JUMA LOKOLE Atangaza kuondoka WASAFI kisa ZUCHU/Akimbia KESI mahakamani?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 64

  • @beatricenjambi5695
    @beatricenjambi5695 7 годин тому +5

    Zuchu protect ur brand at all costt

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c 9 годин тому +5

    Wote hawataki kukaa mbali na dai😊😊,,,afu skia we bwege,,usishindane na mtu anayemvulia mtu chupi.,,unatumwa na esma fikisha ujumbe nyamaza.,,na huyo changu aliambiwa akaona kama watu wana wivu,,,enjoy

  • @pyraxme
    @pyraxme 7 годин тому +3

    Zu ametengeneza Brand siku nyingi
    Halafu unaichafu kila siku Zuchu aaa
    Ifike mwisho

  • @farahali6041
    @farahali6041 10 годин тому +4

    akamshitaki tu amezidi juma anamuandama sana kwani lazima kuolewa asubiri aende mahakamani tu

  • @BettyNzegenuka-yr5xq
    @BettyNzegenuka-yr5xq 11 годин тому +4

    Ugomvi wa wake wenza wote wanagombania bwana😂😂😂😂

  • @SikituYusuph-fr7rj
    @SikituYusuph-fr7rj 11 годин тому +7

    patrik ww unajua nn acha zuchu awapeleke pamby maana wanamshusha heshima

    • @NapatNapat-x6i
      @NapatNapat-x6i 7 годин тому

      Hakuna lolisinatakeyanfatiliyabujinga kesi Z ndiw polisi haingii je hiyo zinaa 😊

  • @MO12-b1q
    @MO12-b1q 6 годин тому

    Rick yupo vizuli Nampa Maua yake 💐💐🇹🇿🇲🇿

  • @AminiMsellem-gk3yy
    @AminiMsellem-gk3yy 11 годин тому +7

    ILA ZUCHU KIBOKO ALISHAMWAMBIA DIAMOND CHAGUA MOJA KATI YANGU NA JUMA LOKOLE
    MANINA MTOTO WA KIZANZIBARI 😂😂😂😂😂

    • @donatandayisaba7258
      @donatandayisaba7258 10 годин тому +1

      Next she wil ask him ti choose between her and his mather😅😅

    • @RehemaKatana-m6l
      @RehemaKatana-m6l 9 годин тому

      😂😂😂😂yani nmecheka

    • @Yana_queen1
      @Yana_queen1 8 годин тому

      @@donatandayisaba7258I’m waiting for that moment tho😂

    • @Lassana755
      @Lassana755 5 годин тому +1

      @@Yana_queen1kwa nje tu mondi anampenda mama ake kuliko hata ao kina tifa zuchu atake asitake ata achwa

    • @salmamlokela1987
      @salmamlokela1987 5 годин тому

      Wazanzibar kwa kujipenda kujipaisha 😅😅😅

  • @deogratiasdimaestro099
    @deogratiasdimaestro099 12 годин тому +4

    Ninyi, juma lokole ana nyimwa haki yake ya mukunduni, iyo vita sio ya leo hapana😅

  • @SonitajoseDonita-tm5ex
    @SonitajoseDonita-tm5ex 14 годин тому +9

    Lokole anamuonea wivu Zuchu,Kwa sababu Diamond siku hizi ameacha kulala nae😊😊😊😊😊😊

  • @BarbaraPatience-qt9cc
    @BarbaraPatience-qt9cc 10 годин тому +4

    Juma anatumika na kina mama dangote hivi wamemwacha peke yake!!

  • @PatrickDesire-w1b
    @PatrickDesire-w1b 18 годин тому +8

    Hamuna zuchu kiherehere sababu yeye ndo arisema watapishe tishert siyeye sasa yeye wasimuongereyi yeye nina

    • @RabiaWahadh
      @RabiaWahadh 5 годин тому +2

      Juma Aend Hajielew

    • @halima23862
      @halima23862 3 години тому

      Sio Juma CHANZO ni yeye mwenyewe aoleweeee

  • @ConstanciaShangali
    @ConstanciaShangali Годину тому

    Huyo utamkuta CROWN MEDIA

  • @epodoijudith8982
    @epodoijudith8982 9 годин тому +2

    That's cyber bullying zuchu. Embu Hugo juma muchukilie hatua

  • @FathiyaSaid-h9e
    @FathiyaSaid-h9e 16 годин тому +2

    Kaongelewa Zari jamani 😂

  • @tatuaamuuinyi9633
    @tatuaamuuinyi9633 11 годин тому +3

    ITAKUWA ZUCHU NA JUMA WANALO WANALOGOMBEA HAWAWEZI KULISEMA

  • @halima23862
    @halima23862 3 години тому

    Juma SIO CHANZO ZUCHU ALIKUJA HAPO KULILIA NDOA INAKUWAJE DADA UNASEMA KUWA JUMA NI CHANZO, je umesahau kuwa Zuchu alikuja akomba campain ya kuolewa

  • @JechaMakameIssa-gs2bl
    @JechaMakameIssa-gs2bl 8 годин тому +4

    USIKUTE WOTE WANAMGOMBANIA SIMBA😢😢😢

  • @aairraahseif5648
    @aairraahseif5648 4 години тому

    Juma hata alikua anamchambua Zari huku akijua Zari ndo tamu ya boss 'na Zari ndo kipenzi cha mama Nasib, lkn hakusita kumpiga madongo, itakuwa huyo Zuchu 😂😂

  • @lgdnce8309
    @lgdnce8309 9 годин тому +2

    anataka kihuruma mim ningekuwa zu ningeacha kz tu nikawa pekeangu

  • @arafahhh5574
    @arafahhh5574 3 години тому

    unasema kuna mpenzi wake hapo huyo ndio wakwanza anayefata ndio alimpindua mwenzie avumilie tu

  • @justinemuyoka3930
    @justinemuyoka3930 19 хвилин тому

    Mapenzi na kazi ni shida kubwa...because msalaba mwenyewe

  • @Brunn-mh2bq
    @Brunn-mh2bq 8 годин тому +1

    Watangazaji wetu achianeni nafasi kumalizia mnachoongea. Si poa kabisa kukatana kauli wakati mnaongea. Please 😢

  • @rizikikasongo4388
    @rizikikasongo4388 17 годин тому +1

    Sasa zuchu ndo alisema wafanye maandamano na wa print ma T-shirts

  • @NapatNapat-x6i
    @NapatNapat-x6i 7 годин тому +2

    Ww zuchu kwani guy basib ww mume wako hebu wacha ujinga mshezi ww wacha Kutng zinaa aa Kuna malaya na Kahaba ww ni kahaba ulishindikana hyo mosh a haja na ww ona zari anvyo tamba ww uontu kikwandu

    • @kagoyemwambal9061
      @kagoyemwambal9061 3 години тому

      Akatafute mume aolewe Acha kuongelea kila cku zinaaa

  • @KhadijamussaMachapat
    @KhadijamussaMachapat 3 години тому

    Hawo ni wake wenza waache wakombanie D😂😂😂

  • @neemamdami7466
    @neemamdami7466 6 годин тому

    Acheni unafiki na nyie Zuchu ametaka mwenyewe atengenezewe t-shirt

  • @musiccaentertainment100k8
    @musiccaentertainment100k8 9 годин тому +1

    Wacha wanawake wapambanie mwanaume wao

  • @Zena-y2k
    @Zena-y2k 3 години тому

    Zuu anaitaka ndowa kupitia na juma ss kasema nn watu Wandamane aache unafki zuu

  • @MagdalenaKalubwa
    @MagdalenaKalubwa 8 годин тому +1

    Angekuwepo.dida.yangeisha..jamani.kuondoka.tu.dida..mvurugano.kibao

  • @patriciambuvi8233
    @patriciambuvi8233 14 годин тому +3

    Zuchu ndiye anajiletea hizi haibu coz aliomba ndoa kwa mtandao na akaambiwa wafanyi kazi wa wcb wa print t-shirt zikiomba diamond amuoe

    • @PhonexPhonex-u8e
      @PhonexPhonex-u8e 14 годин тому

      Ali jibu vile kulengana na swali walilomuuliza na watu wàlio kuwa wakimuingililia kuwa ni kinda nga nga

    • @RehemaKatana-m6l
      @RehemaKatana-m6l 9 годин тому

      Kabisa..alijibu kulengana Na swali...Sasa Juma akaamua kulibeba mpka kuuliza kakake mond kwel​@@PhonexPhonex-u8e

  • @Ali-gq3fb
    @Ali-gq3fb 12 годин тому +2

    Ni lazima watu watofautishe uswahili na kazi ni mda mama dangote na esma wasiingilie biashara ya wasafi na kutuma watu kumsema zuchu mambo Yao wasituletee na tunasmama na zuchu kwenye hili.. alafu huyo Aliya wamtakae ana kipi kikubwa haya twawaachia wao na lebo twatoka tuone atawatilia faida gani na huu ndo mwanzo wa kusambaratika kwa WCB.. lava lava yuko njiani kuondoka na ukubwa wa Mbosso sidhani akikaa sanaa Kisha wamsign huyo lokole aimbe yeye

    • @zaytunhijja6771
      @zaytunhijja6771 11 годин тому

      Asisemwe yy nani,wakisemwa wengine mnashangaria

  • @joesplatnumz
    @joesplatnumz 7 годин тому +2

    Si zuchu mwenyewe kawapa ruksa kina Juma wachapishe mashati ili aolewe na mondi??mbona zuchu anajisahaulisha na wallimuhoji wenyewe kasema ivoo....sai mbona anawageuka?hii drama tuu naona ju Konde kaanzisha zengwe lake na Abby 😂😂😂😂😂

  • @tatuaamuuinyi9633
    @tatuaamuuinyi9633 11 годин тому +1

    ZUCHU NDO ALOMUAJIRI.

  • @PatrickDesire-w1b
    @PatrickDesire-w1b 18 годин тому +2

    Asiongerewi yeye Nina