Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Dada apo safi sana maana wanawake wenginee nikupamba kucha tuu na nyweleee,jifunzeni kwa dada hapa
Kiteeee, thanks a lot kwa kituhabarisha kutoka USA. Mola akulinde urejee salama. Amin
Sawa Bwashee mpaka Marekan flag inapepea Gud job 🤙🤙🤙
Allah ayibarika kaziyako dada 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Big up my sister prisila mkenda
Nimemfulaia uyo dada ajivungi❤❤
Dada shujaa mpambanaji wabongo hatujawahi kushindwa labda enzi za mababu sio dunia ya leo.big up sister
Ubunifu sqfisaana 💕💕💕
Dada hongera,naomba unahitaji mdada wakitanzania nahitaji napenda kupika chakula
Fantastic 💯💯💯💯
Noma sanaaa
Congratulations 👏🏽
Priscilla big up 👍
Safi mama wape na ugali wa muhogo
Duu ,pirau dolla 17 kwa ela ya kibongo kama 45000, tutafute hela v8 sio gari ya serikali
Kitumbua elf 4000😂😂😂
Love this.
Kaka kitenge please naomba namba za uyo Dada ili nipate kujua thamani ya iyo gar ili na mm nifanye hapa home
Ndugu biashara inaenda sambamba na ubunifu huhitaji mpaka uwe na gari hiyo hiyo ndio uweze kufanya hiyo biashara......... Unaweza nunua gari aina nyingine ukapeleka gereji na kuiunda kama unavyotaka wewe mwenyewe
Mmh agiza hayo ni maono yako anayeona kuliunda kwa fundi aunde,ila kuagiza ndio safi
Xenks Bro
Good on you dada!
Hii nimeikubali. Video zako nzuri sana na zina mchango mkubwa sana
Mama ntilie wa kishua, pilau elfu 40.
Asante sana
Kitumbua Gani hi ho Cha 8000 au ndo like walichokua wanaimba wasanii
Mwee jamani kitumbua elfu 8000🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tupe namba Tuje kufanfa kz
Sawa
Ungetuonesha au kutest chakula kidogo ingependeza
Naweza pata number ya dada huyu tafadhali.
kipindi kizuri,,, natamani kufanya naye kipindi
Amerikane maisha yawo nikama yakwetu Afrika
Niumbey kazi kwa maman nitilie
Posipti tunazoTupe michongo dada
Kitumbua dollar 2..Elf 4
Pilau moja shilingi arobaini🤣
Kumbe anaongea kiswaili
Dada mchaga wa rombo kweli
kitenge nimeona mama nterie uko marekan mm ni mpishi nakuomba uniunganishie nifanye nayo kazi nitapata ?
Duuh dolla 17 pilau kitumbua dolla 2 aisee kina pesa km kibongo bongo
anauza hvyo kutokana na thamani ya hela mzee
Ukisikia mama anaupiga mwingi ndo huyu sasa
Dada na mm naomba kazi
Sasa wateja wanapotaka kula wanakaa ndani? Au?
Take away only mzee
Foodtrack huitaji kula hapo hapo Just take away .Ghana wenzetu wanafanya hii huko accra
Dada mchaga
Duuuh kitumbua kimoja 4000
Sio elf 4 ni elfu 11ww hujui dola
@@baiaaa2809 siamesema dola 2 au
Brother unajua Michele dola ngapi? Hapa hapa bongo kahawa 2000 kikombe
@@baiaaa2809 we ndo hujui sasa
Dollar 1=2332×2=?
Hilo gari ni kama la Arnold Schwarzenegger kwenye movie ya command

Tupe namba
Tuje kufanfa kz
Sawa
Ungetuonesha au kutest chakula kidogo ingependeza
Naweza pata number ya dada huyu tafadhali.
kipindi kizuri,,, natamani kufanya naye kipindi
Amerikane maisha yawo nikama yakwetu Afrika
Niumbey kazi kwa maman nitilie
Posipti tunazo
Tupe michongo dada
Kitumbua dollar 2..
Elf 4