TANZANIA PRESIDENT SAMIA SULUHU ASEMA MAANDAMANO KENYA ILIWAPELEKEA FAIDA TZ

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 лип 2024
  • TANZANIA PRESIDENT SAMIA SULUHU ASEMA MAANDAMANO KENYA ILIWAPELEKEA FAIDA

КОМЕНТАРІ • 50

  • @nimbetebwangabwa8521
    @nimbetebwangabwa8521 19 годин тому +1

    Lakini amesema kwa jirani..can u asking yr self how many neighbors tz have,? Sh did say kny,,

  • @saiditasher8362
    @saiditasher8362 19 годин тому +1

    Uyu mama kalongwa watanzania wanalia njaa uku yeye ansema wawekezaji kibao sasa wanafaida gani kwa mtanzania mama acha kutuhuzi ipo siku na nyinyi mtateseka kama ss

  • @lulurubby2235
    @lulurubby2235 19 годин тому +1

    Wee mama acha kufundisha watu unafki ata muambiwe hambadili kitu katiba mpya mnaambiwa kila siku hambadili wee suburi tanzania watasimama tuu siku moja ..bravo kenya axha huyo mbana pua jambazi wa kike

  • @user-lu8ny2gu7t
    @user-lu8ny2gu7t 19 годин тому +1

    Mnapokea wawekezaji lakini hakuna la maana mnalolifanya pesa zinazoingia zinaishia mifukoni mwa achache badilikeni watawala

  • @burudanionline7541
    @burudanionline7541 21 годину тому +2

    Oyaaa! Hili tamko alitamka kitambo sana... I'm a journalist bwana... Usiambatanishe hii video hapa...

  • @AlphaxardMRusweka-jr1wi
    @AlphaxardMRusweka-jr1wi 21 годину тому +1

    Na viongozi waache kula wao tu,wakasau wapiga kula as if hatuna matumbo.

  • @peterwandera8273
    @peterwandera8273 21 годину тому +1

    Sio mkweli kabisa, anawapumbaza! 😮

  • @hubertmroso1664
    @hubertmroso1664 21 годину тому +2

    Sisi watanzania hatupo tayari kufurahia umwagikaji WA damu WA ndugu zetu WA Kenya kisa ati wezi kutoka kenyA wanaruhusa kuvuka kuja Tanzania sababu wananchi wanajua haki zao na kuzidai!

  • @user-ss7xx6rl3b
    @user-ss7xx6rl3b 21 годину тому +1

    Imewasaidia nini kama wananchi wa Tanzania?

  • @incbluesail3080
    @incbluesail3080 21 годину тому +1

    Napenda uyu mama. 😁

  • @nicoledinga9948
    @nicoledinga9948 21 годину тому +2

    I hate this woman ..kimama kidaku, achana na ya Kenya na ushughulika na ya kwako bure ww

  • @TTBonta
    @TTBonta 21 годину тому

    Coward😂

  • @TTBonta
    @TTBonta 21 годину тому +1

    Do you even know whats the meaning of a strong point?

  • @carolinenjoroge9092
    @carolinenjoroge9092 21 годину тому +2

    Huyu mama anaombeaga kenya dua mbaya! Utaaibika! Shaitan!

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 21 годину тому +1

    Huko kenya ndiyo kuna katba zuri .Utawala ni utashi wa mtu skataba zuri walambaya

  • @martinkisha6307
    @martinkisha6307 21 годину тому +1

    Vijana wengi kenya hawana uzalendo na maandili

  • @TamikaWanjiku
    @TamikaWanjiku День тому +3

    Hatuitaji investors na mambo yasiende vizuri kwetu and their is no way Tanzania itatushinda cause in Kenya 65% ya investors ni as Kenyan's so you better don't talk stupidity against Kenya juu we don't fear anything

  • @richardmiencha7511
    @richardmiencha7511 День тому +2

    So we focus on investors but our rights violated with leaders

  • @Unclesam00001
    @Unclesam00001 День тому +2

    Aki si unajipenda badala ya kuombea Kenya ati sasa nyinyi mnafurahia

  • @ezekielmatondane714
    @ezekielmatondane714 День тому +1

    Eti wawekezaji ovyo