Fatuma Dogodogo Mimi Simtaki Wako Official Video

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 лют 2025
  • Mimi Simtaki Wako By Fatuma Dogodogo

КОМЕНТАРІ • 63

  • @jerrjamary2649
    @jerrjamary2649 2 роки тому +3

    Alikua bingwa wa khadija kopa alikua afurukuti kwa uyu Asma kidogo Mungu amlaze mahali pema peponi amini...amuondolee azabu za kaburi ameen 2022 like zangu

  • @ogetoj6245
    @ogetoj6245 Рік тому +1

    Napenda sana ng'oma yake huyu Dada Marehemu Fatma. Tunaenzi bidii na kipaji cha utunzi na uimbaji wake. Mungu akurehemu vilivyo. Dr. Ogeto International

  • @mohamedmhoudine3932
    @mohamedmhoudine3932 7 місяців тому

    Que dieu te bénisse et que la terre soit légère pour vous inchallah fildjana

  • @raiyaomary1988
    @raiyaomary1988 Рік тому

    Tena unikome wew zai kwa mwanaume gani haswa nyauba wew

  • @husseinsalum7225
    @husseinsalum7225 6 років тому +2

    Ware wenye vipaji ndo huondoka mapema mungu awajalie makazi mzuri huko waliko inshaallah

  • @nashahussein4837
    @nashahussein4837 3 роки тому

    Aaaàiiiiii iko juuu inawaka..🔥🔥🔥😘😘 chakupaka wako hasa Nani anamtaka.... love the song very much 🌹❤️❤️❤️

  • @zulachama1067
    @zulachama1067 5 років тому +1

    Jamani sina habari kama fatma alituacha,haya poleni wanachama ss mashabiki twampa dua raby mola hampokele hisabu yake kwa mkono wa kulia

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 2 роки тому

    Mtihani mtu amefariki bado munatowa nyimbo zake

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 2 роки тому

    Jamani musitowe tena nyimbo zake

  • @taweshazalika5367
    @taweshazalika5367 2 роки тому +1

    Wallahi I have been looking for this for almost a month big up ma'am zangu

  • @mamabruno6308
    @mamabruno6308 5 років тому +1

    hata habari sina kama alifariki huyu jamani... Mungu ampe pumziko la milele

  • @shaabans.marijani9659
    @shaabans.marijani9659 6 років тому +3

    I wish all the best Fatuma dogodogo for your best song. I love this song very much,I have nothing to say only I love you and others.

  • @khadijahassan1701
    @khadijahassan1701 6 років тому +5

    mungu akulaze mahali pema peponi mama yng npenda sana nyimbo zako mashallah.

  • @rubalemaramadhan5345
    @rubalemaramadhan5345 6 років тому +2

    daaa taarabu mpaka raha kusikiliza

  • @PaulWalumbe-g2f
    @PaulWalumbe-g2f 5 місяців тому

    kwli n vigumu kuandika r.i.p 😢

  • @vanessamdee2063
    @vanessamdee2063 6 років тому +2

    Mungu akulaze mahali Pema mama yetu

  • @ayshamahariq8126
    @ayshamahariq8126 5 років тому +1

    Mungu akuepushe naadhabu zakabur mbele yako nyuma yetu nlipenda sana nyimbo zako had leo

    • @robertmwanakaya4233
      @robertmwanakaya4233 4 роки тому

      Duh kumbe huyu Dada nimarehemu Yani yupo vinzur Sana nyimbo zake

  • @khloealfan7924
    @khloealfan7924 6 років тому +2

    Nampendaga sana huyu dada jaman....ivi yupo

  • @mwajumalugenja9272
    @mwajumalugenja9272 5 років тому

    Enzi hizo tot nilikua moto sana bgp kwao jmn

  • @rastokapunji7191
    @rastokapunji7191 6 років тому

    Safi tu.inanirudisha miaka mingi nyuma RTD muziki wa mwambao ilivyonoga

  • @madinaabdalla2576
    @madinaabdalla2576 5 років тому +1

    Allah ailaze roho yako pema mametu

  • @blaqrose4832
    @blaqrose4832 9 років тому +3

    This song reminds me of Extended Stay Danvers; Also reminds me of Ng'ash from Baltimore, MD and his former roomate Wachira in Worcester; Mass. yes I took your taarab CD and now I have found the video on UA-cam. Wow.. life cannot get better ry8 now!

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 7 років тому +1

    Ulazwe pema fatma,Naomba wimbo uloimbwa ni huyu fatma wa nginja ngija ×2 mtoto mpaka Bahraini,Asumini kwake ni maua .

    • @aminakshamoona6900
      @aminakshamoona6900 7 років тому

      MWANAHALIMA MWACHILI 😅😅 makubadhi kuvaa anajua naitaka pia

  • @salha.d5060
    @salha.d5060 3 роки тому

    Semeni semeni Sana nyie

  • @raiyaomary1988
    @raiyaomary1988 Рік тому

    Na.bwanaangu.toka.burundi buyenzi

  • @nabwamzeeloo8863
    @nabwamzeeloo8863 6 років тому +1

    WAMAMA MWAJUA KUZUNGUSHA MAUNO

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 2 роки тому

    Mtihani huo

  • @omarkitwana5244
    @omarkitwana5244 5 років тому

    Zamani ni zamani tu daah r.i.p tuma

  • @athumanimnyasa3670
    @athumanimnyasa3670 4 роки тому +2

    Dada Fatma, kuna ule wimbo ulioimba enzi zile ukiwa na TOT, unaitwa "donge" hebu tuwelee nasi.

  • @mariammtewele3024
    @mariammtewele3024 3 роки тому

    Taarabu acha niwakele

  • @routeskilimanjaro1893
    @routeskilimanjaro1893 8 років тому +8

    One of my favorite song from tot

  • @taweshazalika5367
    @taweshazalika5367 2 роки тому

    U daada fatima passed away longtym ,yarabi RIP dada

  • @abdulimwinyimkuu4160
    @abdulimwinyimkuu4160 4 роки тому

    Safi

  • @زينبمحمد-خ2ك2ل
    @زينبمحمد-خ2ك2ل 6 років тому

    ilike d way u sing

  • @ruthusinde966
    @ruthusinde966 3 роки тому +1

    2021

  • @nurathhassan7323
    @nurathhassan7323 5 років тому +2

    Rip my mom

  • @latifahsalum3479
    @latifahsalum3479 7 років тому +2

    r. i.p fatma

  • @salhamm742
    @salhamm742 7 років тому +2

    Mung amlaze pema peponi

  • @mohamedmhoudine3932
    @mohamedmhoudine3932 2 роки тому

    Que ton âme repose en paix

  • @peterkibera1444
    @peterkibera1444 10 років тому +4

    Pls advise on how I can contact some of the artists for live performances in Kenya.

  • @danielouma6578
    @danielouma6578 Рік тому

    RIP

  • @mustaphaabdallah7043
    @mustaphaabdallah7043 7 років тому +1

    Diamond

  • @mercymuthoni1526
    @mercymuthoni1526 3 роки тому

    RIP in peace

  • @Sada-uv9hf
    @Sada-uv9hf 6 років тому +1

    R IP

  • @hadijangonde7914
    @hadijangonde7914 5 років тому

    Mosi selemani j

  • @euniceonyango5613
    @euniceonyango5613 4 роки тому

    😂

  • @ZulfahAbdillah-fd5gq
    @ZulfahAbdillah-fd5gq Рік тому

    Mbn Google siion Nani anayo nimpe namba amitumie WhatsApp