MIKOPO NA MADENI YA TAIFA NA UWONGO WA WATAWALA VITATUUMBUA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024
  • Zamani tuliambiwa tunajenga kwa pesa zetu kumbe tunakopa. Lakini kasi ya kukopa haipungui. Zinaenda wapi? Au zilienda wapi?

КОМЕНТАРІ • 53

  • @salummohamed2689
    @salummohamed2689 Рік тому +2

    Aise ogopa Mungu na Teknolojia, KWELI twaliwa.

  • @EmmanuelKepha
    @EmmanuelKepha 5 місяців тому

    Duuh 😮😮😮

  • @amourmtungo623
    @amourmtungo623 Рік тому +1

    🤔Mbona tuna vyanzo vingi vya kuingiza fedha zaidi hata ya Kenya na Uganda, tunakosea wapi jamani mlioko madarakani hebu amkeni🤔. Sawa sawa vijana kazi nzuri🤝

    • @gersonfungo5893
      @gersonfungo5893 Рік тому

      Swali lako ni la msingi sana. Badala ya kushobokea mikopo tuangalie vyanzo vyetu. Tukope inapobidi.
      Kwa mfano-tunaingiza kiasi gani kupitia gesi yetu?? Uchangiaji wake kwenye pato la taifa ni kiasi gani??

  • @Worldunite
    @Worldunite Рік тому

    Kipande cha kwanza zilikuwa pesa za ndani, kipande cha pili na vinavyoendelea ndo vya mkopo

  • @sistiguna9025
    @sistiguna9025 Рік тому

    CCM na CHADEMA WOTE NI WAPIGAJI A na B kama alivyosema mzee Mwinyi. Mbaya zaidi wamepata mpiga debe hatari ambaye ni double standard dealer (Dr Slaa) na amekuwa wa ovyo ovyo

  • @sambulugu9988
    @sambulugu9988 Рік тому +3

    Badala ya kumlaumu Samia unapambana na Magufuli! Wewe ni mnafiki sana! Wewe kila siku kulaumu Magufuli kila Samia akikosea unamsimanga Magufuli!
    Huyo bibi yako anakopa tu na kinachofanyika hamna so kukopa sio issue kila unafanyia nini mikopo?

    • @emmanuelzani2889
      @emmanuelzani2889 Рік тому +1

      Huyu jamaa kweli ana matatizo, sasa shida ya Magufuli ni ipi? Kwa sababu hata kama alikopa, kazi aliyoifanya inaonekana. Asante.

    • @ndakimanyakenda1519
      @ndakimanyakenda1519 Рік тому

      Huyu jamaa ni fala sana sijui analipwa shingap kumchafua mtakatifu maguful

    • @reubenbushiri1753
      @reubenbushiri1753 Рік тому

      @@emmanuelzani2889 Na huyu mama anakopa ilikuendeleza hiyo miradi aliyoanzisha magufuli kama SGR,Bwawa la Nyerere na miradi mingine Shida siku za nyuma walisema hawakopi.

    • @marcokaroje8980
      @marcokaroje8980 Рік тому

      @@emmanuelzani2889 ipi? miradi ya jpm haijaisha itatufilisi maana alitaka kusifiwa na alifanikiwa kwa hilo

    • @marcokaroje8980
      @marcokaroje8980 Рік тому

      @@ndakimanyakenda1519 mtakatifu kinyume chake ni muovu alikuwa huyo

  • @josephmakutano7067
    @josephmakutano7067 Рік тому +1

    Wanatumia uongo kwasabbu niwatoto wayule baba waongo wadunia hii yaani shetani aliyefukuzwakulembinguni,SASA anaishi kwenye mamlaka yatz, eemungu tusaidiye utuepushe napepo wabaya wasipate nafasi tena nchini, asanteni sana,

  • @johnsinyinza7450
    @johnsinyinza7450 Рік тому

    Hatuna serikari wote wababaishaji...chadema chukuweni dora.tumechoka na ccm vijana wa ccm ni mazezeta hawajuwi kitu.

  • @dysonmligite3482
    @dysonmligite3482 Рік тому

    Ujielewe n wewe n upara wako uo maisha y magu tulion vilivy fanyiwa Ila unaropok kwasbb ni chawa w wazungu

  • @salimukimwaga
    @salimukimwaga Рік тому

    Ni rahisi sana kuwadanganya watanganyika sio watanzania kwani umeshasikia lawama za wazanzibar tena kwamba bara inawanyonya na sijui kwa biashara gani iliopo kwenye mwungano

  • @yasinmshalu417
    @yasinmshalu417 Рік тому

    Habari wadau, kweli Mh. Hayati Magufuli alisema SGR na Bwawa la Mwl. Nyerere tunajenga kwa fedha zetu wenyewe ila nilivyomwelewa mimi hata kama tumekopa maana bado sisi ndo tunajenga kwa fedha zetu wenyewe. Mfano ukienda kukopa gari na ikiwa unalipa kidogo kidogo maana unahesabika umelinunua gari hilo kwa fedha zako mwenyewe. Sijui tumeelewana wadau

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 Рік тому +1

    Kwa maneno haya, watanzania tuliamini tuna pesa kumbe tulikopa! Sasa tena tunazudi kukopa kwa miradi ileile haijaisha! Kibaya zaidi tunaaminishwa tupuuze habari za uongo mitandaoni!!?

  • @mimimkatoliki
    @mimimkatoliki Рік тому

    Tanzania yetu bado sana.
    Vyama vya upinzani vinatakiwa kusimama imara na kuichallenge serikali labda watastuka.

  • @joaneskailembo4485
    @joaneskailembo4485 Рік тому +1

    Najiuliza ivi Luna Spika na wabunge nchi hii

  • @johnsinyinza7450
    @johnsinyinza7450 Рік тому +1

    Taifa hili wote niwaong. Hakuna mkweli hata moja. Sijuwi kwa nini.huyo mtoto wa chadema anaakili sana kuliko vijana wa ccm. Situnawasikia. Na kuwaona mnamusikia huyo. Wajinga wanatudanganya mama. Kaleta wanafikiriwatuwote wajinga kama walivyo wawo.

    • @stephentossi2626
      @stephentossi2626 Рік тому

      Mimi nadhani sote tuwe wazalendo kwa nchi yetu. Kila Raisi ana mazuri na mapungufu yake lakini wote wanadhamira njema ya kuleta maendeleo kwenye Taifa letu. La msingi ninaloona mimi tusitumie majukwaa kujadili namna serikali inavyo kopa bali tuyatumie majukwaa haya kueleza namna bidhaa zetu zinavyo kosa masoko hususani bei ndogo kwenye mazao ya wakulima, manyanyaso kwa wafanya biashara wadogowadogo na mambo mengine yatakayo inua kipato cha mtu mmoja mmoja ili kuongeza idadi ya walipa kodi. Naamini kwa kufanya hivyo kutapunguza trend ya mikopo hii. Hakuna kiongozi anaye kwenda kukopa kwaajili ya maslahi yake au familia yake bali yote ni kwa maendeleo ya nchini yetu. Haifai kulaumu tu bila kutoa ushauri nini kifanyiki ili kupunguza trend hii vinginevyo ni kukosa uzalendo kabisa hii nchi ni yetu sote.

  • @joaneskailembo4485
    @joaneskailembo4485 Рік тому

    Mimi nafatilia saana lakini najua wazi kwamba NCHI INAINGIA SHIMONI , uwezi kukopa wakati uzalishaji ni sufuri

  • @kenedrocky5964
    @kenedrocky5964 Рік тому +1

    Kwakweli inabidi uchunguzi wa kina kuhusu matumizi ya mikopo hiyo, unahitajika Sana.

    • @AnsbertNgurumo
      @AnsbertNgurumo  Рік тому +3

      Kabisa! Maana kama walikopa, zile zilienda wapi hadi waendelee kukopa sasa kwa ajili ya miradi ile ile?

    • @kenedrocky5964
      @kenedrocky5964 Рік тому +1

      @@AnsbertNgurumo Amini Mwenyezi Mungu, Tunapigwa Sana mkuu. Tunapigwa hadi shetani anashangaa maana mwenyewe shetani hakuwafundisha hivyo.

    • @AnsbertNgurumo
      @AnsbertNgurumo  Рік тому +1

      @@kenedrocky5964 😂😂😂😂

  • @rizikimlela8162
    @rizikimlela8162 Рік тому +1

    Makufuli kakopa kaziyake imeonekana sasamnakopa kazihatuzioni

    • @AnsbertNgurumo
      @AnsbertNgurumo  Рік тому

      Alisema hakopi. Shabaha ya kutudanganya ilikuwa ipi? Je, alizokopa zilienda wapi? Mbona wanakopa nyingine?

    • @majaliwawilson9372
      @majaliwawilson9372 Рік тому

      @@AnsbertNgurumo unajuwa kwanini msielewe mtu hakukopa kwa awam yakwaza kutoka dar morogoro ilitakiwa tena kuwaza awam yapil morogoro kwenda had mwaza sasahapo unajiuliza nini? Halaf ikiwezekana hatutaki maneno muwe mnakuja na dokimet nasio mnatupigia kelele leteni dokimet inayo onesha kuwazia siku yakwaza tulipo aza kukopa nakila talehe namwez mwaka nasio mnatowa maneno yenu midomoni halaf kilamtu anakuja nalake gwajima alitowa hesab yadeni alilo likuta jpm nakukiacha chadema wanakuja nahesabu nyingine Sasa Nani mkwel leteni dokimet muitume mtandaoni kila mwenye kuingia aone Nani alikopa nanani alikopa Zaid kwasokimet nasio msome huko halaf mtuletee maneno unahoji mlad wakat kauliziko Waz leli iliyolipwa ni awam yakwaza kutoka dar molo nasio walipwa paka mwaza nawakat hata wakandalac hawakuwepo mbona m atufanya wajinganyie

    • @sambulugu9988
      @sambulugu9988 Рік тому +1

      @@AnsbertNgurumo Huoni alivyofanya? Wewe zungumzia aliyepo sasa unazunguka sana mbuyu? Unafiki ndo tatizo kwako! Umemsikia Pambalu hapo kasema mama kakaopa trillion 31 hoji hiyo imefanya nini? Sio unakosoa kwa kupaka mafuta mgongo wa chupa!
      Mnanatatizo sana nyinyi wahaya ujuaji mwingi mbele giza ndo maana hata mkoa wenu umedumaa!

    • @gersonfungo5893
      @gersonfungo5893 Рік тому

      @@sambulugu9988 zamani walisema JPM hakopesheki. Serikali yake haina hela iko hoi. Leo wanaamisha goli. Wanadhani technolojia ni ya kuiumbua tu serikali.

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything Рік тому

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏

  • @salimukimwaga
    @salimukimwaga Рік тому

    Mtalipa watanganyika sio watanzania

  • @yohanemellau3220
    @yohanemellau3220 Рік тому

    Sielewii hii inchi inaelekea wapi tunadanganywa kama watoto wadogo

  • @joaneskailembo4485
    @joaneskailembo4485 Рік тому

    Nilisema ugonjwa mbaya kabisa ni Bunge la Tanzania

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 Рік тому

    ccm ni waongo.tu

  • @innocentbrasio5213
    @innocentbrasio5213 Рік тому +1

    Ni kweli tunajenga kwa fedha yetu wenyewe kwa kuwa ukikopa tayari ni zako unachotakiwa ni kulipa deni kama inavyofanyika na mnavyothibitisha na kukopa si msaada labda tafsiri imekuchanganya tu alafa Tanzania ya leo si mchezo inavutia hasa ,amani,vituo vya afya ,rami kila kona umeme sasa mpaka vijijin,stendi za kuvutia kila kona na mengine mengi sana ,sijui unahoji ukiwa wapi weye?YAWEZEKANA HAUPO KWETU TANZANIA.

    • @AnsbertNgurumo
      @AnsbertNgurumo  Рік тому +1

      Sasa kama ndiyo hivyo kulikuwa na mantiki yoyote kutamka hivyo? Kwani nchi nyingine hufanyaje? Andaa utetezi mpya, maana yeye alisema nchi nyingine zimajenga kwa "mikopo," maana yake yeye alitaka kusema sisi hatujengi kwa mikopo. Simple

    • @jumannealmas7945
      @jumannealmas7945 Рік тому +2

      Acha mbwembwe zako njoo toa hoja ukiwa hapa nchini, acha ukibaraka. Uzuri ni kwamba mh alikuwa anatoa speech hadharani kuwa tunajenga kwa fedha za ndani, na vyombo vya kimataifa vilikuwa vinamsikia kwa nini basi nchi donors wasikanushe? Acha ushamba bro, wanyonge bado wanaishi na kauli hio

    • @AnsbertNgurumo
      @AnsbertNgurumo  Рік тому +1

      @jumannealmas7945 Ndugu yangu, sasa wewe "uliye ndani ya nchi" haya yote yalikupita ukiwa wapi? Hata hujamsikiliza waziri wa fedha na mipango na hao mabeberu wake walitoa mikopo? Halafu unakurupuka kujibu kabla hujaelewa!!
      Ama kweli, wajinga ndio waliwao. Amka!!!

    • @DonMooSTUDIO_Express
      @DonMooSTUDIO_Express Рік тому +1

      @@AnsbertNgurumo achana nae kaka, huenda ni kiongozi wa Selikali huyo

    • @johnsinyinza7450
      @johnsinyinza7450 Рік тому

      @@AnsbertNgurumo kuna siku watu watanzania wote watafahamu kuwa tunaibiwa na serkari ya ccm ndipo ccm mtadhidwa kutowa maelezo majukwani.

  • @davidsimbeye1548
    @davidsimbeye1548 Рік тому +1

    Watu mpaka Leo hawaamini Kama JPM alikopa

    • @geoffreynghumba1029
      @geoffreynghumba1029 Рік тому +1

      Na kwa nini tusiamini wakati alionesha njia? Siyo kusingizia nchi imezidiwa COVID ndipo mpatiepo pesa, siyo ya kutibu Covid bali kujengea madarasa ya shule na zahanati, na wanaotoa hela wanakubaliana na udanganyifu huu, hamwoni kama jamaa hao wanaitaka nchi yetu?
      Nitamtetea marehemu hadi nami niingie kaburini.

    • @gersonfungo5893
      @gersonfungo5893 Рік тому

      Tafuta clip miradi ilipokuwa inazinduliwa kama bwana wa nyerere alisema tutatumia pesa zetu na tutakopa. Na kuna sehemu nyingine pia alisema tutakopa. Miradi ilipotaka kutekelezwa wahisani walifanya sabotage ya kuchelewesha fedha. Akaanza kwa pesa za ndani. Walipoona anamaanisha wakajileta wenyewe. NDIO MAANA WAPINZANI WALIKUJA NA HOJA KWAMBA HAKOPESHEKI.
      Sema JPM hakuwa kiongozi wa KUITISHA PRESS CONFERENCE NA KUANDIKA MAGAZETI YOTE YA NCHINI KUHUSU KUKOPA KWAKE. HEADLINE YA KUKOPA GAZETINi ZIMEKUWA KAMA FASHION.