MJENGO wa Bei MBAYA,Usiotumia UMEME wa TANESCO hata UNIT 1

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 137

  • @tumainielmaruwa3148
    @tumainielmaruwa3148 Рік тому +1

    Je waweza install on small petrol station je how much it will cost

  • @bagengift3488
    @bagengift3488 Рік тому +3

    Sauti ya Fundi anafaa sana kua mwandishi wa habarii 😂😂😂

  • @gstone830
    @gstone830 Рік тому +10

    Hiyo ni solar power buckup system sio hybrid system,ilo neno hybrid sio jina la inverter ni neno linatumika technically kumjulisha mtumiaji kwamba hiyo inverter inaweza kufunction kupitia sources mbeli mbali za power mfano solar panels,umeme wa grid generator n.k sasa wewe hapo hiyo system chanzo chake cha umeme ni solar panels tu hujaconnect na umeme wa grid ndiyo maana imeondoa hilo neno hybrid japo inverter inao huo uwezo🚶🏻

    • @shadracksenya4632
      @shadracksenya4632 Рік тому

      Kwanza fahamu huyu anatoa tangazo tuu. Wafwate hao umeme_fundi_decor_design watakuelewesha kila kitu. Mimi wamenifungia hybrid, inaconnect solar, umeme na generator, inverter ipo connected na WIFI popote ulipo unaamua wewe tu

  • @gayanimwansasu
    @gayanimwansasu Рік тому +1

    Hii nzuri sana

  • @sijaolomi
    @sijaolomi Рік тому +4

    Bro snash sola kali hi brid maisha yamekuwa raisi sana kama sisi hapa nyumbani tuna kisima cha maji kwa siku inatumia uniti 30 kwa ajili ya kunyeshea bustani garden bro hiyo tutaitafuta tutakuwa tunasevu 12000 kila siku itakuwa poa sana bro snash juzi ulnipa like kwenye marcedis benzi v 12 shukrani bro snash nakuomba hutufanyie revew ya smart toilet 2023 kwa luga azimu ya kiswahili big up snash

    • @sijaolomi
      @sijaolomi Рік тому

      Bro snash tunasubiri revew ya smart toile kwa lugha azimu ya kiswahili big up bro

  • @MoMo-el4rs
    @MoMo-el4rs Рік тому

    Nimependa kazi zeni❤

  • @EspiSimai
    @EspiSimai Рік тому +6

    One day nitamiliki inshallah

  • @shariduidrisa1993
    @shariduidrisa1993 Рік тому +1

    Big up sana bro👉

  • @Frankmo350
    @Frankmo350 Рік тому +1

    kaka nakufatiliaga sana uko vzr sana sema itatakiwa anza kufanya mazowez ka mwili kamekubali 😅 kaka ila uko pow sana na utafka mbali

  • @alexmaganga688
    @alexmaganga688 Рік тому +18

    Mmmh hiyo sio hybrid system (kama tu solar ndio zinatumika kuzalisha umeme hapo). hybrid system inatumia mifumo mingi ya umeme mfano (umeme wa tanesco, upepo au generator) ambayo itaunganishwa pamoja na solar , hii kumaanisha kwamba mfumo wa solar ndio kipaumbele na mifumo ningine inakuja kujazilizia pale ambapo solar itakapo kuwa Inafanya kazi kwenye performance ndogo. Huo mfumo ni off grid stand alone solar system ( yaan mfumo wa solar usio tegemea umeme mwingine kama wa tanesco).
    Kuwepo kwa inverter hauufanyi huo mfumo kuwa hybrid. Kazi ya inverter ni kubadilisha umeme mnyoofu DC current kutoka kwenye solar na kuwa Alternative current AC ili uweze kutumika na vifaa vingine vinavyo tumia umeme kama wa tanesco.

    • @fml1804
      @fml1804 Рік тому +2

      Mafund wengi mbwembwe hapo mchawi ni inverter tu zingine kelele

    • @aidancleophas957
      @aidancleophas957 Рік тому +2

      Yani fundi bwana bwebwe nyingi lakini mchawi ni inverter to used to change DC current into Ac current 😂😂😂

    • @ericevon6399
      @ericevon6399 Рік тому +2

      Ni kwelii solar ni solar tuu no matter ukubwaa wake. Yeye anaita hybrid ila ni solar fundi anatudanganya. Solar inapokuwa kubwaa haina haja ya kufunga vitu vya kutumia solar. Mchawi inverter hata kwenye solar ndogo vi inverter vipo. Ila fundi anatudanganyaa

    • @HusseinAmiri-pp8dy
      @HusseinAmiri-pp8dy Рік тому +2

      hakika huyu fundi anajarbu kucheza na akili zetu dadek zake sas kuna utofaut gan hpo jmn

    • @filbertakaro3739
      @filbertakaro3739 Рік тому +2

      Amesema Umeme wa tanesco upo na ndio umeunganishwa na jiko la umeme kwa sababu linakula sana umeme. Kwa hiyo kama umeme wa tanesco pia upo basi inahaki ya kuitwa Hybrid system ikimaanisha vyanzo vya umeme ni viwili, umeme wa tanesco na umeme wa solar.

  • @RasheedyKingsley
    @RasheedyKingsley Рік тому +1

    Mbona hamzungumzii gharama za huo mfumo? Kuanzia kununua vifaa mpk gharama za installation yake? Halafu siyo hybrid kwakuwa unategemea chanzo kimoja cha umeme ambacho ni solar!

  • @Nabalu_Tz
    @Nabalu_Tz Рік тому +1

    M nimefikilia iv mfano mvua ikinyesh wik moja je izo battery zinaweza ku2nza chaj wik moj

  • @fredymwakikono1575
    @fredymwakikono1575 10 місяців тому

    Hii system ndo ile ile tunayoijua, waseme ni solar tu, na kila mtu anatumia inverter, asikwepe neno solar coz bado inatumia mfumo wa jua

  • @kabinetmwashilindi7246
    @kabinetmwashilindi7246 Рік тому +1

    I like it 🙌

  • @rasvegas8991
    @rasvegas8991 Рік тому +1

    Beiiii nadhanii hpo ttzoo

  • @rodrickibrahim
    @rodrickibrahim Рік тому +1

    Nyumba ya kigogo mmoja apa mjini

  • @edlumala9428
    @edlumala9428 Рік тому +7

    Hybrid inverter ni aina ya inverter ambayo unaweza kutumia source tofauti za umeme, mfano unaweza kutumia solar, national grid “tanesco” au generator! Inverter ikipata source ya umeme kutoka kwenye jua, yaani solar panels umeme unakuwa AC then inverter inaubadilisha na kuwa DC.

    • @frankrowland2884
      @frankrowland2884 Рік тому +1

      Inverter inabadil bwana Dc kuwa Ac na ambayo inabadilisha Ac kwenda Dc ni rectifier embu rekebisha hapo

    • @tanzaniacarschannel6975
      @tanzaniacarschannel6975 Рік тому

      Mkuu unaelewa ulichokiandika kweli? Dah

    • @frankrowland2884
      @frankrowland2884 Рік тому

      Soma vzr maelezo yake

    • @NgobediFc
      @NgobediFc Рік тому

      Asnte kwa kutuerewa tatizo sio Kila mtu anaye juwa mifumo

  • @angowijesse
    @angowijesse Рік тому +1

    kaka, huo umeme wa sh 10,000 inakuwaje, wakati ukifunga umefunga? au ni umeme wa tanesco wa kutumia jiko la umeme?

  • @millermlowe8156
    @millermlowe8156 Рік тому

    Ina maana katika vitu vya majumbani kinacho kula umeme zaidi ndio jiko au naomba kujua mfano Nika tumia jiko la umeme kwa dakika 45 nta tumia unit ngapi

  • @shabaningabwe5354
    @shabaningabwe5354 Рік тому

    Garama ni shi ngapi?

  • @SamuelMbemba-y5b
    @SamuelMbemba-y5b Рік тому +1

    Unagharimu bei gani

  • @SumaEddie
    @SumaEddie Рік тому +1

    Eeenh bwana mapema sanaaa😅😅😅

  • @eddyclassic707
    @eddyclassic707 Рік тому

    Kwakipindi chamvua jua huwa linapotea ata week je hizo betri zinauwezo wakuoparet kilakitu week nzima au zaidi?

  • @lawrencemgembe6322
    @lawrencemgembe6322 Рік тому +3

    Bado haya sema vizuri kuhusu hybrid.kitu gani ni hybrid. Kwa sababu Mimi nikiwa na solar panel inverter na battery nina uwezo wa ku convert umeme. Sasa tofauti hakusema vizuri

    • @fml1804
      @fml1804 Рік тому

      Kweli kabsaa wanaleta mbwembe hapo mchongo ni inveter tu

    • @NgobediFc
      @NgobediFc Рік тому

      Unaitaji fundi

  • @nasrikileo
    @nasrikileo Рік тому +4

    Ila hapo metupiga hiyo ni SOLAR System yenye invertor ya hadi 5kw, solar nyingi zinaishia 1kw. Hiyo sio HYBRID system.. Solar panels ina chaji betri ambapo ni DC then betri zinakua converted to Ac power

    • @WilbardMakoi
      @WilbardMakoi Рік тому

      Akiliii kubwaa sanaaa

    • @nasrikileo
      @nasrikileo Рік тому

      @@WilbardMakoi normal kaka, ila kwa sisi mafundi tunategemea platform kubwa kama hiyo , itafute watu ambao kidogo wanaeza weka siasa kimtindo hata watudanganye

    • @ChoroTesla
      @ChoroTesla Рік тому

      tatizo shule afu mambo ya kudanganya yashapitwa na wakati

  • @briankimiti5579
    @briankimiti5579 Рік тому +1

    Wakati wa season ya mvua inakuaje

  • @kiariedavid8370
    @kiariedavid8370 Рік тому +2

    Bro fundi! uku maenginia wa solar wamo ebu toa maelezo kitalaam

    • @gstone830
      @gstone830 Рік тому

      😂😂 jamaa kaz anayo

  • @officialkinghimself2637
    @officialkinghimself2637 19 днів тому

    Mnaakili ndogo hapo

  • @samigofute1130
    @samigofute1130 Рік тому +1

    Ni technology nzuri sana ila wasogeze tuwetunatumia mpka jiko la umeme. Siku wakifikia hatua hyooo ntafunga kwangu

  • @shariduidrisa1993
    @shariduidrisa1993 Рік тому +2

    Viewer no 1😊

  • @OmarMohamed-mt4ug
    @OmarMohamed-mt4ug Рік тому +1

    Ah bongo bwana watu huku wanafunga solar system mpaka kwenye viwanda watu washafika kwenye Mega Watts nyinyi munaeta mbwembwe za 5kW bongo shida kweli

  • @nellywizz9631
    @nellywizz9631 Рік тому +1

    Fund ata si wengne mafund umeleta mbwe mbwe ming ila hyo ipe majin kibao ila ni solla tu na uckatae kua ni solla. Ata mm nikiwa na sola ya wat 1000 na betr na inveta nawez washa vyumb vitatu kwa mfumo wa umeme kbsa bila usumbufu yan ac

  • @prospersanga7942
    @prospersanga7942 Рік тому +1

    Hatari sana

  • @barakamwamasage-hy2jo
    @barakamwamasage-hy2jo Рік тому +1

    Unajua kaka

  • @eliuskamwelwe1018
    @eliuskamwelwe1018 Рік тому +1

    Nikajua jumba linatumia damu kumbe Sora🤣🤣

  • @neemamboya99
    @neemamboya99 Рік тому +1

    Kikubwa bei zao ziwe affordable.

  • @thobiasbukali9008
    @thobiasbukali9008 Рік тому

    Fundi unabadirisha majinantu kuonekana tofauti,lkn mifumo ya Solar hapo ni basic tu. Hiyo hybrid just multiple control tu kuweza kufanya switching kwa source zaidi ya moja ama mbili.

    • @fredducaunt
      @fredducaunt Рік тому

      Huu mfumo wake ni solar iliyochangamka
      Upo hapo
      Sio kutaka sifa bila kufanya kitu cha maana. Eti hybrid system oo nn nn..... Hii ni solar tu bob

  • @wilsonmagambo4549
    @wilsonmagambo4549 Рік тому +1

    Gharama zake ?

  • @mahmoudmbarouk2517
    @mahmoudmbarouk2517 Рік тому

    snash muulize kipindi cha mvua hazizingui ??

  • @mathHUB_HAM
    @mathHUB_HAM Рік тому +1

    Fundi napata shida kidogo , maelezo yako nafikiri hayajatosheleza (1) Solar panel zinachaji bettri kwa sababu umeme wa betri ni DC , kupitia kwenye chaji controler (2) invetor inabadilisha umeme wa bettry ulio katika mfumo wa DC (Direct current) kuwa AC (alternating current). ili uweze kutumika kwenye vifaa vya nyumbani kama vile ulivyo umeme wa TANASECO..unapoongelea Hybrid una maana kwamba mteja wako anaweza kutumia mifumo yote miwili kwa wakati (YAANI SOLAR uliobadilishwa kuwa AC) na umeme wa Tanesco,kulingana na matumizi yake

    • @juliuspatrice9951
      @juliuspatrice9951 Рік тому

      Kipind wanasoma wenzako wew unakuna pumbu af unakuja kusumbua watu huku.

    • @mathHUB_HAM
      @mathHUB_HAM Рік тому

      @@juliuspatrice9951 Hujui unachokisema wewe endelea ku type hapa kwenye key board

  • @Ben-ep6ud
    @Ben-ep6ud Рік тому +1

    Hakuna umeme mzur kam wa upepo iwe mvua iwe usiku ina install charg tatzo serikal yetu iliuficha waliona tanesco watakosa watumiaji ndo maana

  • @mchinatz9335
    @mchinatz9335 Рік тому +1

    Hiyo ni solar system

  • @passengerhyera426
    @passengerhyera426 Рік тому +1

    kv 5 inatumia betri ngap za N 200

  • @amiromar7532
    @amiromar7532 Рік тому +1

    Hivi iyo chaji inakaa muda Gani Hadi kuisha ktk betri

    • @gstone830
      @gstone830 Рік тому

      Inategemeana na matumizi ya mteja izo battery jumla ni 800Ah ambayo inazalisha 9.6Kwh hapo kwa matumizi ya kawaida inakaa mda mrefu sana bila kuzima

  • @moubrown65
    @moubrown65 Рік тому +4

    gharama ndo kitu kikubwa naomba kijua..
    kwamfano jumba kama ilo linakuhitaj kiasi gani cha pesa🙏

    • @evanceonesmo6480
      @evanceonesmo6480 Рік тому

      😂😂😂😂 Milioni 10+

    • @LonesurvivorM
      @LonesurvivorM Рік тому

      Inakua angalau lkn kwasab nyumba kama hizo kwa mwezi umeme wa tanesco inaweza kufika hata laki 2

  • @nanaleetz
    @nanaleetz Рік тому +1

    Mimi nimefikiria je msimu wa Mvua inakuwaje sintakuwa nalala Kiza mm jmn😂

  • @innocentmahenge9785
    @innocentmahenge9785 Рік тому +1

    1) Ningependa kujua sababu ya kuwekwa kwa panel nyingi zaidi ni Nini kwa kitaalam.
    2) Kwa Nini uwo mfumo wao hauna power bank japo kuwa Kuna batteries? ( Apa nazungumzia kwa nyakati za mvua ambapo jua ni la shida Sana?

    • @jamesngindo4583
      @jamesngindo4583 Рік тому +1

      hizo battery ndo power bank yenyewe, zikishajiwa ndo zinatumika hata kama jua hamna

    • @NgobediFc
      @NgobediFc Рік тому

      Akunashida

  • @vedastokeya3344
    @vedastokeya3344 Рік тому +1

    Gharama 🎉

  • @ericktamba1163
    @ericktamba1163 Рік тому +2

    Brother mbona hujamuuliza vipi siku jua lisipotoka kwa muda wa siku tatu.

    • @valentinetesha8536
      @valentinetesha8536 Рік тому

      kivipi??

    • @yahayaallytv2852
      @yahayaallytv2852 Рік тому

      Ahahaha uliisha wahi kuona siku inapita bila ☀️ yaan giza tupu

    • @ericktamba1163
      @ericktamba1163 Рік тому

      Naongelea maeneo ya kaskazin huku siku inaweza pita bila kuona jua ni possible yaan.

  • @msouthlizombe8375
    @msouthlizombe8375 Рік тому +1

    Jamaa ame jikanyaga kwani jiko lisiusike kwenye mfumo wao wa umeme alafi ita pampu ya maji navitu vingine viusike kuchensha maji inausika 😂😂😂 jibu shelia zetu zaulipaji Kodi zinatubana nilazima utumie umeme wa tanesco natamani nieleza kwaulefu ila ngoja mwanashelia wangu apone.

  • @mujibushamba4383
    @mujibushamba4383 Рік тому +1

    Bei gani

  • @alhaithamiy_
    @alhaithamiy_ Рік тому +9

    Mwaka 2002 nikiwa Bording Wakati huo shule yetu ilikua inatumia umeme wa tanesco lkn pia ulikua unachumba maalumu cha mitambo ya umeme, ndani yake kulikua na inverter with battery na umeme ulikua ukitok kw tanesco inverter inacharge battery kisha umeme ukikatik inverter inatupa umeme direct kutok kw battery na tulikua tunatumia kila kitu those days hata smartphone hakuna ni mwendo wa Motorola tu na Siemens 😅😅😅

    • @mosesmpesa9
      @mosesmpesa9 Рік тому +1

      True wasikifanye kitu special San wakat gharam zake hapo mlalahoi anatoa room tatu

    • @bmmaelectric
      @bmmaelectric Рік тому +1

      Yeah hii kitu kama ulikua hujui tunaita back up source

    • @yohanahbyzehomba1352
      @yohanahbyzehomba1352 Рік тому +1

      Balaa motorola

  • @renaldbusanya361
    @renaldbusanya361 Рік тому +1

    Hii nimeipata iko poa sana

  • @innocentmahenge9785
    @innocentmahenge9785 Рік тому

    3) Je, huo mfumo wao unaweza kuzalisha umeme kwa nishati ya mwezi?( Kwa upande wa usiku)

  • @sixmelody4349
    @sixmelody4349 Рік тому +2

    NOMA SANA 🔥🔥

  • @estomihsawe2236
    @estomihsawe2236 Рік тому +1

    HAPO NI HYBRID ELECTRIC SYSTEM KWA VILE KUNA MFUMO WA TANESCO NA MFUMO WA SOLAR, PIA VIWE VINAFANYA KAZI KWA KUSHIRIKIANA.
    MFUMO WA SOLAR WENYEWE UKIWA NA INVERTER AU HAUNA INVERTER HATUWEZI KUUITA HYBRID!!
    UNAITWA MFUMO WA SOLAR AU SOLAR PV SYSTEM VIKIJUMUISHA---SOLAR PANELS, WIRING REGULATOR, BATTERIES , INVERTER (kupata umeme wa AC), bila inverter kupata umeme wa DC.

  • @SAIDIJUMANNE-e6y
    @SAIDIJUMANNE-e6y Рік тому

    Bei hajaulizia, please uwe unaulizia na bei

  • @kato_tz
    @kato_tz Рік тому +3

    Tatizo mpak sasa hivi bado hakuna kampuni ambayo imejizatiti kwenye biashara hii ya sollar, Project nyingi za sollar zinafanyika lakini baada ya muda unakuta hazitumiki, maintainance yake inakuwa shida sana, mimi ni shahidi # 01. Utakuta mtu anatumia sollar lakini baada ya muda unakuta amerudi kwenye umeme. Kama kuna watu mnafanya biashara ya sollar weka hapa mawasiliano yako then nitakutafuta kukupatia changamoto ambazo wateja wanakutana/tunakutana nazo

  • @rewardnjau7220
    @rewardnjau7220 Рік тому +1

    gharama ya mtambo kama huo ni ipi??

  • @RémyGisinza
    @RémyGisinza Рік тому +1

    Nimeelimika kabisaaa

  • @tarickmpemba6007
    @tarickmpemba6007 Рік тому

    kuna gari aina ya honda embu tujuze bhana tuifahamu zaidi

  • @nzurisanatv2285
    @nzurisanatv2285 Рік тому +1

    Mwanzo ulisema kua hi nyumba, doesn't use any Tanesco power 100% , lakini hapa wanatumia ume wa Tanesco kwa jimo? In that case it's not 100%

  • @maujanjatzonline4724
    @maujanjatzonline4724 Рік тому +1

    apo ujamuuliza kitu muhimu je kipindi cha mvua inakuaje sasa juwa sipo waka zaid ya siku 3

  • @tops-brand
    @tops-brand Рік тому

    Tatzo la uyu jamaa ajib txt na aulizi maswal ya maan kalipwa kama tangaz unashndwa kugusia mvua kabx na kingine izo panel za jua znaozesha bat zkikaa muda mlef ayo ndio maswal ya kuulza sio input/ output sjakuelew bdo

  • @MrSamg90
    @MrSamg90 Рік тому +1

    Kipindi kizuri ila muuliza maswali unauliza maswali ya kitoto sana hukujipanga umeharibu utamu wa interview, next time uwe wajua unachouliza au kaa na utakae mhoji ili mjue mtaulizana nn

  • @asadiamri5310
    @asadiamri5310 Рік тому +1

    Smash vipi kuhusiana na mvua hasa kipindi cha masika hizo betri zitafanyaje kazi nadhani haukumuuliza hilo swali? Nimemsikua akisema betri zitafanya kazi kwa masaa 24 bila kuchajiwa sasa itakuaje kipindi cha masika maana mvua hunyesha hata siku 3 mfurulizo pasipo jua kutoka Kuna uwezekano wa breti kuwa na chaji na ikiwa ni za saa 24 kama alivyosema?

    • @NgobediFc
      @NgobediFc Рік тому

      Hizi battery zetu Zina kahana na chaji ya kutosha pia mfumo ni smart kipindi battery zikenda 40%itamfamisha mwenye nyumba

    • @jacobshao1260
      @jacobshao1260 Рік тому

      Jibu halijitoshelezi,, mpeelim vizuri,,,,solar system bila jua inacharge ilimrad kuwe na mwanga tu hata Kama jua alieaki,,na maanisha kwanzia saa 12asbh mpaka saa12 jion 😊😊😊😊😊

  • @clementmnyogi
    @clementmnyogi Рік тому +1

    Sasa snshi utunzaji wa moto mfano jualixipo waka ckumbili inakuaj

    • @albertkatuga2434
      @albertkatuga2434 Рік тому +1

      Mimi nahisi ukaa siku moja kama utatumia vitu vyote kwa pamoja kwaiyo ukipunguza vitu kama feni na frij ukawasha taa na kuchaji sim tu na kutizama video inaweza fika diku3,

    • @shabanimatua4971
      @shabanimatua4971 Рік тому

      C umeona kuna betri hzo? Ongezea betri ani kma power bank!!

    • @umojamedia4167
      @umojamedia4167 Рік тому

      Jua kutokuwaka haimaanishi solar haifanyikaz
      Solar bado itafyonza nishat joto japo kwakiasi tofauti na jua likiwepo

  • @duvaboy
    @duvaboy Рік тому

    viwanda vingi ulaya vinatumia mfumo huo

  • @prospersanga7942
    @prospersanga7942 Рік тому +1

    Kimbembe ni kwnye jua lisipopatikana Kwa muda wa siku kadhaa

    • @albertkatuga2434
      @albertkatuga2434 Рік тому +1

      Lazima utakosa umeme ila Hata lisipotoka naona huu mfumo ni nzuri kwa sababu kwa kwetu Tanzania tuna vipindi virefu vya jua kuliko mvua ivyo utainjoy sana kuiko maumivu

    • @jayharryson4913
      @jayharryson4913 Рік тому

      ndo andaa ya Tanesco au Generator kama Emergency hamna sector haina changamoto hata hao Tanesco mvua zikipungua tu unaanza mgao

  • @sadikabdul5922
    @sadikabdul5922 Рік тому

    Bei gani amefungiwa uyo jama

  • @emmanuelleonando361
    @emmanuelleonando361 Рік тому +1

    Bongo kama ulaya

  • @edgernungu852
    @edgernungu852 Рік тому

    Gharama ndo mchongo apo ...at least mngezunguzia gharama zilizotumika kwenye kuweka uo mfumo kwenye nyumba iyo

  • @EmilyoMwanuke-lq3ct
    @EmilyoMwanuke-lq3ct Рік тому +11

    Je mvua ikinyesha siku kadhaa mfukulizo

    • @charlesmtaita9664
      @charlesmtaita9664 Рік тому +4

      Hizo pannel zinapata umeme kupitia mionzi ya jua, hata mvua ikinyesha bado jua lipo mawingu hayazuii mionzi ya jua

    • @Hassan-ig8od
      @Hassan-ig8od Рік тому

      Kwanza fahamu kua hyo inventor ina inputs ya Dc na Ac (sola na umeme) Kwenye inventory kuna option ya AC input jamaa lazima waweke umeme wa tanesco kwaajili ya kuchaj battery (kama backup sola ikizingua)

    • @bossjooh6020
      @bossjooh6020 Рік тому +1

      @@Hassan-ig8od Nan kaa kwambia bettr zinachajiwa na umeme

    • @bossjooh6020
      @bossjooh6020 Рік тому

      @@Hassan-ig8od Panel ndo inachaj bettr

    • @Hassan-ig8od
      @Hassan-ig8od Рік тому

      Rudia kusoma kwanza

  • @bmmaelectric
    @bmmaelectric Рік тому +1

    System hii ni nzuri sana but uzuri huu inabid mteja awe na pesa zake nyingi ndio ataenjoy kwa mlala hoi ni changamoto sana.
    Mm ni fundi nina experience na wateja wa kitanzania ndipo pale wanaishia kufunga sola tu badala ya hi brid system

  • @OmarMohamed-mt4ug
    @OmarMohamed-mt4ug Рік тому +1

    Ah bongo bwana watu huku wanafunga solar system mpaka kwenye viwanda watu washafika kwenye Mega Watts nyinyi munaleta mbwembwe za 5kW bongo shida kweli