BAADA YA DIAMOND KUMPA MKONO ALIKIBA, HARMONIZE ALIGOMA KUTOA MKONO (SALAMU)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2024
  • Siku ya kuaga mwili wa marehemu Agnes Masogange Viwanja vya Leaders Club Diamond na Kiba walimakeheadline baada ya kupeana mikono lakini imeonekana Harmonize kugoma kumsalimia Kiba

КОМЕНТАРІ • 241

  • @ashileyallymundhirryoman9360
    @ashileyallymundhirryoman9360 6 років тому +8

    saf sana mondi mungu kakuona nakilamwema amefulai kama mm

  • @ibrahimmtz5200
    @ibrahimmtz5200 6 років тому +20

    #king kiba
    #king kiba
    #king kiba
    #king kiba
    #king kiba
    Hatutaki mazoea
    @officialkibA

  • @Saimonamon
    @Saimonamon 6 років тому +14

    Harmonize aliona kiba hataki salaam yoyote akamgeukia akakuta hana mpango naye unajua unasalimia mtu ambaye angalau amekugeukia ameonyesha ushirikiano harmonize big up huyo kiba anaroho ya kipusa kilicho chacha

  • @سبحانالله-ح7د
    @سبحانالله-ح7د 6 років тому +34

    NASIBU ENDELEA NA UPENDO WAKO. MUNGU AKUBARIKI.

    • @jescalyanga2965
      @jescalyanga2965 6 років тому +3

      homoniz akili 0

    • @faidadusabe9249
      @faidadusabe9249 6 років тому +2

      jesca lyanga harmonize ka okopa kum salimiya kiba kuona Mondi kapewa nyuma ya mkono 😏

    • @ismailkushinda8830
      @ismailkushinda8830 2 роки тому +1

      @@faidadusabe9249 😂😂 Eeh mjini akil mzeee baba usishangae mataa utaumbuka

  • @uniqueraphew3512
    @uniqueraphew3512 6 років тому +3

    Katika vitu ulivyowahi kufanya Hili umenifurahisha sana you have proved to be a real man big up bro

  • @semanasitv8303
    @semanasitv8303 6 років тому +61

    kama unapenda kusoma coment kama mimi like hapa😁😂😂😂

  • @aliiphillip
    @aliiphillip 6 років тому +4

    All the people stood to great Diamond but Ali Kiba remained on his sit. It tells me something. Grow up above your years young man. Respect has no price

  • @amirsab1158
    @amirsab1158 6 років тому +7

    Mashallah kiba na diamond

  • @rutashubanyuma4546
    @rutashubanyuma4546 6 років тому +7

    Inaonekana waandaaji walitaka Mond akae benet na Alikiba sema Harmonise aliharibu movie

  • @azontozonto8855
    @azontozonto8855 6 років тому +11

    Mond clean heart sana mungu akuondeshee hasada za watu

  • @mayamohamad710
    @mayamohamad710 6 років тому +6

    Hata ukafanya mangapi mabaya chibu mond roho yako ni changamoto za maisha utokea take care Brother Kama kiba utasoma hii ww siyo msitahara roho mbaya wivu kinyongo punguza kila kitu na wakati wake ATI naona nauona mkono ukutoa ziru au aulikua umeshikia nn dunia bwana tunapita unajifanya simunajua mtu akitoka kuowa Sasa tufanya nn watu ufunga ndoa baadae ya masaa akafa utasemajee yote muachia Mungu alafu acha kinyongo na Diamond wakati ni wake tumia nafasi yako piaa Diamond ana kabisa bifuu na ww ndio Mungu kamupa vyote Mungu akuzidishie chibudeeee bbyy mwaaah alafu Rudi nyumbani kwa watoto siyo POA makosa ni ya binadamu

  • @jacktonokello4736
    @jacktonokello4736 6 років тому +4

    harmonize sikuhizi ameingiwa na kiburi juu anajiona star sana.....achunge asiwe Mark Muga.Kiba bdo ni king na lazima aheshimiwe.pongezi kwa Platinumz kwa kumpa mkono king kwan atazidi kuwa Simba...

  • @emmanuelkiptoo3755
    @emmanuelkiptoo3755 3 роки тому +3

    Alikiba anaringa sana na ana kitu we kwenda uko unadarau mtu mbele ya watu diamond 💎 don't worry my friend

  • @D-Man.B-Free
    @D-Man.B-Free 6 років тому +3

    Saaafi saana Harmonize,umeona kivipi Alikiba alivyompa mkono,yaani alikuwa hataki wasalimiane na Simba

  • @wilonjahatua2067
    @wilonjahatua2067 6 років тому +49

    Yaan diamond ndiyo kauziilishia umma yeye anaga mabifu na mtu labda wao,kama umnamkubali chibu de acha ubishi like hapa kumbe diamond mstaarabu sana

  • @irenekambi4705
    @irenekambi4705 6 років тому +4

    Pongezi Harmonise uwa maana tu sana♥♥♥

  • @azontozonto8855
    @azontozonto8855 6 років тому +9

    Alikiba ana kibri lkn ujue simbaaaa hupati hata robo

  • @charlesnduwamungu3869
    @charlesnduwamungu3869 3 роки тому +3

    Never fear Human like u!All might God is above everything

  • @goddamwakimi5889
    @goddamwakimi5889 3 роки тому +2

    Kiba ametisha sana hawa mbwaa mbele za watu wanataka wajisafishe waonekane kama hawana kinyongo na kiba wakat wachawi wakubwa Daah

  • @akonchris6692
    @akonchris6692 3 роки тому +3

    That is the reason why Diamond will always be on top ......you are a great man bro ....Wale matumbiri lazima wakae wakikuiga......stay strong bro

  • @lilyookbwoy9493
    @lilyookbwoy9493 6 років тому +3

    harmonize ni msengeeee

  • @سبحانالله-ح7د
    @سبحانالله-ح7د 6 років тому +3

    NAISIBU KAJALIWA NA MUNGU IMANI NA UPENDO. HII DUNIA TUNAPITA TU. KILA KITU UTAKIACHA.

  • @mansoorhuram6653
    @mansoorhuram6653 6 років тому +14

    duh hadi raha nimefurah kitendo cha Ali kukaa na kutoa mkono

  • @سبحانالله-ح7د
    @سبحانالله-ح7د 6 років тому +8

    NAKUPENDA BUREE BABA TIFAA.

  • @fikiringandujohn6543
    @fikiringandujohn6543 6 років тому

    platinum Diamond, ulihonyesha usanihi wako, msanibni ni hupendo, nakujali wengine, akunanga ndani wa kanzu na vilemba kichwani, Tunzo zote wastahili Mondi, Moyo huho unaho Mungu akubariki na huhendeleye vizuri na kazi zako!!!

    • @donhussle948
      @donhussle948 2 роки тому

      Ana uchawi mond ndo mana hakutaka kumpa mkono kiganjani mwake ww uyajui Ila alikiba anayajua ndo mana akusimama juu mond ama heshima Kwa alikiba usiangalie kusimama angalia ndani yake.

    • @donhussle948
      @donhussle948 2 роки тому

      Ana uchawi c usahihi akutaka kumpa mkono kiganjani mwake

  • @cleophacedarstan6524
    @cleophacedarstan6524 6 років тому +7

    Umezingua Mmakonde!

  • @ramsomatayo7466
    @ramsomatayo7466 6 років тому +3

    Nyie wote maku hakuna anae jitambua kati yenu wenzenu wanaweka bifu iliwaingize pesa nyinyi mashoga mnashoboka na kubishana mitandaoni wao wanamiliki mabilioni nyinyi mnamiliki majungu yani nyote ni maku chafu

  • @marinas4933
    @marinas4933 4 роки тому

    Nakubr bb tifah Allah akujariye kuw nastabu katika wanadamu

  • @jumahero6924
    @jumahero6924 6 років тому +1

    safi sana Harmonize kibamia nimbinafsi sana ndo mana hana kitu.

  • @frankmasige4594
    @frankmasige4594 6 років тому +3

    Kwel Mond umeonesha ni jins gan umekuwa ki mziki, ata Steve nyerere kasema umefanya vyema.. Mungu akuzidishie kaka

    • @joshuapeter7282
      @joshuapeter7282 6 років тому

      Amini usiamini hamonize ni masifa wakuiga,we hunambinu, zaidi yakujipendekeza, km ni mnyama ungekuwa pimbi, ivi busara za king kiba unazionajee?? ivi ww unaweza fanya kitu cha kitaifa ata rais yako akakusfia!.?? eigeni busara za king kiba msipende kuiga

  • @mtumzurigoodman720
    @mtumzurigoodman720 4 роки тому +1

    Slam SK ni shoga msenge anawashwa Mkundu tuu

  • @fabianomsuta8619
    @fabianomsuta8619 6 років тому

    Mond nakukubali San kaka yaan bonge LA MTU mungu akupe maisha marefu kaka kumbe mstarabu mm nasikiaga mitandaon et wewe una bifu kumbe aga mwenyewe huna hata kinyongo na mtu salut bloo simbaaaaaaaaa

  • @kamugishapaschal747
    @kamugishapaschal747 6 років тому +8

    Daimond ni noma angalia watu walivyomuona walivyofurahi lkn iyo nyambafu kiba inajiona hata level za mond hajafikia

    • @omarisv263
      @omarisv263 4 роки тому +1

      Unajiingizia dhambi kumtukana mtu usio mjuwa ila mungu akusamehe

  • @cuteisheroman764
    @cuteisheroman764 6 років тому +12

    Konde unampaje mwanamke mkono wakat c halali yako alafu kidume mwenzio pembeni hujampa huo ni ushamba unajiona ushafika mjini wenzako kitambo wapo kwendraaaaaaaa😏😏😏😏😏

    • @getrudequeen6657
      @getrudequeen6657 6 років тому +2

      jaman hamonaiza Hana matatizo Al ndio anamatatizo

    • @tinivanny7562
      @tinivanny7562 6 років тому

      Cute Isher Oman wachafu kwani hujui

    • @ashaally6993
      @ashaally6993 6 років тому +1

      Cute Isher Oman Mashamba tuu huyo hajui Ali mtoto wa Kariakoo yeye ndiye wa kuja anataka lujifanya anaujua mji!!!ila sishangai siku zote wanaokaribishwa mjini wanajifanyaga wajanja kuliko wenye mji 🙄

    • @lutherking3666
      @lutherking3666 6 років тому

      mmakonde kachmka kma Boc wake tyu katoa mkon yy kilichmfanya avunge ni nni ushamba t

  • @jennywangarigichina140
    @jennywangarigichina140 6 років тому +2

    Kiba 👌tell them salamu si chakula

  • @loystephen8678
    @loystephen8678 6 років тому +2

    alikiba kazingua ana mambo ya kitoto wanaume hatui hivo mtu kma mna bifu n kwamba mnakuw hamuwez kushinda pamoj ila sio hamsalimiani.n harmonize angempaje mkono wakati mtu kakaa kma robot nd maan alimgeukia ila jamaa kala ngumu hata mm simsalimii..

    • @manish-fp1fb
      @manish-fp1fb 2 роки тому

      always kwenye bifu ambaye anakuwa amekosewa ndio anakuwa na kinyongo zaidi kuliko mkosaji....

  • @Paps-254
    @Paps-254 Рік тому +2

    King kibaa is always a King

  • @JoanesPaulo-xw6sz
    @JoanesPaulo-xw6sz 7 місяців тому

    Napenda sana music za diamond😊😊😊

  • @irenekambi4705
    @irenekambi4705 6 років тому +6

    Diamond mstaarabu sana msafi wa moyo

  • @felixhtv2510
    @felixhtv2510 2 роки тому +1

    I like that simba

  • @fraviusmanyika7521
    @fraviusmanyika7521 6 років тому +2

    Semamwanangu #Mond hunaiyanahatakamahakusimamanawenginewalisimama, but mkonoulimpatiajapoaliutakinyongezaidi_but at all sisitunatakapeace #WcBforeVer

  • @saidasalim6372
    @saidasalim6372 6 років тому +1

    wow simba congratulations

  • @hamishamis9905
    @hamishamis9905 6 років тому +7

    Ali kiba mimi ni shabiki wako lkn uliochokifanya hapo sio uungwana mtu wangu kiburi hakifai ???

  • @jonathanicrisatijonathanic6708
    @jonathanicrisatijonathanic6708 3 роки тому

    Mucheki Giva ana ngoma kali

  • @rehemasaid6876
    @rehemasaid6876 6 років тому +1

    Jaman amo umenifurahisha

  • @mohamedhalifambela6419
    @mohamedhalifambela6419 6 років тому +4

    Kiba na harmonize walikaa tokea mda pale inamaana kama salamu walishasalimiana hata kama sisi hatukuona hivyo hata kama pale hawajapeana mikono ila yapo waliyoyaongea ambayo hatukuyasikia hivyo msituletee uchochez usio na maana mmeona ugomvi wa kiba na mondi unaisha mnataka kuuazisha wa hamo na kiba

  • @GaspardBoss-nl4dj
    @GaspardBoss-nl4dj 10 місяців тому

    Merci 💥💥👈🐘🇨🇩

  • @philipotieno9996
    @philipotieno9996 Рік тому +1

    Harmonize alianza kuvimba kitambo sana hakiwa na uyo Simba
    Kumbe nishajua kwanini Alikiba huwa hapendiii watu wa WCB hashwa Mondiii
    KondeboY alikataa kumpa mkono King alidhani atakaa wasafiii forever waah things can change

  • @robertkihwele5253
    @robertkihwele5253 6 років тому +1

    yap alicho kifanya ni sahihi cos sisi sote ni wapitaji tu katika dunia mabifu sio ishu tuwe tunapendana kwa sababu sisi sote ni mali ya udongo, kwa hiyo nampongeza sana DIAMOND kwa sababu hajaonesha chuki na mtu na hayo ndio maisha!!!!!!!!!!!

  • @MwaminMwamin
    @MwaminMwamin 11 місяців тому +1

    Alf saiv harmonize anajifanya rafiki wa alikiba daah jamaa mnafki sna

  • @RomwardWM
    @RomwardWM 6 років тому +1

    Huyu kiba anajiona #MSENGE kweli .. yaani anashindwa kupokea salam kwa kiganjani

  • @kingayo999
    @kingayo999 6 років тому +4

    homoniz bd umtoto kwa alikiba anakuzaaa mpe heshima yake

    • @abelmichael9069
      @abelmichael9069 6 років тому

      Ayoub Ali mbna ye (kiba) hakumpa mondi heshima

    • @matikosamson5868
      @matikosamson5868 4 роки тому

      We nae kumbe huoni vizuri harmo alikuwa ameambatana na mondi check vizuri baada ya mondi kusalimia msitari wa mbele muda anasalimia waombolezaji wa nyuma ndo hormo kaenda kukaa

  • @amidokasome8420
    @amidokasome8420 Рік тому

    Kingdom is for king 🤴

  • @lipymuscat4779
    @lipymuscat4779 6 років тому +1

    Mimi hapo nilipofahamu hiko kiti alichokaa harmonise kiliwekwa special kwa ajili ya diamond ili wakae pamoja na ali kiba.na k.baada ya ali kiba kumchuniya diamond ndio dioamond akacancel kukaa hiko kiti..akaenda kukaa kiti aliandaliwa harmonise..na badala yake harmonise ndio akaenda kukaa kiti kilichokaribu na ali kiba..

  • @chidybwax8080
    @chidybwax8080 6 років тому +3

    Watu tunakosa upeo mpaka hatupati majib alokutwa ndo husalimiwa mbona kiba na mondi hawajakosea mondi kawasalimia watu kibao vp kiba angegoma nayy ndo kakutwa hawana bifu sisi maboya ndo hatujielew

    • @nadinenadine9047
      @nadinenadine9047 6 років тому

      Chidy Bwax yani watu kwa kuzuwa , watu wanapenda unafik sana hawawezi kukaa bila kutunga stori za uongo

  • @richardngendakumana2871
    @richardngendakumana2871 6 років тому +1

    Ameogopa kwel huyo akaona yenye bamemufanyia babake😆😆😆😆😆

  • @fatimahsaide5543
    @fatimahsaide5543 3 роки тому

    King kiba
    ,,. Kiba...........
    🦁

  • @boazimbwaga8771
    @boazimbwaga8771 6 років тому +1

    Nimekuerewa harmonize

  • @lucyzawadi6794
    @lucyzawadi6794 6 років тому

    vizuri sana mond

  • @achibellatabx3016
    @achibellatabx3016 6 років тому +3

    Haha harmonize Peleka uko yani unapo salimia alikiba uta fariki mmmh fuata mfano mwema wa diamond

  • @francemusic1850
    @francemusic1850 6 років тому +1

    Kuna jamaa kanifurahisha hapo Diamond alivyokuwa akiingia na mabodyguard wake... Akaguna duuh! Hahaha

  • @seifmohamedseif9384
    @seifmohamedseif9384 6 років тому +1

    walivyo peana mkono hawa wote wanaimani za kishirikina sana ila hzo zina mwisho wake

  • @neemakilomoni4258
    @neemakilomoni4258 6 років тому +2

    Shamed on you Harmonize 😡

    • @abelmichael9069
      @abelmichael9069 6 років тому

      Neema Kilomoni kiba also should be ashamed for what he did to mondi

  • @WilfredWilfred-cj3qi
    @WilfredWilfred-cj3qi 5 місяців тому

    ❤❤❤

  • @getrudequeen6657
    @getrudequeen6657 6 років тому +3

    Ni vizur tu coz kiba anajini kislan ataond inaonekana aliforce tu ata mkono ajakunjua😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @Ben-w4u
    @Ben-w4u 6 місяців тому

    So Diamond looks like he wants to squash the beef between them but alikiba doesn't buy it it's very bad.

  • @juventusjohn9276
    @juventusjohn9276 6 років тому +1

    Harmonize mbwa koko

  • @rashidsalum8325
    @rashidsalum8325 2 роки тому

    Kweli King apa nimekuelewa sana ww kweli King waalali kabisa unajua jambo lambele

  • @jasonyonacmo6493
    @jasonyonacmo6493 4 роки тому

    Yap

  • @taysonlusungu1625
    @taysonlusungu1625 2 роки тому

    Tay Boy

  • @rizikibintkinois3093
    @rizikibintkinois3093 4 роки тому

    KING KIBA mie nakupendaga saaana 🧡🧡🧡💛🧡❤💗 7bu unaga bifu na mtu

  • @acruxe5810
    @acruxe5810 6 років тому +2

    Kumamake

  • @alexprotas40
    @alexprotas40 2 роки тому

    Alikiba anabaya namtu

  • @gulainmatumuabiri5446
    @gulainmatumuabiri5446 3 роки тому

    Mi siyo fan zaidi wa diamond ila kiukweli armonize ameonyesha ushamba

  • @DONALDYOWAS-rr7tz
    @DONALDYOWAS-rr7tz 3 місяці тому

    Alikiba haja msalimia inavotakiwa kakunja ngumi Mondi katoa ivo ivo koma savaaa yakibabe😂😂

  • @johnmkungu2077
    @johnmkungu2077 6 років тому

    Sawa sawa

  • @maulidijumasiokwer5954
    @maulidijumasiokwer5954 3 роки тому

    polenisana

  • @abuukarcumar513
    @abuukarcumar513 3 роки тому

    Asc

  • @adammpambije9989
    @adammpambije9989 2 роки тому

    Wame edit hapo wadau

  • @tv-mc5xz
    @tv-mc5xz Рік тому

    😢😢😢😮😮❤

  • @christophermasese4179
    @christophermasese4179 4 роки тому

    Yani kiba

  • @abdullay3166
    @abdullay3166 6 років тому +1

    Hhhhh anaonesha jeuri Kwa king ataumia huo mkono mm nakubaliana nao hao hawaaminiki kiba umecheza clear jihadhari kabla ya hatari, majuto ni mjukuuu

    • @mwanajuma6075
      @mwanajuma6075 6 років тому

      pend kibaaa

    • @shanyminde1807
      @shanyminde1807 6 років тому

      mshamba mmakondo uyo kazoea kukaa chini ya mikorosho kuishi na watu ajui Mimi mshabiki wako ila kwa hili umenichefua

    • @hashimmatelephon140
      @hashimmatelephon140 6 років тому

      hapo umesema kiukweliiii umesomeka poa kwani kushikwa shikwa waweza ondolewa vyako.

  • @nicksonchiko9913
    @nicksonchiko9913 6 років тому +1

    huyu kiba ametoa mukono wakibabe hakunyosha kiganja

  • @mabenaenterprisescoltd9546
    @mabenaenterprisescoltd9546 6 років тому +1

    Kiba 100

  • @salimasmahili3754
    @salimasmahili3754 6 років тому

    pongezi kwa harmnz kiba huu nyambavu anashindwa kunyoosha mkono kwa mond wala alikua ana choka wala njaa anachokaga mapema kiba ndo i na wezekana mond bado juu tu kiba wapi chini daaaaaa

  • @christophermasese4179
    @christophermasese4179 4 роки тому

    Jmn hv lialikiba lipo msibani bado halioni Kama dunia mapito bado linalinga mond kaka Mimi naamini umejizolea baraka nyingi saana kutoka kwa huyo mbwa

  • @adamdotto3876
    @adamdotto3876 2 роки тому

    Hakikakode

  • @simbasimba1185
    @simbasimba1185 6 років тому

    Mmakua kwa kuiga kiboko mpaka heleni pia kama boss wake,anataman abadil mpaka kabila

  • @malkiavasht7024
    @malkiavasht7024 6 років тому

    Ila hamonize atakua wakwanza kufukuzaa wcB..... tutaona

  • @aishahnduwimana5024
    @aishahnduwimana5024 3 роки тому

    Sas Alikiba una nunia monde mpaka lini?

  • @maulidimakalani2001
    @maulidimakalani2001 6 років тому

    Kwa hili hata Mimi mkono simpi na simba usijipendekeze sana kwa washamba kama HAWA wanaalibu mambo

  • @ramamontana2386
    @ramamontana2386 6 років тому

    jaman king anajitambua na hana bifu na WCB lakini mbona hawajiamini na wana hofu sana nasisi mashabiki tuna takiwa kuishi kama wao na kama kama una bifu na mwenzio famya kusahau tuishi kama mwanzo

  • @alexmurithi1327
    @alexmurithi1327 6 років тому +1

    Alikiba I like your music but the way you greeted diamond as if he has leprosy ain't right. Learn to hide beef

    • @jackzodY3
      @jackzodY3 3 роки тому

      Yes kamgeuzia kiganja

  • @omizoototo2665
    @omizoototo2665 4 роки тому

    Msenge2 uyoo

  • @oswaldacleofas2803
    @oswaldacleofas2803 2 роки тому

    Nipe mkono tushindane hahahaaha,,king kiba nikama alikuwa anajua

  • @josephsospeter8304
    @josephsospeter8304 6 років тому

    aiseeeeee

  • @taysonlusungu1625
    @taysonlusungu1625 2 роки тому

    Boy

  • @user-es1gh5te7q
    @user-es1gh5te7q 9 місяців тому

    Cy uungwana😢

  • @Mohaa4309
    @Mohaa4309 10 місяців тому

    Kiba not good for disappointment, peana mkono shida nafsi zenu mmejaza husda

  • @directorkingcalvin9001
    @directorkingcalvin9001 6 років тому

    kumpa MTU mkono namna iyo nikwamba mikono ya ally ilikuwa michafu au alikua nakitu mkononi.ila amna cha ajabu kawaida tu.