Wazee wa filamu za kufuraisha na kuvutia mno zisizo kwisha hamu,mola hamlaze mahala pema pepini mzee wetu Mohammed fungafunga marufu jenguo🤲,mlobaki tutazidi kuwaombea uzima wenu pia kwa uwepo wenu mtupe mengi mazuri 🤲.sending sms coment from kenya- mombasa.
Innalillah waina illah rajiun mzee wetu jengua ulale salama n mungu akupe pepoo gonga like anae mpenda marehem jengua
Wazee wa filamu za kufuraisha na kuvutia mno zisizo kwisha hamu,mola hamlaze mahala pema pepini mzee wetu Mohammed fungafunga marufu jenguo🤲,mlobaki tutazidi kuwaombea uzima wenu pia kwa uwepo wenu mtupe mengi mazuri 🤲.sending sms coment from kenya- mombasa.
Tulihekuja kumuangalia mzee jengua
Like apo chin
R.I.P
Kama unamkubali mzee jengua gonga like yako
Namkubali miaka mia
RIP mzee wetu mbele yako nyuma yetu
Mungu awalaze mahari pema waigizaji bora kabisa kwenye historia ya filamu Tanzania mzee jengue na mzee Korongo.
Mzee jenguwa kibao nimekiona ulicho mpiga uyo mama kimemuingia vizur. Mungu akupe kauli dhabiti uko uliko
Mwenyezi Mungu akupunguziee azabu ya kaburiii R.I.P mzee Jengua
R ip
Kama umemuona yule mzee kwenye maneno ya kuambiwa gonga like twondoke
Sanad
R.l.P Jengua 😥😥😥
Dah! Mzee jengua tutakukumbuka Sana mpaka Sasa ujasaurika
Pumzika kwa amani baba🙏🙏
Inalilah wahnahirajiun mungu akupe kauli thabit jengua mzee jengua alikua bora sana ktk kazi ya uigizaji
🤣🤣😂😂😂😂sjh nilichelewa wapi mie ku watch, 2021 tujuane
R.I.P mzeee jengua
Tarehe 5/1/2021....
Mi ndy naicheki leo
wazee wote wawili nihatari sana pengo kubwa sana kwa huyo mmoja jengua
Msisiri na jengua mpo vizuri sana mpo makini
Aisee jengua unatisha sana na mzee mwenzio
mzee mxixil unaogop kufa ila unanikoxha balaaa na ww jenguo kwa uchaw tyu ni noma duuuuuh weeeeeeh babu www mmh
Bonge la Movie laaah nawakubali saana
Kwa kweli uyu mama ana roho ngumu kweli kama bwanako atashikia mtoto kisu na wewe ume kausha macho ivio ata usutuki waa ninzuri. Kuna somo.
Hawa wazee wamekutana wote noma kwel kwel
Uyo ndor siyo kwa maskio hayo
Mzee msisili babu unaweza sana
Nice msisili
good movie
Nzur mashaallah
Mzee jenguwa Baba wew unajuwa
mzee msisil na jengua wakipangwa pamoja mambo ni byee
Nyota imezima😭😭
Hapo kwa uganga mungemueka chili yuwapendeza kuwa mganga
Thanks, Mzee musisiri,noma,part 2 plz
Napenda sana bongo movie
mzee jenguaa nakukubalii mnoooo
Ujauzito wangu nimekaa tumboni mwa mama angu miezi 12 nimeanza kutembea Nina miaka 10 nimeanza kuongea Nina miaka 17😂😂😂😂😂😂 umetisha Mzee jengua
Jengua jamani hahahaha eti nina meno makali 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
mungu akulaze mahar pema mzee jenguo
R.i.p jenguaa😭😭
aya msisi wa msisili nakubar sana mzee kaz zako
Thanks
Zee jenguarest and peac
NAONGEA KAMA NIMEWEKEWA ULIMI WA MPIGA DEBE !!! HAHAHAHA MZEE JENGUA WEWE NI NOMAA
Nimeipenda sana movie nzuri part 2 please 🙏
ipovizuri
R.i.p. mzeeee jengua
ivi uyuu mzee anaitwa mzee jangala au mzee jengua
Jengua🔥
Mo
Mzee sanadi
Jengua
Very nice move
Mmetisha😮
Mzee sanadi apenda uchawi looh
Movie nzur
Hich kidem kizur jaman
Jengua w nona sana
Napenda sana bongo muvi,
Nice movie
is god movie is good movie for you like hey
yes is good
mzee jengua yupo makini na kazi yake unajitaidi kuigiza
nyie hii ni UA-cam sio deki majina yenu ya nini tajeni majina mwishoni
Duh hawa wazee wanafurahisha sana
Movie kali❤
Nzur xana
So hot jamn ila mzee Jengua kipaji unacho babu yng🌚🌚
Eti nimungate meno! Hahah huyo Mzee noma kweli
R.i.p jengua😭
hivi majini na mizimu wa kibongo wakimtokea mtu huwa wanacheka nin??? maana akitokea tu anaanza kucheka
R i p mzee jengua
Innalillah wainailaiy rajiun
Rest in peace mz Jangua
Rip😭😭😭😭
Mchezo mzuli kabis
Verry wel
Ila mzee jengua kla movie ulioshiliki nakuona ukiwanga tu
😂😂ndo akishika sehemu hiyo anavaa uhusika
Hongereni
Mzee jengue mwenyewe nimjamzito hapo
😀😀😀hawa wazee wahuni
Tena saana
RIP mzee jengua
Jengua mkorofi hatari
😂😂😂😂😂
Na upole wote hule watu wamefanya mabadiliko
Mmeisikia hiyoooo
Mi nimesikia🤣🤣
Life life life dadadek 🤔
Rip
Kobe mjini
Like zang pleas
Nzur hahahahaha paka ukuta makamasi 😁😁😁😁
Mzee jengua yupo vizul
jengua hilo Kofi mbona kama umemtandika lenyewe aisee
HIV uchaw hup am amna
😂😂😂
Hilo kofi mzee nikama la kweli doooh
hatari kabisa
Namtaka huyo nifanye nae kazi huyo bint anae sema baba yako hv mchawi namba yake pls!
Duh....mzinga wa Kofi..hahahaaa
kazi nzuri
Kazi Nzuri Sana jman pongez kwenu
Khalfan Yusuf k
Khalfan Yusuf u UI
Heeh!! Mama kipe ata aibu huna unachamba wakati mwanao ana mimba kweli
Dokta kantangaze
Part 2 plz nice movie
Saoda.11 Swada
Saoda.11 Swada nzuri. sana
mbaya
R.I.P MZEE JENGUA.
Hii noma kar xana
Nmekipenda kinanda cha jengua
RIP mzee jengua
Mashaallah move mzr
Ooooo mimba
nyimbozadini
Hicho kidude unachopuliza umekipat wapi mzee jengua
simucawiii😂😂😂🤣
Kama umesikia kunakiraki chako badae piga kereree
Hii
mafahari wawili wamekutana
Ooooo mimba
❤❤
huo mziki wakitu gani acheni ushamba
Mziki unakeraaa mnoo
Ko
kwann mtt ni nn na ww unatafut nn
M
Very nice move
Ninacheka