Mwenyezi mungu akuhifadhi kwanza kusema uongo pili kumsingizia mamako uongo yaani hiyo pacha mmeitengeneza vizuri na km mmepanga na huyo mtangazaji tengenezeni filarm
BWANA YESU ANAKUPENDA MDOGO WANGU... EBU MKIRI YEYE KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YAKO NA ATAKUPA MWANZO MPYA... ATAKUKUMBATIA NAKUKUPA RAHA MOYONI..
Umezaliwa tanga, umekulia dar, afu da cyo mwenyeji xana unamiez km miwili, kwahiyo uliweza kukua kwa miez miwili dar we majani ya kunde au, usitufanye sis wa Tanzania ni mazuzu ya Kaka, hiyo story ni ya kutengeneza tu.
akina Thomas niwengi duniani kwa kweli lazima washike kwenye alama huyu kijana awezi kuwa anaongea uongo maana muonekano wake unaonyesha kila kitu mungu amusafishe na amukomboe 🇰🇪🇪🇺
I don't like how some of us are commenting here, this man passed through alot and we should wish him good luck through his entire life,And some of us instead of commenting senses they comment nonesense,Iam pitty with you
Ningependa nijuwe hii sitori kwanzya mwanzo hadi Mwisho..watu wa Mungu kusema kweli nili pitia shida kama hii lakini nilikuwa jumba Cha maututi..wakati wote huo nilitezeka kwa njia kama hii naisikia kutoka kwa huyu mwana..siku ishirini na moja nilipitia hayo yote mwaka wa 2020..hadi wa Leo naona yote machoni Mwangu...nilitembezwa ulimwengu wote kwa ndenge nikiwa nimetegwa nyara..nilitezeka, lakini kwa yote Yesu ni Bwana..Asante Mungu Wangu..SHALOM 🙏🙏🙏🙏
Mkweli jmn mambo mazito kam ayo utapenda kubuni yakuutokee maishan mwako kwa 7bu gani...ila akili aijakaa saw tu jmn tusiwe watu wakufikiria negative tu creat ndo wew unaweza kutunga km ivo na ni kwann yan kwan anapat nn yy kusem masaibu yake eeenh vibayani ivo jmn😔😔😔🙏🚮
“Do not Judge, or you too will be Judged.” Iwe Uongo au ukweli. Many blessings to you. There’s great damage caused to any child who has been mistreated by a mother of all people. The recovery is nearly impossible. Pray, align yourself with God.
Wacheni kutoa mapovu hamuwezi kumuukumu mtu urongo juu, Alie nyeshewa namvua ndie ajuae uzito wake so yy ndio anajua aliyo pitia maskini pole sana kaka kwa yale uliyo pitia malipo ni hapahapa Dunia Mungu atakulipia pole sana🙏🙏😢
Hivi Nyie mbona kama.haumjierewi sio ww muongeaji wara ww unaemhoji huo ni ungo mara amemuona dida mara ameingiriwaa namwanaume mwenzie Leo tena kaja na hili Duuuuh sawa
ILI KUJIUNGA NA GROUP LA WHATSAPP LA FOXE Tv UNAWEZA KUJOIN KUPITIA LINK HII HAPA👇 chat.whatsapp.com/CptUDTRfRSo5OimbjoLZ0a
Ggggggg)gggggg)ggggggg)gggggggggg)ggggg)gggggggggg)gg))ggggggggggggg)g)gggggggggggggggggggggggggggg)ggggggggggggggggg)ggggggggggggggggggggggggg)ggggggggggggggggggggggggggjy
I want to join
Stori isiyoisha uongo mtupu.
Mwenyewe Niko Tanga, huko tunduni niwapi, ilooo.
@Ibrahimjr Haruna yani hata anachokiongea hajui😂😂😜
Pole sana kakangu had not watched dis part1 but so emotional haki 😭😭😭May the lord bless you in your future🤲🏾🙏🙏
Pole sana kijana Amini yesu utafunguliwa minyororo yote katika jina lya yesu kirisito
Mwenyezi mungu akuhifadhi kwanza kusema uongo pili kumsingizia mamako uongo yaani hiyo pacha mmeitengeneza vizuri na km mmepanga na huyo mtangazaji tengenezeni filarm
Ww kaka Yesu nijibu lako ebu mpe maisha yako ataondoa upweke ulionao nao hayo mapito uliyonayo maumivu hayo uliyonayo Yesu alimaliza yote pale msabani
kabisa Yesu ni mfariji wetu
Kweli yesu akusaidie upoke yesu mpe Maisha yako utapona
Astaghfirullah allah awasamehe na astaghfirullah kwasana nimajonzi
@@biubwamohd6089 wallai tna
Amen 🙏🏿
Kama kweli hii stories n ya ukweli,wacha mungu akaweze kuonekana kwenye maisha yako....na kama ni uongo siku moja kisa kama hicho kitakupata.....
BWANA YESU ANAKUPENDA MDOGO WANGU...
EBU MKIRI YEYE KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YAKO NA ATAKUPA MWANZO MPYA...
ATAKUKUMBATIA NAKUKUPA RAHA MOYONI..
Whaaaaa 😳 pole ndugu yangu Mwenyezi mungu Akuongoze na Akukinge na hatari zote za roho na za mwili malaika Akukinge 🙏😥
Allah akufanyie wepesi usiache kumtegemea Allah ndio ufumbuzi pekee.pole sana.
Watu wabaya sana
Ala anaishi wilaya gan niambiie
Huyu muongo sana aisee 🙆 Tanga sehemu gani kunaitwa tunduni!! Mmh hongera sana brother 😢 haaah
Pole San mungu akufanyie wepesi wa San yako ufikie malengo
Umezaliwa tanga, umekulia dar, afu da cyo mwenyeji xana unamiez km miwili, kwahiyo uliweza kukua kwa miez miwili dar we majani ya kunde au, usitufanye sis wa Tanzania ni mazuzu ya Kaka, hiyo story ni ya kutengeneza tu.
Alafuu anajifanya Julia lia hapa
Acha kulia eleza
Epole
Hahahaaa
Hapo hata mimi sijaelewa kuzaliwa Tanga na kukulia Dar na Dar yenyewe kakaa miezi 2
Pole sana kijana mungu akuepushe na hao yote
Shukuru sana mungu, amekutoa mbali wacha kuatitia watu atitia mungu wachana nawanadamu
Mh!!! Jamani ameshakuwa mbwa? Msikatae hamkuwepo, dunia hii ina vioja sana, shetani yuko kazini. Oh!!bBwana Yesu rudi kutuokoa
Kweli inamana kwani yy hana aibu hadi aseme mama yake jamani
Yesu mhmm tujiokowe wenyewe tunafanya Kwa kusudi
Huyu Muongo sana, hata hayo machozi ya mamba
Story hii adi imenitoa machozi pole Sana mdogo wangu
Wacheni kuongey kuwa sikweli kwasababu nyinyi hamujuwi maisha yahuyu kijana ndomana msemo unasema ukiwa hayajakufika wewe huwamini paka yakukute
akina Thomas niwengi duniani kwa kweli lazima washike kwenye alama huyu kijana awezi kuwa anaongea uongo maana muonekano wake unaonyesha kila kitu mungu amusafishe na amukomboe 🇰🇪🇪🇺
kwa kwel anatia huruma keep Mungu amsaidie
I don't like how some of us are commenting here, this man passed through alot and we should wish him good luck through his entire life,And some of us instead of commenting senses they comment nonesense,Iam pitty with you
Haki i can't stop shading tears cox hata mm nakumbuka marehemu mamangu😭😭but may de almighty stand with you😭😭
Muongo huyu juzi Kati alisema kafirwa kaja dar kimziki Leo kaja na HAYA mmbwa hawa waongo
Pole sana kkngu hayo n mapito ucjal
Pole kaka, Mungu akusaidie
Na umpe yesu maisha yako
Polesana kijana kamaniyakwelihaya mmmh munguatunusuru namitihani yadunia
Ningependa nijuwe hii sitori kwanzya mwanzo hadi Mwisho..watu wa Mungu kusema kweli nili pitia shida kama hii lakini nilikuwa jumba Cha maututi..wakati wote huo nilitezeka kwa njia kama hii naisikia kutoka kwa huyu mwana..siku ishirini na moja nilipitia hayo yote mwaka wa 2020..hadi wa Leo naona yote machoni Mwangu...nilitembezwa ulimwengu wote kwa ndenge nikiwa nimetegwa nyara..nilitezeka, lakini kwa yote Yesu ni Bwana..Asante Mungu Wangu..SHALOM 🙏🙏🙏🙏
Vijan siku hiz tamaa ya petha ndoo maan wanafany Mambo ya ajabu
Pole Sana muombe mungu atakusaidia
Pole sana kaka muombe sana mungu akusamehe
Ati nilikua nimebarikiwa uongo🤣🤣🤣🤣🤣wee TZ mumeamua kutubeba ufala
Sikuskia akisema alifanya ngono na maiti ya mamake. Alisema marafiki ndiye walifanya hivyo aliposhindwa kuwalipa Hela.
Yaani hii tv ni wapumbavu sana mfyuuu
Na topic ya story ilikua ni hiyo
Mwendelezo please....may God bless u bro
Amekulia dar ila siyo Mwenyeji sana mh.....
Muongo anatupotezea mb zetu
Mkweli jmn mambo mazito kam ayo utapenda kubuni yakuutokee maishan mwako kwa 7bu gani...ila akili aijakaa saw tu jmn tusiwe watu wakufikiria negative tu creat ndo wew unaweza kutunga km ivo na ni kwann yan kwan anapat nn yy kusem masaibu yake eeenh vibayani ivo jmn😔😔😔🙏🚮
@Jacie Chura na mamba
Si ndio apo
Nimezaliwa hapa dar. Siyo mwenyeji sana hapa dar nina kama miezi2🤔
Amesema amebarikiwa uongo na ndo anatudanganya🤣🤣
Mpe yesu maisha yako kijana wangu
Dunia imeisha. Mungu tusaidie
😂😂😂😂😂dah bro umejioanga jamani nimecheka kwa sauti
😂😂😂😂😂😂me nacheka apa balaa
Pole sana Yesu anaweza kubadilisha historia ya wofu kuwa utukufu. Uyu Yesu mnazareti akukute. Pole tena.
Wah!! Bwana yesu akupiganie vita na akueke huru
Acha uwongo wew
Mashehe wanawezaje kumzika
Mtu brayanduguzake
Pole kilicho kukuta brother
God will open more blessings to u bro
Daaah😔nimechoka ama kweli siku ya kufa nyani miti uteleza😑
Huyo nimkweli lkni mpaka sasa akili yake haipo dunia, pole sana kijana tanga mwasema raa lkni nikaraaa
Inalilah wainailayhi radjiun . Mungu namrehem ichaallah kwani sîjui mama huyo kakosea . Mungu jambo gani hâta afikwe n'a hayo
Acha kudanganywa hakuna mungu....mungu yupo kwa sana it's a matter of time....
Yaani nimecheka mpuuzi huyu. Embu mchekini anavyo cheka 🤣🤣🤣
Mungu AKUSAIDIE
Huyu muongo. Amezaliwa Tanga amekulia dar lkn sahivi dar anamiezi 2 jamani.
Hhhhhh
Nimezaliwa tanga nimekulia dar.ila dar nina miezi miwili😩😩
Sasa mbn inaeleweka tu jmn,alizaliwa tanga akakulia dar na sasa anamiez miwili dar kitu gn kisichoeleweka apo
Apo alinichenga
Kweli ulibarikiwa uongo....uliteremka kwa haraka ulishushwa mwenye gari
Jamaa nimuongo sana huyu.kidato cha pili 2007 kwa umli wake mbona anaonekana mdogo sana? hiyo ni stor tu
Itakuwa 2017
Dada huyu kijana amesema alifikia 2017
Pole boss Allah yuko nawe
Pole xana ndug ndo maisha misuko suko aishi
Inaonekana huyu kijana kapitiya changamoto nyingi ndio mana kunanetwekig haipo vizuli
Pole sn mungu ndo wa kutegemewa kwa kila kitu 😢
Muogope mungu wewe huna uislamu wowote mjinga sana tafutastory za kutunga muongo Acha longolongo
Duuh pole sana yoooh
Pole kija
Sijui kama ni kweli
Pole sana brother
Sura ake inachekesha sana sijui kwann aliiweka ivo🤣🤣alaf mjinga kufukua kaburi ni kosa kabisa kisheria....alaf umebarikiwa uongo kweli hatupingi🤣🤣🤣🤣🤣🤣
ni kweli inachekasha😂😂😂😂😂😂😂
Aaaah we rehema😂😂😂😂😂
Ni kweli au ni stor tuu
Sema aliliwa huyu😂😂😂😂😂
poleni watanzania ila nnchi yenu ina masaibu magumu wallaih..Allah akete nusra jmn
Huyu hajielewi amezaliwa Tanga .amekulia dar.dar Hana muda mrefu Ana miezi 2 .Sasa Nini hiyo
Hahaa uwongo nao kazi hivyo
Hawez kujielezea ila stor inasimumua ingepat msimuliaji
😅
Ukiangalia tu jinsi anavyojielezea ni MWONGO, wanatafuta viewers kwa ulaghai.
Make hapo kwanza ncheke
eti nilikuwa nimebarikiwa uwongo😂...jamani pole😢
hiyo ndio imefanya musimuamini jamani 😂😂😂 nime cheka kama mazuri pole yake na mungu amufungue 🇰🇪🇪🇺
Duuh jamani kweli na inawezekana vp
Hivi kisa baada ya kisa. Hivi huyu kijana anaota au hii ni ukweli.
Duuh ya kweli
Pole mwaya
Invite lord in your life bro may God bless you,may father be with you,all time am sorry be bless,
😭😭😭😭😭 pole sana
Jaman inaweza ikawa kwel Bali hawez kujieleza
So emotional 😥😭😭
Kuna dawa ya kuacha uongo,dozi ni moja basi,huyu ni YESU, mpokee yeye kijana
Huyu kijana anasema walimpiga ubavuni anaonyesha shingoni???😪🤭😩😕
😂
😂
Kuchanganyikiwa tu
Hhhhh
wewe ukipitia magumu utapigwa kichwa usisahau useme mguu ooh yapo na yanawarudia hapa duniani 🇰🇪🇪🇺
Mpe Yesu moyo wangu aingie ndani atakuponya majeraha uloyonayo
Oooh, huyo ako phd lwa uongo.
“Do not Judge, or you too will be Judged.” Iwe Uongo au ukweli. Many blessings to you. There’s great damage caused to any child who has been mistreated by a mother of all people. The recovery is nearly impossible. Pray, align yourself with God.
Waaa
Ulifanya kosa tu
Mama ni mama japo kua kilema ao hâta kama alikua hakupendi .
Huna shukran
Kwnn mnashindwa kuwa wabunifu mnaleta mambo ya kipumbavu kwenye media mnaelimisha nini jamii au mnapotosha ww na mtangazaji wote mafara tyu
Wacheni kutoa mapovu hamuwezi kumuukumu mtu urongo juu, Alie nyeshewa namvua ndie ajuae uzito wake so yy ndio anajua aliyo pitia maskini pole sana kaka kwa yale uliyo pitia malipo ni hapahapa Dunia Mungu atakulipia pole sana🙏🙏😢
Naaam
Kweli
Umu mitandaoni Kuna wt wanajifanya WA ijuwa duni na maovu yk kz yao kuropoka tu bc
Kweli mwaya mm pia nawangwaa povu kibao wakati nguo zenyewe safi badala wamsikitikie wanahukumu kitu ambacho hawana uhakika nachoo
Huyu muongo sana! Hii story ya kutunga kabisaa
Mmh mm huyu simuamini kwakweli yani story hazielezeki🤣🤣🤣🤣🤣
Ni kwly
Nah not credible story. Too many unprofessional media outlets these days.
Pole sana jaman dah
Pole
Pole sana
Hiyo story uongo mama yuko choon apige kelele ushindwe kwenda utafte watu Kwanzaa
Pole sana kaka
Lakn jamani uchawi upo najtaid kumuangalia usoni naona uso wake unamaanisha
Mmmmmm!!!! Mie hata siamin Maana inatisha Sana, na hii. Mitandao sio. Ya kuiamin sna
Ww nimsenge jingaaa hiiiiiiii wafaa kuchinjwaaa eti walia kumamako Hadi utakapo kufaaaa
Kaka yangu wewe fumilia tu mungu anakubenda sana omba sana kaka
Pole Sana na wewe nijalibu lako
Part 2
Uyojamaa sjui nibangi muongooo🤣🤣
Subhanallah
Mhh Dunia I jmn kaa
Pole xana mwanangu
Mmm atari
Duuuuuuu ulimwengu una mambo
Tatizo vijana mnapenda mteremko sana
Hivi Nyie mbona kama.haumjierewi sio ww muongeaji wara ww unaemhoji huo ni ungo mara amemuona dida mara ameingiriwaa namwanaume mwenzie Leo tena kaja na hili Duuuuh sawa
Mhh hapa tumepigwa hta kudanganya hawez