Samahani nilikuwa nauliza hv kwenye hzo setting za wifi unweza ukampangia user limit ya mda wa kutumia wifi mfano device x unaipa masaa 24 ya kutumia wifi alaf baada ya hapo wifi inamuondoa au ina disconnect
Aslam alykum Mwalm Nimekuwa Nikifatilia Masomo Yako Na Nimejifunza Kitu Ila Nilkuw Naomba Somo La Window Baada Ya Kuja Error Media Driver Is Need Missing Ivo Mwalm
NK more than professional 🤩🎉
Asanteee
Siku hiz watu wanatumia vocha.unaweza kumruhusu mtu kuitumia wife kwa muda utakao.naomba ufundishe huo ujanja.asante sana.
Truly more than professional
Ooooh safi ticha
Mashallah bro mungu akubarki na akupe afya uzid kutupa elimu
Aamiin aamiin, asante sana
Nakufasilia sana mwalimu. 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🔥🔥🔥
Asante ndugu yetu na karibu NK
Shukrani snaa, hi nywila ya kufa mtu
Usijali Mr. Kassim
Nakukubali ticha
Asantee
NK more than professional
WanaNK wamekuwa asaivi 😃
Asantee
Nakufatilia mwalimu
Vizuri ii
Samahani nilikuwa nauliza hv kwenye hzo setting za wifi unweza ukampangia user limit ya mda wa kutumia wifi mfano device x unaipa masaa 24 ya kutumia wifi alaf baada ya hapo wifi inamuondoa au ina disconnect
Tutafuatilia hilo katika router mpya na kukupa majibu.
Nko live nipewe mauwa yngu
🎉🎉🎉🎉 ayooo
Asantee
Tuko livee
Aslam alykum Mwalm Nimekuwa Nikifatilia Masomo Yako Na Nimejifunza Kitu Ila Nilkuw Naomba Somo La Window Baada Ya Kuja Error Media Driver Is Need Missing Ivo Mwalm
Wa alaikum salaam, Jiunge na kozi ya Ufundi.
Mwalimu mbona umeficha Mac address 😂😂
WanaNK wamekuwa asaivi 😃
kaka
Karibu