ALIYEKUA MKE WA JUMA LOKOLE AFUNGUKA: NILIMKOPESHA MAHARI LAKI MBILI/NILIKUA NASIMAMIA SHOO MWENYEWE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 773

  • @muhammadomar1787
    @muhammadomar1787 3 роки тому +140

    Bila ya kusikiza story.she's beautiful

  • @fatnahsaleh860
    @fatnahsaleh860 3 роки тому +53

    Wallah sijuwe Lokole umekubwa na nini? Umemuashe uyu Dada mzuri hivi kweli. Mstarabu, anaongeya kwa heshima. You are so cute Darling 🤗. #Wcb4life 💖.

  • @olivertsumake3212
    @olivertsumake3212 3 роки тому +103

    She looks humble and loyal woman

  • @Swahili14
    @Swahili14 3 роки тому +41

    *SHE'S SO BEAUTIFUL!* 😭💕

    • @yosephamiri4442
      @yosephamiri4442 3 роки тому +1

      Umeongea vizuri mama

    • @nurdinmgaza3588
      @nurdinmgaza3588 3 роки тому +1

      Mama hiyo ndo hekima na busara ndoa ni nyumba zinafanana kuta lila humor ndani ni siri ya wanandoa huwezi kusema yoote,kwani mwenza ni sehemu ya mwili wako ukisema yote nikujivua nguo,

  • @mapendosafi3429
    @mapendosafi3429 3 роки тому +10

    Juma lokole nooo mwanamke kakusaidiya sana ILa unamusaahau nooo sivizuri namupenda uyu journalist good job brother 👏

  • @mwanatumually7312
    @mwanatumually7312 3 роки тому +55

    Mtoto anamnunulia nguo idd mpk idd mahari ya mkopo🤣🤣🤣🤣🤣😂😂 huzuni kwa kweli

    • @najmabajun4290
      @najmabajun4290 3 роки тому +3

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @yunyun799
      @yunyun799 3 роки тому +2

      😂😂😂😂

    • @yussufmohd890
      @yussufmohd890 3 роки тому +4

      Sana kisha anafatilia maisha ya watu

    • @emmiesulee4620
      @emmiesulee4620 3 роки тому +2

      Ni huzuniiiiiii😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @Kasweetie_254
      @Kasweetie_254 3 роки тому

      🤣😂na kazi yake kuchamba wake wa Diamond wenye wanajiweza kimaisha

  • @ferouzmasoud4741
    @ferouzmasoud4741 3 роки тому +8

    Daaah 😳 Dada mzur huyo hongera Sanaa 🙏 unajuwa kuongea na unaonekana una busara sanaaaa

    • @kyataonline5262
      @kyataonline5262 Рік тому

      nashindwa kuelewa vipi alikuwa twenga pepeta !

  • @ashuramhando5285
    @ashuramhando5285 3 роки тому +20

    Lipa mahari we kiherehere wa Mondi bora uliamua mwanamke mwenzetu yule si mume mwena ulipotea njia 🙏🙏🙏

    • @enterenter1921
      @enterenter1921 3 роки тому

      Hahahahaaaa hahahahaaaa hahahahaaaa hahahahaaaa hahahahaaaa hahahahaaaa haloo namtafuta Juma aje hapa shenz zake🤣🤣

  • @aishambega4118
    @aishambega4118 3 роки тому +2

    Mashaallaah wewe dada ni mzuri nimekupenda sana m/mungu akupe mwisho mwema inshaallaah

  • @suzanemwangingo6932
    @suzanemwangingo6932 3 роки тому +68

    Kwanza mwanamke mzuri. Jamani

    • @yunaisamir2099
      @yunaisamir2099 3 роки тому

      Yeah she is beautiful maashaa Allah

    • @shazmahshaaban3049
      @shazmahshaaban3049 3 роки тому

      Mashaallah mzuri,halafu haongei uongo maelezo yake yote yako sawa,maana kitu cha uongo huwa unasahau Ila ukweli hausauliki

  • @jimyjastini9995
    @jimyjastini9995 3 роки тому +9

    Jaman murubiyanetu maisha yaendereye 🙏🙏🙏🙏

  • @frankwilliam7535
    @frankwilliam7535 3 роки тому +233

    Wife material utawajua tuh kwa maongezi ya busara na hekima ,,,,nipee like yangu

    • @Sandra39823
      @Sandra39823 3 роки тому +6

      Lakini hata juma lokole sio mwanaume wa kuolewa nae

    • @jonathantito3528
      @jonathantito3528 3 роки тому +1

      Aisha ulitakiwa kusema ukweli sheria za media haziwezi kukubana kwa kuwa wewe ulikuwa mkewe una ushahidi hata sisi majirani zenu wa Msewe na marafiki zenu tunajua kwanini mmechana Lokole ni 'kocho'.....

    • @ashuraash3680
      @ashuraash3680 3 роки тому

      @@jonathantito3528 pole dada

    • @mbwanakiting7180
      @mbwanakiting7180 3 роки тому

      Kitu gani Cha ndani hutaki kusema...au alitaka nanii

    • @mbwanakiting7180
      @mbwanakiting7180 3 роки тому

      Nyie Bado mnagongana msinitanie...

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 3 роки тому +22

    Sheria za media ni Kali sana siku hizi bora Mimi nikae kimya hapa nipike keki hapa

    • @emmanueljoseph2576
      @emmanueljoseph2576 3 роки тому +7

      Huna lolote Wewe ni mtukanaji mzuri Sana mtandaoni huwaga unamshambulia Sana harmonize mtandaoni Leo kaongelewa shogaako unajifanya kukausha eti sheria sheria ipo kwa lokole tu kwa hamo haipo acha uzwazwa

    • @jenifajuma5395
      @jenifajuma5395 3 роки тому +1

      @@emmanueljoseph2576 😁😁😁😁😁😁😁

    • @elizabethwilson9180
      @elizabethwilson9180 3 роки тому +7

      @@emmanueljoseph2576 Tena yuko na UA-cam channel yake na ywatukana watu? Basi sisi wengine ni mashabiki wa hamo kama hajui

    • @sabrinaibrahim1127
      @sabrinaibrahim1127 3 роки тому

      Mhhh

    • @tatuhongeranurushaus485
      @tatuhongeranurushaus485 3 роки тому +5

      @@emmanueljoseph2576 haswaaaaaaa yaan huyu dada ni mtukanaji mzuri tu et saiv akapike keki 😏😏😏😏😏😏akwende huko

  • @safiasaleh669
    @safiasaleh669 3 роки тому +35

    Mastar washazoea kupata video vijanajike vihuni huyu mwanamke mzuri anayajua maisha wangelifika mbali zaidi lkn usilolijua .....

    • @deodorantdeodorant6309
      @deodorantdeodorant6309 3 роки тому +2

      Juma lokole nishihata kama hammjui huyo kaka nishangingi la kiume hawezi kuishi namwanamke anayejielewa.mwanaume gani mbeya kama huyu kaka

    • @zuleyvendor6577
      @zuleyvendor6577 3 роки тому

      Sasa juma ni star wa nini kwan

  • @AishaAisha-rh1fc
    @AishaAisha-rh1fc 3 роки тому +59

    Jumalokole mrudie mke mwanamke mzuri sana

    • @mdzainb3722
      @mdzainb3722 3 роки тому +7

      Atampa nni🤣🤣🤣🤣🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️

    • @saifysaid7556
      @saifysaid7556 3 роки тому +5

      Ayo madangaji ya dubai na oman sio wake kabisa

    • @kriscun4237
      @kriscun4237 3 роки тому

      @@saifysaid7556 jamani

    • @MrNdanguza
      @MrNdanguza 3 роки тому

      @@saifysaid7556 😀😀😀😀😀

    • @maloomaalmnsj5111
      @maloomaalmnsj5111 3 роки тому

      @@saifysaid7556 tuombe msamaa bhana sio wote wadangaji

  • @calvinwelema159
    @calvinwelema159 3 роки тому +64

    Huyu mtangazaji ndyo amehoji vizur sana

  • @jacklinekatandula6534
    @jacklinekatandula6534 3 роки тому +4

    Beautiful dada wallah! Juma muombe msamaha mama iki

    • @zuhuraadinani8819
      @zuhuraadinani8819 3 роки тому

      Mludie mkeo juma bwana mke mstarabu uyo anaonekanatu

  • @Iragibarune1.
    @Iragibarune1. 3 роки тому +1

    Sidia umenenepa hongera kwa kazi jema

  • @emilymideva8783
    @emilymideva8783 3 роки тому +2

    Nice interview mchanga hata msamaha umekubalika #254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🌷🌷

  • @nasraabdallah850
    @nasraabdallah850 3 роки тому +3

    Jmn mdada mzur kweli mashaallah ❤❤wanaume sijui mnamatatizo gani 🤦‍♂️🤦‍♂️🤦‍♂️🤦‍♂️🤦‍♂️

  • @ms_caramel2688
    @ms_caramel2688 3 роки тому +9

    Anajitambua mashaAllah

  • @rukiauwonde7062
    @rukiauwonde7062 3 роки тому +31

    Itakua analiwa tigo Lokole 😀😀hilo la ndani sasa😂😂

    • @vanessalaizer4363
      @vanessalaizer4363 3 роки тому +2

      Hilo la ndani kama sio ni kuliwa iyo ulosema yawezekana ana kibamia au labda jogoo haliwiki kiivooo🤣🤣🤣

    • @chayogasperi9783
      @chayogasperi9783 3 роки тому +1

      @@vanessalaizer4363
      Lady and gentlemen .

    • @chayogasperi9783
      @chayogasperi9783 3 роки тому +1

      Lady and gentlemen 🤔🤔🤔

    • @mariamsuma3003
      @mariamsuma3003 3 роки тому +2

      Naskia analiwa tigo huyo juma ni shoga

    • @vanessalaizer4363
      @vanessalaizer4363 3 роки тому +3

      @@chayogasperi9783 hahahaaa😂😂😂 ndio mana mdada hana hata wasiwasi labda walikuwa wanavaliana night dress

  • @khadijauvuruge9700
    @khadijauvuruge9700 3 роки тому +4

    Juma alimchuna sana uyu dada na kilichosababisha kumuowa ni ela zake uyu dada alikuwa anasafiri kikazi mziki kucheza show uarabuni na alimla sana alikuwa mtu wa maslahi kwa uyo dada

  • @samy_shyreenrashid2289
    @samy_shyreenrashid2289 3 роки тому +6

    Inabidi alipe laki 5
    2 alizokopa
    Na 3 mahari
    Na kikimfikia kifo bila ya kumlipa atahukumiwa km mzinifu na mtoto sio wa halali yake ....refer qur an sura ya 4: annisai

    • @kingbashar4293
      @kingbashar4293 3 роки тому

      Ana takiwa alipe laki 3 tu!!

    • @samy_shyreenrashid2289
      @samy_shyreenrashid2289 3 роки тому

      @@kingbashar4293 alikopa lak 2 atoe mahar.
      Na alidaiwa laki 3 mahar so means yy ajatoa ata 100.sikiliza vzr maelezo ya uyo dada

  • @munirashughuli7224
    @munirashughuli7224 3 роки тому +46

    Mambo ni fire🙌🔥jumaa utacomment wapi

  • @peterkichochi7510
    @peterkichochi7510 3 роки тому +15

    Kama unamuona mchaga anachoka mikono nipe like zako. Juma hawezi kusema kuwa mliachana kwasabau ni shoga.

  • @achouraachoura5763
    @achouraachoura5763 3 роки тому +8

    Masha'allah anaongea Kwa khekima uyu dada

  • @Jowelia
    @Jowelia 2 роки тому

    That's why i love Mchaga anapenda umbea kama mmi jamani siku moja nitahamia Tz🤗😂🤣🤣🤣😂😂😂😂

  • @kelvintajiri8982
    @kelvintajiri8982 3 роки тому +6

    Unachukua hela ya mwanamke wako bila idhini 🤭😳 .....kwa kweli #uchawa wako una mizizi kwako😂😂😂😂

  • @specialminds23
    @specialminds23 3 роки тому +6

    Utapata mme bora my dear InshaAllah ♥

  • @lilianestephanie7881
    @lilianestephanie7881 Рік тому

    Nmekuelewa dada wifi. Nmekupenda alafu❤

  • @sultanaswaleh7813
    @sultanaswaleh7813 3 роки тому

    Pongezi Dada kwa ulivo ongeya.nampenda MTU anae tosheka na alicho jaaliwa.love you

  • @jcrackcrack1669
    @jcrackcrack1669 3 роки тому +31

    Labda juma hakua sawa bed 🛌,hio noma Sana,bt inakaa huyu mwanamke anampenda mchizi

    • @deega1234
      @deega1234 3 роки тому +1

      I think it is related to drugs. That is why she couldnt talk.

    • @annastaziamichael460
      @annastaziamichael460 3 роки тому

      ua-cam.com/video/_3pxXmBILKA/v-deo.html

    • @jeymejoshy9890
      @jeymejoshy9890 3 роки тому

      juma analiwaa siku hizi

  • @christinemangaza6303
    @christinemangaza6303 3 роки тому +13

    Minaona icho chandani Ni juma Kuwa ushoga 🤌🏽

  • @janeawino7798
    @janeawino7798 3 роки тому +1

    Tunamuelewa sana, jongoo hapandi mlima hii design ya wanaume wanazalisha ila shuhuli yao hafif sana tena walibarikiwa na midomo kushinda wake zao.

  • @jenifajuma5395
    @jenifajuma5395 3 роки тому +22

    Safari hii Juma yamekukuta Mambo ukome kiranga komooo😆😆😆😆😆

    • @laurarose1521
      @laurarose1521 3 роки тому +1

      Mjuwe Kuna yule wa mimba...ukiona mwenzio yua nyolewa chako kitie maji...kwa umbea alio nawo

    • @jenifajuma5395
      @jenifajuma5395 3 роки тому +1

      @@laurarose1521 Yaani mtihani kweli 😆😆😆😆

  • @rahiimal-shuwehdy1203
    @rahiimal-shuwehdy1203 3 роки тому +3

    Masha'allah she is so beautiful

  • @sylviah9666
    @sylviah9666 3 роки тому +17

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣yaani Juma mkeo anakukopesha mahari🤣🤣🤣🤣🤣ila mie siwezi fanya haya! Lakini hayo ya ndani najua ni ya🛌🛌🤣🤣🤣🤣

  • @sylviermuhonjah8411
    @sylviermuhonjah8411 3 роки тому +16

    Najua tuu kweli diamonds amemsafisha maana amwabudu kama mungu wake

  • @khamisally4870
    @khamisally4870 3 роки тому

    Pole Sana sister wanaume ndo siye siye ila huyooooo jama hajafanya vyema

  • @rahmazahor4333
    @rahmazahor4333 3 роки тому +13

    Juma mbeya mwanaume ...ha ha ha Leo umepatikana

  • @dechaggagirl1614
    @dechaggagirl1614 3 роки тому +4

    Huyo juma mwenyewe anasemaje 😌😌

  • @jumanatv417
    @jumanatv417 3 роки тому +13

    Kupatwa kwa mmbea maarufu... Lokoleeeeeeee 😂😂😂😂

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 3 роки тому +7

    Dadadadekiiiiiiii juma lokole una jipya ukiendelea kuropokwa mtaraka wako atatoa sili za ndaniiii hapo chacha fanya fhoko uzaliliswe, nakupenda bule dada

  • @shakilaburhan9552
    @shakilaburhan9552 3 роки тому +8

    Mke mzuri juma mrudiane

  • @ireneassey753
    @ireneassey753 3 роки тому +4

    😀😀😀😀😀irene jamn umevunja mahusiano ya mtu umenizalilisha wajina jamn

  • @Iragibarune1.
    @Iragibarune1. 3 роки тому

    From America Jenifer raymond wow nimefuri kuhihona kazi yako nyingine zuri

  • @abdulkadirsalum8362
    @abdulkadirsalum8362 3 роки тому

    Pole sana ndio maisha ya ndoa siku zote lazima ya tingishike ila Talaka ni moja ata akatoa 3 ina swihii 1 baada ya 1 bada ya 1 mpaka zinafika 3 pole juma mtoto

  • @theafricaiknow6615
    @theafricaiknow6615 3 роки тому +8

    Dada mzuri hivi kwa juma alipotea njia

    • @saidissa8273
      @saidissa8273 Рік тому

      Mkiona MTU mweupe ATI mzuri.wa tz mmerigwa na Nani.mbina nchi nyengine hakuna haya

  • @thefarahatlifestyle
    @thefarahatlifestyle 3 роки тому +5

    Mke mzuri,,mpole. Mrembo.. Juma yuko na shida.. Huyo juma hamfai huyu Dada.. Kazi yake ya umbeya na kuwa kaa mwanamkee.. Kumbe ulianzia kimaskini maskini Leo hii dahh kweli nyani Haoni kundule.. Lipa pesa za Dada aliye kukoa ki mahari...

  • @smootkizy_jr
    @smootkizy_jr 3 роки тому +20

    Mmbea leo kabainika dah wasafi bana ngoja nipite zangu na chibu #south Africa

    • @fidianishimwe4035
      @fidianishimwe4035 3 роки тому +1

      😂😂😂

    • @shangwekamando2599
      @shangwekamando2599 3 роки тому +1

      Kipindi Hicho hakuwa wasafi Alikuwa mcheza shoo tu Acha kuwasema wasafi na usafi wao

    • @khadijaali3688
      @khadijaali3688 3 роки тому

      😂🤣🤣

    • @rahimaan6481
      @rahimaan6481 3 роки тому

      Sasaaa wasafi wamefanyaje,mara oooh chibu South Africa 🤣🤣🤣🤣🤣ila waja kwa kisokorokwinyo maana umeingiza vitu ambavyo havihusiani kbsaaa

    • @thummujey956
      @thummujey956 3 роки тому

      🤣🤣🤣🤣🤣🤛😷🇰🇪

  • @sitiabubakar2892
    @sitiabubakar2892 3 роки тому +31

    Juma uko wapi nipe code ya kujitoa kwenye umbea staki tena😂😂😂

  • @adilforrever4294
    @adilforrever4294 3 роки тому +1

    Juma Kafeli sana Mashallah Huyu Ndo mke kabisa wa kuishi nae Milele

  • @othumanikamilagwa1129
    @othumanikamilagwa1129 3 роки тому +7

    Lipa Mahal kwa mungu utalikuta deni ....

  • @RevolutionKenia
    @RevolutionKenia 3 роки тому +4

    Jameni mwanamke mzuri hivi..Dah!!

  • @enickosanga4921
    @enickosanga4921 3 роки тому

    Juma juma juma jamani laisi wa wambeaa Dah unazingua sana kijana

  • @jaribumodest509
    @jaribumodest509 3 роки тому

    Daaaaaa kumbe mahari bei rahisi iviiiii wazeee wa kushusha gharama za mahari kazi hamna tenaaaa.

  • @bernardmkuffya5171
    @bernardmkuffya5171 3 роки тому +1

    This is a wife, so kind and open.

  • @asnatmlewa1354
    @asnatmlewa1354 3 роки тому

    Mwanamke na nusu♥️♥️♥️♥️

  • @Gift-cx1uo
    @Gift-cx1uo 3 роки тому +1

    Mbn huyu mwanamke mstarabu sana af mcheshi sna sijui wanaume mnakwama wapi?????

  • @ashabarongo1435
    @ashabarongo1435 3 роки тому

    Huyu Dada nampend mzuriiii mashaallah

  • @safiyatheonlything7848
    @safiyatheonlything7848 3 роки тому +1

    Mdd mzuri tu sema juma na msikiaga sana akimtaja huyu mtt wake iqram pia nishawai kumsikia akisema aliachana na mkewe kisa uchambaji pia huyu dd anampenda juma anaonesha

  • @rugeiyaali8730
    @rugeiyaali8730 3 роки тому +13

    Juma lukole lipa deni Mungu anakuona

  • @witnessmassawe2334
    @witnessmassawe2334 3 роки тому +1

    Mtangazaji upo vizuri sana

  • @ashuraalli1561
    @ashuraalli1561 3 роки тому

    Juma leo kichten part yako 👌👌👌🤣🤣kila siku unichambe wenzako,,.... Media Ina sheria kali mengne hawez kasema 👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌👌💃💃💃💃💃😄😄😃😃leo nimefurah ya juma kuyasikia hapa 👇👇👇😃🤣🤣🤣🤣..Haya juma mgumu 🤣🤣🤣😃😃😃🙆🤷🤷😟🤣🤣🤣🤣.... Uko wapi juma lokole muda huuu 🤷..

  • @azizaalmas9624
    @azizaalmas9624 3 роки тому +15

    Lokole unajanja wako wote unashindwa kulipaa Mahali lakitatu? Mahali kulipaa ni lazima hata uingie Kabulin, nduguzako wanatakiwa walipe.

  • @husnaali1610
    @husnaali1610 2 роки тому

    Jumalokole mashasham,tote kumbe hujielewi unakanyagwa,nini?madam mzuri mashallah unaendakutafta vipanya🤣🤣🤣

  • @vanessalaizer4363
    @vanessalaizer4363 3 роки тому +17

    Hilo la ndani hilooo ni lipi hiloo?? Manake mmh lazima litakuwa linahusiana na nyeti au tabia fulani mbaya hahhaha haloooo 👌 👌 👌 unalo ilo mbea promax

    • @leahmushi4536
      @leahmushi4536 3 роки тому +1

      Hahahaha mmbea mwenzngu umejiongezaa! Km mm yn

    • @kingbyaro6016
      @kingbyaro6016 3 роки тому +3

      😂😂😂😂😂kama Siyo kibamia ni shoga

    • @Sandra39823
      @Sandra39823 3 роки тому +5

      Mbona unabaka akili zangu? Nimewaza hivyo, ni kama alitaka kumtomba mkundu apo ikawa noma, tunajua juma ni kitomba mkundu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @diamondplatnumz2950
      @diamondplatnumz2950 3 роки тому +1

      @@Sandra39823 ndo hio

    • @elizabethmwandu6937
      @elizabethmwandu6937 3 роки тому +1

      😀😀😀😀

  • @kitengegaston6946
    @kitengegaston6946 3 роки тому

    Jamanii ilo landani nitakuja wifi uniambiye😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @كاشيعبدالله
    @كاشيعبدالله 3 роки тому

    Aki juma upoteza bahati Kwa uyu dada mzri mashaallah

  • @MS.independent8934
    @MS.independent8934 3 роки тому +3

    Jamanii alikuwa amepata mke mzuri jmn😳 ujana huuu kazii ipoo

  • @thuvakonde2584
    @thuvakonde2584 3 роки тому +3

    Ata usipo ongea ayo ya ndani ila wakulungwe tunayajua sini hanithi tu ww mwanamume unamsifiaje mwanamume mwenzako eti ana mb.... mzuri pumbafu zake

  • @saidikikoko
    @saidikikoko 3 роки тому +6

    Dada mzuri sana

  • @kitengegaston6946
    @kitengegaston6946 3 роки тому +1

    Namujuwa in and out jumaa umesikiya 😀😀😀😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @nizigiyimanajaja9814
    @nizigiyimanajaja9814 3 роки тому

    Waooo ,mpaka saïzi unamdaï eti , dada mstalabu sana

  • @scollapatric8342
    @scollapatric8342 3 роки тому +1

    Dah mwanamke mrembo sana halafu mkarimu mnooo

  • @oyay2821
    @oyay2821 3 роки тому +16

    Muosha huoshwa. Lokole leo umefikiwa

  • @عليغالب-ت5ر
    @عليغالب-ت5ر 3 роки тому +1

    Alioa akiwa mdogo Sana hangeweza mambo ya ndoa 23 yrs jmn alikua mdogo

  • @angelbwija9547
    @angelbwija9547 3 роки тому +13

    Kumbe juma aliowa 😂😂😂😂😂

  • @patriciawangui
    @patriciawangui 3 роки тому +1

    Beautiful woman 🙌👌

  • @jumajay8496
    @jumajay8496 3 роки тому +7

    Ukimwana juma lokole utajua in body language utajua ana akili ndogo utamjua anatoka kwenye maisha duni utamjua akipata atasahau aliko toka utamjua anatumiwa na diamond family kutusu watu.

  • @liciouspipi5538
    @liciouspipi5538 3 роки тому +1

    Hiki kikaka mbona kizuri sana atakua mchaga mwenzNgu huyu😆😆😆😆😆

  • @janemuthoni723
    @janemuthoni723 3 роки тому

    Yaani mnakopeshana maali jamani 🤣🤣🤣ati nikopeshe pesa nikutolee,sasa hiyo umeolewa au umejioa asiporudisha

  • @felista5107
    @felista5107 Рік тому

    Apo kwenye mahar Sasa wangekua wenzie wangejuta angewananga mpaka

  • @khadijauvuruge9700
    @khadijauvuruge9700 3 роки тому

    Kweli sheria itakubana ila watu wote wa mziki tunajua kama kilichowaachanisha ni uchoko msenge fresh anabwenga nakubwengwa

  • @nolynenzisa351
    @nolynenzisa351 3 роки тому +12

    Najua juma atasema ni vle alipata gari ndyo maana

  • @Lavieestbelle123-c6e
    @Lavieestbelle123-c6e 3 роки тому +19

    Lokoleee !!! Kwani Yeye anasemaje ..alafu mwanamke mpole

    • @joharishabani2893
      @joharishabani2893 3 роки тому

      Anakwambia . Huyu nimchaluko . Lukole anakwambia walikua wanakaa kitako kuwa sema wapNgaji wenzao na mke wake . Wakaitwa mpaka wachangamshaji wa mji. 😁😁

    • @Lavieestbelle123-c6e
      @Lavieestbelle123-c6e 3 роки тому

      @@joharishabani2893 weee

    • @joharishabani2893
      @joharishabani2893 3 роки тому

      @@Lavieestbelle123-c6e akikusimlia utacheka yaan .

    • @joharishabani2893
      @joharishabani2893 3 роки тому

      @@Lavieestbelle123-c6e mm nilicheka anavo msinulia dida . Anaitwa mama akramu huyoo dada

  • @onlytiktok9924
    @onlytiktok9924 3 роки тому +1

    I love her 😍❤️❤️❤️

  • @franklinmganga736
    @franklinmganga736 3 роки тому +2

    mtt mzuri 😋

  • @nasrafadhili8941
    @nasrafadhili8941 3 роки тому +20

    😂😂😂ss umbea Leo umekugeukia juma

  • @herbethlukogela7657
    @herbethlukogela7657 3 роки тому +2

    Icho kitu cha ndani kisichoongelewa 🙌🙌🙌😂😂😂

  • @innocentmafuwe4686
    @innocentmafuwe4686 3 роки тому +3

    Juma shoga mwenyewe ana xemaje

  • @everlyneasuma1817
    @everlyneasuma1817 3 роки тому +1

    Mambo Ni bur bur..Juma kaanikwa Leo...ukiona cha mwenzako kinanyolewa Tia chako maji🤣🤣🤣🤣🤣

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 3 роки тому +2

    Juma mpe pesa yake uyu dada sio vizuri ivo wewe una uwezo wa kipato saivi ni vyema umsaidie uyu mzazi mwenzako

  • @mwanas2
    @mwanas2 3 роки тому +3

    Leo mwanakuli find, mwanakuli get.juma leo kaachwa wazi jmni jmni 🤣🤣🤣😂😂😂😂😂

  • @marygaspar6429
    @marygaspar6429 3 роки тому +2

    Wanazengwee! usikopeshe mwanaume mahari mkopeshe Mume mtaji!

  • @arikasisolution2253
    @arikasisolution2253 3 роки тому +6

    Nadhan kitu cha ndani mshaliepewa hiko kkkkkkk Juma km unaubavu haya toa taarifa

  • @jenifajuma5395
    @jenifajuma5395 3 роки тому +12

    Yaani mtihani kweli Juma ulivyo pewa gari na Boss wako tutasikia mengi

  • @zou7470
    @zou7470 3 роки тому +40

    Juma lokole unakalia yasiyo kuhusu kalipe deni ya mahali uko🤣🤣🤣🤣

  • @mwanamkasiimsuka237
    @mwanamkasiimsuka237 3 роки тому +2

    Duh! Huyu dada alikujaga jkt na wasanii wenzie kupiga kozi kama special platon 😳