Rev: Moses Magembe, Mimi napenda, suti lakini siyo agizo la Mungu!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 35

  • @ifakisetumbaboy3749
    @ifakisetumbaboy3749 3 місяці тому

    Ubarikiwe Sana Mtumishi Wa Mungu

  • @petrohermani5721
    @petrohermani5721 8 місяців тому

    Neno la Mungu haliexpai magembe YESU KRISTO Hakuja kutangua bali kuikamilisha

  • @piterlaiza5576
    @piterlaiza5576 3 роки тому +3

    Mimi nasema Mungu akubariki mchungaji wangu.
    Sijawahi pata mchungaji anaenena neno la Mungu kama huyu.
    Hata sina swali wala kipingamizi juu yake. Maneno ya Mungu matupu.

  • @luhekelondelwa9714
    @luhekelondelwa9714 3 роки тому +2

    Amin mchungaji

  • @nelusigwenyingi2889
    @nelusigwenyingi2889 3 роки тому +2

    Amina mtumishi wa Mungu wa kweli!

  • @pascaliamaeka5085
    @pascaliamaeka5085 3 роки тому +4

    MUNGU akubariki saana akupe mafunuo zaidi tuendelee kua na ufaham wa kumwelewa MUNGU

  • @nelusigwekibale5243
    @nelusigwekibale5243 3 роки тому +3

    Amina mtumishi tunapokea

  • @mariamkisoma1988
    @mariamkisoma1988 3 роки тому +4

    Amina mtumishi endelea kutufundisha

  • @paschaljohn687
    @paschaljohn687 2 роки тому +1

    God bless you a lot🙏🙏

  • @anordnjau3164
    @anordnjau3164 3 роки тому +3

    Asante mch nimekuelewa Sana.

  • @benjaminlijongwa3715
    @benjaminlijongwa3715 3 роки тому +3

    BABA MCHUMGAJI MOSES MAGEMBEEE
    HAYO MAHUBIRI NA MAFUNDISHO YANATAKIWA YAHUBIRIWE NA KUFUNDISHWA MARA KWA MARA KATIKA .HASA KWENYE VYUO VYA BIBLIA.

  • @michaelrweyemamu1068
    @michaelrweyemamu1068 3 роки тому +3

    Great message

  • @Gwa-Kayaga
    @Gwa-Kayaga Рік тому

    Amen amen, 🙏

  • @kennedysalanomashairi7187
    @kennedysalanomashairi7187 3 роки тому +2

    What a great apologist. God bless you Rev. Moses for giving yourself to establish the church in sound doctrine. Ubarikiwe sana na karibu kwetu Kenya .

    • @kevinmwiva5370
      @kevinmwiva5370 3 роки тому +1

      Great teaching from this True Man of God

  • @joshuambiaji9808
    @joshuambiaji9808 3 роки тому +2

    This Man of God is really a theorologian

  • @mosesmwailenge5192
    @mosesmwailenge5192 3 роки тому +1

    Kweliiiii iyooo inapita usipo ikubali yeyote hatamimi kufa nilazima kufa kama mbwaa 👉

  • @octavianmwamnyanyi6222
    @octavianmwamnyanyi6222 3 роки тому +2

    Amen

  • @mwadiabulymoshabani6336
    @mwadiabulymoshabani6336 3 роки тому +3

    Kweli Mungu atusaidie

  • @lucasmabuli6352
    @lucasmabuli6352 3 роки тому +1

    Pastor umenena kisabato zaidi .God bless you biblia ndo kila kitu tutumie Bible kwa mafundisho yote

  • @pastormwandishitv
    @pastormwandishitv 3 роки тому +2

    Kile nachokipenda ndicho nachokipata kwa Mtumishi huyu. Hakika Mungu anajivunia huyu Kuhani

  • @Yeshuatv729
    @Yeshuatv729 3 роки тому +2

    Uzaliwa wa kwanza ni cheo cha kiroho siyo umri.
    Mfano Daudi ni mtoto wa mwisho kuzaliwa katika familia ya Yese, lakini cheo chake kiroho ni mzaliwa wa kwanza

  • @apostlejoshuasimbawamoto1095
    @apostlejoshuasimbawamoto1095 3 роки тому +1

    Sawa muondoe mafungu ya kumi,shukran...na pia muache kuchangsha michango kanisani ya ujenzi..maana Yesu alimaliza yote...hosea 4:6 (watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.)huduma zipo tano leo hi unasema et huduma ya kinabii ipo kwa wachungaji😀😀kwa maandko yapi unayotumia? Upo sahihi mambo mengi lakini mengne unaendeshwa na chuki,wivu na kutafuta umaarufu wa kujiona Bora kuliko wengne...Mungu akuponye

    • @oscarwissa
      @oscarwissa 3 роки тому +2

      Yupo sahihi. akuonee wivu wewe, ni nini unacho halafu yeye hana. Jifunze acheni kukurupuka na kujibandika tu majina, Prophet wa wapi wewe?

    • @FestoYohana-p4x
      @FestoYohana-p4x 4 місяці тому

      Kuna watu ni vichwa ngumu, af unajiita apostle, pole

  • @clausemsemwa297
    @clausemsemwa297 3 роки тому +2

    KUNA LOGIC KUBWA

  • @newbornhaule1635
    @newbornhaule1635 3 роки тому +4

    Chakula kizuri cha roho kimekolea vizuri Munyu hakika Tunaangamizwa kwakukosa maarifa kwani leo kila mtu ni Mwalimu kanisa linatatizo kwenye Ualimu mafundisho ni mengi na potofu Baba kaza buti Taji yako ipo...!!!

    • @EdmoningTv
      @EdmoningTv  3 роки тому +2

      @Newbom Haule. Uko vizur

  • @esdoryboniface8557
    @esdoryboniface8557 3 роки тому +2

    Kama tunatakiwa kuachana na mambo ya walawi kwa 100% mbona mnatoza watu fungu la kumi na hili ni agizo litokanalo na sheria ya ukuhani wa lawi, Ebr 7:5-12., ondoeni na fungu la kumi maana Yesu hajaagiza hilo ktk ukuhani wake.

  • @mkomboziconsultanceallianc2003
    @mkomboziconsultanceallianc2003 3 роки тому +3

    Amina

  • @lucasmabuli6352
    @lucasmabuli6352 3 роки тому +2

    Amina