SEHEMU YA MAZOEZI YA MAFUNZO YA KIJESHI, WAKILA KIAPO MBELE YA MKUU WA MAJESHI MABEYO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 102

  • @ikulunimahalipatakatifu7642
    @ikulunimahalipatakatifu7642 4 роки тому +30

    Nikiwaona naiona TANZANIA na ulinzi wa taifa letu, much respect JWTZ God bless you..

  • @immah_deo19
    @immah_deo19 4 роки тому +82

    Kama Ulikuwa Una Ndoto Za Kuja Kuwa Mjeda Af Leo Unaishi Nje Ya Malengo Em Njoo Tujuane

  • @athumaniomari2833
    @athumaniomari2833 4 роки тому +12

    Asante sana mwenyezi MUNGU kwa kuzidi kuripatia nguvu jeshi rangu

  • @jumamghwai5403
    @jumamghwai5403 4 роки тому +6

    So nice, so good! Iwapo tutakuwa imara hivi katika kutii maelekezo ya Muumba wetu hakuna wa kutugusa. Makamanda wetu wako vizuri sana ila nawakumbusha kama wanadamu wenzangu kwamba, kazi hii ya ulinzi ipo mpaka Jahanamu kwani wapo walinzi wa kuzuia watu kutoka humo. Wachape kazi wamkumbuke Mungu.

  • @saidomar6806
    @saidomar6806 4 роки тому

    Kaz nzur makamanda wa jeshi la Tz🇹🇿 Mungu aibarik Tz na viongoz wake,,, Asant kw jeshi imara Najivunia kuwa Mtanzania ningefurai nami nikawa Mjeda⭐🌙

  • @kelvinjohn6851
    @kelvinjohn6851 4 роки тому +2

    Hongera JWTZ tunawapenda sana. Tunajivunia jeshi letu.

  • @mwanaidihamisi2879
    @mwanaidihamisi2879 4 роки тому

    Baba yetu Miyala Mungu akuweke miaka mia unajua kutulea watoto wako kimafunzo nidhamu ,ushirikiano na upendo wewe ni kamanda nakumbuka sana JKT Ruvu 2010/2011 ,ubarikiwe sana

  • @mrliverpoolynwa7641
    @mrliverpoolynwa7641 5 місяців тому

    Siyo SIJAONA MAYALA ni SIJAONA MYALA OC wangu🙏🙏🙏

  • @tumushabejohn7215
    @tumushabejohn7215 4 роки тому +1

    God bless you and keep TZ army firm and strong. I have paratroopers shooting exercises.

  • @gracepatrick286
    @gracepatrick286 4 роки тому +2

    Nice! Mungu awatangulie makamanda wetu.

  • @pendobenjamin6725
    @pendobenjamin6725 4 роки тому

    Hongeren sana Mungu awatangulie ktk kazi zenu 🇹🇿

  • @barakayub8637
    @barakayub8637 3 роки тому

    Looking good

  • @dr.djshigongo4927
    @dr.djshigongo4927 4 роки тому

    Kudos....grateful being a Tanzanian

  • @peterbigambo9291
    @peterbigambo9291 4 роки тому

    Safi sana mungu ibariki Tanzania

  • @abbyadams8691
    @abbyadams8691 4 роки тому +1

    Kazi ya Jeshi iliishinda. Hongereni makamanda

  • @Boaz-Gwanko
    @Boaz-Gwanko 4 роки тому +5

    Commandoooooo LOVE TZ.

  • @devidpanja115
    @devidpanja115 4 роки тому +3

    God bless JWTZ

  • @thomassamwel4815
    @thomassamwel4815 4 роки тому

    Hongera kwa jesh retu

  • @mwasoprince3459
    @mwasoprince3459 4 роки тому +1

    Good job,

  • @shairanadam1443
    @shairanadam1443 4 роки тому +9

    Jamaa hata hawachekii😂😂😂 nkmbka nliwah kuambiwa ning'oe tails kwa vidole tn kaka angu daah😂😂

  • @iviejustified8109
    @iviejustified8109 4 роки тому +5

    Safi saana...
    Ila yule mjomba amebeba madumu 2 ni analipuliwa live bullets?

  • @robbykihengu6251
    @robbykihengu6251 4 роки тому +6

    Mawaidha Tv,Jeshi lako we likoje ili tukuige ili Jwtz iwe kama unavyotaka?

  • @shukurkatembo2807
    @shukurkatembo2807 4 роки тому

    Vijana wa Col. Mayala hongereni sana.

  • @saidmhamed6664
    @saidmhamed6664 4 роки тому

    Long live Mkuu Wangu

  • @suppermusic8042
    @suppermusic8042 4 роки тому +1

    Mkn sna Tz

  • @zakayomtweve8287
    @zakayomtweve8287 4 роки тому

    Mbarikiwa mwakipesile

  • @kidjhdf7568
    @kidjhdf7568 4 роки тому +7

    Sasa hiv jesh limekuwa zuri zaid mnatakiwa muwe na youtbe yenu

    • @captendunga1392
      @captendunga1392 4 роки тому

      kabisa sijui hawawaoni watu wa dunia ya kwanza ambao ndo tunaowaiga.

  • @charlesmartine3467
    @charlesmartine3467 3 роки тому

    rojaaa

  • @samwelnyankena9873
    @samwelnyankena9873 4 роки тому

    Askar wa wanyamapor ni kwikwi aseee nadhan wanaweza wazid hawa mbalio

  • @charliechaplincomedy5651
    @charliechaplincomedy5651 4 роки тому

    Nice

  • @bebebebe5677
    @bebebebe5677 4 роки тому +1

    Jaman hawa jamaa wana kaz ngumu san mung hawalinde

  • @delekalxon7221
    @delekalxon7221 4 роки тому +1

    Yameiva ayo babaaa majeshi kunoga😅 UNAAA kama wote

  • @barakanyamafu5937
    @barakanyamafu5937 4 роки тому

    MUNGU alibaliki jeshi letu la Tanzania

  • @gastosamweli9175
    @gastosamweli9175 4 роки тому

    Kwenye kushika madumu mmmmmmh mbona mchezo hatari

  • @kebo2155
    @kebo2155 4 роки тому

    Jeshi la nguvu...

  • @Boaz-Gwanko
    @Boaz-Gwanko 4 роки тому +2

    My first Baby boy must be a Soldier.

  • @samoocoolingsystem93
    @samoocoolingsystem93 4 роки тому

    Aya Mazoezi Mengine Sio Mtu Ameshika Madumu Halafu Mwengine Ana Ak47 Ambayo Haina Lens Hatari Kweli 🔥🔥🔥🔥🔥

    • @emmanuelanael6934
      @emmanuelanael6934 4 роки тому

      Hahahahahah you Ndio uonyenye uzoefu wa kulenga sasa

  • @frediricknandonde1690
    @frediricknandonde1690 4 роки тому +1

    Napenda wanajeshi na ninachukia sana polisi

  • @frozen4rozen475
    @frozen4rozen475 4 роки тому

    Izo ni risasi au baluti tafkiri muvi zakibongo

  • @HUKUEUROPE.
    @HUKUEUROPE. 4 роки тому

    Jeshi inanoga kwa kuangalia wanavyofanya but kufanya ww duh hapo sasa Gamba linakua hatari

  • @benjaminkimaro6361
    @benjaminkimaro6361 4 роки тому

    Big up sema 🙌🙌🙌

  • @giftmusa6543
    @giftmusa6543 4 роки тому +4

    Nawashauri global ,nature ya hizi news za kijeshi na za operation msiluhusu watu kukomenti.

    • @joramkimario2666
      @joramkimario2666 4 роки тому

      Kweli aseee man ukiona majitu yanavyo coment unaeza pata kichef chef man wanakoment uozo mtup

    • @kirupyseleman582
      @kirupyseleman582 4 роки тому

      Wazi

  • @dutchsafari7562
    @dutchsafari7562 4 роки тому

    Kauli mbiu ni moja tu Jeshi alishindwi

  • @gastosamweli9175
    @gastosamweli9175 4 роки тому +1

    Kama movie ya Expendable ya Rambo mwanawane hahahaaaaaaa

  • @saisaikalyasi5998
    @saisaikalyasi5998 4 роки тому +2

    Wenye inchi🏃🏃🏃

    • @monicahovda4524
      @monicahovda4524 4 роки тому

      Wenye nchi Maanake nini? Wenye nchi ni kila mwananchi, anashiriki huduma za jamii na kutoa mchango wake katika jamii, hata wewe waweza Ingia nawe si mwananchi, SEMA labda vigezo hutokuwa navyo, Si ushambiwa JWTZ si unaelewa maana yake, Jeshi la Wananchi wa Tanzania

  • @abdulrahmanhassan9254
    @abdulrahmanhassan9254 4 роки тому

    Alafu akukute umevaa kwanda na ujaifanyia kazi

  • @barakakhemedi1250
    @barakakhemedi1250 4 роки тому

    Msata kihsngaiko moja

  • @elizabethlucas4983
    @elizabethlucas4983 4 роки тому

    Ww Maidha unayesema bado nenda ww kamalizie palipobaki!!

  • @engjohnharvard8364
    @engjohnharvard8364 4 роки тому +3

    Congrats but l can give them only 20% l love their confidence but for them to attain the high rank army status may be after 15yrs with high level training intelligence

    • @devidpanja115
      @devidpanja115 4 роки тому

      Rubbish

    • @eyezarc1239
      @eyezarc1239 4 роки тому

      What is your rank brother?..I can see u accessing them., tell us ur rank..

    • @engjohnharvard8364
      @engjohnharvard8364 4 роки тому +4

      Devid panja 👏👏its alright A wise man is superior to any insults which can be put upon him, and the best reply to unseemly behavior is patience and moderation.

  • @babanabil...1247
    @babanabil...1247 4 роки тому

    Soviet style

  • @kessygifty7668
    @kessygifty7668 4 роки тому

    Nataman lkn daah

  • @ezapesambili2130
    @ezapesambili2130 4 роки тому

    Umesota hivyo et kibaka uswahilin anakuibia je ukimkata je!

  • @bmhentertainmenttz
    @bmhentertainmenttz 4 роки тому

    ua-cam.com/video/rz6nSe7zMVg/v-deo.html ajenda wakubali kucheza kwaito

  • @rosemunyali8728
    @rosemunyali8728 4 роки тому +1

    Si jeshi 19...ni covid 19

    • @affaanothmaan6287
      @affaanothmaan6287 4 роки тому

      Kasema covid "desh" 19 hebu mskize vizur asee. Wala hajasema ulivyo skia wewe.

  • @AliSaid-ts6rv
    @AliSaid-ts6rv 4 роки тому

    m

  • @kisokatvonline3704
    @kisokatvonline3704 4 роки тому

    Waziri wa Kenya akiri kuhusu zuio la ndege za Tanzania kutua nchini Kenya
    Bofya hapa kujua zaidi
    ua-cam.com/video/ZDGzLxQpm1k/v-deo.html

  • @mawaidhatv8557
    @mawaidhatv8557 4 роки тому +2

    Wamejitahidi lakini bado

    • @maryogotiny5033
      @maryogotiny5033 4 роки тому +2

      Ww unasema bado umetumia vgezo gan useme wamejitahid lkn bado? Tatzo mnaangalia move, zmechezeshwa na computer unalinganisha na live exercise ndo ushamba wako

    • @joramkimario2666
      @joramkimario2666 4 роки тому

      Bad wap.ni wap wamekosea ukawarekebishe.yaan wew!!!nikikutukana nitapata dhambi.bora ubak na ibongo wako mgando Mana cdhan kama hata angekua anafanya malaika ungekubal

    • @roswitamkinga8583
      @roswitamkinga8583 4 роки тому +1

      Bado ukipelekwa hpo utaweza au tutaanza kuona haja kubwa au ndogo

    • @lucasmollel4919
      @lucasmollel4919 4 роки тому

      Mkundu wako ndiyo tayari mbwa wewe mkubwa

    • @johnmlay4759
      @johnmlay4759 4 роки тому

      @@roswitamkinga8583 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 wala tusifikirie hata kumpeleka coz ataja alete aibu kubwa

  • @tmtwane9092
    @tmtwane9092 4 роки тому

    DIVA NIMEMFUATA BDOZEN EFM gusa link kwa full story ua-cam.com/video/AHLlrIemYoo/v-deo.html

  • @zakariadouglas6275
    @zakariadouglas6275 4 роки тому

    Mtadumu makamanda wetu