8556 25 днів тому

      Urusi nitaifa kubwa ivi ukrain hatafaulu

    • @lusajomwaipopo5042
      @lusajomwaipopo5042 25 днів тому

      Ndani ya ukrein kuna nato na ndani ya urus kuna china na iran​@@kafwimbimilambo8556

    • @DifaRobelindo-cj2ij
      @DifaRobelindo-cj2ij 25 днів тому

      @@kafwimbimilambo8556 apo jo pakujua kuamba urusi ana lolote yani taifa kubwa Leo linamsumbua taifa ndogo je vip wakaingia vita na marecani itakuwaje

    • @themoredwamichano8636
      @themoredwamichano8636 25 днів тому

      ​@@kafwimbimilambo8556tambua aridhi haipigani ndugu 😂😂😂

  • @ISSACKNTACHO
    @ISSACKNTACHO 25 днів тому

    Good job,

  • @user-yw3qh6qj8g
    @user-yw3qh6qj8g 25 днів тому +2

    Urusi wasenge,wanapata hasara,lengo la marekani urusi iwe masikini,putin hajasoma arama za nyakati

    • @masweto
      @masweto 24 дні тому

      Putin bwege ameyakanyaga ni aibu kweli mbwembwe nyingi maneno makali kama warabu wakitaka kufa hua wanajisifu kwa kuonyeaha majeshi na vifaa kumbe adui anakusoma Sasa ona Putin majeshi yake Yako wapi na manyukilia na madege na siraha ziko wapi amekwisha

  • @peterchula1990
    @peterchula1990 25 днів тому +3

    Kwa sasa ili urusi itahakikisha kuwa inaichukua Ukraine yote maana imekuwa tishio kwa usalama wa urusi kuripua daraja kunaamusha molali ya Urusi kuendelea mbele zaidi .

    • @MchungajiNzelani
      @MchungajiNzelani 25 днів тому +1

      Ndo inspigwa sana mnaipa kichwa wakati ni wauwaji univariate nchi ya watu na kuua watu!

    • @magigesabai8674
      @magigesabai8674 25 днів тому +2

      Siku zote hizo umeshindwa kusonga mbele ilikua wapi ?
      Urusi upepo wa pesa umekata itasaltiwa na Jeshi lake itapigwa vibaya sana

    • @davidsika5292
      @davidsika5292 25 днів тому +1

      Urusi upepo umekata ndo maana anaenda kuomba msaada north korea na iran

  • @user-sy3mj5gh5g
    @user-sy3mj5gh5g 25 днів тому +1

    Waaaoooongoooo urusi Dume kweli wamevamia cio kweli urusi kupoteza vita

    • @user-yw3qh6qj8g
      @user-yw3qh6qj8g 25 днів тому

      Acha usenge,vita ni vita hainamshindi

    • @magigesabai8674
      @magigesabai8674 25 днів тому

      Endelea na story zako za kwenye kahawa kuwa Urusi ni hatari

    • @SADICKITHOMAS
      @SADICKITHOMAS 25 днів тому

      Urus anapigana na nato ila wanacheka kidogo soon wanalia

    • @masweto
      @masweto 24 дні тому

      Pole sana mrusi mweusi wa kwenye kahawa umeliwa Putin wako kaisha sijui utakimbikia wapi

  • @mayanjakagwa6686
    @mayanjakagwa6686 25 днів тому +4

    Pamban mrusi ametesa watu na wenye awana atia

  • @HusseinSaguti-sj9nh
    @HusseinSaguti-sj9nh 25 днів тому +3

    Kwn cremea iko wap?
    Wkt mwngn fani kam huijui kaa kimya
    Manak nikm vle unasema daraja linaounganisha kigamboni na dar es salaam

    • @festohaule9716
      @festohaule9716 25 днів тому

      Umeona vyombo vya Magharibi ni waposhashaji sana!!!!

    • @georgemasumbigana7434
      @georgemasumbigana7434 25 днів тому +1

      cremea iko ukrein ila urusu ilichukuaga ilo eneo kitambo tuu hata kabla ya hii vita😅

    • @festohaule9716
      @festohaule9716 25 днів тому

      @@georgemasumbigana7434 ndio toka mwaka 2014...

    • @HusseinSaguti-sj9nh
      @HusseinSaguti-sj9nh 25 днів тому

      @@georgemasumbigana7434 kifup ni urusi

  • @kibedikamba7616
    @kibedikamba7616 25 днів тому +1

    Hali ni mbaya kwa uncle putin

  • @salimucvales7495
    @salimucvales7495 25 днів тому +2

    Mnao support Russia mhamie huko

    • @binseif2216
      @binseif2216 25 днів тому

      Wanaosaport Ukraine ni mashoga

    • @user-vf3wt3sb1h
      @user-vf3wt3sb1h 23 дні тому

      Tunajua nynyi mashoga mnaoisapoti Ukraine, Marekani, Uingereza, Ufaransa, hampendi, kuona watu naozikataa sera zenu zakishoga ila safari hii hautupoi Ugali wamoto mboga yamoto.

  • @festohaule9716
    @festohaule9716 25 днів тому +1

    Ukreni inavigamba bulee tu...Haiwezi kuikalia Ardhi ya Russia..wakalia Kwa kuvizia tu!!!!

    • @MchungajiNzelani
      @MchungajiNzelani 25 днів тому +1

      Ndo warusi wanapigwa sasa

    • @festohaule9716
      @festohaule9716 25 днів тому

      @@MchungajiNzelani Russia hakuna Nchi Yoyote inayoweza kupigana na Russia.....Hayo ni majoka tu.... Russia imeshayateka majimbo 5 .... Ukreni anafanya maagizo ya kuingia sehemu ambayo haina ulinzi pia wameingia Buchani wenyewe..Subili kusikia wakisalimu amri!!!!!!

    • @BarnabaBuhoma
      @BarnabaBuhoma 25 днів тому +1

      @@festohaule9716Eti hakuna nchi yoyote inaweza kupigana na Urusi!!!! Kwa hiyo hapa Ukrain hapogani na Urusi wanacheza sio eeh!! Huu ni mwaka wa ngapi???? Haya Ndio madhara ya kushabikia kitu kupita kiasi. Unashindwa hata kufikiria kisawasawa.

    • @festohaule9716
      @festohaule9716 25 днів тому

      @@BarnabaBuhoma .. Russia inapigana na Nchi 30 za NATO zibatoa usaidizi wa kijeshi Wapiganaji pesa Silaha toopu!!!

  • @user-jf7is4fk2v
    @user-jf7is4fk2v 25 днів тому +1

    habari 24 muongo sana,crimea na krusk ni mbali mbali

    • @HusseinSaguti-sj9nh
      @HusseinSaguti-sj9nh 25 днів тому

      Kasema urusi
      Lkn hiyo cremea toka 2014 ipo urusi
      Mfano utasemaj daraja linaonganisha chalinze na taanzani?

    • @user-it7ih1it3m
      @user-it7ih1it3m 25 днів тому

      ​@@HusseinSaguti-sj9nhkursk na crimea ni mikoa miwili ambayo ipo mbali haikalibiani

    • @magigesabai8674
      @magigesabai8674 25 днів тому

      @@user-it7ih1it3m leta hio ramani acha kuleta habari za kahawa

  • @user-yr4pv2vj7m
    @user-yr4pv2vj7m 21 день тому

    Putin pasua ao wasenge

  • @ibrahimgwasma1223
    @ibrahimgwasma1223 25 днів тому

    Watalipia

  • @user-pl6cl6um4l
    @user-pl6cl6um4l 25 днів тому +1

    Walirusha makombora 8 ya Himars lakini yamedunguliwa yote chanzo DW

    • @salehkhamiss2449
      @salehkhamiss2449 25 днів тому

      Himars sio makombora n mfumo wa kudungua makombora

  • @user-go3xe4mk4w
    @user-go3xe4mk4w 25 днів тому

    Sema unachelewq saana ila ni ukweli japo hizo 2meziona toka jana bbc,na cmn

  • @AbdulkarimKazungu
    @AbdulkarimKazungu 25 днів тому +1

    Watanzania proganda hawajasoma sio kazi yetu

  • @SylivesterKilunga
    @SylivesterKilunga 25 днів тому

    Ukreini kaza

  • @godfredkimaro3292
    @godfredkimaro3292 24 дні тому

    Putin piga mbwa hao

  • @binseif2216
    @binseif2216 25 днів тому

    Ukraine anavimbishwa kichwa na mmarekani nakupewa silaha

    • @masweto
      @masweto 24 дні тому

      Ndio ujue kua marekani ni babalao mrusi mweusi ujue Putin Hana kitu Tena njoo huku tule kitimoto hama huko

    • @binseif2216
      @binseif2216 24 дні тому

      @@masweto Nyie wajinga sana sasa kuna mtu mnaemwamini kama eliazar kwenye bible?alikuwa mchamungu na alikataa kula nyama yanguruwe baada yankushurutishwa na maadui,sasa ww mpumbavu unashabikia ushoga na kula ngurue

  • @davidsika5292
    @davidsika5292 25 днів тому

    Urusi tumbo jotoooo😂

  • @IreneIssaya
    @IreneIssaya 25 днів тому

    Hivi 24 chanzo chako cha habari ninini?

  • @MussaMillano
    @MussaMillano 25 днів тому

    Ni uongooooo jamn msiamini hizi taarifa hakuna alie lifikia daraja hilo

  • @graysonpastory1918
    @graysonpastory1918 25 днів тому

    Acha uongozi wewe ,daraja la konyo limevunjwa? Nyingine mbali kuripot umeamua tu manake hizi habari hata hamziwez kujitoa kabisa

  • @SilvesterMahande
    @SilvesterMahande 25 днів тому

    Qw