KIJANA ALIYELALA NA MAMA YAKE AFUNGUKA MENGINE MAZITO ALALA NA SHETANI MPINGA MUNGU KABISA.Part 3

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 87

  • @aminasalim8708
    @aminasalim8708 2 роки тому +3

    Daah mtihan san hapa dunian in sha allah mungu atujaze imani tumuabudi yy tuepushwe na mitihan hii....''''alafu nilitamani kujua kuwa shetan kamwambia yy ni mkubwa na ana nyota nzr san anafaa kumuabudia .., swali jee ina maan uyo mfano ana vitu vichafu zaid ya shetani adi shetan aamue kutaka kumuabudu uyo mfano au ndo aliongea tu ili ampate kimapenz....🙏.., , pia pole san kwa mitihan iyo cha msingi mludie mungu kiundani zaid♥🙏...pia hongera mtangazaji kwa kuheshimu adhana mungu akufanyie wepes ktk kaz zako ameen♥

  • @elizabethchemutai1212
    @elizabethchemutai1212 2 роки тому +1

    Hakuna mwanadamu ana uwezo wa kufufua mwanadamu mwenzake. Foxe tv mwanaitaji prayer warriors team wa kuombea walio gandamizwa na ibilizi bure naona watu wa Mungu wakipotea bure. Jesus died for everyone

  • @jokhasimba586
    @jokhasimba586 2 роки тому +1

    Naahukuru mtangazàji kwa kuheshimu.ashana allaa akufanyie wepesi.na kazi.yako

  • @rafikimbwambo134
    @rafikimbwambo134 Рік тому +1

    Pole sana Ila majaribu nikipimo Cha Iman Ila yesu Yuko mbele yako hatakuacha omba sana fungal Soma biblia zabur 23 1 nakuendelea Mar kwa Mara Mungu atakutoa huko

  • @asfarsham9556
    @asfarsham9556 2 роки тому +2

    Shukran kwa kupisha Adhana

  • @mirriumkiamba3455
    @mirriumkiamba3455 2 роки тому +2

    Above all that story part one two na three.... there's power in the name of JESUS... mkimbilie yeye kijana

  • @khadijajuma1912
    @khadijajuma1912 2 роки тому +1

    Mmmmh hatar sana pole kk

  • @judithmelvinealuchio8968
    @judithmelvinealuchio8968 2 роки тому +4

    pole sana young man nimegundua ulianza kutumika mapema sana bila ya wewe kujuwa ndio wakajitokeza baadae ila mungu anakupenda zaidi na ukimpenda zaidi na uwe karibu naye trust me usanii sio talent yako bali uokovu sio lazima uwe umesoma ndio ulisambaze neno la mungu bali ni uitiko wako na hicho ndicho kipaji chako mitiani duniani zipo mingi sana pole tena gud job wana Foxe tv and your team 🙏🙏🙏🇰🇪🇪🇺

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si 2 роки тому +2

    Mungu akubariki kwa kuheshimu adhana

  • @lilyiminza79
    @lilyiminza79 Рік тому +1

    Brow mungu ana tosha Kwa kilakitu

  • @jesicahphibi6904
    @jesicahphibi6904 2 роки тому +1

    Pole sana kaka Mungu akuonekanie

  • @margaretkarambu936
    @margaretkarambu936 2 роки тому +1

    Kamtafute Yesu Kristo ndiye atakuokoa Kwa minyororo ya shetani.

  • @ziadaskitchen5060
    @ziadaskitchen5060 2 роки тому +2

    Mungu akubariki kwa kutii Adhana

  • @jennyfredy6714
    @jennyfredy6714 2 роки тому +1

    Pole mdogo wangup

  • @suzanamacheal1891
    @suzanamacheal1891 2 роки тому +1

    Pore kaka mushukuru Mungu san hanakupenda usimusaau

  • @mercypatrik24
    @mercypatrik24 2 роки тому +1

    Yesu ndilo jibu LA kila kitu kaka

  • @elizamukiti9855
    @elizamukiti9855 2 роки тому +1

    Pole kaka

  • @ck2633
    @ck2633 2 роки тому +1

    Mungu akurehemu!

  • @adelesifa2257
    @adelesifa2257 2 роки тому +7

    Ww kaka achana na usani , apouli ujafika mahali salama, kaka mutafute Yesu kwakua yeye nizaidi. Mungu bado anakupenda

    • @azizayassin3623
      @azizayassin3623 2 роки тому

      Yni muongo hyu ametoka tik tv saa hii yko hvi anatafta jina kwa kudanganya watu hii ni tv ya 3 namuona shenzi hyu

  • @munakhamis982
    @munakhamis982 2 роки тому +3

    Uy aendelee kumuomb sana mung na mung atamtoa kweny hii hal

  • @signtheblackrussian
    @signtheblackrussian 2 роки тому +6

    Mpe Yesu maisha yako... Huyo shekhe atakupoteza zaidi... Yeye ndio mlango mkubwa kwa wewe kupoteza nafsi yako... Narudia, mpe Yesu maisha yako...

    • @loganpoul
      @loganpoul 2 роки тому +1

      Yesu alitumwa kwa Wana wa Israel hajatumwa kwetu ww,

    • @princessvyona3412
      @princessvyona3412 2 роки тому

      @@loganpoul umepotea na nyote kama mnaamini hivi mumepotea Jesus Christ died on the cross because of our sins,it doesn’t matter about the religion,whoever believes in him shall never perish,Sheikh hawezi mleta huyo mama na hawezi komboa huyu kijana isipokuwa maombi ya pastor

    • @loganpoul
      @loganpoul 2 роки тому

      @@princessvyona3412 Jesus hajakufa kwa ajili ya MTU,pia Jesus hakufa,so kama unaamini Jesus alikufa ni ww ndugu na sai basi takua hauna msaada kama Jesus hakufa

    • @lucywilson5875
      @lucywilson5875 2 роки тому

      @@loganpoul Duh! logan pole sana, huna unalolielewa

    • @muzungunamalwalinet324
      @muzungunamalwalinet324 2 роки тому

      @@lucywilson5875 uyu ni shida tu haelewi kitu kabisa Jesus is the way and life uyu kijana anatakiwa haende kanisa yenye iko very powerful kwa maombi

  • @aalyahnasser225
    @aalyahnasser225 2 роки тому +1

    Hii TV ni uzushi mtupu acheni ku like na ku share huyu jamaa ana toa habari za uongo na uzushi anae toa hizi habari ni mtu mmoja huyo huyo haya ni maigizo tu mna haribu mb zenu bure

  • @pendomwendo307
    @pendomwendo307 2 роки тому +1

    Pole sana Kaka, kwa mapito yote ulioyapitia kwa umri huu bado mdogo sana, yakimbie hayo majaribu uliyoyapitia, kimbilia kwa Yesu mpe yesu maisha yako , Naye atakupusha na mikosi, balaa, malipizi, na majaribu yote unayoyapitia, mkabidhi yesu hayo yote, maana mungu ni adui wa adui zetu, na pia uamini hapana uganga wala uchawi katika nchi ya yakobo, kwa yesu yote yanawezekana , mungu atakuweka huru nawe utakuwa huru kwelikweli.

  • @carlolinekuria1914
    @carlolinekuria1914 2 роки тому +1

    namba ya shehe tunaitaji plz tutumiwe

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 2 роки тому +1

    Subuhanallah pole kijana mungu yuko pamoja na wewe

    • @hamzayusuf2999
      @hamzayusuf2999 2 роки тому

      huyu kijana ana wazimu ni mwongoo sana nyinyi hamuna kazi yote niuongo asha sema yeye ni mwongo hayana mana meneno yake huwezi kujuwa mbele wala nyuma

  • @bernicezulu234
    @bernicezulu234 2 роки тому +1

    We,mbona umeshindwa ungo,?

  • @yohanampayo1798
    @yohanampayo1798 2 роки тому +1

    Aminini anayosema Huyo kijana

  • @wilsonkakili2481
    @wilsonkakili2481 2 роки тому +1

    Huyo sheeee hatakumalizia shetani ajawai kua mkweli

  • @surujajwie4768
    @surujajwie4768 2 роки тому +1

    pole saaan dongo ndo maan twaabiwa bisimillah nimhim saaan kakila ukifanyach

  • @bonifacemasele4139
    @bonifacemasele4139 2 роки тому +1

    kijana pole sana bwana mdogo

  • @esperancesudi2842
    @esperancesudi2842 2 роки тому +1

    To be continued

  • @stelasianga9468
    @stelasianga9468 2 роки тому +1

    Toto liongo hili..linalia kishetani lenyeww

  • @zenamtembezi4921
    @zenamtembezi4921 2 роки тому

    Mh aisee

  • @azizayassin3623
    @azizayassin3623 2 роки тому +1

    Hyu muongo sna ametoka tik tv sasa yko hku anatafta jina tu hna lolote🤣🤣🤣🤣tapeli tu

  • @mpetafrank7195
    @mpetafrank7195 2 роки тому +3

    Nyie mnao comments kwamba uongo mji tathimini kwingine ndo nyie nyie mnatumika Freemason kwa maana huwezi sema uongo akati mlengwa ndo anasema Pia hata Kama Ni uongo sawa tuna taka ndio uongo kama huu story Kama hizi zinazo bamba na zina mafunzo ndani yake kwamba tufanye yote lakin tukumbuke Mungu yupo

  • @sophiajacksonjacksonmeshac1468
    @sophiajacksonjacksonmeshac1468 2 роки тому +1

    Mfano mtegemee Mungu nae atakuokoa na huyo shetani

  • @siteraotoyo1467
    @siteraotoyo1467 Рік тому +1

    Sasa hii story inatufunza lini ama anataka azaidiwe aje, uongo tupu

  • @najmaaa6548
    @najmaaa6548 2 роки тому +1

    Mmmh 🤔🤔🤔

  • @Amina-xc8tl
    @Amina-xc8tl 2 роки тому +1

    Pole sana kaka,ila wao nikama walikutia kwa chama flani,kisha tayari wakatoa mama bila ww kujijua😢😭 ila ucjali cku moja nina imani utasaidika utanasuka mikononi mwao,kwani ww endelea kumfuatilia huyo ustadh atakusaidia,napia usiache kumuomba MUNGU,kwani yy ndio kimbilio letu cc

  • @sharifamahamudu182
    @sharifamahamudu182 Рік тому +1

    Kila mtu naimani yake alafu kumbuken yesu alizaliwa km ss tu yan nikama mtume au mjumbe wa allah kwaiyo allah ndo kilakitu acha muisilam abaki kwenye imani yake na nyinyi baki kwenye imani zenu

  • @selinamrikaria6143
    @selinamrikaria6143 2 роки тому +2

    Uongoo mtupuuuu!!! Mnamtangazia shehe biashara!..tumewastukia!! Cheki na sura lake kama mbuzi wa hitma, mzyuuuuuuu!!!..

  • @sublimesiribo6153
    @sublimesiribo6153 2 роки тому +1

    iyi ni hadisi ya watoto

  • @udhd121
    @udhd121 2 роки тому

    DiViNA OUMA from Kenya nitumia naba ya sea

  • @barakaobedgwichara1434
    @barakaobedgwichara1434 2 роки тому +1

    Duh

  • @macanowali2713
    @macanowali2713 2 роки тому +1

    Huyu ni muongo coz akuna siku binadamu atakua nyoka

  • @shifaazawadi4438
    @shifaazawadi4438 2 роки тому +4

    Nimefatilia maongezi yake nimegundua tokea aanze kuongea huu mksa inaoneka aliyo pitia yalimuchanga akili yake hakua sawa huko nyuma na maongezi yake anakumbuka vitu nusu nusu avijilete vyote kiusawa ....cz akili yake aikua sawa napia bado akili yake aijarudi kiusawa huyu hakua ulimwengu huu napia amesaidia nahuyo sheikh amensaidia Sana ...nabado ahitaji kusaidika atoke aliko akiliyake umurudie kiusawa nime fatili mwasema nimuongo nikwasababu hamu elewi aliko toka nikubaya na bado hajarudi kiusawa kwa sasa anaonekana anarudi katika mfumo wake kidogo kidogo

    • @munakhamis982
      @munakhamis982 2 роки тому +2

      Nikwel

    • @lailantisaidi3783
      @lailantisaidi3783 2 роки тому

      Kweli bana kwa hapo ayupo sawa anakumbuka ndo anaongea sasa watu wanarupoka tu awajuwi hii Dunia inamambo mengi

  • @kezianathan3963
    @kezianathan3963 2 роки тому +2

    Nenda kwa mch gwajima ikaombewe mapepo Yakikutoks utakuwa salama hata shehe Hana msaada msaada pekee ni yesu

    • @MohammedAli-rh5si
      @MohammedAli-rh5si 2 роки тому

      Shika adabu yako yy ni muislamu kwahyo gwajima ni Mungu au acha kudharau dini za wenzako km huna point tuliza kipapa

  • @nurualishaban7383
    @nurualishaban7383 2 роки тому +1

    Foxe TV toeni hiyo title mnaharibia huyo kijana hajalala na mamake kama mlivyoandika hapo

  • @rossosilver-nl8gr
    @rossosilver-nl8gr Рік тому

    huyu jamaa anatamani kufirwa tu mana anaonekana anapenda huo mchezo

  • @husnamohamed8377
    @husnamohamed8377 2 роки тому +1

    Ivi hizi story uwa nizakweli au uwa wanatunga tu kutumalizia bando zetu 🤦

  • @metrinenekesa9780
    @metrinenekesa9780 2 роки тому +1

    🤔🤔🤔🤔🤔🤔

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si 2 роки тому +1

    Kwa story zenye muendelezo mueke namba part one na kuendelea

  • @rossosilver-nl8gr
    @rossosilver-nl8gr Рік тому

    muongo huyo kwaanaejua vitu vzr hakuna mtu Ali wahi kulala na shetani ispokua mshirikina unaweza kulala nae na pia hakuna binadamu nyoka ispokua kuna uchawi unafanywa unamuona mtu anageuka kus nyika ila ukilala nashetani au jini kimapenzi unakufa hapo hapo

  • @joyceshile8837
    @joyceshile8837 2 роки тому +1

    NI UONGO HUO ULALE NA SHETANI WEWE, NYIE NI WAONGO KABISAAAA.

  • @abdulimalikyoungmoney5883
    @abdulimalikyoungmoney5883 2 роки тому +1

    Tafadhari kuitangaza jamii hii vibaya na story zenu za uongo nyie foxe tv tafuteni story za ukweli acheni kuichafua jamii hii ambayo amuijui nawapa angalizo acheni mala moja mala nyingine mkiendelea chafua freemason mtajiingiza matatizoni

  • @princessvyona3412
    @princessvyona3412 2 роки тому +1

    Hiyo miaka ya kufanya hiyo yote ilikuwa lini,na ile itaeza saidia Huyu kijana ni maombi ya deliverance,wakristu wanayajua,enda ufanyiwe maombi na sio maombi tu ni maombi ya mfungo wa saidi ya siku moja,sio lazima ubadilishe dini ila ni kuokoa nafsi yako,Kenya waislamu wamejaa kanisani but sio kuwa ni wakristu ikifika wakati wa kuswali uwanga wanatoka wananawa wanafanya maombi yao na kurudi kanisani

  • @joyj4474
    @joyj4474 2 роки тому +1

    🤔🤔🤔🤔

    • @yusrayusra8328
      @yusrayusra8328 2 роки тому

      Mmmhh pole Sana Kaka angu😭😭

    • @victoriamwigani9389
      @victoriamwigani9389 2 роки тому

      Hao washindwe hao wafwas mia watupwe kuzimu nadamu ya yesu itufunike ila muombe sana Mungu okoka hapo haupo salama naumetangaza siri na fremaso na majini yote njo kwayesu uwe salama

  • @praisegodjonnathannasari4543
    @praisegodjonnathannasari4543 2 роки тому +1

    Muongo mkubwa huyu

  • @emes602
    @emes602 2 роки тому +1

    Nmeanza kuielewa hii story. Mbona uongo tu .. huyu na shat lake ilo ilo video ingine anajiita bakari search imeandikwa NIMESAMBAZA UKIMWI ILI NISIFE MWENYEWE ... eti hapa anajiita MFANO wapuuuuz nyie na story zenu za kutengeneza.

  • @florenceindagasi2588
    @florenceindagasi2588 2 роки тому +1

    WATANZANIA mbona huna kazi ya kufanya. Why u like imagination story. This imagination and craziness

  • @udhd121
    @udhd121 2 роки тому

    DiViNA OUMA from Kenya mugu amupigania