EXCLUSIVE: HISTORIA ya CDF MABEYO {KOMANDO} HATARI ALIYEACHA UPADRI na KUWA MKUU wa MAJESHI {JWTZ}

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 90

  • @lemikidola
    @lemikidola 6 місяців тому +10

    Nakukubali nakuombea Mungu akuongoze uishi maisha marefu kamanda

  • @michaelgilbert1531
    @michaelgilbert1531 3 місяці тому +1

    We appreciate cdf mabeyo kwa kazi nzuri na moyo WA unyenyekevu WWE ni mfano wa kuigwa

  • @paulvimbamvula9508
    @paulvimbamvula9508 22 дні тому +1

    Mungu akulinde Mabeyo

  • @umrathhassani
    @umrathhassani 4 місяці тому +3

    Mashaallah allah akulipe umeli2mikia taifa kweli

  • @petercostakisoka
    @petercostakisoka 6 місяців тому +6

    Daah mtoto mmoja tu jeneral alikuwa nae

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  6 місяців тому +2

      Kazi ya mungu huwaga haina makosa

    • @robertjerald317
      @robertjerald317 6 місяців тому +1

      Nani kakwambia alikuwa ana mtoto mmoja ??

    • @anodearsulusi7536
      @anodearsulusi7536 5 місяців тому +1

      Mwongo sio mtoto mtoto mmoja

  • @ellynzinya6338
    @ellynzinya6338 Місяць тому +1

    Hua kuna watu wanakera ,unapotaka kutoa habari kuhusu mtu muhimu kwa Taifa na Africa kwa ujumla hakikisha una data za maana,za kutosha na za ukweli na sio kubumba bumba tu ,mwacheni Af mabeyo ni mtu mkubwa sana mwenye heshima zote , MUNGU ampe maisha marefu yenye amani tele mwamba wa Africa

  • @MarwaNyataigo
    @MarwaNyataigo 5 місяців тому +7

    Mungu ukupe maisha marefi

  • @KidomelaEdward
    @KidomelaEdward 5 місяців тому +4

    Miaka mingi kwako ngosha wa nshimba❤❤

  • @hassanmfaume4522
    @hassanmfaume4522 6 місяців тому +9

    Huyu Mabeyo kwangu ataendelea kuwa mzalendo halisi kutokea usukumani.!

  • @FranciscoKatakwa
    @FranciscoKatakwa 5 місяців тому +4

    Bunda Hakuna Makao Makuu ya Serengeti

  • @godlovemwakalinga
    @godlovemwakalinga 6 місяців тому +3

    Jwtz Toka lini ikawa jeshi la kujenga taifa acheni kukukurupuka kwenye kuapdates story Ili kupata views bhana pitieni kazi kabla yakupost msitupotoshe wengine tunajitambua.

    • @mropetv7034
      @mropetv7034 6 місяців тому +1

      Daa mwamba muongo

    • @hassan-sarumbo
      @hassan-sarumbo 6 місяців тому +1

      me nimemuelew walikua kambin jkt vita viliv tokea wakachukuliw huko huko baada ya vita ndo akaingizw jwtz moja kwa moja

    • @elicknyega7317
      @elicknyega7317 6 місяців тому +2

      ​@@hassan-sarumboSafi umeelewa

    • @hassan-sarumbo
      @hassan-sarumbo 6 місяців тому

      @@mropetv7034 yupo sqhih ichi kitu alish ongeaga mbn yeye kam yey

  • @Princewaweru
    @Princewaweru 6 місяців тому +5

    Baba yangu ndo shujaa kwasabab ya uwepo wang

  • @savinitumbena9308
    @savinitumbena9308 2 місяці тому +1

    Mabeyo hajawahi kuwa komando.Angekuwa na seagull wings (bawa)

  • @bboyamos
    @bboyamos 6 місяців тому +7

    I WISH TO BE A SOLDIER I AM COMING FROM TANZANIA DARESALAAM

  • @Allyhujjat
    @Allyhujjat 6 місяців тому +4

    Dah mtoto mmoja amemkuza mpka amekuwa rubani kisha mungu amemchukuwa kweli kifo iki jamani kah

  • @josephMagonya
    @josephMagonya 6 місяців тому +4

    Banda iko mkoa wa mara siyo MWANZA

  • @tumsifujoachim5877
    @tumsifujoachim5877 6 місяців тому +9

    Imagine cdf mstaafu ni kijana ukilinganisha hayati cdf wa kenya aliyetangulia mbele za haki

  • @goromamussatvonline
    @goromamussatvonline 2 місяці тому +1

    mkikamatwa mnaanza kusema serikali mbaya

  • @innocentlusajo9303
    @innocentlusajo9303 5 місяців тому +3

    CDF hakufeli kua padre
    Wala hakushindwa kwenda chuo

  • @deusmbuge5740
    @deusmbuge5740 5 місяців тому +5

    Anamtoto Mwingine ni mjeshi

  • @mussaharun7257
    @mussaharun7257 3 місяці тому +1

    Alivusha taifa salama

  • @djfaraji
    @djfaraji 5 місяців тому +3

    Muongo sana umepata wapi izo stori mbona ujataja alipitia ngelengele 92 komando.uyo ni mtu mzito na muimu kwenye nchi hii

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  5 місяців тому +1

      Data mala nyingine huwa zinapotea ama kusahaulika so kwetu Tunahesabu kama "kosa " Hivyo kama haujaskia hicho kikosi Basi Ujue hajapitia ama kimesahaulika

  • @carlosleonard6050
    @carlosleonard6050 5 місяців тому +4

    Are you sure ni commando?

  • @perfectpixelsstudio3603
    @perfectpixelsstudio3603 6 місяців тому +3

    Mbona sijaona kua (komando) hapo ??

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  6 місяців тому +1

      Unaitaji kuwa komando mkuu 😂🤓

  • @Shebbylaizer
    @Shebbylaizer 6 місяців тому +3

    Good

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 6 місяців тому +4

    Hatari gani na nyie,hatari kulinda watawala wasio ongoza nchi kwa haki?

    • @mlokaferdinand
      @mlokaferdinand 6 місяців тому

      Na hiyo ndo hatari Zaid...kimlinda mtu asiyependwa

    • @christianchando7041
      @christianchando7041 2 місяці тому

      Kama humpendi ww unadhani Tanzania nzima hawampendi???​@@mlokaferdinand

    • @christianchando7041
      @christianchando7041 2 місяці тому

      What means of kuongoza kwa haki? Kusikiliza ujinga wa wanasiasa ndo kuongoza kwa haki???

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 7 місяців тому +4

    Sf Sana cdf msitaafu

  • @RiderKiloleli
    @RiderKiloleli 3 місяці тому +1

    Padili ten

  • @salumumawaya
    @salumumawaya 5 місяців тому +2

    mkuu wa jeshi la kujenga taifa (jwtz) 😂 huyu jamaa anatulelea mapuuza wazi

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  5 місяців тому +1

      Umeandika nini Kwani mbona hauelewiki mkuu?

  • @MohammedMaulidHaji
    @MohammedMaulidHaji 5 місяців тому +1

    JWTZ nan mwengin alieskia maan yke jmaa katupakia ap😂😂😂😂😂😂

  • @StephanoKamunya
    @StephanoKamunya Місяць тому +1

    Mbona minasifiya vtu ambavyo avipo

  • @josephmihayo6236
    @josephmihayo6236 6 місяців тому +4

    Poor narrative, msimuliaji ana pwaya sana. Story IPO vagalant!

  • @hassanshemndoa5062
    @hassanshemndoa5062 3 місяці тому +1

    Komando kivipi yani

  • @rahelmsuya7271
    @rahelmsuya7271 5 місяців тому +3

    Eti alifeli.. uongo mtupu

  • @TPW_FLUXY
    @TPW_FLUXY 6 місяців тому +3

    Huyu mabeyo hafai ni mnafiki msimpe sifahizo muasi huyo

  • @abdallahcooper3111
    @abdallahcooper3111 5 місяців тому +2

    Kwani ni lazima kila Mtu awe Mtangazaji?
    Acheni kuharibu fani za watu! Lafudhi mbaya na hujui chochote, kwa kifupi unaropoka tu.

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  5 місяців тому +2

      Kwani kunaulazima wa wewe Ku comment hapa unaonekana chizi kumfuatillia mropokaji @abdallahcooper3111

  • @bakarithegeoinformatician7406
    @bakarithegeoinformatician7406 6 місяців тому +3

    Acheni ufala nyinyi, makundi ya kigaidi ya kundi la kiislam ni yapi? Nyie mbwa achani mambo yenu

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 6 місяців тому

      Kwaani uongo,magaidi yote ni maislam

    • @bakarithegeoinformatician7406
      @bakarithegeoinformatician7406 6 місяців тому

      @@FridayMwassa
      Waislam ndio walio fanya ukoloni(colonialism), Waislam ndio waliowaletea UKIMWI(AIDS Violence), waislam ndio waliowaletea ushoga(ni moja ya njia za mpango wa uzani walizowaletea wazungu), waislam ndio waliofanya biashara ya utumwa(The triangle trade/African slave trade). Waislam ndio waliouwa watu Afrika kusini?
      Shida yenu mkisikia waarabu tu mnakimbilia waislam!
      Dini za KALE kabla ya uislam pale arabuni; za Kisemiti, Ukristo, Uyahudi, Mandaeism, na Zoroastrianism.
      Ukristo uliongzeka hapo baada ya kuanzishwa na wazungu na baada ya kukinzana na ile Mila aliyoachiwa Nabii Abraham, ndipo mkaletewa chuma kuwakumbusha kuwa hizo mlizonazo sio njia sahihi!
      Sema wazungu wamekuwa na vita za kiuchumi toka enzi, leo Israel anafanya ugaidi lakini bado mnasema taifa teule! Kuna taifa teule linaruhusiwa kuuwa?

  • @lawskuli9876
    @lawskuli9876 6 місяців тому +6

    Waasi wa Kiislamu ndio nini wewe wacha upumbavu. Hao ni waasi tu

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  6 місяців тому +1

      Waasi wa dini yenye itikadi Kali mkuu , Kwa macho hivyo tulivyotamka ni sahihi Ila kama unazungumzia Imani kila mmoja ana uelewa wake mkuu

  • @yusufmohamed8874
    @yusufmohamed8874 6 місяців тому +6

    Hakuna waasi wa ki Islamu wewe Fala

  • @RwekazaBatamuzi
    @RwekazaBatamuzi 6 місяців тому +2

    Wilaya ya Bunda iko Mkoa wa Mwanza, siyo Mkoa wa Mara.

  • @RithaMahindo
    @RithaMahindo 3 місяці тому +1

    😂😂

  • @RithaMahindo
    @RithaMahindo 3 місяці тому +1

    😂