PART2:MWANAUME ALIELELEWA NA KUPEWA MAFUNZO NA MAJINI/MIGUUNI ALIKUWA NA KWATO/YUPO CHINI YA BAHARI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 147

  • @somoeawadh7774
    @somoeawadh7774 4 роки тому +4

    Huyu jamaa si niliwambia, ni mcute 😄 mwaona leo ila wamependeza Wote ✌️✌️✌️

  • @hawasaid8262
    @hawasaid8262 4 роки тому +2

    Nakushauri ununuwe enga ya kutundikiya iyo maiki nakuoneya uruma iyo mikono

  • @aminahassan4642
    @aminahassan4642 4 роки тому +1

    Huyo sio shekhe ni Mchawi usimuite shekhe

  • @godlyuprising1087
    @godlyuprising1087 4 роки тому +1

    jamani ongea fasta stori isonge ndugu

  • @abbyadams8691
    @abbyadams8691 4 роки тому +4

    Ngoja nisiseme neno nisije chafua hali ya hewa.Ila wenye akili wamegundua kitu.🏃🏃🏃🏃

    • @zoey2635
      @zoey2635 4 роки тому +1

      Wewe tunakujua

    • @abbyadams8691
      @abbyadams8691 4 роки тому +1

      @@zoey2635 Kwani nini mzee baba? Mi niko mahali nakula Iddi ujue!🌃🌃🌃

    • @abn8331
      @abn8331 4 роки тому +1

      Sema tu,huyo jamaa msenge tu anatunga story kuchafua dini.

  • @butondodavid2105
    @butondodavid2105 4 роки тому +3

    Eee mungu tusamehe nisionge sana davister endelea kutupa mikasa tujue ving. Viongozi wadin navitabu vyao kufundisha ushetan , unakuta mtu mipete kibao mkononi,kufuga majini, cjui iman zao ndo zinatakahayo mambo

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 4 роки тому +2

    Duu kazi IPO hayo mauzauza mara shakhe ako na tasibiiii kama anakufunga macho😷😷😷😷mana sio kwamauxa Uza hayo

  • @farhadhassansaid1297
    @farhadhassansaid1297 4 роки тому +2

    Pole sana kk, ila mmbo hayo yapo hata majini unaeza waita ila sio kwa kudhuru watu unaeza waita ila inataka moyo sana na pia kuna vitu flani vya hao majini na wakaja na wakakusikiliza ila unafaa kuwa mvumlivu manake watisha mno

  • @bundukitv
    @bundukitv 4 роки тому +8

    Huyo sio shekhe Ila Ni MCHAWI.

    • @wantangosaimon5295
      @wantangosaimon5295 4 роки тому +2

      Aaah wew unaelewa xheria za uxhehe au unazani kuwa xhehe ni masiala unavyockia wanafuga majini unazani mchezo

    • @roseuwambe8089
      @roseuwambe8089 4 роки тому +1

      @@wantangosaimon5295 Nikweli duu mimi na juaga uwongo kumbe kweli wanafuga majin😔😔😪😪

  • @mariamfritsi9761
    @mariamfritsi9761 4 роки тому +4

    Kweli hapa duniani watu wengi wanakutana na mitihani mingi sana,yaani watu wanafanya kufuru hata hawaogopi Mungu.

  • @khamisfaki2902
    @khamisfaki2902 4 роки тому +1

    Noma sana

  • @saidabdalla8996
    @saidabdalla8996 4 роки тому +2

    Mzee D.mzee wamikasa

  • @bebebebe5677
    @bebebebe5677 4 роки тому +2

    Baadhi ya sehem saut himezingua

  • @daudymlaule1418
    @daudymlaule1418 4 роки тому +2

    Kwanza fta kauli yko usimuite sheikh sema ni mzee

  • @beatricekweka6683
    @beatricekweka6683 4 роки тому +9

    Davii polee jamani naona unachoka mkono..🤨🤨

    • @davistamattamedia8199
      @davistamattamedia8199 4 роки тому +2

      ⏩TEMBELEA CHANNEL YETU MPYA Ya Masimulizi na MAKALA MBALIMBALI iliyo ANDALIWA NA Mr facts.
      ⏩HII NDIYO LINK YA CHANNEL YETU👇👇
      ua-cam.com/channels/PX6l-lh8fBzc4iVED8nddA.html
      ⏩SASA UNAWEZA KUPATA MASIMULIZI NA MAKALA KUPITIA CHANNEL YETU IYO MPYA.
      ⏩TUSHIRIKIANE KWA KUSUBSCRIBE KWENYE CHANNEL HII, ILI TUWEZE KUIFIKISHA CHANNEL HII MBALI,KAMA ILIVYO SASA KWA CHANNEL YETU YA Davistar Matta media.
      ⏩USISAHAU KUSHARE UJUMBE HUU KWA WAPENZI WETU WOTE WA DAVISTAR MATTA .
      ⏩Ahsanten sana.,

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 4 роки тому +4

    Mashekh wengi majini nilazima mana hixo Pete huwa zinamanayake maruani hapo inawahusu ilakila binadamu ako na jini wake kuna wazuri nawabayaa

    • @LOGOSNew
      @LOGOSNew 4 роки тому +2

      Majini ni mashetani. Hakuna shetani mzuri! Mnabebeshwa majini kuwachunga msifunguke macho. Wakristo huwa na MALAIKA, ambao ndio viumbe vinavyohusishwa na Mungu. Katika ufalme wa Mungu kuna malaika, si majini!

    • @estasage5506
      @estasage5506 4 роки тому

      @@LOGOSNew Amen, amen. Mungu wetu ni mwema na mzuri yeye hutuandalia malaika kutuzunguka pande zote. Jin ni pepo zilizolainiwa na Bwana wa majeshi

  • @asiakilea2590
    @asiakilea2590 4 роки тому +1

    Pole sana kaka

  • @roseuwambe8089
    @roseuwambe8089 4 роки тому +2

    Haowote walikua masheehe majini🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @success-ly9ik
    @success-ly9ik 4 роки тому +2

    Kumbe mashehe ni sawasawa na wachawi tu. Dah. Mi nipo hapa kuskiza masiri 😉

    • @estasage5506
      @estasage5506 4 роки тому

      Siyo sawa sawa ila ni wachawi wakubwa mno. Wao kafuga majin, wa catholic priests magicians

  • @deofred1517
    @deofred1517 4 роки тому +3

    Tuko pamoja Mr davista

    • @davistamattamedia8199
      @davistamattamedia8199 4 роки тому

      ⏩TEMBELEA CHANNEL YETU MPYA Ya Masimulizi na MAKALA MBALIMBALI iliyo ANDALIWA NA Mr facts.
      ⏩HII NDIYO LINK YA CHANNEL YETU👇👇
      ua-cam.com/channels/PX6l-lh8fBzc4iVED8nddA.html
      ⏩SASA UNAWEZA KUPATA MASIMULIZI NA MAKALA KUPITIA CHANNEL YETU IYO MPYA.
      ⏩TUSHIRIKIANE KWA KUSUBSCRIBE KWENYE CHANNEL HII, ILI TUWEZE KUIFIKISHA CHANNEL HII MBALI,KAMA ILIVYO SASA KWA CHANNEL YETU YA Davistar Matta media.
      ⏩USISAHAU KUSHARE UJUMBE HUU KWA WAPENZI WETU WOTE WA DAVISTAR MATTA .
      ⏩Ahsanten sana.,

  • @halimaomari7589
    @halimaomari7589 4 роки тому +1

    Huyo hana sifa ya shekhe, wala usimuite shekhe huyo ni Mganga, mashekhe halisi hawana tabia hizo, mchawi huyo anajificha kwenye Jina la shekhe

  • @suleimnally2385
    @suleimnally2385 4 роки тому +1

    Mbona hayo maneno hasemi ili watu wapate darasa kujirina

  • @salumkhalifasalum2586
    @salumkhalifasalum2586 4 роки тому +1

    Mkuu hii ndio imeishia hapa au inaendelea

  • @winfridakaaya2758
    @winfridakaaya2758 4 роки тому +2

    Safi bro dm

  • @violinenyakara5028
    @violinenyakara5028 4 роки тому +1

    Nimechelewa but lazima ni watch

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 4 роки тому +7

    Usiseme shekh sema mganga mwanga . Mana shekh hawi na tabia hiyo ya kishirikina . . Mana sawa na kusema muumini na muislam . Mana kama waislam wapo tele lakin baaz yao ni uislam jina to sio vitendo vya kiimani . Huyo jamaa mwanga na huyo mzee wako pia mwanga mwenziwao wanataka wakufundishe uganga wa kichawi na uwe mwanga kama wao

    • @LOGOSNew
      @LOGOSNew 4 роки тому

      Umewahi kujiuliza ni kwa nini wataalamu wa majini na mambo ya nyota wote ni mashekhe?

  • @ahmedmattar4661
    @ahmedmattar4661 4 роки тому +1

    Huyu jamaa hajui hata kujieleza

  • @beatricekweka6683
    @beatricekweka6683 4 роки тому +4

    Pole Sana..🙆🙆

    • @davistamattamedia8199
      @davistamattamedia8199 4 роки тому

      ⏩TEMBELEA CHANNEL YETU MPYA Ya Masimulizi na MAKALA MBALIMBALI iliyo ANDALIWA NA Mr facts.
      ⏩HII NDIYO LINK YA CHANNEL YETU👇👇
      ua-cam.com/channels/PX6l-lh8fBzc4iVED8nddA.html
      ⏩SASA UNAWEZA KUPATA MASIMULIZI NA MAKALA KUPITIA CHANNEL YETU IYO MPYA.
      ⏩TUSHIRIKIANE KWA KUSUBSCRIBE KWENYE CHANNEL HII, ILI TUWEZE KUIFIKISHA CHANNEL HII MBALI,KAMA ILIVYO SASA KWA CHANNEL YETU YA Davistar Matta media.
      ⏩USISAHAU KUSHARE UJUMBE HUU KWA WAPENZI WETU WOTE WA DAVISTAR MATTA .
      ⏩Ahsanten sana.,

    • @beatricekweka6683
      @beatricekweka6683 4 роки тому +1

      @@davistamattamedia8199 👏👏

  • @sophiaalexander6025
    @sophiaalexander6025 4 роки тому +3

    Leo mitambo mtu makini haiko poa

  • @aishabeka5562
    @aishabeka5562 4 роки тому +1

    Davistar niajir bas niwe nakushikia hiyo mic maana duh naona unapata tabuu

  • @kiyanawilonge1664
    @kiyanawilonge1664 4 роки тому +1

    Asante sana kwa mu endelezo kaka 👌👌👌

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 4 роки тому +1

    Pamoja bro

  • @swaumujuma6333
    @swaumujuma6333 4 роки тому +3

    Daa kweli mitihani ipo na kila mmoja kamzidi mwezie😪😪🙏🙏

    • @davistamattamedia8199
      @davistamattamedia8199 4 роки тому

      ⏩TEMBELEA CHANNEL YETU MPYA Ya Masimulizi na MAKALA MBALIMBALI iliyo ANDALIWA NA Mr facts.
      ⏩HII NDIYO LINK YA CHANNEL YETU👇👇
      ua-cam.com/channels/PX6l-lh8fBzc4iVED8nddA.html
      ⏩SASA UNAWEZA KUPATA MASIMULIZI NA MAKALA KUPITIA CHANNEL YETU IYO MPYA.
      ⏩TUSHIRIKIANE KWA KUSUBSCRIBE KWENYE CHANNEL HII, ILI TUWEZE KUIFIKISHA CHANNEL HII MBALI,KAMA ILIVYO SASA KWA CHANNEL YETU YA Davistar Matta media.
      ⏩USISAHAU KUSHARE UJUMBE HUU KWA WAPENZI WETU WOTE WA DAVISTAR MATTA .
      ⏩Ahsanten sana.,

  • @jumakoga2179
    @jumakoga2179 4 роки тому +2

    Na wote hao wawili ni wachawi

    • @abn8331
      @abn8331 4 роки тому

      Huyu mnafiki,,huwezi kwenda kusoma dini kwa staili hiyo,Muongo katumwa tu.

  • @estasage5506
    @estasage5506 4 роки тому +1

    Kwa nini Uchawi wote wa ki Jin ni waislam pekee yake? Hata wa catholic ma father's ni wa magicians. Oh lord, help us please

  • @wantangosaimon5295
    @wantangosaimon5295 4 роки тому +2

    Hahahahaaaa kilemba no kutoka duh,

  • @jumakoga2179
    @jumakoga2179 4 роки тому +4

    Huyo ni mchawi asinasibishwe na uwislaamu, muislaamu akiwa na tabia hizo anakuwa ameshauvua uwislaamu yaani anakuwa sio muislaamu na kama atadumu na tabia hizo mpaka anakufa bila kutubia basi ujue makao yake ni motoni milele

    • @LOGOSNew
      @LOGOSNew 4 роки тому

      Je, wachawi ni wabaya kuliko majini? Inakuwaje kuwa majini huenda msikitini kila Ijumaa kwa sala? Si majini wako katika familia ya mashetani?

    • @susanejd7775
      @susanejd7775 4 роки тому

      @@LOGOSNew wewe uliwaona hao majini wakienda msikitini? Au unataka kuchafua dini za watu? Mm naweza kuweka dau kama dave atakubali mimi na ww tukutane na huyu bwana anaehojiwa im telling you ni muongo huyo alomuendea ni mchawi sio shekhe. Ameshikilia tu shekhe kasema maneno ya kiarabu sasa kiarabu ndio quraan? Huyu alikwenda kwa huyo mchawi ili afundishwe uchawi kwa sababu anasema elimu ya vitabu. Ni vitabu gani mbona havitaji? Yy na babaake walijua kua anakwendakujifumza uchawi wacheni ujinga

  • @jp1780
    @jp1780 4 роки тому +2

    Wa africa tumieni izo nguvu zenu kuilinda africa ili tusiendelee na kuporwa na wazungu ama wa China tusitesane sisi kwa sisi

  • @Sarah-hl9lr
    @Sarah-hl9lr 4 роки тому +2

    Hii imezidi ya J17...dah

  • @immamuga8837
    @immamuga8837 4 роки тому +2

    Duuuuuh..kweli kuna watu wamepitia magumu

    • @davistamattamedia8199
      @davistamattamedia8199 4 роки тому +1

      ⏩TEMBELEA CHANNEL YETU MPYA Ya Masimulizi na MAKALA MBALIMBALI iliyo ANDALIWA NA Mr facts.
      ⏩HII NDIYO LINK YA CHANNEL YETU👇👇
      ua-cam.com/channels/PX6l-lh8fBzc4iVED8nddA.html
      ⏩SASA UNAWEZA KUPATA MASIMULIZI NA MAKALA KUPITIA CHANNEL YETU IYO MPYA.
      ⏩TUSHIRIKIANE KWA KUSUBSCRIBE KWENYE CHANNEL HII, ILI TUWEZE KUIFIKISHA CHANNEL HII MBALI,KAMA ILIVYO SASA KWA CHANNEL YETU YA Davistar Matta media.
      ⏩USISAHAU KUSHARE UJUMBE HUU KWA WAPENZI WETU WOTE WA DAVISTAR MATTA .
      ⏩Ahsanten sana.,

    • @immamuga8837
      @immamuga8837 4 роки тому +1

      Tayar mkuu...ubarikiwe

  • @alexjos7625
    @alexjos7625 4 роки тому +1

    Clip mic bro..mkono hautachoka

  • @wantangosaimon5295
    @wantangosaimon5295 4 роки тому +1

    Aisee hao mashehe konki mixer na uchawi juu duh

  • @mamskiumbe4057
    @mamskiumbe4057 4 роки тому

    Atr sna

  • @susannyamwitha1354
    @susannyamwitha1354 4 роки тому +1

    Waa God remember you are people and give them wisdom,

    • @davistamattamedia8199
      @davistamattamedia8199 4 роки тому +1

      ⏩TEMBELEA CHANNEL YETU MPYA Ya Masimulizi na MAKALA MBALIMBALI iliyo ANDALIWA NA Mr facts.
      ⏩HII NDIYO LINK YA CHANNEL YETU👇👇
      ua-cam.com/channels/PX6l-lh8fBzc4iVED8nddA.html
      ⏩SASA UNAWEZA KUPATA MASIMULIZI NA MAKALA KUPITIA CHANNEL YETU IYO MPYA.
      ⏩TUSHIRIKIANE KWA KUSUBSCRIBE KWENYE CHANNEL HII, ILI TUWEZE KUIFIKISHA CHANNEL HII MBALI,KAMA ILIVYO SASA KWA CHANNEL YETU YA Davistar Matta media.
      ⏩USISAHAU KUSHARE UJUMBE HUU KWA WAPENZI WETU WOTE WA DAVISTAR MATTA .
      ⏩Ahsanten sana.,

  • @ramazubery2641
    @ramazubery2641 4 роки тому +1

    Uyujamaa kumckiliza unaitaji moyo wa subira? Mh mm nimeshindwa kumckiliza kwaherini

  • @greatness254
    @greatness254 4 роки тому +1

    That microphone the wires in it need to be checked ...use the other wireless one rather u can procure a smaller microphone for the shirt ...from kenya we can do business if u like

  • @yussufmohamed7427
    @yussufmohamed7427 4 роки тому +2

    Wakwanza eeee

    • @davistamattamedia8199
      @davistamattamedia8199 4 роки тому

      ⏩TEMBELEA CHANNEL YETU MPYA Ya Masimulizi na MAKALA MBALIMBALI iliyo ANDALIWA NA Mr facts.
      ⏩HII NDIYO LINK YA CHANNEL YETU👇👇
      ua-cam.com/channels/PX6l-lh8fBzc4iVED8nddA.html
      ⏩SASA UNAWEZA KUPATA MASIMULIZI NA MAKALA KUPITIA CHANNEL YETU IYO MPYA.
      ⏩TUSHIRIKIANE KWA KUSUBSCRIBE KWENYE CHANNEL HII, ILI TUWEZE KUIFIKISHA CHANNEL HII MBALI,KAMA ILIVYO SASA KWA CHANNEL YETU YA Davistar Matta media.
      ⏩USISAHAU KUSHARE UJUMBE HUU KWA WAPENZI WETU WOTE WA DAVISTAR MATTA .
      ⏩Ahsanten sana.,

  • @manenojames2011
    @manenojames2011 4 роки тому +1

    Ai aise 41 nalia mm kabsa mata nalia

  • @mashaeliazer7433
    @mashaeliazer7433 4 роки тому +2

    Mimi Sina ubaya Ila shehe na mambo hayo wapi na wapi???
    Kwasababu naona hayo ni Mambo ya kishetani

    • @zoey2635
      @zoey2635 4 роки тому +1

      Kuna watu wanajiita mashehe lakini ni washirikina ,kama ilivyo kwa wachungaji

    • @zoey2635
      @zoey2635 4 роки тому +1

      Karibu pulao au pulao pia la waislam huli mzee baba

    • @mashaeliazer7433
      @mashaeliazer7433 4 роки тому +1

      @@zoey2635hahaaa nakula tena sana nitumie bwana niji Nice

    • @mashaeliazer7433
      @mashaeliazer7433 4 роки тому +1

      @@zoey2635 hapo nimekuelewa kabisa Asante

  • @rahmasalum8642
    @rahmasalum8642 4 роки тому +2

    Nilijuwa akitoka kwa shekhe ramadhani atakwenda tena shekhe mosi mana kaanza na shekhe shabani akiwa yy shekhe mtarajiwa rajabu

  • @kalssambaboo9705
    @kalssambaboo9705 4 роки тому +1

    Nimtihan dunia hii inamambo mengi

  • @abn8331
    @abn8331 4 роки тому +1

    Davista huyo muongo bhana,anasema yeye ni muislam wakati hajui kazi ya tasbih,,kazi ya tasbih siyo kuhesabu hesabu.Davista acha story za kuchafuana.

  • @mrsochu-hv7bm
    @mrsochu-hv7bm 4 роки тому +2

    Wakwanza

    • @davistamattamedia8199
      @davistamattamedia8199 4 роки тому

      ⏩TEMBELEA CHANNEL YETU MPYA Ya Masimulizi na MAKALA MBALIMBALI iliyo ANDALIWA NA Mr facts.
      ⏩HII NDIYO LINK YA CHANNEL YETU👇👇
      ua-cam.com/channels/PX6l-lh8fBzc4iVED8nddA.html
      ⏩SASA UNAWEZA KUPATA MASIMULIZI NA MAKALA KUPITIA CHANNEL YETU IYO MPYA.
      ⏩TUSHIRIKIANE KWA KUSUBSCRIBE KWENYE CHANNEL HII, ILI TUWEZE KUIFIKISHA CHANNEL HII MBALI,KAMA ILIVYO SASA KWA CHANNEL YETU YA Davistar Matta media.
      ⏩USISAHAU KUSHARE UJUMBE HUU KWA WAPENZI WETU WOTE WA DAVISTAR MATTA .
      ⏩Ahsanten sana.,,

  • @ayushsaeed1051
    @ayushsaeed1051 4 роки тому +1

    Tobaa

  • @amaradiombera2198
    @amaradiombera2198 4 роки тому +1

    Dunia hii inajmbo

  • @mbwanakiting7180
    @mbwanakiting7180 4 роки тому +2

    Bro. Tafuta mic za kuvaa ili husichoke mkono na uwe kisasa zaidi ya

    • @davistamattamedia8199
      @davistamattamedia8199 4 роки тому

      ⏩TEMBELEA CHANNEL YETU MPYA Ya Masimulizi na MAKALA MBALIMBALI iliyo ANDALIWA NA Mr facts.
      ⏩HII NDIYO LINK YA CHANNEL YETU👇👇
      ua-cam.com/channels/PX6l-lh8fBzc4iVED8nddA.html
      ⏩SASA UNAWEZA KUPATA MASIMULIZI NA MAKALA KUPITIA CHANNEL YETU IYO MPYA.
      ⏩TUSHIRIKIANE KWA KUSUBSCRIBE KWENYE CHANNEL HII, ILI TUWEZE KUIFIKISHA CHANNEL HII MBALI,KAMA ILIVYO SASA KWA CHANNEL YETU YA Davistar Matta media.
      ⏩USISAHAU KUSHARE UJUMBE HUU KWA WAPENZI WETU WOTE WA DAVISTAR MATTA .
      ⏩Ahsanten sana.,

  • @fatmaalrshdii7615
    @fatmaalrshdii7615 4 роки тому +1

    Mtu makini katika ubora wako pole rajabu kwa ulio pitia

  • @jeaninemugisha6395
    @jeaninemugisha6395 4 роки тому +1

    Ra dunia ina vitu mingi sana

  • @jonassilvester4325
    @jonassilvester4325 4 роки тому +1

    Hodi jamani

    • @davistamattamedia8199
      @davistamattamedia8199 4 роки тому

      ⏩TEMBELEA CHANNEL YETU MPYA Ya Masimulizi na MAKALA MBALIMBALI iliyo ANDALIWA NA Mr facts.
      ⏩HII NDIYO LINK YA CHANNEL YETU👇👇
      ua-cam.com/channels/PX6l-lh8fBzc4iVED8nddA.html
      ⏩SASA UNAWEZA KUPATA MASIMULIZI NA MAKALA KUPITIA CHANNEL YETU IYO MPYA.
      ⏩TUSHIRIKIANE KWA KUSUBSCRIBE KWENYE CHANNEL HII, ILI TUWEZE KUIFIKISHA CHANNEL HII MBALI,KAMA ILIVYO SASA KWA CHANNEL YETU YA Davistar Matta media.
      ⏩USISAHAU KUSHARE UJUMBE HUU KWA WAPENZI WETU WOTE WA DAVISTAR MATTA .
      ⏩Ahsanten sana.,

  • @euniceeunice7680
    @euniceeunice7680 4 роки тому +4

    Tukisema mashekh wachawi watu wanabisha watu wakitoa ushuhuda basi waislam wanatukana weee kuna sheikh 1 katoa ushuhuda na kaokoka basi wamemtukana weee eti muongo sijui kanunuliwa na wakristo aya uyu apa muislam mwezenu jee na yy kanunulia na nani? Mashekh wotee duniani ni wachawi yan woteee na kbl ujawa sheikh lzm upelekwe ukasomehe majini.....bisheni sasa na uyu muislam mwezenu mbona mmepita kimyaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mimi siachi kuwanyoosha acheni kuswali na majini waislam kuna moto jamani kesho......mimi nasikia raha tuuu jins mnavyo umbuka

    • @isakahissa4130
      @isakahissa4130 4 роки тому +1

      Ishi kwenye Iman yako, nakama tukiiona ipo sawa tutakuja nawewe ukiiona ipo xawa utakuja 🥺 usifoce mtu kupenda dini yako nakuichukia dini yake,,, hikiwa dini zenyewe zote vihongoz wake,,,,, asilmia kubwa hawajachaguliwa na mungu n tamaa zao zakutaka PESA HESHIMA nakujitofautsha nawengne wanaitumia viin macho kwenye din zetu wote😞
      MI SIPO KWA AJIR YA KUTETEA DINI YANGU VILEVILE CPO KWA AJIRI YA KUTETEA DINI YAKO🤨
      nakushahuli ty wee sali Sanaa kwakuamin mungu Ila ucsali kwakushndansha din ambazo zote zinapambana kumtukuza mungu uyo uyo

    • @isakahissa4130
      @isakahissa4130 4 роки тому +1

      Cku utakayojuwa kwamba unasali kwa ajiri ya nin...!
      Bac ndy utajuwa kuwa dini n Kama makabila au njia tofaut zenye kuelekea sehemu moja japo na utofaut wa njia izo, Ila wote tunaenda kwa mungu☺️
      Ila wote wameumbwa na mungu mmoja ndymana wote tunakufa na wote tunazaliwa
      Nakama mungu angekuwa yupo kwenye dini moja tu
      Bac Kuna din moja watu wangekuwa hawafi na wengne wangekufa lkn maskin tuschoelewa tunaacha kumtukuza mungu tunaanza kutiana kasoro😌

    • @dystonehammy4158
      @dystonehammy4158 4 роки тому +1

      Uchawi hauna dini..usijidanganye...hao wachungaji wanaotumia nguvu za giza ni waislamu au...au ndo mara yako ya kwanza kufatilia matukio?

    • @profs.a5412
      @profs.a5412 4 роки тому +2

      @@isakahissa4130 🤠🤠🤠...waislam mnaenda kwa Mungu yupi ??? Nyie mnaenda kwa shetani bana ..acheni uongo hapaaa..........msipo mwamini Yesu na kuziacha njia zenu za uislam...nyie ni jehanam tu ....hakuna lingine kwenu ......lazima mwelewe hivyo.............njia ya Kwenda kwa Mungu mwenyenzi ni moja tu ......Kristo Yesu

    • @LOGOSNew
      @LOGOSNew 4 роки тому +1

      @@profs.a5412 Wamedanganywa wataenda kushiriki ngono non-stop. Kila mwanamme na wake 72( wa kijini-houris) na pombe chungu nzima. Ni Mungu gani ataruhusu huo ujing mbele yake? Mungu awasaidie watu wake waweze kuona vile wanavyohadaiwa. Hakuna mbinguni waislam wanaenda, na Mohd alijua hivyo, ndio maana akaunda yake ya uwongo.

  • @solange-d9f
    @solange-d9f 4 роки тому +1

    Part 3 iko wapi?

  • @chrisiasbrown2208
    @chrisiasbrown2208 4 роки тому

    D'aviser jipange ununue mic ya kuweka katika shati

    • @khadijaomari9344
      @khadijaomari9344 4 роки тому

      kweli kabisa

    • @chrisiasbrown2208
      @chrisiasbrown2208 4 роки тому +1

      @@thelonewolf4429 Kuna youtubers wengine wanaweka sehemu ya Michango.. Si mbaya aki fanya hivyo...

  • @susanejd7775
    @susanejd7775 4 роки тому +2

    Wewe cathrine wacha ushenzi. Inaonyesha ndio kwanza unasikiliza story za davi. Tafadhali usitafute kiki za kijinga. Au huyo anaehojiwa ndivyo mlivyopanga kuja kudhalilisha uislam? Huyo na babaake wanajua walikwenda kwa huyo mchawi kujifunza uchawi. Mwanamme mkubwa hivyo uwe bwege kiasi usijue tofauti ya quraan na uchawi

    • @LOGOSNew
      @LOGOSNew 4 роки тому

      Matusi ni ya mtu ambaye ameshindwa kujitetea. Mbona usifanye uchunguzi kwanza? Ingia Google upate haya yote katika hadith , Quran na Mohd.

  • @momadeatibo6729
    @momadeatibo6729 4 роки тому +4

    ila huyu jamaa kama alikua anasoma cur'an, mbona haoneshi dalili za mtu mtu wa madrasa;;??, au alikua anaota;;;;;!!!!!.

    • @roseuwambe8089
      @roseuwambe8089 4 роки тому +1

      Kwani kakwambia kasoma hajasoma alikua anafundishwa kwavitendo sikusoma

    • @jumazia2184
      @jumazia2184 4 роки тому +1

      Haiingii akilini.

    • @susanejd7775
      @susanejd7775 4 роки тому +2

      @@roseuwambe8089 kujifunza quraan ni kusoma hakuna kitu vitendo. Huyu kuna vitu anaongopa. Maana kama muislam hawezi kusema anahesabu tasbih

    • @roseuwambe8089
      @roseuwambe8089 4 роки тому +1

      @@susanejd7775 😂😂😂😂😂🤣🤣🤣😁😁

  • @bisunmwamini6993
    @bisunmwamini6993 4 роки тому +2

    Jamaa naona katumwa kuichafua imani ya watu!hii story haina ukweli wowote,anatuletea hadith za liwaya za magaazetini,story nzima yeye na mashekhee tu!tunataka mambo kama yakina juma sio kumaliza bando za watu story yenyewe ya magaazetini!upumbu mtupu!!

  • @beatricekweka6683
    @beatricekweka6683 4 роки тому +1

    Whaaatt!!🙄🙄🙁🙇🙇‍♀️🙇‍♀️🙇‍♀️🙇‍♀️🙇‍♀️🙇‍♀️

    • @davistamattamedia8199
      @davistamattamedia8199 4 роки тому

      ⏩TEMBELEA CHANNEL YETU MPYA Ya Masimulizi na MAKALA MBALIMBALI iliyo ANDALIWA NA Mr facts.
      ⏩HII NDIYO LINK YA CHANNEL YETU👇👇
      ua-cam.com/channels/PX6l-lh8fBzc4iVED8nddA.html
      ⏩SASA UNAWEZA KUPATA MASIMULIZI NA MAKALA KUPITIA CHANNEL YETU IYO MPYA.
      ⏩TUSHIRIKIANE KWA KUSUBSCRIBE KWENYE CHANNEL HII, ILI TUWEZE KUIFIKISHA CHANNEL HII MBALI,KAMA ILIVYO SASA KWA CHANNEL YETU YA Davistar Matta media.
      ⏩USISAHAU KUSHARE UJUMBE HUU KWA WAPENZI WETU WOTE WA DAVISTAR MATTA .
      ⏩Ahsanten sana.,

  • @LOGOSNew
    @LOGOSNew 4 роки тому +3

    Hicho kilemba cha Shekhe bila shaka ni "jicho la tatu" (third eye) ya illuminati!!

    • @roseuwambe8089
      @roseuwambe8089 4 роки тому

      😁😁😁😁😂😂😂🤣🤣🤣

  • @ayushsaeed1051
    @ayushsaeed1051 4 роки тому +1

    33333

  • @christophersaimon4398
    @christophersaimon4398 4 роки тому

    duh

    • @davistamattamedia8199
      @davistamattamedia8199 4 роки тому

      ⏩TEMBELEA CHANNEL YETU MPYA Ya Masimulizi na MAKALA MBALIMBALI iliyo ANDALIWA NA Mr facts.
      ⏩HII NDIYO LINK YA CHANNEL YETU👇👇
      ua-cam.com/channels/PX6l-lh8fBzc4iVED8nddA.html
      ⏩SASA UNAWEZA KUPATA MASIMULIZI NA MAKALA KUPITIA CHANNEL YETU IYO MPYA.
      ⏩TUSHIRIKIANE KWA KUSUBSCRIBE KWENYE CHANNEL HII, ILI TUWEZE KUIFIKISHA CHANNEL HII MBALI,KAMA ILIVYO SASA KWA CHANNEL YETU YA Davistar Matta media.
      ⏩USISAHAU KUSHARE UJUMBE HUU KWA WAPENZI WETU WOTE WA DAVISTAR MATTA .
      ⏩Ahsanten sana.,

  • @innomushi5994
    @innomushi5994 4 роки тому

    Kipindi kinakua kifupi sana aisee

    • @davistamattamedia8199
      @davistamattamedia8199 4 роки тому

      ⏩TEMBELEA CHANNEL YETU MPYA Ya Masimulizi na MAKALA MBALIMBALI iliyo ANDALIWA NA Mr facts.
      ⏩HII NDIYO LINK YA CHANNEL YETU👇👇
      ua-cam.com/channels/PX6l-lh8fBzc4iVED8nddA.html
      ⏩SASA UNAWEZA KUPATA MASIMULIZI NA MAKALA KUPITIA CHANNEL YETU IYO MPYA.
      ⏩TUSHIRIKIANE KWA KUSUBSCRIBE KWENYE CHANNEL HII, ILI TUWEZE KUIFIKISHA CHANNEL HII MBALI,KAMA ILIVYO SASA KWA CHANNEL YETU YA Davistar Matta media.
      ⏩USISAHAU KUSHARE UJUMBE HUU KWA WAPENZI WETU WOTE WA DAVISTAR MATTA .
      ⏩Ahsanten sana.,

  • @LOGOSNew
    @LOGOSNew 4 роки тому +1

    Kwa nini Kiarabu ndio lugha ya kichawi na kishetani? Ni ajabu kwamba Q'uran imeandikwa kwa Kiarabu???!

    • @nooor1120
      @nooor1120 4 роки тому

      Lugha ya kichawi inategemea kabila tu ikiwa mchina watazungumza kichina wapo wafaransa kufaransa ,kizungu, kuswahili ,kimakonde,wachawi wapo dunia nzima hata waislam wapo lkn muislaam akiwa mchawi hua kavunja maadili ya kiislam na akifa ikiwa hajatubu uchawi wake Allah anasema atamuadhibu kwahio uislam ulio safi unakataza uchawi

    • @LOGOSNew
      @LOGOSNew 4 роки тому

      @@nooor1120 Mafunzo au elimu kuhusu uislamu ni viwango viwili: (1) Elimu Ahera (juu ya kumtii na kumwabudu Allah).
      (2) Elimu Dunia (kuhusu majini, uchawi na ushirikina).
      Kiwango cha kwanza ni cha waislamu wote. Kiwango cha pili ni cha wateule ambao huhitimu kuwa Mashekhe na Maustadhi. Hii huwa elimu ya siri ya hali ya juu hivi kwamba hata waislamu wa kawaida hawaruhusiwi kujua. Kwa sababu wakijua hawataamini uislamu tena. Au huenda wakatoboa siri. Umewahi kujiuliza ni kwa nini wataalamu juu ya majini, nyota na kadhalika wote ni Mashekhe? Umewahi kusikia yeyote wa hawa ambaye si Shekhe? Tafadhali chunguza kwa bidii na makini utagundua kuwa uambiwavyo sivyo.

  • @oscarezekiel1826
    @oscarezekiel1826 4 роки тому +2

    Hii hadithi haina ukweli na wala haivutii hata kidogo
    Davista ..wachakutuletea hadithi za kutunga kama ivi tutakuchoka..wewe ni Mr facts . Sasa kuna facts gani ktk hadithi isokua na mashiko na mbovu kama hii????

    • @susanejd7775
      @susanejd7775 4 роки тому

      Kwanza huyo anaehojiwa ni muongo na mjinga. Hivi babaako akupeleke kusoma dini ukiwa mkubwa hivyo na usijue tofauti ya quraan na upuuzi mwingine. Huyo alikwenda kujifunza uchawi kwa mganga lkn ametaka tu kutia uislam tope. Devis nampenda na namfatilia sana. Lkn kwa hii ameniangusha ni ujinga na udhalilishaji tu kwa waislam

  • @bbycandy6757
    @bbycandy6757 4 роки тому +1

    Hello my dear niko ndani ......

    • @davistamattamedia8199
      @davistamattamedia8199 4 роки тому

      ⏩TEMBELEA CHANNEL YETU MPYA Ya Masimulizi na MAKALA MBALIMBALI iliyo ANDALIWA NA Mr facts.
      ⏩HII NDIYO LINK YA CHANNEL YETU👇👇
      ua-cam.com/channels/PX6l-lh8fBzc4iVED8nddA.html
      ⏩SASA UNAWEZA KUPATA MASIMULIZI NA MAKALA KUPITIA CHANNEL YETU IYO MPYA.
      ⏩TUSHIRIKIANE KWA KUSUBSCRIBE KWENYE CHANNEL HII, ILI TUWEZE KUIFIKISHA CHANNEL HII MBALI,KAMA ILIVYO SASA KWA CHANNEL YETU YA Davistar Matta media.
      ⏩USISAHAU KUSHARE UJUMBE HUU KWA WAPENZI WETU WOTE WA DAVISTAR MATTA .
      ⏩Ahsanten sana.,

  • @abn8331
    @abn8331 4 роки тому +1

    Huyo muongo tu,yeye aseme alienda kwa mganga au anamua kuchafua dini kwa story ya kutengeneza.

    • @Sarah-hl9lr
      @Sarah-hl9lr 4 роки тому

      Alienda kwa shekh 🤣🤣🤣 uyu mtu mzima anajielewa husikii mbaka majina

    • @susanejd7775
      @susanejd7775 4 роки тому

      @@Sarah-hl9lr huyo alikwenda kwa mganga kujifunza uganga hataki kusema ukweli. Na watuwashazoea kuwaitahao waganga mashekh. Na vile wanatumia herufi za kiarabu kwa asiejua quraan atasema ni quraan. Ni watu wabaya sana

  • @LOGOSNew
    @LOGOSNew 4 роки тому

    Yaani Mashekhe huishi katika familia za majini?

    • @susanejd7775
      @susanejd7775 4 роки тому

      Wee msenge wa kike kama huna cha kucomment kakojoe ukalale

    • @LOGOSNew
      @LOGOSNew 4 роки тому +1

      @@susanejd7775 Maneno haya yako yadhihisha ukweli wa Biblia vile husema kuwa kila mti hujulikana kwa matunda yake " Every tree is known by its fruit.". Matunda ya uislamu wako ndio hayo- matusi, vitisho na umwagaji wa damu. Ingekuwa ni Mungu unayeabudu tungeona matunda tofauti.

    • @profs.a5412
      @profs.a5412 4 роки тому +1

      Umenena ukweli @Catherine.........waislam ni ndugu na majini ...na mtu hawezi kuitwa sheikh bila kuwa na elimu ya majini lazima ayajue majini............na lazima awe na majini ...hao ni ndugu zao katika imani . Hata Quran na vitabu vyao vya hadithi vinasema hivyo .....muhammad aliwambia weislam. ."ndugu zenu wa kijini wameiamini quran " ...so muislam asikatae kwamba hawana undugu na majini

    • @LOGOSNew
      @LOGOSNew 4 роки тому +1

      @@profs.a5412 Kweli kabisa ndugu. Shida ni kwamba wafuasi wa kawaida wamefichwa haya mambo wasije wakajua ukweli kuhusu dini yao. Tuwaombee wafunguke macho waje kwa Yesu.

    • @profs.a5412
      @profs.a5412 4 роки тому

      @@LOGOSNew kabisaaa .....tatzo Lao hawasomi Quran mpaka wasomewe na masheokh wao.......... ...yan wamekuwa vipofu

  • @mbwanakiting7180
    @mbwanakiting7180 4 роки тому

    Laki 8. Tuma namba ya simu wadau wachangie fasta kipindi chao

    • @davistamattamedia8199
      @davistamattamedia8199 4 роки тому

      ⏩TEMBELEA CHANNEL YETU MPYA Ya Masimulizi na MAKALA MBALIMBALI iliyo ANDALIWA NA Mr facts.
      ⏩HII NDIYO LINK YA CHANNEL YETU👇👇
      ua-cam.com/channels/PX6l-lh8fBzc4iVED8nddA.html
      ⏩SASA UNAWEZA KUPATA MASIMULIZI NA MAKALA KUPITIA CHANNEL YETU IYO MPYA.
      ⏩TUSHIRIKIANE KWA KUSUBSCRIBE KWENYE CHANNEL HII, ILI TUWEZE KUIFIKISHA CHANNEL HII MBALI,KAMA ILIVYO SASA KWA CHANNEL YETU YA Davistar Matta media.
      ⏩USISAHAU KUSHARE UJUMBE HUU KWA WAPENZI WETU WOTE WA DAVISTAR MATTA .
      ⏩Ahsanten sana.,

  • @mamskiumbe4057
    @mamskiumbe4057 4 роки тому +1

    Atr sna

  • @suleimnally2385
    @suleimnally2385 4 роки тому +1

    Mbona hayo maneno hasemi ili watu wapate darasa kujirina

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 4 роки тому +1