MENGINE MAPYA |JUMA LOKOLE AMWASHIA CHECHE MWANAMKE MWENYE MAJINI |SIMTAKI AENDE KWA BABU YAKE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 172

  • @lucylucy3678
    @lucylucy3678 3 роки тому +5

    Juma mm nkupnda san unaongea kweli juma jaman 💚💚💚

  • @tanzaniat7151
    @tanzaniat7151 3 роки тому +12

    Allah bolanikae nisiolewe lakini sio kujidhalilisha huku Allah atukinge wajawake yarabbiy

  • @dottohamisi9844
    @dottohamisi9844 3 роки тому +22

    😀😀😀😀Sema yule dada kajizalilisha sana sio kwa Juma lazima achabwe mhm pole yake

  • @esnathmwangupili6796
    @esnathmwangupili6796 3 роки тому +6

    Pole Amina ushaanza kuchambwa😀😀😀😀

  • @masetapam7019
    @masetapam7019 3 роки тому +2

    Ati Amina anatafuta kivuli ya kujificha lol!

  • @justinexalome7973
    @justinexalome7973 3 роки тому +1

    Hayo msjibu ya madharau kweli kweli kama ningali kua n mm nashikwa na goosebumbs

  • @zennahmtoto1867
    @zennahmtoto1867 3 роки тому +4

    Zahiri huyu mtangazajii nimempendaa anauwezoo wakuojii na umbea unamfaa😂😂😀😀😀😀😀😀

  • @saniasudi1719
    @saniasudi1719 3 роки тому +12

    Juma umekomesha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣maajabu ya dunia ila mdada kajua kujidhalilisha looooh

  • @mumucha1529
    @mumucha1529 3 роки тому +3

    Jaman 🤔 Amina njoo uone

  • @rukiakhamsin9220
    @rukiakhamsin9220 3 роки тому +6

    Kweli kabisa mwijaku mropokaji

  • @mwgaadam7261
    @mwgaadam7261 3 роки тому

    Pole weee Amina Juma zenyewe sijui mke au mume na ndokakutema ivo

  • @bettymaloba3854
    @bettymaloba3854 3 роки тому

    Watching from Kenya huyu Juma ako na ombea sana waaaah

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 3 роки тому +5

    Haaaaaa Asante juma kwa Majib ila Amina kakukubali jmn🤣🤣

  • @fettyharoun1333
    @fettyharoun1333 3 роки тому +10

    Kamkataa msambaa mwenzangu 😂😂😂😂

    • @dhuu12
      @dhuu12 3 роки тому

      😂😂😂😂kamzngua Dada etu

    • @fettyharoun1333
      @fettyharoun1333 3 роки тому +1

      @@dhuu12 kabisa yaani 😂

  • @mouwanahamisi8216
    @mouwanahamisi8216 3 роки тому +5

    😂😂😂jmn Juma fanya Nusra utapat swawabu😃

  • @aminatanzanya7475
    @aminatanzanya7475 3 роки тому

    Amina mwenzang umeniabish etii unatafut kivuli cha kujifishia hebu acha haya mamb Juma lokole mwenyew hamnaz

  • @kilunjupolinah343
    @kilunjupolinah343 3 роки тому +1

    Jumaaaaaaaaaaaa

  • @waheedahtanzania4912
    @waheedahtanzania4912 3 роки тому +4

    Tunasubiri ndoa juma wee maliza vichambo kwa Amina ukimaliza ndoa inakuhusu 😂😂

  • @ramadhainfighter8685
    @ramadhainfighter8685 3 роки тому +3

    Mtangazaji hongera

  • @devothaignatus5911
    @devothaignatus5911 3 роки тому +2

    Mwijaku yupo vzr

  • @aam5118
    @aam5118 3 роки тому +2

    Duuuuuh mtihani kweli

  • @kinyajudykinya1454
    @kinyajudykinya1454 3 роки тому

    Pia mimi namupenda sana juma

  • @liciouscharles3370
    @liciouscharles3370 3 роки тому +2

    Mbona akampende babu yake...huyu dada anajidhalilisha jmn unh

  • @dhuu12
    @dhuu12 3 роки тому

    😂😂😂😂wanatafuta kivuli duuh juma umenishnda tabia

  • @saadas5586
    @saadas5586 2 роки тому

    Amina labda arithi huo umbeya kwa juma lokole maana Hana chakurithiwa

  • @fatumahengo6849
    @fatumahengo6849 3 роки тому +2

    Juma amepatikana 😃😃

  • @rashdiyange7758
    @rashdiyange7758 3 роки тому

    Uyu juma mwenywewe shoga alfu yule mwanmke msehez juma mwenywewe simzma

  • @bakarimohammed2796
    @bakarimohammed2796 3 роки тому +5

    😂😂😂 Amkomeeeee

  • @zenasaidy6526
    @zenasaidy6526 3 роки тому

    Mwana akome mwanamke unamtoto mdogo kiranga ukipeleke kwa Juma 😂😂😂

  • @salamaabdull4568
    @salamaabdull4568 3 роки тому

    Jamani majina ya juma yanahuruma kiukweli wana mapenzi ya kweliii ila wanawivu hatari msimuone ivo maneno mengi wana love hao

  • @winnieumanzi5572
    @winnieumanzi5572 3 роки тому

    Juma macho mzuri😝😝😝😝😝😘😘😘😘namtaka 😝😝😝😝😝😝😝😝 tufanye umbea😜😜😜😜

  • @everlyne8595
    @everlyne8595 3 роки тому +1

    Jumaa kashapew xumuu mpk kbdil maamuz mungu anawaon mlomxhaur lokolee aachn n huyo amina 😂😂😂

  • @wemasarwat366
    @wemasarwat366 3 роки тому

    Duh Amina pole

  • @haikamsifuni468
    @haikamsifuni468 3 роки тому +2

    Huyu mtangazaj yupo vzuri cyo Yule mwanamke

  • @namirihamisi3899
    @namirihamisi3899 3 роки тому +8

    Waache kujirahisi nao.

  • @codenamerobiner3816
    @codenamerobiner3816 3 роки тому +1

    Ruby moto mzuri

  • @doreensamwely8740
    @doreensamwely8740 3 роки тому +3

    😂😂😂😂😂 tobaaaa

  • @zawadmohammed6622
    @zawadmohammed6622 3 роки тому

    Asante juma ni kweli anatafuta kivuli uyo

  • @kiri5807
    @kiri5807 3 роки тому +2

    Juma muoe mwanamke wallah mchango wangu mahari na sanduku .

    • @heyumi2340
      @heyumi2340 3 роки тому

      saduku la nn

    • @user-ij5ig4uu1y
      @user-ij5ig4uu1y 3 роки тому

      Sanduku 🤔🤔

    • @kiri5807
      @kiri5807 3 роки тому

      @@user-ij5ig4uu1y unashangaa sanduku ? culture ya watu wa pwani na huyo mwanamke ni mtanga ukioa unapeleka begi ( kiasili ni sanduku ) na full vitu km nguo , mikoa , viatu , vipodozi kanga , perfumes na kila unachokijua cha mwanamke , kuonesha kuwa uko tayari kumuhudumia kwa hayo .

  • @haarunsaidabdillahi4082
    @haarunsaidabdillahi4082 3 роки тому +6

    Juma umesema kweli 100% Mwijaku ni mropokaji mtafuta rizki.

  • @witingela6283
    @witingela6283 3 роки тому +1

    Ilo jini lingemchagua mond yy anahuruma na wadada🤗🤗

  • @ashuraumari1322
    @ashuraumari1322 3 роки тому +4

    amina😂😂😂😂😂

  • @Official83640
    @Official83640 3 роки тому +3

    Juma mwanamke anataka amjue km shoga kweli yule sio bure maana kwao ugomvi na mama yake mzazi huko anamzalilisha

  • @princesbimkhamis6446
    @princesbimkhamis6446 3 роки тому +1

    Juma kumbe unapenda kuhoji wenzako ww hupendi kuhojiwa hahahahah umepatikana vibaya

  • @dianamsigo4531
    @dianamsigo4531 3 роки тому

    Amina habari umeipata jipe shuuhuli acha kujiabisha

  • @rukiaabdallah1132
    @rukiaabdallah1132 3 роки тому +1

    😂😂😂juma kidogo anatakaaa kuwa mlokole maan 😂😂😂😂

  • @maloomaalmnsj5111
    @maloomaalmnsj5111 3 роки тому +5

    Khajambe uko 😂😂😆😆😆

  • @furahamaro2296
    @furahamaro2296 3 роки тому +1

    😁😁😁😁😁nimecheka kama mazuri et anikomee

  • @OmanOman-mc2bl
    @OmanOman-mc2bl 3 роки тому +1

    Kaundime kitwana Amina pole kumpenda juma lokole wakati yy ayupo moyoni mwaka pole mwanamke mwenzangu yani amina sawa nakusubili meli uwanja wa ndege wakati sio mahara pake pa usafili🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @hanifaabdallah7372
    @hanifaabdallah7372 3 роки тому +1

    Atareee

  • @maryamuabdul1535
    @maryamuabdul1535 3 роки тому +1

    Hatar, ya mwaka

  • @safiayussuf9308
    @safiayussuf9308 3 роки тому +2

    Amkomeee😀😀

  • @winnieumanzi5572
    @winnieumanzi5572 3 роки тому

    😆😆😆😆😆😆😆Juma Una dada anakupenda😜😜😜😜😜😜lazime uende Kwa mgagarudi alikupa dawa yakuvta mwanamke😜😜😜😜😜😜😜😜

  • @sharmelasaif47
    @sharmelasaif47 3 роки тому +1

    Juma weweee

  • @mwanashahamisihamisi2792
    @mwanashahamisihamisi2792 3 роки тому

    Jmn Dada wajidhalilisha ivyo

  • @rukkysayid6613
    @rukkysayid6613 3 роки тому +2

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mkali kwelii

  • @TeamKRX
    @TeamKRX 3 роки тому

    Jamani jamani Juma dag kamzaa nani huyu🤣🤣

  • @jamilasalimvilog6752
    @jamilasalimvilog6752 3 роки тому +1

    Duh we juma wewee

  • @umibana6759
    @umibana6759 3 роки тому +4

    Ana mtt pia ananyonyesha huyo mwanamke, hatari

    • @jenifajuma5395
      @jenifajuma5395 3 роки тому +1

      Kweli kabisa ananyonyesha na Mimi nilimuona akamtafute bwanake alomzalisha

  • @aishashomali2716
    @aishashomali2716 3 роки тому

    Aliyeona juma anaiga kuongea kama Dr.kumbuka gonga like

  • @zainabzz7241
    @zainabzz7241 3 роки тому +1

    Duuh we kiboko

  • @rosepiere1857
    @rosepiere1857 3 роки тому

    😂😂😂😂 juma jamani umejua kunivunja mbavu zangu jamani

  • @zennahmtoto1867
    @zennahmtoto1867 3 роки тому

    😂😂😂😂Juma akili hana

  • @mtnshd9726
    @mtnshd9726 3 роки тому

    ‏ما إن شاء الله الدنيا حسنة

  • @aminaally5895
    @aminaally5895 3 роки тому +2

    🙉🙉🙉🙉

  • @suzanemwangingo6932
    @suzanemwangingo6932 3 роки тому

    Mbona kajambee hahahaha uwiiiiiiii juma umeniuwa kwakweli

  • @mename6020
    @mename6020 3 роки тому +3

    🤣🤣🤣🤣 Ulisikia uchuro wa dunia ndo huo....

  • @dalilahrashid4077
    @dalilahrashid4077 3 роки тому +1

    Wa Tanzania jamani

  • @aninatally6667
    @aninatally6667 3 роки тому

    Usikat tamaa juma n wak

  • @wastarabakry8740
    @wastarabakry8740 3 роки тому +1

    Iyoo ndofaida yakutafuta jina aiibuu tuuupuuu

  • @abubakarramadhani6414
    @abubakarramadhani6414 3 роки тому +2

    Hatar na nusu

  • @mtnshd9726
    @mtnshd9726 3 роки тому +1

    Allah Akbar ‏خلاص يا بوي الله نامي وراك كثير حسبي الله ونعم والكيل إن شاء الله

  • @codenamerobiner3816
    @codenamerobiner3816 3 роки тому +1

    Juma apatikana

  • @rashdiyange7758
    @rashdiyange7758 3 роки тому

    Msenge flesh uyoo tena komeeeee🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🥰🥰

  • @ziadakisanga1011
    @ziadakisanga1011 3 роки тому

    🤣🤣😂😂😂😂kaaaa jmn

  • @ayishaayisha8053
    @ayishaayisha8053 3 роки тому

    Dada yng wanaume wapo achana juma pedua jini lako litafute mtu mwenye sitira. Mmh pole

  • @bijumafundi1737
    @bijumafundi1737 3 роки тому

    😂😂Juma jamani weweee ni 🔥🔥

  • @zuusaidibushiri5556
    @zuusaidibushiri5556 3 роки тому +2

    Ndoa ndoa namuona da dida kwa mbaliii mke wa mheshimiwa nakupenda kweli kwa kitulia uko da kimyaa kama si wewe

  • @felistersmejumaa5188
    @felistersmejumaa5188 3 роки тому +1

    Kama hamtuowi twaja wenyewe 🤣🤣🤣🤣

  • @aminaathumani6832
    @aminaathumani6832 3 роки тому +1

    Jumraa umeowa marohani au umeorewa

  • @zoab2699
    @zoab2699 3 роки тому +2

    Juma we ndio adui fitini hasidi nafsi 🤣🤣🤣

  • @esnathmwangupili6796
    @esnathmwangupili6796 3 роки тому +1

    😀😀😀

  • @paulkaruma8480
    @paulkaruma8480 3 роки тому

    Eeeeeh juma uyo.unachocha uku na haku.hapa kidogo pele kidogo.ukimwi unamuandama umejaa kila Conner ukwimwi daa 😂🤣🙈

  • @reymaabintabdillah3727
    @reymaabintabdillah3727 3 роки тому

    Jaman😂😂😂😂

  • @mzeeniwewe136
    @mzeeniwewe136 3 роки тому +2

    Aki watanzania jamani😅😅😅

  • @princevan3747
    @princevan3747 3 роки тому +1

    😅😅😅

  • @esthermwakilasa8107
    @esthermwakilasa8107 3 роки тому +3

    Watangazaji mnamoyo

  • @assfzainab912
    @assfzainab912 3 роки тому

    Naona aibu yarab dada wawatu

  • @salmamohd8202
    @salmamohd8202 3 роки тому

    Juma wee unaongea km shoga heeee lkn umetisha mazeeeee

  • @Awatee
    @Awatee 3 роки тому +8

    Msiba huu eti wakigombana ndio kula yangu yaraby tuokoe waja wako

  • @sharifasalum532
    @sharifasalum532 3 роки тому

    juma jamani unacheka sana

  • @tenetene2002
    @tenetene2002 3 роки тому

    Kwani juma uoni wakenya hata mimi nakutaka niko dubai

  • @winnieumanzi5572
    @winnieumanzi5572 3 роки тому

    Mimi namtaka😝😝😝😝😝😝juma anivishe pete tufanye udaku 😜😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆 ombea 2030

  • @hamedmujlid5247
    @hamedmujlid5247 3 роки тому

    Kajambe uko😂😂😂😂😂

  • @lilianoduor5167
    @lilianoduor5167 3 роки тому

    Apo kwa hindia umeniua

  • @aishasaid2691
    @aishasaid2691 3 роки тому

    🤣🤣🤣🤣Huyo ndiyo juma bhana

  • @codenamerobiner3816
    @codenamerobiner3816 3 роки тому +1

    Account ya dstv? Watumwa

  • @ismailothman8063
    @ismailothman8063 3 роки тому +1

    Vimeumana loe kumbe show kuzaliwa waganga

  • @williamlyimo833
    @williamlyimo833 3 роки тому

    Matajiri atuongei Sana🤣🤣

  • @raheemahongeramashaallah1443
    @raheemahongeramashaallah1443 3 роки тому

    uwiii aibu kukataliwa kubaya.