Shabiki wa Simba aliyetoka Kigoma kwa mguu kuifuata "Simba Day" afika Dodoma

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 сер 2024
  • Shabiki wa Simba Zayed Juma maarufu kwa jina la 'Muha ni Kikoko' kutoka kigoma aliyeanza safari ya kwenda Dar es Salaam kutoka Kigoma, Julai 18, 2022 kwenda kushuhudia kilele cha wiki ya Simba leo amefika jijini Dodoma Julai 30, 2022 akitumia siku 13 na kueleza masaibu ambaye ameyapitia ikiwemo kutoka kwa mashabiki wa yanga ikiwemo dereva aliyetaka kumgonga na gari na kusimamisha gari karibu kabisa na miguu yake.
    Shabiki huyu ameleza kuwa hii ni mara yake ya nne anasafiri kutoka Kigoma kwenda kwenye siku ya Simba Day.

КОМЕНТАРІ • 11