KABLA HAJAFANYA MAUAJI ALIINGIA NILIPOKUWA NIMELALA AKANISHIKA NAKUNIF...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 жов 2024
  • KABLA HAJAFANYA MAUAJI ALIINGIA NILIPOKUWA NIMELALA AKANISHIKA NAKUNIF...
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    #MauajiSinza #AmmiminiaRisasi #TikiTvKiakiliZaidi
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 430

  • @sashamakoiso880
    @sashamakoiso880 3 роки тому +40

    kumbe kunavitu nilikua sijavijua ndo nimevijua hapa hakika mtangazaji unahoji vizuri sana yani huachi swali hata moja

    • @mammam4701
      @mammam4701 3 роки тому +8

      Uyu kak wa habr tik tiv yuko poa sanaaaaaaaaaaaaaa ❤️❤️🙏

    • @المهلهلالحراصي
      @المهلهلالحراصي 3 роки тому +7

      Anakuja vizur sana huyu kaka wa tiki tivi hata yule binti alie mchoma moto mpenzi waandishi wengine walikuwa wanalete habari juu juu tu lakini alipo kuja huyu kaka wa tiki tivi alihoji vizur mpka tukaelewa chanzo cha mgororo kupeleka hadi neema kuamua kufanya ujinga huo wa kuwasha nyumba moto

    • @rehemasalim4590
      @rehemasalim4590 3 роки тому +5

      @@المهلهلالحراصي huyu yuko zaman sana nilikua na fatilia global lkn tangu ametoka sifatili

    • @tikitvog
      @tikitvog  3 роки тому +6

      Asanteni na hongereni sana kwa kuichagua na kuendelea kuifuatilia Tiki Tv bila kuwasahau wajanja wote manaoendelea KU-SUBSCRIBE Tiki Tv #KiakiliZaidi, kazi yetu ni kuwaletea kilicho bora zaidi.

    • @sadamussa3162
      @sadamussa3162 3 роки тому +4

      @@tikitvog kaka upo vizur mungu akupe maisha marefu

  • @motocomedy7007
    @motocomedy7007 3 роки тому +16

    ninacho wapendea tiki tv hamkurupukagi kuposti habari mnafanya uchunguzi wenu kwa kina kabisa na mnatupa habari iliyoshiba yani kiufupi majibu ya maswali yetu yote yanajibiwa kupitia tiki tv love you mtangazaji 👍

    • @rehemasalim4590
      @rehemasalim4590 3 роки тому +3

      Kelvin tangu ako global alikua vzr

    • @saadacharasaada1958
      @saadacharasaada1958 3 роки тому +2

      Huyu ndo mtangazaji naempendga mie wengine wote masnichi tu mnatuletea habar za uongo big up tiki tv

    • @tikitvog
      @tikitvog  3 роки тому

      Asanteni na hongereni sana kwa kuichagua na kuendelea kuifuatilia Tiki Tv bila kuwasahau wajanja wote manaoendelea KU-SUBSCRIBE Tiki Tv #KiakiliZaidi, kazi yetu ni kuwaletea kilicho bora zaidi, na tunawapenda sana.

    • @joycechaz2840
      @joycechaz2840 3 роки тому

      @@rehemasalim4590 oooh kumbe ndo yule kaka alikuaga global😍😍

  • @halimajamaniamekuwamndeme9617
    @halimajamaniamekuwamndeme9617 3 роки тому +4

    Hongera mwandishi uko vizuri , unataaluma ya kuhoji,safi sana tutafika mbali sana dogo

  • @makinitv4891
    @makinitv4891 3 роки тому +5

    Binafsi nilikuwa najiuliza sana ilikuwaje na yeye akajiua baada ya kuua na kila habari niliyoangalia sikupata majibu ila Tiki Tv kupitia mtangazaji wenu makini Kelvin Shayo mmenipa majibu kwenye interview hii, kwakweli mpo vizuri sana big up.

  • @waukweelinikkon6555
    @waukweelinikkon6555 3 роки тому +16

    Madeni ni ya kuyaogopa sana,yakizidi lzm yakuletee Depression, Bora angejiua mwenyewe jamani,kwenda kukatisha huai wa mwenzie kweli😭😭

  • @josephathaule4823
    @josephathaule4823 3 роки тому +5

    Kwa kweli wote mliokuwa hapo Baar mlikuwa wazembe wa kuomba msaada wa Polisi mapema, ili kunusuru hali iliyokuwa inaendelea.

  • @afandehassan1
    @afandehassan1 3 роки тому +12

    Ni sawa Baba Levo Kumiliki Silaha si atatuulia Harmonize mara hio

  • @flomenastephen2226
    @flomenastephen2226 3 роки тому +1

    Kelvin unahoji vzr sana mungu akubariki

  • @epifaniasawaki3315
    @epifaniasawaki3315 3 роки тому +13

    Nimeelewa huyu jaamaa alikuwa na hasira na hii bar na alishakuwa na stress za pesa huyu jamaaa dah maisha hayaaaaaa😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @lucycharles1956
    @lucycharles1956 3 роки тому +4

    Mtangazaji yupo vizuri sana anauliza maswali kwa akili 💕

  • @zuhuramuhanga5400
    @zuhuramuhanga5400 3 роки тому +32

    Wamiliki wa bastola wapimwe akili kwanza

  • @ladymunahmunah5153
    @ladymunahmunah5153 3 роки тому +22

    Daaah gift umewaliza wengi mpenz pumzika kwa amani

    • @pitargamba9208
      @pitargamba9208 3 роки тому

      Umeumbuka kama alikuwa mtu wako kwanini hukumuondolea stules au wewe ndiye umemfilis hd kumsababishia maut

    • @ladymunahmunah5153
      @ladymunahmunah5153 3 роки тому

      @@pitargamba9208 mpuuz wee

    • @maloomaalmnsj5111
      @maloomaalmnsj5111 3 роки тому +1

      @@pitargamba9208 we ujaelewa Alex ndo muwaji gift 🎁 ni ana tatizo

    • @chausikuzahoro3483
      @chausikuzahoro3483 3 роки тому +1

      @@pitargamba9208 we nawe Alex ndiye aliyeua mbona umekurupuka

  • @tutumfaume7323
    @tutumfaume7323 3 роки тому +1

    Thanks brother kwa ku fafa nusha story muzuri.

  • @aminajuma717
    @aminajuma717 3 роки тому +16

    Dada pole sana jmn😭😭😭

  • @dariamushi9356
    @dariamushi9356 3 роки тому +5

    kaka katili huyo yani kila akienda nnje akirudi anamtwanga risasi asingempiga nyingi kiasi hicho asingekufa asante tiki tv kwa habari nzuri yani ameelezea vizuri sana

  • @aloyceiluminata3650
    @aloyceiluminata3650 3 роки тому +27

    Daaah..huyu jamaa alikuwa shetani anayeishi.,...ila Mungu ndo mwamuzi wa mwisho..RIP gift😭😭

    • @fidaally5618
      @fidaally5618 3 роки тому

      Jamani kifo kinasiri mzito kwa mungu mana mekoso kutowaripoti poriss muda ote anazakujitapa mpaka anafanya mauwaji

    • @wazirikhamisi4828
      @wazirikhamisi4828 3 роки тому

      Upo.sahihi

  • @sakinaramzu2878
    @sakinaramzu2878 3 роки тому +2

    Kwa mara ya kwanza kukusikiliza hongera unauliza maswali vizuri sana

  • @maryamrashid8499
    @maryamrashid8499 3 роки тому +32

    Mlifanya makosa makubwa sana mara ya kwanza tu mlipomuona ana bastola mlikuwa muite polisi kwa siri kwa msaada zaidi kabla hapajatokea mauwaji

    • @musashaweji4835
      @musashaweji4835 3 роки тому +3

      Eti MTU amekaa na bastora hadharani sio police Ni raia tuu wameshindwa kuchukua piki piki fastar waende mabatini ni karibu nauli book tuu tatizo watanzania hatuna ushilikiano tupo tupo tuuu

    • @haikakalalu6887
      @haikakalalu6887 3 роки тому +2

      Hyo akili inatoka kabxa hukumbuki km Kuna kituo karb..pia na kifo kikipangwa hata ufanyej huwez zuia

    • @kiri5807
      @kiri5807 3 роки тому

      @@musashaweji4835 .waTzn ni watu wakushangaa tu , hata akipata akili jambo lishapita

    • @fatmakhanii1676
      @fatmakhanii1676 3 роки тому

      Ilikua ishapangwa kue na kifo cha mtu

    • @saidasao4985
      @saidasao4985 3 роки тому +1

      Ona jaman kifo kikipangwa walh hata kma kuna kitu kinaweza kusaidia unaweza usifanye na uka kumbuka baadae ila inauma san tz ss matukio mengi tutaanza kuogopan

  • @salamanauthartanzania6301
    @salamanauthartanzania6301 3 роки тому +11

    Tiki tv habari za uhakika

    • @joycechaz2840
      @joycechaz2840 3 роки тому

      Yes now wanakaribia kumpindua millard Ayo

  • @yasiniselemani2412
    @yasiniselemani2412 3 роки тому

    MIKOPO MIKOPO MIKOPO NI SHIDA hata ya watumishi wa govt ni shida achana na MIKOPO ishi maisha yako japo ya taabu ishi Ayo Ayo

  • @veronicaminja8458
    @veronicaminja8458 3 роки тому

    Hongera sana Tik TV yan kisa kinaeleweka Duh Dunia haina huruma😓

  • @iuem5792
    @iuem5792 3 роки тому +5

    Hapo kulikuwa na uzembe wa kupitiliza mtu anatoa bastola anakoki,anatoa tena mnambembeleza!!!!Alitakiwa akamatwe mara moja kupokea kisago cha hatari,kisha anapelekwa police ananyang'anywa silaha.

  • @emmanuellusinde2026
    @emmanuellusinde2026 3 роки тому +3

    Daaah had huruma jamn mungu atusaidiye Tanzania inaenda WAP

  • @eshu-tanzania2791
    @eshu-tanzania2791 3 роки тому +7

    Watanzani ni watu wazembe sana, kwanini hamkutoa taarifa mapema kwa polis, wakati kila akija bar anatoa bastola mlitaka auwe mtu kwanza ndio muongee. Mngepiga simu haraka kwa polis

    • @minaelnathanael1846
      @minaelnathanael1846 3 роки тому

      Wogga

    • @eshu-tanzania2791
      @eshu-tanzania2791 3 роки тому

      @@minaelnathanael1846
      Tz watu wanakufa bila hatia na kukosa msaada,nchi za ulaya mtu anapiga simu polis na watu hawajui ninani ametoa taarifa hizo kwa polis, ila sio tz watu wanaogopa najua kwasababu mwisho wa siku wanasema fulani ndio katoa habari hizo.

  • @peteryukunda9239
    @peteryukunda9239 3 роки тому +4

    Yaani, mngeenda wanaume km watatu,mlikamate kwa nyuma hiyo mikono,then mlichangie kwa kipigo mliulie mbali.

  • @titosoundsospeter7473
    @titosoundsospeter7473 3 роки тому +3

    Huyu jamaa na mwelewaga Sana aisee Kazi nzuri..

    • @reginabeno1904
      @reginabeno1904 3 роки тому

      Yn ww hata usingehadithia Mimi unanikera mwenzio anapigwa lisasi we unaangalia badala utafute msaada umuokoe mwenzio

  • @djsixfingersorg.8402
    @djsixfingersorg.8402 3 роки тому +9

    mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema pepono amen

  • @janethgodwin2814
    @janethgodwin2814 3 роки тому +3

    Kukwel inaumiza mno mnooo jmn......... Wanaume wote waliokimbia walishindwa nini ata kumrukia kwa nyuma na kumwangusha na kumyang'anya uyo mtu bastola wakat anam shoot gift ya mguuni.........jaman tujitahd kuwa na upendo....... Mm ni mschana but kiukwel ningekua kweny ilo tukio kipind anaanza kum shoot tu ningemkaba kwa nyuma na wengine wangejiunga tukachukua iyo silaha gift asingekufa ila basi tu ila inaumiza mnoo jmn mnooo tujiulize tu waliokimbia wakamwacha gift apo angekua ni ndugu yao wa damu wangemwacha!!????? Tuweni na upendo jamani dah

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 3 роки тому +14

    Daaaaaa family yangu Tiki TV r. I. P. Gift

    • @tikitvog
      @tikitvog  3 роки тому

      Asante na hongera kwa kuichagua na kuendelea kuifuatilia Tiki Tv +Ukhut Fatumah pamoja na wajanja wote manaoendelea KU-SUBSCRIBE Tiki Tv #KiakiliZaidi, tunawapenda sana.

  • @jeremiaskilian757
    @jeremiaskilian757 3 роки тому +2

    It is very sad for that event

  • @kimaronemes5689
    @kimaronemes5689 3 роки тому +9

    Depression is real ,tatizo hili ni kubwa sana nchini kwetu

  • @devothaignatus5911
    @devothaignatus5911 3 роки тому +5

    Nimekpenda muandishi upo p.Unauliza maswali yako vzr hakna linaro baki

    • @tikitvog
      @tikitvog  3 роки тому

      Asante na hongera kwa kuichagua na kuendelea kuifuatilia Tiki Tv @devotha Ignatus pamoja na wajanja wote manaoendelea KU-SUBSCRIBE Tiki Tv #KiakiliZaidi, kazi yetu ni kuwaletea kilicho bora.

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 3 роки тому +8

    Dah aisee yaan alikuwa na mkopo bank na anatoa ofa kwenye bar lak 6 🙄🙄🙄🙄

    • @zuhurambonde1982
      @zuhurambonde1982 3 роки тому

      Sifa tu jamani laki 6 utowe ofa kweli usawa huu kweli

    • @pitargamba9208
      @pitargamba9208 3 роки тому

      Hiyo ilikuwa ni mpango wa kuuwa wahdum lakini mungu akwakoa akuruhu gift maana ilikuwa ni siku

  • @يسرىيسرى-م4خ
    @يسرىيسرى-م4خ 3 роки тому +5

    Yaani hapo watu wasingekimbia jamaa angeua wengi sana

  • @irenemagreti5921
    @irenemagreti5921 3 роки тому +10

    Afazari nayeye alivyojiuwa tena mungu amuangaze hata mbinguni asifike huyo muaji

  • @geitaamb4152
    @geitaamb4152 3 роки тому +1

    Tatizo wachaga wengi hasa vijana ni washamba sana hasa wakipata vijihela wanamisifa sana RIP GIFT.

  • @tutumfaume7323
    @tutumfaume7323 3 роки тому

    Thanks brother kwa ku fafa nusha story muzuri.

  • @zenaabdallah3797
    @zenaabdallah3797 3 роки тому +5

    JAMANI WANAUME ALIPOFETUA RISAC 1 HEWANI MNGEMPIGA MTAMA AKADONDOKA KISHA MKAMNYANG'ANYA HIYO CLAHA.AU MWANZO ALIVYOKUWA ANAITOA MNGEMRIPOTI MAPEMA HUENDA GFUT ACNGEPOTEZA UHAI.

    • @babyakasha4002
      @babyakasha4002 3 роки тому

      mtu kashachanganyikiwa af ana silaha unasema wakampige mtama. si unaona yaliyomkuta huyo Gift huenda ndo alitaka kumpiga mtama

    • @AishaAisha-rh1fc
      @AishaAisha-rh1fc 3 роки тому

      Icho ndicho kilicho mkuta Gifts

  • @farhadhassansaid8830
    @farhadhassansaid8830 3 роки тому

    Poleni sana kwa wenye husika wa msiba, ila hapo kwenye tukio ama karibu na hapo hamna hata kituo cha polisi kiskia mlio ya risasi

  • @ashamohamed1245
    @ashamohamed1245 3 роки тому +3

    Tiki tv mko vizur saana

    • @saadacharasaada1958
      @saadacharasaada1958 3 роки тому

      Tatizo nyie mngepiga sim polis fasta sana ila sjui kwanini munachelewa ad tukio lilipotokea

  • @adammwita3150
    @adammwita3150 3 роки тому +1

    Meneja akamatwe na baa ifungwe maana hakuna ulinzi kwa wateja wanaopata huduma hapo. Ni uzembe wa hali ya juu. Mnashindwa kuita polisi!!!

  • @iuem5792
    @iuem5792 3 роки тому +3

    Jamaa alikuwa limbukeni pia,ni ile mijitu inapendaga kujionyesha.

  • @teddymwageni1763
    @teddymwageni1763 3 роки тому +3

    Mmmmmh Mungu turehemu tumekutenda dhambi

  • @رحمهتنزانيا
    @رحمهتنزانيا 3 роки тому +8

    Hii mimkopo yabenk imemfanya hadi leo babaangu ayupo vizur kimaisha wala kiakili mda wote mtu wamawazo tu yani

  • @zuenajohn8325
    @zuenajohn8325 3 роки тому +13

    Nilihisi tu anamarejesho, maana hicho kitendo cha kuwa na kujiuwa nimsongo wa marejesho.

    • @mariamgodfrey53
      @mariamgodfrey53 3 роки тому

      Marejesho yataua wengi.

    • @ayshameme4856
      @ayshameme4856 3 роки тому

      Kawahi kuuwaaa uyuu uyo Alex ndo mana hii ni karmaa

    • @noxlosingida2369
      @noxlosingida2369 3 роки тому

      Mbona walikuwa wanasema Alex alikuwa vizuri kimaisha kumbe alikuwa anaishi kwa Mikopo!

    • @siamoye4549
      @siamoye4549 3 роки тому

      Jaman ndo maana hatupasw kuingia haya maeneo shetan anakaa sana haya maeneo

  • @bintmuhammad4913
    @bintmuhammad4913 3 роки тому +6

    Huyo usalama aliyekuwepo hapo nae aliubiru! Hajakumbuka hata kuita police kabla ya maafa kutokea. Usalama katoa kitambulisho kamuonya Alex kisha kapotelea wapi 🤔🤔

  • @hadijamagufuli2661
    @hadijamagufuli2661 3 роки тому +7

    Tz sijui tumeingiliwa na Nini ,Maana naona kadri Siku zinavyoenda matukio Kama haya nimengi sana ,da mungu atupe mwisho mwema ,napia awqrehemu wote waliotangulia Mbele ya khaki Amina yarabi😪

    • @berthaworner5936
      @berthaworner5936 3 роки тому

      Ndio maana kabla ujatoka nyumbani sali na umuombe mungu kabla ujaanza siku yako, maana ujui utakavyokutana navyo huko mtaani

    • @saidasao4985
      @saidasao4985 3 роки тому

      Kabisa yan mm nakosa hata jibu

  • @jamesburetta4440
    @jamesburetta4440 3 роки тому +3

    mda wote anatoa toa silaha mlkua mnadhania ni pipi wabongo hamjifunzi tuu mnadhani bastola ni manati #acheni uwaki..

    • @saimonijonas4356
      @saimonijonas4356 3 роки тому

      Hatujazoea vita ingekuwa kenya aiseee wangetoka mbio mpka mbu wangeshangaa.

  • @ummuhkhalfan5542
    @ummuhkhalfan5542 3 роки тому +10

    Yaan mijitu inayotaka kusikilizwaga yenyewe me inanikera cjui inajiona miungu watu haya c angemsubirisha malakul maut sasa asimtoe roho inaonekana alikuwa mtu wa majivuno sana kisa ana pesa wenzie akawa anawaona m'mbwa tu haya sasa na aende na bastora yake akafanye fujo kaburin yeye c mba'be bwana

  • @mylessmswelo7497
    @mylessmswelo7497 3 роки тому +6

    Kaka kaeleza vzr sana polen sana

  • @aishadjumaphones8877
    @aishadjumaphones8877 3 роки тому +1

    Jameni iyokitu ikimiliki H maman na mwijaku na babuyao muse Yousuph basi mond wetu tunamukosa kiulaini🗣🗣wasipewi kabisa🙏🙆‍♂️

  • @penwelinatimothy9057
    @penwelinatimothy9057 3 роки тому +6

    Yani wanaume wa Dar🙆‍♀️ kweli huyo mtu mlishindwa kumkata mtama na kumyanganya hiyo gun?
    Na kwanini tangu saa nane mpaka anakuja kufyatua watu mbona msipige police?

    • @yazidiselemani541
      @yazidiselemani541 3 роки тому

      Dogo usiongee usiyoyajua we Mara ya mwisho kusikia risasi Ni lini Kama huna point kausha

    • @penwelinatimothy9057
      @penwelinatimothy9057 3 роки тому

      @@yazidiselemani541 forget about it,carry on with your life.Usifikiri kila mtu anaye comment hapa ni dogo.Respect brother🙋‍♀️

  • @fatmaismail7683
    @fatmaismail7683 3 роки тому +7

    Dar kweli kabla hujafa hujaumbika pole ndg wa jift

  • @zawadiramadhan6720
    @zawadiramadhan6720 3 роки тому +13

    Tiki tv mnawazidi online tv

  • @joycechaz2840
    @joycechaz2840 3 роки тому

    Huyu kaka mtangazaji yuko vizuri sanaa aiseee unajua kuhoji

  • @ayshameme4856
    @ayshameme4856 3 роки тому +2

    Gift ameendaaa kwa Ahadi lkn aliemuuwaa ndio Shetani aswaaaaaaaa

  • @josephathaule4823
    @josephathaule4823 3 роки тому +1

    Tungeweza kunusu maisha ya mwenzetu kama tungeripoti polisi,ninahakika polisi wangemweka chini ya ulinzi. Maranyingi baadhi ya watanzania huwa tunapuuza mambo na kudhani ( hayanihusu )

  • @apichitseso3073
    @apichitseso3073 3 роки тому +4

    Wakati wote huo mtu ameanza kutishia mbn hamkupigia polisi toka mwanzo

    • @ummimohammed9359
      @ummimohammed9359 3 роки тому +1

      Hilo ndo kosa. Inaonesha walikua wanasubiri ushahidi kamili wakihadithia story iwe imekamilika km ivi. Sasa iwe funzo ukitoka hali km hiyo watoe taarifa polisi mapema

    • @moreenkasekwa9737
      @moreenkasekwa9737 3 роки тому +1

      Yaan walifungwa akil zao nao ittakuwa saiz ndiowanajiuliza

  • @ruu6592
    @ruu6592 3 роки тому +1

    Depression😢😢😢

  • @reymaabintabdillah3727
    @reymaabintabdillah3727 3 роки тому +4

    Kaza but dogo Kelvin unakuja kwa kas ya 4G tik ni tik kwel

  • @an6808
    @an6808 3 роки тому +7

    Madhara ya chanjo ya Corona yameanza, ukute ana sumaku tayari inavuta ubongo

  • @filomenabarongo693
    @filomenabarongo693 3 роки тому +1

    R.I.P. Gift

  • @chuumubaby7845
    @chuumubaby7845 3 роки тому +6

    Uyo muuwaji alikua sikuzake zimefika sasa likua atafuta mwenziwe wakuenda nae vitu kama ivyo maranyingi vya tokea mjifunze mkiona paali popote pan mgogoro kam uo mjiepuk nae wengine awakubali kufapekeao

  • @rokiroki1825
    @rokiroki1825 3 роки тому +6

    Duh ulimwengu ni mitihani wallah

  • @gloryandrew9428
    @gloryandrew9428 3 роки тому +1

    Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema pepon Amin

  • @jenipherkavusha1661
    @jenipherkavusha1661 3 роки тому

    Mmmh polen sana jaman

  • @doreenlembriss1788
    @doreenlembriss1788 3 роки тому +2

    Jaman mnafanyaga nini bar usiku acha ya wapate wengine mumewacha ndoa zenu mnakuja kufanya starehe mpk saa 8 usiku mshahara wa starehe mivinyo

  • @adammwita3150
    @adammwita3150 3 роки тому +1

    Meneja akamatwe na baa ifungwe maana hakuna ulinzi kwa wateja wanaopata huduma hapo. Ni uzembe wa hali ya juu. Mnashindwa kuita polisi!!!

  • @salamanauthartanzania6301
    @salamanauthartanzania6301 3 роки тому +8

    Jamani kwani huwa hawawapimi akili kabla ya kuwapa silaha???

    • @rehemasalim4590
      @rehemasalim4590 3 роки тому

      Ndio hapo

    • @emanuelmoshama3899
      @emanuelmoshama3899 3 роки тому

      Akili anazoo, shida watu wanataka ku trend mjini, anakopa halipi, shida sana , anakula bata tu

  • @dorahy1579
    @dorahy1579 3 роки тому +2

    Kwani huko Bongo kwa nini serikali inamarikisha watu siraha? Kwa misingi ipi? Sheria mbovu 😙😙😉

  • @nancyhassan8290
    @nancyhassan8290 3 роки тому +14

    Dah, kweli kifo kinaogopwa, hivi wanaume wote mkakimbia mkamuacha mwenzenu akiuliwa kama mnyama jamani duh, 😭kweli kifo kikiwa kimepangwa hakipingiki.

    • @newahomwashiuya8858
      @newahomwashiuya8858 3 роки тому +2

      Bastola Haina uanaume wewe

    • @tatungole412
      @tatungole412 3 роки тому +1

      Hata ungekuwa ni wew pia ungekimbia kila mtu anatetea roho yake ndgu..

    • @frankjoely3313
      @frankjoely3313 3 роки тому

      Kuna wanaume na mifano ya wanaume.wanasema wanaokoa nafsi zao wanadhani zitaishi milele ujinga tu.

    • @georgenorasco1705
      @georgenorasco1705 3 роки тому

      Dada umewah ckia mkito Wa bunduki?? Makomando huwa wanakimbia sembuse RAIA??? Huyo askar Wa Usalama akamatwe pia

    • @frankjoely3313
      @frankjoely3313 3 роки тому

      Niliwahi kukabiliana na jamaa anamniga mtu .watu wote walikimbia wakaniacha pekeangu na yule jamaa huku anatishia atakae sogea kuokoa naua.ilibidi nikakubali bora kufa kuliko kushuhudia ukatili wa namna ile tena wa kiuonevu kabisa.nilipambana na yule mwamba hadi nikavunjika bega.baadae Askari ndio wakafika hapo kusaidia.usifikiri kila mwanaume unaemuona anatembea kavimba kifua ni mwanaume wengi ni mashoga tu.ukute ndugu yako anata kuuliwa ukimbie kuiokoa nafsi aliekudanganya utaishi milele ni Nani sasa.kitendo Cha kuokoa mtu kweny hatarii kinahitaji akili na nguvu zitumike.badala ya kuwa mnashindia bar.fanyeni mazoezi usitegemee kuwa polisi watakulinda muda wote.

  • @eliyazacharia7660
    @eliyazacharia7660 3 роки тому +1

    kifo kikifika jaman hakikwepeki, ila ushasikia chuma ya mzungu imelia bado unasogea tena!! wabongo bana

  • @georgenorasco1705
    @georgenorasco1705 3 роки тому +2

    Huyo Usalama akamatwe,

  • @sekelajackob2905
    @sekelajackob2905 3 роки тому +1

    Kuna la kujifunza hapa,fata mambo yako,Gift ubabe umemponza,r.i.p

  • @didimeandrewngowi
    @didimeandrewngowi 3 роки тому +1

    Hii clip ukiisikiliza kwa makini,ukaitafakari inaashiria kitu fulani,imekwisha tokea kila mtu anaogopa ushahidi, lakini Mimi binafsi inaashiria kulipa kisasi, muuaji alikuwa na Jambo nyuma ya pazia, tuwaachie polisi, hata Kama alikuwa na jambo, labda alikuwa anatafuta gear ya kufanya mauaji sio kwa namna hiyo. Huyu Alex Mroso??? Sijui. R. I. P😭😭

  • @frederickloongableu-goude
    @frederickloongableu-goude 3 роки тому

    Kweli ndugu mtangazaji unastahili kwa maswaliyako mazuri.ila pole sana kwa familia ya marehemu

  • @hamismabula5813
    @hamismabula5813 3 роки тому +2

    Ah! Sasa mtu kumbe alikuwa anatoa toa bastola mara awatishie watu bado wanamwangalia tu wanamwacha!?
    Uongoz wa hapo bar nao ni wazembe kweli!

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 3 роки тому

    Inna lilahi wainna ilehim rajiun😥😥🇪🇭🇪🇭

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 3 роки тому +1

    Mwenye nguvu mpishe

  • @XiaoXiaoFoodourt
    @XiaoXiaoFoodourt 3 роки тому

    It's so Pain 😥😥

  • @fatmaalwy4853
    @fatmaalwy4853 3 роки тому +1

    Lkn mama samia alikataza mambo pf 3 unampeleka hosptali kwanza mengine baada ya hapo

  • @madukaj.j.6999
    @madukaj.j.6999 3 роки тому +1

    Hata hivyo, walichelewa sana kutoa taarifa polis kuhusu tukio zima. Walipaswa kutoa taarifa mapema kabla

  • @aminamawela3129
    @aminamawela3129 3 роки тому

    Tiki mpo vizuri

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 3 роки тому +4

    Huo mtindo ws Movie ukome kabisa.restaurants na silaha marufuku

  • @gloryandrew9428
    @gloryandrew9428 3 роки тому +22

    Huyu kaka anatoa maelezo vizur japo ana uchungu moyoni

    • @mosesmwailenge5192
      @mosesmwailenge5192 3 роки тому

      Kweli kabisa Grory unachokisema

    • @reginabeno1904
      @reginabeno1904 3 роки тому

      Sasa huo muda kapanda juu anaangalia siangekimbia kufata police jaman yn unaangalia mwenzio anapigwa lisasi badala ukimbie kufata police

    • @mosesmwailenge5192
      @mosesmwailenge5192 3 роки тому +2

      Kabisa Kuna uzembe umefanyika mkubwa tuu

    • @annastevensteven9515
      @annastevensteven9515 3 роки тому +3

      @@mosesmwailenge5192 yan unajua kifo kikikuita bwana ata wale watu waliyokuwa apo kunakitu kiliwapumbasa

    • @nasraabdallah850
      @nasraabdallah850 3 роки тому

      Kweli kbs

  • @monicamassawe9397
    @monicamassawe9397 3 роки тому +3

    Hivi wachaga tumekuwaje😢😢

  • @ayubuleonard930
    @ayubuleonard930 3 роки тому +1

    Kumbe kulikuwepo na uwezekano wakukamatwa mapema hajareta maradhara

  • @filomenabarongo693
    @filomenabarongo693 3 роки тому +1

    Maskini kijana wa mwisho anatia huruma

  • @mamachris6811
    @mamachris6811 3 роки тому +27

    Humu kama kuna mtu anamfahamu mwenye silaha na ni mkorofi,atoe taarifa mapema jamani

    • @xuzypeter2625
      @xuzypeter2625 3 роки тому

      Mi ninayo ya panga

    • @rayaahamad5502
      @rayaahamad5502 3 роки тому

      @@xuzypeter2625 😀😀😀😁😁😂

    • @mamachris6811
      @mamachris6811 3 роки тому

      @@xuzypeter2625 Wewe kajisalimishe mwenyewe 😄😄😄😄😄

    • @zaitunishee4431
      @zaitunishee4431 3 роки тому

      🤣 🤣 🤣 🤣 Minnayo ntaanza na ww😜

    • @xuzypeter2625
      @xuzypeter2625 3 роки тому

      @@mamachris6811 😂😂😂😂😂😂🙈🙈🙈🙈🙈ila sauti aitoshi 🎤🎤🎤🎤

  • @محمدالقايد-د6ب
    @محمدالقايد-د6ب 3 роки тому

    Kichaa kakabiziwa rungu pumzika Kwa amani Gifti 😭 Mungu akuondoshee adhabu ya kaburi

  • @mamachris6811
    @mamachris6811 3 роки тому +6

    Muda wote hamtoi taarifa Police

    • @antybabybintrashid2333
      @antybabybintrashid2333 3 роки тому +1

      Hapo ndio nashangaa mtu anaenuka alaf anarud kuket wanakosa akili mtu mmoja kutoka na hekma akaita police

    • @mamachris6811
      @mamachris6811 3 роки тому

      @@antybabybintrashid2333 hata huyo alionesha kitambulisho,naye bomu, usalama gani anaoufanyia kazi
      Au mpaka mtu amtukane Kiongozi !!!!!!????????

    • @joycechaz2840
      @joycechaz2840 3 роки тому

      Jamani naombeni anaejua namba za police maana haya mambo yanatisha

    • @mamachris6811
      @mamachris6811 3 роки тому

      @@joycechaz2840 114

  • @upendoeliudi5196
    @upendoeliudi5196 3 роки тому

    Mtu akishaanza kutoa bastola sio wakumuacha, eidha toa lipoti police au anawaiwa yeye

  • @publicrelations4600
    @publicrelations4600 3 роки тому +3

    Ukipatwa na matatizo rejea kwa ALLAH.

  • @roseurio2139
    @roseurio2139 3 роки тому +2

    Kwani mda wote hakuna mtu alikua cm mkapigia police??mlifanya uzembe wa hali ya juu alivyotoa bastola mara ya kwanza mngepigia police hayo mauaji yasingetokea lamda tungesikia maneruhi

  • @nasrasadick3365
    @nasrasadick3365 3 роки тому +5

    Jaman mbona tunakua makatili mpak shetani anaogopa

  • @lizzybahati9833
    @lizzybahati9833 3 роки тому +5

    😭😭😭

  • @aisho20henna.72
    @aisho20henna.72 3 роки тому

    Kweli jambo likipangwa limepangwa hakuna wa kulipangua.😔

  • @ayoayoo1222
    @ayoayoo1222 3 роки тому +2

    Mshamuona mtu kaingia bar na bastola badala mngetoa taarifa kwa polisi nyinyi mnamuangalia tu

    • @aloyceiluminata3650
      @aloyceiluminata3650 3 роки тому +2

      Na huyo aliyetoa kitambulisho eti afisa usalama..mbona hakuchukua tahadhari na kutoa taarifa maana yeye ana mafunzo ya usalama...upuuzi tu!!!

  • @nasirikuzigile9228
    @nasirikuzigile9228 3 роки тому +1

    Lkn twende mbele tuludi nyuma hao waliopo hapo kwenye hilo tukio ina mana hawakushtuka kutaalifu police na huyo mwenye baa hakushtuka tuu kutoa taarifa daa

  • @emmyngoi2997
    @emmyngoi2997 3 роки тому +4

    Nyie watu mnapoona mambo Kama hayo toeni taarifa mapema police mpka mambo yanatokea ndio mnasema watazania niwatu waajabu Sana msemwamini m2

    • @hadijahaji9712
      @hadijahaji9712 3 роки тому +1

      Umeongea point

    • @sheryphamwenevalley6124
      @sheryphamwenevalley6124 3 роки тому

      hapo ndio walipokosea, mtu anachechezea bastola wao wanasubiri tu, wangewahi kuwapigia police pengine ingekua salama

    • @selinalyanzilepaul352
      @selinalyanzilepaul352 3 роки тому

      Kwanza mwanzo wanasema alkuapo police eneo la tukio alichukua uamuz gn?